@Salumchiwili2023 wafanya biashara na wateja wengi watahamia soko jipya ....Kariakoo kuna vurugu mno, kuingia na gari inahitaji subira na nguvu za ziada parking inachukua nusu saa
@@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Wateja wa Kariakoo hawatapotea wote , it would be very weird if that happened. Lakini watapungua , unless you believe the be market will create a completely new set of customers. Wateja wengine wa kariakoo wataenda kupaonja soko jipya na wataenjoy AC na parking ya urahisi. Kama mzigo wa soko mpya uko na bei na ubora nzuri ....watahama kariakoo. Wengine wataendelea Kariakoo. Ishu inakuja ule kupungua wateja na wafanyabiashara , itashusha bei za maduka Kariakoo sana... that's what I meant.
@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Bado kutakuwa na wateja kkoo. Wangepotea wote it would be very weird. Lakini , unless you believe this new market will come with a completely new set of customers , wateja na wafanyabiashara wengine watatoka kkoo, wataenda ubungo. Watakutana na parking zinazoeleweka na AC...wengi hawatarudi kkoo. Na hapo bei za maduka kkoo zitashuka sana... that's what I meant.
Tengeneza vya kwako NDO utajua utajua ubora wake. Biashara ni akili. Mwenye akili kutangaza NDO Mwenye kujua namna ya kukuzuga kua vya kwake ni Bora kuriko vya mwingine.
Soko zuri ila liliitaji kuwa ata gorofa 5 lipo chini sanaa halionekani next mkijenga dodoma au sehemu nyingine jalini urefu msipoteze arzi bure kwa faida ya miaka ijayo mji unakua au watafute jengo refu la pembeni kusapoti
labda watariendereza kwa juu kwa badae kama majengo mengine wao wanajuwa kabla awaja Jenga warisha ritasimini ilo tuwape mda kila kitu kina enda taratibu
Hapa serikali ikipunguza kodi za uigizaji bidhaa kutoka nchi basi TRA itaweza kukusanya kiwango kikubwa cha kodi kuliko kupandisha kodi inayopelekea watu kwenda nchi jirani kununua bidhaa hizo na wakati baadhi ya hizo nchi zinatumia bandari zetu kuagiza bidhaa kutoka China kwenda nchini mwao.
@Anti-socialSocialClub mtu kama wewe ndo upewe uongozi ni hasara kwa nchi....kumbuka hapo wanakuja watu Toka nchi nyingi za Africa why tusiuze na vya kwetu? Tumia akili kubwa utanielewa....mfano anakuja Mzambia akikuta bulb za Tz huoni ni soko zuri?
@jeremiaaugustino7187 naona ww ndo hujaelewa niliyoandika. Ngoja niandike "in layman terms". Wapangaji hapo wataruhusiwa kununua mzigo popote. Kama hio bulb inatengenezwa Tanzania, kwa ubora mzuri, na kwa bei nzuri...basi huyo mpangaji yuko free kununua na kuuza huo mzigo wa TZ dukani kwake. Kama anaweza kupata huo mzigo wenye unora na bei nzuri zaidi nje, Japani, India etc...yuko huru kufanya hivo. Lakini kama anataka kutafuta hio bulb china , watakusaidia. Sasa ww shida yako na hio inatoka wapi ?
mungu ibariki Tanzania
🫡🫡🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@@JurbegTanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 😍 ✨️ 🇹🇿
mungu ajalie kila mtu apate biyashara njema
Kariakoo itapata shida sana !
Mda mrefu nasema wamiliki wa majengo Kariakoo wanahitaji kuungana na kuboresha eneo la kariakoo...now its too late.
Shida gani mkuu
@Salumchiwili2023 wafanya biashara na wateja wengi watahamia soko jipya ....Kariakoo kuna vurugu mno, kuingia na gari inahitaji subira na nguvu za ziada parking inachukua nusu saa
@ wateja wa kariakoo watakuepo na ubungo watakuepo pia tunahitaji soko lingine la kisasa na kubwa zaidi
@@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Wateja wa Kariakoo hawatapotea wote , it would be very weird if that happened.
Lakini watapungua , unless you believe the be market will create a completely new set of customers.
Wateja wengine wa kariakoo wataenda kupaonja soko jipya na wataenjoy AC na parking ya urahisi. Kama mzigo wa soko mpya uko na bei na ubora nzuri ....watahama kariakoo. Wengine wataendelea Kariakoo.
Ishu inakuja ule kupungua wateja na wafanyabiashara , itashusha bei za maduka Kariakoo sana... that's what I meant.
@Salumchiwili2023 hapo tunakubaliana. Bado kutakuwa na wateja kkoo. Wangepotea wote it would be very weird.
