Wazanzibari hawana haki ya kuuliwa ovyo ovyo kama wanyama

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 5 дней назад +3

    Jamaan manssor nakupenda jisi unavyo changanua mambo hugugus i yani ww ugegombea uraswa znz

  • @abuufawzan4289
    @abuufawzan4289 5 дней назад

    Allah atuoneshe njia anayoiridhia ili tusalimike na siasa zinazopeteza uhai wa ndugu zetu kila siku nimtihani kwakua wanaodhulumiana wote niwaislam tofauti ni nyakati tu mdahuu akiwa ccm kesho anakua act.

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 5 дней назад +1

    Inshaa allah ipo siku udhalimu utaondoka mungu yuko pamoja na ss haki ataisimamisha siku sio mbali biidhinillah

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 5 дней назад

      Allahuma Aameen 🤲
      Ndugu Ahmed "Allah" Andika kwa herufi kubwa Shukran

    • @MaulidSuleiman-c9d
      @MaulidSuleiman-c9d 5 дней назад

      Wewe Mansoor hii ni nchi ya wanyonge ulipewa majenereta ya msaaada kule mtoni ukasema umenunua wewe sio mtu salama ni hatari sana anaekujua wewe hakukubali hio nchi mkipewa nyinyi ikifika mwezi tu haikaliki sio watu wema nyinyi ni wahuni hasa weww Mansoor labda utubu na urejeshe maeneo ya watu uliowanyanganya akhera sio mbali tumia fuss hii kutubu uliyoyafanya ni mabaya ardhi za watu umezipora Sasa wewe haikufai unamizambi mingi wewe ni mtu mbaya sana

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 дней назад

    Sijui ila Inshaalah tukutane kisanduku cha machinjio, Mimi sijagui ccm nachagua Mwinyi, angalau nae aendelee kuramba

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 5 дней назад +2

    CCM haistahi hata kuongoza mchi

  • @JumaSalumMohammed
    @JumaSalumMohammed 5 дней назад

    Wote wanaompinga Mansoor kwenye comments makazi yao motoni inshaalla kwa uwezo wa alla.

  • @InnocentGolfBall-qp2fn
    @InnocentGolfBall-qp2fn 5 дней назад

    Huyo mansour kaz alotumwana ccm anaiwezaa

    • @zuwenasaid9707
      @zuwenasaid9707 4 дня назад

      Ĥata Nadir pia kazi anaiweza vizuri tu.

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 5 дней назад

    Wamezowea Kuuwa Lakini Wasijisahau Nawao Ipo Siku Kama Ilivyo Wakuwa Wenzao Wakowapi Walishiriki Uwaji Chaguzi Zote Wakowapi Mwisho Babayao Kamaliza Nayeye Ni Mshiriki Mkubwa...Yukowapi Juzi Kamaliza Mzee Rukhsa Ykowapi.. Subhallah Tusijisahau Jamani Dunia Inamwisho Na Hukmu Ipo..??????????????....

  • @MassoudMaghwaly-jo8sh
    @MassoudMaghwaly-jo8sh 5 дней назад +1

    Umoja wa wazazibari ndio tunaopigania chama cha ACT wazalendo, iyo mikutano ni ktk kuwaelimisha wazanziabari sabb chama cha CCM ajenda yake kuu kutugawa ili itutawale kirahisi na bahati mbaya imefanikiwa .
    Kwaiyo tulia husen tuelimishwe baada ya sumu ya mda mrefu kutupandikiza waengereza na kufatiwa na CCM.. CCM haiyamini kwenye maendeleo ya kweli.. ndio maana miaka 61 saiv hawana la maana walilowafanyia wazanzibari na Tanazainia kiujula zaidi kutuuwa..

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 5 дней назад +1

    msitudanganye Zanzibar hawezi kuwa hata kama nani wakati roho mbaya zimewatawala nini ACT na wabaguzi wenzenu

    • @JumaOmar-kp8rx
      @JumaOmar-kp8rx 5 дней назад +1

      Mbaguzi mama yako mbwa ww

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 5 дней назад +1

      Wenye roho mbaya ni wale wanaodhlilisha na kuuwa wananchi, wasionahatia,kwenye vipindi vya uchaguzi

  • @SalamaBakari-eh1mz
    @SalamaBakari-eh1mz 5 дней назад +1

    Tatizo wazanzibari wakati wa uchaguzi hawashindi kwa kura

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 5 дней назад

    Sisi tunataka maisha yawe mazur Dio barabara

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 дней назад

    Unakipenda maana kinawapa ruzuku

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 5 дней назад

    Nimekuelewa na ntakuelewa haya uliyoyasena miaka 100.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 5 дней назад

    Mnawaza ikulu kupewa robot mkate tuu,hata mnyama hafai kuuwawa,

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 4 дня назад

    Ah ccm imeundw kwa ajili ya kuidhibiti zanzibar tu we huoni 😢 ccm w zanzibar wame mezwa na ccm wa tanganyika.
    Sasa utashangaa bado wanakubali maslahi machache tu. Japo wanaujua Ukweli wote. Km ni Hadithi basi inaumiz inasikitisha lakn inatia matumaini.

