Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Jamani, acheni uoga wa maisha, huwezi fanya biashara barabarani. Tafuteni sehemu nyingine mfanye biashara. Acheni kutisha watu na uvunjaji wa Amani!!
Kabisa
Watoke2 hao chinga wazinguaji wanajaza mitaaa haipitiki na wanakiburi kama arthi ya kwao
Shekh unatakaa kufanya biashara kariakoo kodii mlangoo
Mtihani sana jaman 😢😢😢😢😢
Damu!!! Umevurugwa eti
Ifike mda Kariakoo kuwe kusafi , watu wanatoka mataifa mengine wanakuja na wanapata usumbufu.
Yani mfunge barabara kisa mmesajiri Taasisi
Damu tu! 😂😂😂😂
Nikikumbuka ule msemo mtanikumbuka.Magufuli bado tunakukumbuka baba yetu,ulitupigania sana sisi wa hali chini,hasa sisi wamachinga,Mungu azidi kuku laza mahali pema peponi.
😢😢😢😢😢
😢😢😢
Jamani, acheni uoga wa maisha, huwezi fanya biashara barabarani. Tafuteni sehemu nyingine mfanye biashara. Acheni kutisha watu na uvunjaji wa Amani!!
Kabisa
Watoke2 hao chinga wazinguaji wanajaza mitaaa haipitiki na wanakiburi kama arthi ya kwao
Shekh unatakaa kufanya biashara kariakoo kodii mlangoo
Mtihani sana jaman 😢😢😢😢😢
Damu!!! Umevurugwa eti
Ifike mda Kariakoo kuwe kusafi , watu wanatoka mataifa mengine wanakuja na wanapata usumbufu.
Yani mfunge barabara kisa mmesajiri Taasisi
Damu tu! 😂😂😂😂
Nikikumbuka ule msemo mtanikumbuka.
Magufuli bado tunakukumbuka baba yetu,ulitupigania sana sisi wa hali chini,hasa sisi wamachinga,Mungu azidi kuku laza mahali pema peponi.
😢😢😢😢😢
😢😢😢