Asante bwana yesu kwa ujumbeee huuu Asante pia kwajili ya mtumishi wako. Mlinde na mfunikee kwa bawa zako.badotunajaaa tunahitajikula kupitia kinywaa chake.
asante Mwalimu kwa neno zuri mno ..sasa ni mepata picha kwa nini unakuta mtoto anashida mama akiombewa tumbo la uzazi mtoto anafunguka ... kwa kweli Damu ya Yesu itutakase matumbo ya uzazi ...
Somo ni zuri sana. Swali langu hapo mwl umesema kama Mungu a anataka Jeremia aje wewe ukataka mariam aje utaleta confusion. Sasa naomba unisaidie.kama Mungu kanipa watoto wa kike sasa nikatamani anipe wakiume nafanyaje?natamani kujua sana
Mwl Mwakasege tusaidie hapo .nitajuaje kama Mungu anamtaka jeremiah wakati mimi na muomba mariam?natamani kujua kwani wengi wetu kama tuna watoto wa kiume tunaomba wa kike .kama ni wakike tunaomba tupate wakiume. Hapo inakuwaje Mwakasege?nahitaji kujua ili tusilete huo mkanganyiko.
Ukiwa unaomba usiombe mapenzi yako,,,tamka mapenz ya Mungu yatimizwe sawa sawa na kusudi lake KWAKO,,, kwasabbu yeye anajua kipi kikufaacho my dear. MKABIDHI BWANA MOYO WAKO NA MAWAZO YAKO TAYATHIBITIKA 🧎🧘🙏
Asante bwana yesu kwa ujumbeee huuu Asante pia kwajili ya mtumishi wako. Mlinde na mfunikee kwa bawa zako.badotunajaaa tunahitajikula kupitia kinywaa chake.
Amina
Amina
Mafundisho Haya yamenifungua sanaaa Mungu akubariki sanaaa mtumishi Wa Mungu
asante Mwalimu kwa neno zuri mno ..sasa ni mepata picha kwa nini unakuta mtoto anashida mama akiombewa tumbo la uzazi mtoto anafunguka ... kwa kweli Damu ya Yesu itutakase matumbo ya uzazi ...
Mungu akubariki sana mwalimu Amina
Amina. Natuzwa sana na haya mafundisho yako mwalimu. Yanafika kwangu kwa wakati. Neema ya Mungu izidi kwako mtumishi.
Mungu akubariki Mwl Mwakasege kwa mafundisho.
Nashukuru Sana mwalimu wa kiroho.jambo jipya uliloniongezea.ni kuombea choo na bafu.(lango la uchafu).Aleluya!
Namshukuru Mungu sana kwa kukutumia ili tupone Asante baba
Thankyou thankyou so much asanteni saaana tunashukiru mno kwa somo hili
Somo Hili limenigusa Sana natamani kuuliza maswali mengi sana
Somo ni zuri sana. Swali langu hapo mwl umesema kama Mungu a anataka Jeremia aje wewe ukataka mariam aje utaleta confusion. Sasa naomba unisaidie.kama Mungu kanipa watoto wa kike sasa nikatamani anipe wakiume nafanyaje?natamani kujua sana
Nilinavyo elewa mie: baada ya Kuomba uitaji wako, omba shauri la Bwana litawale na litimie juu uzao wako haijalishi wewe wataka jinsia gani ya mtoto
Nafikiri hapo labda lango lako nikwajili watoto wakike tu
Simple
Unarudi kwake unamuomba akupe wa kiume tu
Jesca is more correct, apendavyo Mungu
God bless you man of God
Powerful
Thank you Jesus kwa maarifa na ufunuo huu
Ameeen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Yes hapa nasikia vizuri sasa
Amina mtumishi wa Mungu
Kwa kweli hata mimi siombeagi choo
aisee kuna mila ngumu humu duniani,uzini na maiti?🤔,looh shetani muongo jmn!
asante Yesu.
🙏Man of God
Asante Yesu
AMEN!!!!!! Hallelujah!!
Agness,amen,
Tumbo la uzazi la Mwanamke ni lango la kiroho!!!
asante Yesu
Haleluya
Asante Yesu kwa somo hili hakika neno limeponya mapito yangu🙏🙏😭.. Nitasema na tumbo langu this time🙏🙏🙏
Amen🙏
Amen Amen Amen
Agness.6days ago. Amen
Utajuaje Sasa mwalimu Mimi nina watoto watatu wa kiume lakini niliomba mtoto wa kike utajuaje sasa
Amen
Amina
1Korintho 5:7
Mwl Mwakasege tusaidie hapo .nitajuaje kama Mungu anamtaka jeremiah wakati mimi na muomba mariam?natamani kujua kwani wengi wetu kama tuna watoto wa kiume tunaomba wa kike .kama ni wakike tunaomba tupate wakiume. Hapo inakuwaje Mwakasege?nahitaji kujua ili tusilete huo mkanganyiko.
Ukiwa unaomba usiombe mapenzi yako,,,tamka mapenz ya Mungu yatimizwe sawa sawa na kusudi lake KWAKO,,, kwasabbu yeye anajua kipi kikufaacho my dear. MKABIDHI BWANA MOYO WAKO NA MAWAZO YAKO TAYATHIBITIKA 🧎🧘🙏
Ameeen barikiwa sana kwa maarifa haya
Amen Amen
Amen
Amen
Amen