VILIO CONGO: WALIOKUFA WAFIKA 900, M23 WATANGAZA KUSITISHA VITA “KAGAME, TSHESIKEDI KUKUTANA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 43

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya 10 часов назад +14

    Hawa siyo wa kuwaacha hivi hivi, wanaenda kujipanga upya..huu ni wakati wa SADC kuwatafuta kokote waliko...haiwezekani uuwe 900 halafu useme tunasitisha mapigano na ukaachwa hivi hivi.. Rwanda kaogopa hasara

    • @mullestv2680
      @mullestv2680 10 часов назад +2

      Unakaza fuvu una uhakika hao watu wameuliwa na m23 watanzania kwa kujitia wana huruma kwa mambo wasioyajua hao waloua raia 900 unawajua

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 9 часов назад

      Kwa hiyo we unaamini kuwa m23 ndo wameuwa ,au unajishobokesha kwenye vitu ambavyo havikuhusu

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 9 часов назад +1

      Rwandwa apigwe,,nyie pigeni kelele mitandaoni lakini lazima watusi tuwapige💪💪💪💪

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 8 часов назад

      @@mullestv2680 sababu ni wao m 23

  • @EmmanuelBayo-el5xl
    @EmmanuelBayo-el5xl 8 часов назад +4

    M23 kwasasa awa watu wako naiba magari za watu apa Goma na kubomola manyumba ku iba vitu wana peleka Rwanda kisha kiongozi wao ana tuambia ana taka amani uka ona gizi saii watu wana teseka apa Goma 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 duka zote bana iba bitu biko nabiamichia Rwanda kweli watu wanarudia wama sikini ila kwauwezo wa mungu awa watu mwaka ii awata ishi kwaamani mungu kwarusa yako walainiwe maisha yao yote

  • @storytownTv
    @storytownTv 10 часов назад +7

    "Waasi wanaungwa mkono na Rwanda" hii sentensi inaonekana vyombo vya abari vyote mmehongwa na maneberu kuitumia ili watu wawachukie mashujaa wanaopambania ardhi na nchi yao kutoka kwenye utumwa..😢

  • @RhodaPaul-lw5pq
    @RhodaPaul-lw5pq 6 часов назад +1

    Wangekuwa na huo utu wangeweza kuwauwa binadamu wenzao😢😢😢 MUNGU utunusuru tujaalie mwisho mwema

  • @HamisSaidi-h3u
    @HamisSaidi-h3u 7 часов назад +2

    Kweli Weus ni Weus tu Tuna Uana kwaajili ya Mali wanazo Beba Weupe 🙆🏿

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 8 часов назад +1

    M23 wamepata kipigo kikubwa. Wamenikera sana manake wamewauwa wanajeshi wetu wa Tanzania .

  • @MathewKasubi
    @MathewKasubi 5 часов назад

    Sisi huku tanzania ukubbwa wa nchi ya rwanda ni sawa na ukubwa wa mkoa mmoja, sasa hako ka rwanda kange pigwa kote alafu kakasambaratishwa na ramani ikachorwa upya, kanakua ka seem kamoja kenye mikoa miwili kakiunganisha DRC . NA MOJA YA HIYO MIKOA HIYO NIPEWE MIMI NIWE MKUU WA MKOA MMOJA KATI YAZO

  • @stanleyamlima2085
    @stanleyamlima2085 6 часов назад

    Hawa wangekutana na benja netanyau tuuu.. ndio wangeelewaa

  • @amostv1864
    @amostv1864 5 часов назад

    Hivi wanaposema wamesitisha mapigano maana yake ni kwamba wataondoka na goma au bado wapo

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 8 часов назад +2

    Kama kweli Rwanda wanahusika, basi hako kataifa kalaaniwe!