Lakini , unless you believe this new market will come with a completely new set of customers , wateja na wafanyabiashara wengine watatoka kkoo, wataenda ubungo. Watakutana na parking zinazoeleweka na AC...wengi hawatarudi kkoo.
Na hapo bei za maduka kkoo zitashuka sana... that's what I meant.
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys tutakuja imarisheni ubunifu na usalama zaidi🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Ila mufanye wutafite juu ya bida zinazotoka chine kuwa ziko safe kwa binadamu sababu chine hijali afia yamu Africa wanajali pesa
Tengeneza vya kwako NDO utajua utajua ubora wake. Biashara ni akili. Mwenye akili kutangaza NDO Mwenye kujua namna ya kukuzuga kua vya kwake ni Bora kuriko vya mwingine.
Soko zuri ila liliitaji kuwa ata gorofa 5 lipo chini sanaa halionekani next mkijenga dodoma au sehemu nyingine jalini urefu msipoteze arzi bure kwa faida ya miaka ijayo mji unakua au watafute jengo refu la pembeni kusapoti
labda watariendereza kwa juu kwa badae kama majengo mengine wao wanajuwa kabla awaja Jenga warisha ritasimini ilo tuwape mda kila kitu kina enda taratibu
Ulishawahi kuingia humo, au unaongea tu, in godown kama hujui
Kabisa ni fupi sana Mimi nakuunga mkono @@stellahlinusi8215
Unadhami walodizaini hawa akili
Soko huwa halijengwi ghorofa ndio maana masoko yote yenye ghorofa yamefeli
Wapi comment za kiambu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🏆
Linafunguliwa liinii
wazawa wawezeshwe sasa tujenge viwanda vyetu tusiishie kuwa SOKO kwa wachina tuuuuuuuuuuu
R.I.P Kkoo 😂
Hapa serikali ikipunguza kodi za uigizaji bidhaa kutoka nchi basi TRA itaweza kukusanya kiwango kikubwa cha kodi kuliko kupandisha kodi inayopelekea watu kwenda nchi jirani kununua bidhaa hizo na wakati baadhi ya hizo nchi zinatumia bandari zetu kuagiza bidhaa kutoka China kwenda nchini mwao.
FROM WHAT I UNDERSTAND WACHINA WATALETA BIDHAA HAPO NA WATANZANIA WAACHA KWENDA KUFATA BIDHAA CHINA NA KUCHUKUA HAPO....
Msemaji mbona kapoa sana? Mh! Aya
Km hy yanatakiw kuw matano hv ktk jiji km dsm n dom ht ma3 hv vyanzo vizr vy kodi lkn ajir n hudum bora kw wananchi.
Mbona Dogo
kwa hyo Manufacturer wa Tz hawaruhusiwi kuwa na huduma humo....naona mnataja tuu bidhaa toka CHINA
Wamesema wanaweza kutuunganisha na suppliers kutoka china. Kama hutaki , sio shida njoo na suppliers wako mwenyewe
@Anti-socialSocialClub mtu kama wewe ndo upewe uongozi ni hasara kwa nchi....kumbuka hapo wanakuja watu Toka nchi nyingi za Africa why tusiuze na vya kwetu? Tumia akili kubwa utanielewa....mfano anakuja Mzambia akikuta bulb za Tz huoni ni soko zuri?
@@jeremiaaugustino7187 so ww unahisi wasiruhusiwe kuuza vitu vya kutoka nje ? Waruhusiwe kuuza bidhaa za Tanzania tu ?
@Anti-socialSocialClub unabadirisha topic...soma vizuri nlichoandika
@jeremiaaugustino7187 naona ww ndo hujaelewa niliyoandika. Ngoja niandike "in layman terms".
Wapangaji hapo wataruhusiwa kununua mzigo popote. Kama hio bulb inatengenezwa Tanzania, kwa ubora mzuri, na kwa bei nzuri...basi huyo mpangaji yuko free kununua na kuuza huo mzigo wa TZ dukani kwake. Kama anaweza kupata huo mzigo wenye unora na bei nzuri zaidi nje, Japani, India etc...yuko huru kufanya hivo. Lakini kama anataka kutafuta hio bulb china , watakusaidia.
Sasa ww shida yako na hio inatoka wapi ?
Watu wa vingunguti tena 😂😂😂
Lingekuwa ghorofa hata 10
Wewe mama unadanganya watu Tanzania ni Nchi yenye amani
Wakati watu wanatekwa na kupotezwa na wanaokotwa wakiwa wameuliwa
Mnauwana wenyewe,unamlaum nani?
ebu tuachie tz yetu nenda mbinguni pumbavu 😡🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kabisaa ndugu yangu hata mm jana nimesikia wameliteka mama yako kisha wamelipakua balaa 🤣🤣🤣