DIRECTOR KAKOSO AFICHUA MAZITO KUHUSU CLAM VEVO, AJIBU KUHUSU UTOFAUTI WAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 67

  • @hassansaidy6425
    @hassansaidy6425 9 часов назад +6

    Kakoso wewe ni mtu nanusu big up sana brother,,K town people

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 18 часов назад +7

    Kakoso wewe kweli ni zaidi ya director umejibu vizuri sana

  • @JohnKristophebigi-d8z
    @JohnKristophebigi-d8z 18 часов назад +8

    Uyu dada wa mbengo tv munapenda sana kugombanishana sana umemuoji kakoso lakini unazidi kuandika ujinga tu

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 9 часов назад

    Vizuri sana Super genius director 🎉🎉🎉...ninachopenda kwa clam gang nkwamba ata kuwe kumetokea ya kutokea ila umoja bado upo kila atakae hojiwa jibu ni "kama fulani hukumuona,story haijamuhitaji" mashabiki tuache kujitungia tufate moja la kuwa support ❤

  • @RafhaelMutha
    @RafhaelMutha 18 часов назад +8

    Dada mchongan8shi illa mzuri😢😢😢

  • @SylvesterMwinga-ff5iy
    @SylvesterMwinga-ff5iy 19 часов назад +1

    Congratulation Kakoso anajibu vizuri sana maswali 👏

  • @Snow123-v6l
    @Snow123-v6l 2 часа назад +1

    Jamaa ni genius kwenye kujibu maswali

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 17 часов назад +2

    Unahekima sana kaka kakonso🎉🎉🎉

  • @PROVEDNORDKIVU1
    @PROVEDNORDKIVU1 16 часов назад +1

    Huyo kakoso na mukubali hekima Pia na busara ipo sana nyinyi wapasha mwache shobo

  • @joshuasakwa1548
    @joshuasakwa1548 13 часов назад +5

    Huyu dada wa mbengo tv ni mumbeya sana, angekuwa kenya angepata kazi kwa serikali

    • @Halimamaere
      @Halimamaere 4 часа назад

      😂😂😂😂kazi anayo atali

  • @Brother_kakoso
    @Brother_kakoso 13 часов назад +1

    Brother of my family❤❤❤❤

  • @TuntuHassan-x1w
    @TuntuHassan-x1w 14 часов назад +3

    Tunamtaka Dada Halima wa mkoba wa mama mumfanyie interview

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 18 часов назад +20

    Lakini dada angu jifunze kufupisha maswali na uingie kwenye point moja kwa moja umpe muda mtu unae muhoji afunguke. Na anapokuwa anajibu swali kuwa nae makini ili na yeye apate mwelekeo wa kufafanua sio unakuwa bize kutafuta swali lingine wakati mtu anafafanua. 🙏 Ni maoni yangu tu, sio kwa ubaya.

  • @DoublevisionTVKE
    @DoublevisionTVKE 4 часа назад +1

    I like this beautiful girl,she is good however I have noted two mistakes:
    1. Looking at the phone during interview
    2. Using the English phrase "What happening" instead say " what happened" if its something in the past or "What's happening" if its something continuous.... Anyway kazi safi sana Mbengo TV much respect from Kenya 🇰🇪

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 18 часов назад +7

    Ohooo ukilisifia tembo mgema hulitia maji, mtangazaji wangu keshavua zile nguo za stala 😂 HII NDIO DUNIA BWANA 😂 ooo! Oo ooo! Ooo! Oo ooo!

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 17 часов назад +3

    Kakonso umejibu kisomi 🎉🎉🎉

  • @bonatechdigitalke
    @bonatechdigitalke 18 часов назад +3

    Huyu dada mbeya kweli. Chawa

  • @saidsuleman6353
    @saidsuleman6353 4 часа назад +1

    Leyna nakusemea kwa Docta Sule unaanza kuonyesha kwapa watu wakikutamani utasema wanakuvunyia heshima

  • @Hisabatitz
    @Hisabatitz 3 часа назад

    Kakoso umemjibu vizur sana pamoja na maswali yake ya hovyo

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 18 часов назад +3

    Wewe mbeya kweli duuh

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka 2 часа назад +1

    Dada hiyo what happening hujawah iacha kila interview jaman ni hiyo peke yake sio kwa ubaya 😂😂😂😂

  • @ShabanisafishaShabanisafisha
    @ShabanisafishaShabanisafisha 11 часов назад +6

    DADA PRESENTER, UMEONA UKIJISTIRI, CHANNEL HAIKUI 😂😂😂

    • @kisiwaPanza
      @kisiwaPanza 5 часов назад +1

      Kabisa Pumzi Zinawahadaa Sana Hawa Wadada hawariziki kama Hawajakaa Uchi

    • @mbengotv
      @mbengotv  5 часов назад +1

      Unataka ajistiri vipi, kwani nguo alizo Vaa Zina ubaya gani ?

