mkiwa mkipata madaraka mtawafanyia nn wazanzbar .ila yacjekua kama ya libiya .walikua wana amani maisha mazur mishahara bure .mahar yanotolewa bure saiv tangu kumtoa rais yule saiv kuna nn
@@AllyKija jee hao Kenya na COMORO zimeungana na Tanganyika? Wazanzibari wanachokitaka mamlaka kamili ya nchi yao na taifa wao. Mnaforce kwa mabavu na dhulma
Acheni ukhanidhi ACTMSITAKE KUULISHA WATU HAMNA UWEZO WA KUPIGANA NA DOLA NYINYI MNA NJAA ZA UBUNGE NA UWAKILISHI HAMNA MPANGO WOWOTE MAMLAKA KAMILI WANAYATAKA HAMAAS SIO MAVUNDO NYIE
Kumbe act mtatuletea ubaguz .mmasai kua na kitambulisho cha mzanzbar ni haki yke je ana mfa gani hapa zanzibar .mbona wapo wazungu .wachna na wanavtambulisho vya mzanzibar kwa nn uwazungumzie wabara tu .mm naona hamna sera za kutushawish bdo .tumieni njia nyengine
Mzungu gani au mchina gani mwenye kitambulisho cha mzanzibari. Kwanza hakuna kitambulisho cha mzanzibari. Kilichokuwepo ni kitambulisho cha ukaazi (resident) Wamasai au watanganyika na wengineo ambao si watu wa visiwa hivi hawana haki ya kupiga kura .
Siokama hawana kura ila hakuna serekali inayorizika chama Cha siasa kitawale umemsahau jecha alikua mwenyekiti wa tume ila 2020 aliichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ccm ivi kweli mtu huyo atakua upande gani
Mnaitukana bara wakati vyakula vyote vinatoka bara Zanzibar hakuna Michele viazi mbatata nghombe vitu kadha wa kadha je mnataka wabara tuzuie na sisi!!!!!
Mzee upo vizuri jukwaa unaliweza
Wacha majungu kijana kweli lipo neno japo apo lakuitukana bara dah pole sana
WEWE MWENYEWE UMESHIBA PESA ZA CHAMA HUNA MPANGO WOWOTE
Hili nadir jangili janaharamu aulizwe mh makame wa chaani yukowap?
Mmasai ni mtanzania ila sio mzanzibar
Wewe mjinga kabla ya mapinduzi znz mbatata zilitoka india
Kwani Masai sio mtanzania mbn huku bara wapo wazanzibar na hawanyanyaswi
masai nimtanzania ila sio mzanzibar😅
@@AllyKija si haki yao kuchagua kiongozi wa kuiongoza zanzibar. FACTOS
Hao mulio wakusany wot hap hawan kur
Ivi bidhaa ngapi zinatoka china au mnaundugu na wachina, watakuja wakinunua bidhaa kama mnavyoenda mkinunua china
Unahema kma unahemewa hhhh😂😂😂
mkiwa mkipata madaraka mtawafanyia nn wazanzbar .ila yacjekua kama ya libiya .walikua wana amani maisha mazur mishahara bure .mahar yanotolewa bure saiv tangu kumtoa rais yule saiv kuna nn
Comoro wanategemea huku bara Kenya wanategemea pia Tanzania labda muagize Toka irani
@@AllyKija jee hao Kenya na COMORO zimeungana na Tanganyika? Wazanzibari wanachokitaka mamlaka kamili ya nchi yao na taifa wao. Mnaforce kwa mabavu na dhulma
Ila siwao wanamamlaka kamili nyinyi wenyewe munawategemea wake wanunu ili muipate kula je kama wao hawajui kununua ivyo lengo nilipi 😂😂😂
Hapo ndomujue kua nyinyi ni wakulima😂😂😂
Acheni ukhanidhi ACTMSITAKE KUULISHA WATU HAMNA UWEZO WA KUPIGANA NA DOLA NYINYI MNA NJAA ZA UBUNGE NA UWAKILISHI HAMNA MPANGO WOWOTE MAMLAKA KAMILI WANAYATAKA HAMAAS SIO MAVUNDO NYIE
Allah yupo atawasaidia
Kumbe act mtatuletea ubaguz .mmasai kua na kitambulisho cha mzanzbar ni haki yke je ana mfa gani hapa zanzibar .mbona wapo wazungu .wachna na wanavtambulisho vya mzanzibar kwa nn uwazungumzie wabara tu .mm naona hamna sera za kutushawish bdo .tumieni njia nyengine
Mzungu gani au mchina gani mwenye kitambulisho cha mzanzibari.
Kwanza hakuna kitambulisho cha mzanzibari. Kilichokuwepo ni kitambulisho cha ukaazi (resident)
Wamasai au watanganyika na wengineo ambao si watu wa visiwa hivi hawana haki ya kupiga kura .
Tuletee uyo mzungu Ambae anakitambulisho Cha mzanzibar
Nyny tatiz mup weng ila kura hamn 😂
Siokama hawana kura ila hakuna serekali inayorizika chama Cha siasa kitawale umemsahau jecha alikua mwenyekiti wa tume ila 2020 aliichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ccm ivi kweli mtu huyo atakua upande gani
Mnaitukana bara wakati vyakula vyote vinatoka bara Zanzibar hakuna Michele viazi mbatata nghombe vitu kadha wa kadha je mnataka wabara tuzuie na sisi!!!!!
Zuieni
Mnatugaia bure ?
Sio wabara ni watanganyika
Msituuzie muone kama hatutokula..
Tanganyika mkuu umekosea
Huna la kusema tafuta kitanda ukalaleee
Kama namuona Mansour Himid kazaliwa upya. Mola akuongoze kiongozi