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 7 часов назад

      Wananchi waondolewe halafu goma iwe uwanja wavita zipigwe mpaka kengele ya mwisho

    • @CesyBusumabu
      @CesyBusumabu 5 часов назад

      Unadhani vita ni simba na yanga kumbuka wanaopigana nao wanaroho na wanafamilia pia.​@@hamisimkulu6571

  • @V.6ixEmmanuel-w2g
    @V.6ixEmmanuel-w2g 11 часов назад +2

    Mungu atanyooxha mkono wake

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 10 часов назад +2

    😢😢😢😢

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 6 часов назад

    so sad 😞 😔

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 10 часов назад +1

    Wamezidiwa vita hao hiyo kusitisha mapigano ni mbinu yao

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 5 часов назад

    Ni huzuni sana

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 9 часов назад +1

    M23 ni waongo wamezidiwa nguvu Nadhani wameenda kujipanga upya . Wameua wakongo 900 Leo wanaiambia dunia eti wamesitisha mapingano kwasababu ya utu. Ni waongo jeshi la kongo wasikubali wapinge hadi wawafikishe kwa kagame kigari. Wakongo msirudi nyuma . Hawa watu wanawazunga tu watarudi tena. Kuwavurunga

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 9 часов назад +1

      Kumbe unazani tatizo watanzania mnaongeaga mambo ambyo hamyajui

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 8 часов назад

      @ tuambiye wewe unachokijua

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 часов назад

    Mungu wangu watu wabauwawa kiasi hiki kisa madini tu Goma Congo kwanini wasimuue huyo Kagame

  • @planethakunamatata5254
    @planethakunamatata5254 9 часов назад

    Tunaambiwa M23 ni jeshi lililoanzishwa kulinda kabila la watutsi, na pia eti wengi wao ni watutsi. Cha kushangaza kila nikiangalia picha zao naona watu wafupi weusi kama mimi na sura pana. Sijui ni watutsi wa wapi hawa🤔...au tuseme pande zote zinazopigana zimejaa mamluki

  • @VibeScott
    @VibeScott 9 часов назад

    Sasa apo ndipo pa kuwa pelekea moto uko uko mbaka wafike 100000 watoke kabisa kwanini wasitishe vita mbona wanapo vamia awa toi talifa peleka jeshi mbele wana enda kujipanga ao mbwa

  • @faustinesimon1240
    @faustinesimon1240 6 часов назад

    Why are they fighting

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 10 часов назад

    Washachukua madini then they order watu wao kusitisha vita and then soon or later vita tena vinarudi. Swali ni je hadi lini taifa la Congo litaondokana na hii hali ili walijenge taifa lao?!

  • @samsmokertz9707
    @samsmokertz9707 10 часов назад +1

    wanaotambua hakiza binadamu hao sia waasi ni watetezi .....

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet 6 часов назад +1

      Watetezi baada yakuuwa watu 900 nyie ni ma k kweli

    • @samsmokertz9707
      @samsmokertz9707 6 часов назад

      @@Lastbornecadet watu 900 wamekufa ndio kama ilivyo ripotiwa lakini haimaanishi hao watu ni m23 wamewauwa wenyewe hata serikali ya kongo inahusika na hilo swala nyie tu ndo hamfatilii vizuri

    • @samsmokertz9707
      @samsmokertz9707 6 часов назад

      waasi walisema wamerudi vitani kwa sababu ya mauaji yanayoendelezwa na serikali ya congo napia juzi apa kulikua na jaribio mapinduzi ya kijeshi lakin walikamatwa napia kulikua na kuluna kilicho wakuta kila mtu anajua...

    • @samsmokertz9707
      @samsmokertz9707 6 часов назад

      hata ibrahim traore nae ni muasi usisahau hilo lakini anayofanya kila mtu ni shahidi ivi unazani LUMUMBA aliuliwa na waasi au serekali yake ...

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 10 часов назад

    Hawa inatakiwa wafuatiliwe mipaka waangamizwe kabisa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 9 часов назад

    Watu Wana roho mbaya sn

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 10 часов назад

    Rwanda itengwe

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis 10 часов назад +1

    Kwani who is kagame mimi ningepiga mji wake kama iloshima

    • @sportsbezi6690
      @sportsbezi6690 10 часов назад +1

      Mtutu wa bunduki hauja wahi kumaliza vita hata siku moja. Huwezi maloza vita kwa bunduki

    • @MirriamDevis
      @MirriamDevis 10 часов назад

      @sportsbezi6690 namaliza vita nampinga aliyeanianza

    • @MirriamDevis
      @MirriamDevis 10 часов назад

      @sportsbezi6690 nikipiga iroshima unadhani watakuwepo hapo Rwanda

    • @MirriamDevis
      @MirriamDevis 10 часов назад +1

      @sportsbezi6690 bila maamuzi magumu hatutatoboa huyo tunamlea anajiona yy anajua kila kitu