hamjuagi nawapa hii,,jamaa ndo chawa no 1 wa dai,anaamini dai ni noma kuliko mjinga yyte africa,kipindi kizima wakiamua,,anasifiwa bosi😊,,amna siku boss anakosea,,,lile dongo la salama jabir lilikuwa lako bro,,jitahdin na kukosoa,,calm down ya rema ina B uko nyie endeleeni kusifiana ujinga.
Sio kweli kuwa na watu ndo wapitishwe mbona last year Hawajachukua ata Tunzo Moja na alachukua Tyla alafu American kuna Wasanii Wakubwa hawajawai ata kuwa Nominated Snoop Doggy 2pac mbaka anakufa hajawai kuchukua, sasa kuna Msanii bongo anaweza kukaribia ata Robo ya Nyimbo za 2pac or Snoop?
Sio kwa ubaya wabongo niwape free advice, Grammy zinataka ngoma original, KOMASAVA ni mtindo wa South Africa, Monfi aliiga style za Sauzi na yeye ni mbongo, sasa grammy hawataki miziki yakucopy paste, wabongo mnacopy sana mitindo ya nchi zengine
Huyu Jamaa tangu awe hapa Wasafi huwa simuelewi kabisa.. Hata hiyo Grammy yenyewe sidhani kama anaifaham vizuri, angeenda kujua zaidi sio ushabiki wa Boss wake..
Ivi achukuwe Grammy kwa Ngoma comma sava maanake habari yako iyo ni nyimbo kweli? Au hamujui ata maana ya comasava 😂😂 amapiano ya south Africa mtanzania achukuwe tuzo
Kaka bongo karibia wasanii wote wanaimba muziki kutoka nje, hata hao wakongwe walio anzisha muziki wa hip hop hapa kwetu pia sio muziki wa asili yetu, so bongo muziki wa asili yetu ni ngoma za asili tu, aina nyingine zote za muziki sio zetu jaribu kufuatilia vizuri utanielewa, coz hao Grammy wapuuzi tu huwezi taja kategori ya muziki wa Afrika alafu washindane wasanii wa nchi moja, huo si upuuzi Ulio pitiliza Kwani Afrika ina chi ngapi? So anacho sema Lil Ommy yupo sahii kaka.
*Lil ommy hana elimu yoyote kuhusu Grammy* #Sijamtukana
hamjuagi nawapa hii,,jamaa ndo chawa no 1 wa dai,anaamini dai ni noma kuliko mjinga yyte africa,kipindi kizima wakiamua,,anasifiwa bosi😊,,amna siku boss anakosea,,,lile dongo la salama jabir lilikuwa lako bro,,jitahdin na kukosoa,,calm down ya rema ina B uko nyie endeleeni kusifiana ujinga.
Diamond will carry the day soon.. He's doing great.
Wakwanza nipeni likes zangu naomba
Nasikia. Huzuuunii komasava ni ngoma kuubwa😊
The MVP 🎙️
Hana Quality ya kushindania Grammys
diamond if he didn't get nothing this time i don't think he will get again
Ni urango urango mwingi tazania tuna kopy na kupest
unaeza kushangaa loyal ya diamond ingepewa nafasi kuliko komasava,
Huyo nae ako na ushabiki maandazi coz mondi ni boss wake katemwa 😂😂😂ataongea saaana
Sio kweli kuwa na watu ndo wapitishwe mbona last year Hawajachukua ata Tunzo Moja na alachukua Tyla alafu American kuna Wasanii Wakubwa hawajawai ata kuwa Nominated Snoop Doggy 2pac mbaka anakufa hajawai kuchukua, sasa kuna Msanii bongo anaweza kukaribia ata Robo ya Nyimbo za 2pac or Snoop?
Kwaiyo unamaanisha Wizkid anamkaribia 2Pac😅😅
@@RommyCareMovies Soma vizuri Comment yangu Ndugu yangu😂😂😂😂
Shida sio Grammy... Tanzania shida ni Harmonize...Popo wanatumwa Kwa Diamond Platnumz na hio ni Ukweli 💯💯💯💯💯😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sasa haya ndio mawazo ya kijinga
WanatuchukuliA poa sana hao 😂😅
Heshima huwa inakuja tu muda wake ukifika.
Mwanzo inafaa uwe na elimu tosha kuhusu Grammy si kupayuka ju unachunga unga wako😅
Sio kwa ubaya wabongo niwape free advice, Grammy zinataka ngoma original, KOMASAVA ni mtindo wa South Africa, Monfi aliiga style za Sauzi na yeye ni mbongo, sasa grammy hawataki miziki yakucopy paste, wabongo mnacopy sana mitindo ya nchi zengine
Mbona shwala bam haijachukua hizo tuzo na ilifanya vizuri sana na hio ngoma sio ya bongo. ni ya huko huko south Africa we mpumbavu kweli
Wimbo unaeza, mkubwa huku lakini wale wasiuelewe wanapendelea sounds flani za ki rnb
😂😂😂 mtamuelewa tu Master Jay siku akifa
Hamna mtu anaenda Grammy kama akiwa original
Fake mwisho TMA 😂😂
Uwezo hana
Binafs nasktika. Kitokuona komasava ikichukua. Granmy
😂😂😂😂
Pitieni X pale mkapate elimu kwa #WAKAZI
Yani wanamwacha simba wanmueka yemialade
Wakwanza
Tafteni nafasi yenu si kutaftwa kuheshimiwa mm nashangaaa walailia nini wewe
Kwahiyo hamjui hata jina mtangazaji wenu 😂😂 anaitwa Lil Ommy sio Real Ommy 😂
Si mondi kasema Nigerians wameingia kwenye mfumoo??😂😂😂😂😂mfumo which,where...
Ndio fumbo hilo ajue hawez kushindana na west😅 wale watu ni wajanja
Huyu Jamaa tangu awe hapa Wasafi huwa simuelewi kabisa.. Hata hiyo Grammy yenyewe sidhani kama anaifaham vizuri, angeenda kujua zaidi sio ushabiki wa Boss wake..
Ushabiki wako wa upande wa pili ndio unakufanya usimuelewe jamaa. Lil Ommy wa Sasa amekua na Ni zaidi wa yule wa Times. Huo ndio ukweli
Sio kweli yule wa times alikuwa noma @@ericnzaro9138
Mziki umetawaliwa sana na kujuana kuliko creteria za kazi so sad!
nyinyi mlizalau tunzo zetu tz Sasa mnalialia nn kunguni ninyi
Ivi achukuwe Grammy kwa Ngoma comma sava maanake habari yako iyo ni nyimbo kweli? Au hamujui ata maana ya comasava 😂😂 amapiano ya south Africa mtanzania achukuwe tuzo
Huyo ako na ushabiki coz ni boss wake katemwa 😂😂😂
Diamond hana jipya anatumika kuharibu mziki wetu waasili sababu ya kuiga tamaduni za watu weupe..