    • @hilsalboy4118
      @hilsalboy4118 4 часа назад +2

      @@mbengotv hapo bado hajajistiri kuna afadhali tu

    • @saumukileo9805
      @saumukileo9805 4 часа назад

      ​@@mbengotvmikono wazi, tofauti na tulivyomzoea

    • @ShabanisafishaShabanisafisha
      @ShabanisafishaShabanisafisha 3 часа назад +3

      @@mbengotv KAMA ALIVYOKUWA ANAVAA MWANZONI KABLA MBENGO TV HAIJACHANGAMKA 😎

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 17 часов назад +3

    Mtangazaji kuna point uizingatie 🙋Mtu akikujibu usiwe unatizama simu yako mtu anaona raha na uhuru kujibu akikuona unafocus akijibu na unamtizama.. Mtu akijibu na hamuangalii inakuwa kama unamtharau..

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 3 часа назад

    Mchawi mpya wa sanaa bongo ni huyu dada mwanahabari,ni mchonganishi sana, ni hatari sana.

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 3 часа назад

    Wewe dada concentrate kwa interview, wacha kutumia simu yko ovyo katikati ya interview. Na maswali yako zifanye fupi fupi, isiwe story. Thank you🙏🏽🤝🇰🇪💞

  • @SeraphinAmuri-f7r
    @SeraphinAmuri-f7r 18 часов назад +3

    Namtafuta kakoso

  • @SaidiChande-p4l
    @SaidiChande-p4l 14 часов назад +2

    Mtangazaji nenda kasome unacho hoji hakieleweki

  • @kitwangu
    @kitwangu 7 часов назад

    *Yuko vizuri kwenye kujibu maswali*

  • @LoBoYChArY-k2m
    @LoBoYChArY-k2m 2 часа назад

    safi sana Kakoso

  • @DeoMwanambuto-f3n
    @DeoMwanambuto-f3n 16 часов назад +2

    af kichwa cha habali mazito mazito gani

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 16 часов назад +2

    Tuko pamoja directa kakoso

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 13 часов назад +2

    Mgombanishi ni wewe unapenda fukufuku acha umbeaaa

  • @AmurimatabikaClaude-yy9pm
    @AmurimatabikaClaude-yy9pm 4 часа назад

    Kakoso unamuweza uyu mudada

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 15 часов назад +2

    Kakoso yupo viUri

  • @geraldsylivester7751
    @geraldsylivester7751 17 часов назад +2

    Wew mtangazaji wa mbengo TV ni mrembo haswa saut nzur na weus flan mzur kwel

  • @MrHeritier239
    @MrHeritier239 19 часов назад +2

    Drc 🇨🇩

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 15 часов назад +5

    Dah hii ni interview au nini? Mtangazaji anaongea yeye tu . Sasa faida gani kumuita mtu umuhoji. Badilisha hio style please. Hatujakuja kukuskiza wewe.

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 14 часов назад +2

    Xafi xn

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 20 минут назад +1

    Wewe kigori jitahidi ukiwa unaongea na mtu uwe makini.
    Sio mtu anaongea wewe unaangalia maswali ya kuuliza.unauzi sana.

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 5 часов назад

    Mwandishi hujielew mtu kashakuambia alikua likizo ..anamaliza kuelezea likizo ..unaanza kuuliza swali la kurudia pumbavu

  • @MrHeritier239
    @MrHeritier239 19 часов назад +3

    Huyu director kweli kazi yake anaifanya vzr ila anapenda sana sifa yaani hasuburii kusifiwa mara genius mara super director daah hatali kwl
    Drc 🇨🇩

  • @kudrakakoso2485
    @kudrakakoso2485 19 часов назад +3

    Blavo

  • @bemmicrocredit5554
    @bemmicrocredit5554 5 часов назад

    Kwahyo KWA kazi hizo ulizotaja zinafanya huyo kakoso awe director nguli na mkongwe??

  • @FatmaTaharamohd
    @FatmaTaharamohd Час назад

    Muongo huyu kakoso mbn shuu awaelewan

  • @husseinkitingi8186
    @husseinkitingi8186 5 часов назад

    Mtangazaji unaongea sana unapouliza swali

  • @kisiwaPanza
    @kisiwaPanza 5 часов назад

    Dada Unapoelekea Unaanza Kujiharibia Kwa Msichana Hakuna Kitu Kizuri Kama Stara.. Pumzi Zisi kuhadae ..

    • @mbengotv
      @mbengotv  5 часов назад

      Muachieni Binti afanye kazi, munataka stara gani

    • @Mr.chengine
      @Mr.chengine Час назад

      ​@@mbengotv Sio kwa ubaya ukiona comment nyingi km hizi zingatieni zinaweza wapotezea mashabiki kikiongelewa sana maana yake kimeanza kuwakera

  • @Shen_tz
    @Shen_tz 45 минут назад

    😂😂😂😂😂

  • @johnsonkaloweofficiel2546
    @johnsonkaloweofficiel2546 6 часов назад

    Kakoso anajuwa kuongea ni mtu aliye funzwa

  • @MrHeritier239
    @MrHeritier239 19 часов назад +3

    Drc 🇨🇩