MCHUNGAJI AWATAKA WAISLAMU KUOKOKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии •

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад +2

    MashaAllah nmpnda shekhe mwaipopo wallah

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 года назад +4

    Alhamdulillah kwakuwa mimi muislam

  • @Kijazi1132
    @Kijazi1132 3 года назад +1

    Huyo mkristo ni mjinga hajui Sema Ibrahim mwalimu wetu anamlelea. '' (Enyi wafanyakazi wangu fanyeni kazi kwa bidii ili mpate mshahara mnono) . Kumcha Mungu ni wajibu wetu kuokoka ni zawadi tutayo pokea.. Achaneni na Wakristo wamepotea na wanatamani nanyi mpotee. Duniani sio sehemu ya kuokoka ila ni sehemu ya kukaza buti maana shetani anatuwinda.

  • @eshasalim3660
    @eshasalim3660 3 года назад +2

    Alhamdulillah nyie mulioko huko yaskitisha huku kwetu Kenya Imani kwa ndugu zetu waislam imeondoka imekua Wenda kanisani ati waombewa na wakapowa wallahi yaskitisha

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 года назад +2

    Mashaa allah

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 2 года назад +1

    Wallah wakisito hawajielewi wala hawajitambui. Alhamdulillah kuwa muislam maana ufahamu wa wasio waisilam ni mdogo sana . Inasikitisha . Hapa duniani hakuna kuokoka ni mpaka waione jahannam ndio wataelewa.

    • @fabianmkimbu880
      @fabianmkimbu880 Год назад

      Sasa ukifa utaokokaje? Kuokoka ni Leo yaani kuacha dhambi ili siku ya kufa uende mbinguni na siyo jehanamu,Sasa ukisubiri mpk ufe ndiyo uokoke utakuwa umechelewa

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад +4

    Uwisilamu lahaaa

  • @firdausmasinge74
    @firdausmasinge74 3 года назад +2

    Mashaallah

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 года назад +4

    Muwe mnachukua maiki mtu akiuliza ili ajibiwe na sio kama mabishano,lakini mkimuachia maiki muuliza swali na hao wakiristo huwa hawapendi kuskiliza

  • @emanuelmkumbe208
    @emanuelmkumbe208 2 года назад

    Mashall

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +2

    Kumekucha sasa Masha"Allah

  • @kelvinyacobo705
    @kelvinyacobo705 2 года назад

    Jibu Ndio Au Hapana ..maelezo n mengi ...mmeokoka Au hapana

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад +5

    Safari hii naona makanisa yata fungwa waislam hawatak mchezo

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 15 дней назад

    Yani ao mapasteur sehem zote awahelewiki awataki wafunzwe

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI Месяц назад

    Endelea kukaza mwaipopo na kuwapotosha waisilamu kwa faida yako. Nakupa pole na usipotubu kwa jina la YESU kirisito na kutubu yatakukuta mabaya.

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 9 месяцев назад

    Ata lugha haijui

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk Год назад

    Waislam wote musipomwani YESU KRISTO kuwa ndiye njia ya kweli na uzima msahau mbingu.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 года назад +4

    MCHENI MOLA WENU ILI MPATE KUOKOKA. mcheni ni kitendo cha Sasa na kinaendelea mpaka kiishe na hakiishi mpaka ufe na ILI MPATE maana baada ya hiko kitendo kumalizika ndio utaokoka. Na haijatajwa kitaisha muda gani Sasa asilete kuwa MCHENI ndio lazima kazi hio imalize Leo leo. 😂. Waislamu suali jepesi Hilo haina haja Ata kiongeza Aya, ni kiswahili tu mfunzeni huyo haelewi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 года назад +1

      Hakuna andiko lilosema Leo leo hapo asiongeze tafsiri. Mfunzeni lugha. Waislamu masuali mengine sio ya kuumiza akili

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 года назад +1

      Muulizeni, hio ibada ya kumcha Mungu tunaimaliza kwa siku ngapi?. Maana Kuna kufunga ramadhani mwezi mzima yaani tukimcha Mwenyezi Mungu kwa Ramadhani moja ya Leo leo Sasa itakuwa hatujaisha ibada Sasa vipi hapo? 😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 года назад +1

      Sikumpata mie huyo angelia

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 2 года назад

    Hi

  • @Musical1997-f4w
    @Musical1997-f4w 2 года назад

    Waislamu hamu okokii bhanaa

  • @rosepallangyo1352
    @rosepallangyo1352 Год назад

    Mwaipopo mjinga kweli

  • @harrisoncharo-qz3vz
    @harrisoncharo-qz3vz Год назад

    Wapate kuokoka sio kusilim😂😂😂

  • @seiflugendo5043
    @seiflugendo5043 2 года назад

    Mchungaji nahisi amekunywa divai

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk Год назад

    Mwaipopo hakika wewe unawapotosha waislam pole sana hakika ipo siku utajua kama ulipotea bila YESU KRISTO moto unakusubilini

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 3 года назад

    Mucungaji fuyo nyingi too

  • @omarratibu9709
    @omarratibu9709 3 года назад

    Wakristo wabishi sana. Sasa ikiwa ni ilimpate kuokoka itakua ni wakati gani? Bila shaka ni wakati wamalipo ambapo ni Kiyama ndio tunapookoka na moto

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 9 месяцев назад

    Uliza maswali yenye akili sio malalamiko

  • @mariatylupialupia9613
    @mariatylupialupia9613 2 года назад

    Yarab tupe subira ktk mvutano WA mhadhara huo

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 года назад

    Yani hawa jamaa ujanja ujanja tu maandiko yako wazi wana lazimisha wapewe majibu wanayotaka wao

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    yani wakristo wanakusudi,Serikali ikisema mufunge mikanda ili musipate ajali,ina maana ajali imetokea? wakristo wanamatatizo

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk Год назад

    Quran ni kitabu cha shetani totally maana kinaaya za kishetani sio kitabu cha Mungu na hata shetani mwenyewe alisilim akawa mwislam, Yesu Kristo awasidie muokoke

  • @peterrhagite5097
    @peterrhagite5097 3 года назад

    Tafsiri ya kafiri waislam mnaposha sana!

  • @emanuelmkumbe208
    @emanuelmkumbe208 2 года назад

    Mashall

  • @emanuelmkumbe208
    @emanuelmkumbe208 2 года назад

    Mashall