Ayo mambo ni yakawaida sana jamen maduka ya cm mbona ni vitu vya kawaida sana tusiwe na fikra za hovyo mtu km kajipata iyo ni kumpa pongez tu sio kumzogoma kua kuna mkono wa mtu sa ungeskia kuna mkono wa nyani c ungeshangaa 😂😂
@@hildachiboti6080 basi hatari sana aisee kumbe hakuna maana halisi ya Tajiri, ingawa mtu mnene hatuwezi mwita mwembamba ila tu Tajiri ndo mtu yeyote anaitwa tajiri
Mi nachokijua director wa clam ni Kakoso ila kwenye hii mpya wanayocheza dilector hajaandikwa wameweka """"" inawezekana ata Kakoso kwa sasa hawako vizuri na clam
Mbona ata Diamond amepauka ila ndo msanii mwenye pesa nyingi. Wanaume ni tofauti na wanawake. Utajiri wa mwanamke ni kujiremba na kupaka MakeUp usoni. Utajiri wa Mwanaume ni kuwa na vitega uchumi vinavyoingiza pesa.
Sasa wewe reporter hembu omba excrusive interview na clam na pia muulize maswali mengi ili sisi wafuasi wake tupate majibu. Kwa mfano kwanini kakoso hapositi kazi zake, na je big boss season 2 inatoka lini, na je kwanini au basi ni hayo tu.
Akiamini ni langu ni sawa akiamini si langu ni sawa super genius veve
Nampenda mie mtangazaji 😊😊😊yuko vzr sana
Ata mimi namupenda sana ❤❤❤
Vevo owa uyo dada mnapendezana xna ❤❤❤❤❤
HUYU ndiye ripota napenda sana kwa mbengo tv🎉riporta mzuri na tena mbeya kidogo😅😅😅
Kwao n mbeya so lazma awe mbeya😂😂😂😂
Kumbe jamaa tajilii eee,,,,🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥
Kawaida mareporter wa mchongo maswali yao mpaka uwe mvumilivu...
Kaabisa
Ayo mambo ni yakawaida sana jamen maduka ya cm mbona ni vitu vya kawaida sana tusiwe na fikra za hovyo mtu km kajipata iyo ni kumpa pongez tu sio kumzogoma kua kuna mkono wa mtu sa ungeskia kuna mkono wa nyani c ungeshangaa 😂😂
❤❤😂😂
Duka la kawaida sana
Hongera clamo
Tajiri tajiri heee unatuchosha
Mtangazaji ni mmbeya 🤣🤣🤣🤣
Anajibiwa afu anauliza tena.. mtangazaji anauliza maswali kikuda
Vizuri 🎉
Hushindwagi nawewe😂😂😂
Uyu ripota ninapenda ila anaomba anaomba sana hela
Mbona anakaa kama amechokaa
Clam bosi acha kucheka cheka so tabia zuri😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mtu asifurahi au mbn hivo mwana
Tajiri 😂😂
Tz ndio nchi ambayo neno Tajiri halina heshima bakharesa , mo, clam wote wanaitwa matajiri
Mi nachojua hata wewe waeza itwa tajiri sema hujaamua tu hata hiyo simu ulonao watu wakikuona nayo mwingine ambaye hana atakuita tajiri so ni wewe tu
@@hildachiboti6080 basi hatari sana aisee kumbe hakuna maana halisi ya Tajiri, ingawa mtu mnene hatuwezi mwita mwembamba ila tu Tajiri ndo mtu yeyote anaitwa tajiri
Mbona clam alivo ambiwa kua duka sio lake kama kapata presha na kupumua kwa shida
😃😃😃😃😃
😂😂😂😂😂😂😂
Inabidi atafute mufanyakazi sio aikae muaio Dukani nanimsani siovizuli
Mi nachokijua director wa clam ni Kakoso ila kwenye hii mpya wanayocheza dilector hajaandikwa wameweka """"" inawezekana ata Kakoso kwa sasa hawako vizuri na clam
Hiyo ndo pesa 😂😂😂
Saf unyama 😂😂😂🎉🎉🎉
Kaka yetu yuko poa
Bora
Ila wanakumkimbia wengi isiwe anatatizo huyu kijana
❤❤❤❤
Clam naye ni tajiri kumbe
Ok i ❤ ila jama muongoo sanaa clam
io❤
Clam tunaitaka big boss vipi mbona muda sasa umepita
Huyu mtangazaji chawa t
clam aowe mke
Kila mtu siku hizi mjini anaitwa tajiri
Kina kakoso wote wamemkimbia jamaa anawapiga sana 😂
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu dogo miyeyusho, Huwa anaboa sana talking style yake pamoja na kujiona ona.......
Gain fame pia ujione mtoshane
@falexianbenxhy254 What the fuck of fame ?!?
unaonekana hauko sawa wew, kaa tu utafute hela uache chuki za ajabu..,,
Mwenye duka kapauka uyo 😂
Clam lazima apauke kwa7bu kazi zke anafnya vijijin na pia kijijini ni jua Kali na kuna mda Wana short mchana na jua so usimlaum muhim hela anayo bas
Usiangalie kupauka angalia kazi zake udugu wangu
Mbona ata Diamond amepauka ila ndo msanii mwenye pesa nyingi. Wanaume ni tofauti na wanawake. Utajiri wa mwanamke ni kujiremba na kupaka MakeUp usoni. Utajiri wa Mwanaume ni kuwa na vitega uchumi vinavyoingiza pesa.
Mtangazaji ni Malaya
Chawa mbego tv
Nafukiri vevo awachane na interviews kabisa Hana nyota ya interview ila movie Tu basi maana anajitoa ufahamu kabisa
😂😂😂😂😂😂😂
Tume taka snack boy Season Free
Wametowa sala imeharibika
mwandishi ni ombaomba alafu ni malaya😂😂
Namtafuta vevo naombeni mnisaidie jinsi ya mawasiliano na vevo
Mtafute kakoso atakusaidia pahali clam vevo uko
@MwinyiSalim-d4j nitumie Namba ya kakoso
Come@@SeraphinAmuri-f7r
❤
Nahipenda sana karashika yako
Sasa wewe reporter hembu omba excrusive interview na clam na pia muulize maswali mengi ili sisi wafuasi wake tupate majibu. Kwa mfano kwanini kakoso hapositi kazi zake, na je big boss season 2 inatoka lini, na je kwanini au basi ni hayo tu.
Hio isue ya kakoso anaulizwa sana,sema clam mwnyw ndie anawakwepa hatak ata kuskia hio story
😢
Kakoso ndiyo kaaribu watu anaonekana siyo mtu mzuri yule
Yani story anazijuq mtangazaji ambazo raia hata hawnaa haja nazo
Wametowa sala imeharibika