  • @RajabJuma-i9d
    @RajabJuma-i9d 5 дней назад

    Kama hutaki barabara si uende kwenu ya nini kun,gan,gania kwa watu

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 дней назад

    Jamani watu tumeshachoka haya mambo Kila aina yanayotokea na yote hayo ni uendeshaji mbaya wa serikali ndio ikawa majanga hayeshi na km itabakia hivi hivi hakuna mabadiliko ya nchi Ikaw serikali ni nyengine majanga hayamalizi mpk kiama kitasimama

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 дней назад

    Uchaguz ukija ukiwa wa siku mbili bc hatuna letu act tunawaomba viongoz wetu chonde chonde musije mukalegea mara hii

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 дней назад

      Hamad hamna kitu hapo Mwinyi anachukua anaweka waaaaaa Ccm oyeeeee kazi inaendelea wanawake jeshi kubwa

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 5 дней назад

    Tunawaomba viongoz tuachane Yale yote yaliyo pita enz ya maalim kuonewa kura iwe ya siku Moja tu na matokeo siku hio hio mukija mukirejea uchaguz km ule wa maalimu hakuna liwalo Othman,,Mansur na wengine uchaguz uwe siku Moja na matokeo yatoke siku hio hio ata km ni saa nane za usiku

  • @InnocentGolfBall-qp2fn
    @InnocentGolfBall-qp2fn 5 дней назад

    Katafute pombe unywe mbwq weww

  • @RajabJuma-i9d
    @RajabJuma-i9d 5 дней назад

    Na chama cha Mapinfuzi hakikupendi wewe na wana Mapinduzi pia hatukupendi si ulikuwa huku ukatumia mbillion ya pesa kwa majanareta mabovu mwizi mkubwa we

  • @husseinmbarak8886
    @husseinmbarak8886 5 дней назад

    Mbna wa ZANZIBAR munapenda kiki ili muendeshe shughuli za kisiasa acheni habari huo muda munaotunia kutupa majuukwaani ni Bora mungesaidiana na chama tawala mukapanga maendeleo tupeni muda hivohivo ata mkija mkishtuka tumeshaachwa nyuma sana kimaaendeleo unajua nnchi zilizo endelea hawana michezo ya siasa zachuki kama hizi #elimika usiwe msomi

    • @JabirJabir-r5g
      @JabirJabir-r5g 5 дней назад

      Baki na ujinga wako.

    • @kassim1262
      @kassim1262 5 дней назад

      Wao acha wawe wajinga nyinyi tumieni maendeleo c nchi imeendelea inamaendeleo roho ymtu mmoja ina thamani sana kuliko hayo maendeleo unayoyataka ww uletewe

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 5 дней назад

      Sawa Mansour, Samia na CCM wenzake wanatuua huku bara pia. Hawana aibu kabisa

    • @MsabahAli-d6u
      @MsabahAli-d6u 5 дней назад

      Kwaio ww wakiuliwa watu wako ukipewa begi la pesa utaridhika uhai wa mtu una than kuliko chchte

    • @Abdul-latifJuma-nr6hf
      @Abdul-latifJuma-nr6hf 5 дней назад

      Shuhulika natanganyika Yako wachavija wapate elimu

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 5 дней назад

    Mansour leo unakataa hakuna haki ya mtu kuuwawa umesahau kwenye uislamu kuwa zipo haki za watu kunyongwa, kuuliwa kwa mawe, kukatwa vichwa nk

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 5 дней назад

      Inamaana Zanzibar inaendeshwa kwa Dola ya kiislam?

    • @MussaMwinchande-u9u
      @MussaMwinchande-u9u 5 дней назад

      zanzibar zipo hizo sheria?

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq 5 дней назад +1

      Wewe asa ni polo la saruji huwezi maji wala baridi apa haikuzungumziwa makosa ya kidini hapa vimezungimzwa vifo vya hovyo bila ya sababu. Hio dini inaangalia sababu ya kuuwa na pia hauliwi mtu kama walivyouliwa wawili huko pemba.

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 5 дней назад

      Mussa,uislamu haujaruhusu mauwaji ya watu ovyo,ila kwa sababu maalumu zilizotajwa kwenye Qur'aan.Hawa waliouliwa walikuwa wazima na afya walipochukuliwa na chombo cha dola kwa kisingizio cha dawa za kulevya.

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 5 дней назад

    Vijana AMKENI kwani Mwenyezi Mungu (SW) ametwambia ktka Qur an Tukufu kwamba VIJANA ndio WAHUSIKA WAKUU wa MABADILIKO popote pale
    Rejea Suuratul Yunus, Aya ya 83 na ALLAAH (SW) ametupigia MFANO wale VIJANA wa AS HAABU LKAHFI Aya ya 9 + 10
    AMKENI VIJANA WAKATI NDIO HUU!!!
    TUNATAKA MABADILIKO KUPITIA KWENU VIJANA....

  • @MaulidSuleiman-c9d
    @MaulidSuleiman-c9d 5 дней назад

    Mimi Mansoor sikupendi kwa kua wewe ulitakiwa kustagharu ulikua ccm ukawa ktk kikundi Cha janjaweed ukawa unaongoza kikundi hicho ukawa unajiita mnadhimu