Kiukweli tuna washukuru sana ndugu zetu wa kenya mmekuwa mkitu support sana ndugu zenu tangu msiba wa grace mapunda hadi huku kwenye ajali mungu aendelee kulinda Amani yetu ❤❤
Poleni sana , kuwa katika nafasi yenu na kutoka salama ni jambo la kumshukuru Mungu, Na huyu kijana ni honest sana angekuwa mwingine angesema amepoteza kila kitu anaomba msaada!
Nyumba za kariakoo wanafanya kama store za kuwekea mizigo huko gorofani. Uzito unapitiliza mfanya biashara hushusha kontena zote hupandisha magorofani bila kufikia ni tani ngapi hilo liangaliwe majumba yote ambayo ameweka ghala zisiruhusiwe.
Poleni sana ndugu zangu ila mtoto wa shetani aliwaambia atafanya tukio la kukumbukwa mwezi huu sio? Rudieni interviews zake. Salini sana miezi hii ni miezi ya kafara inabidi mumtegemee Mungu na mtubu sana
254🇰🇪 tuna watakia afueni ya haraka walio nusurika na pia RIP kwa waliofariki.Poleni sana ndugu zetu watanzania.
🇹🇿❤🫶🇰🇪
Kiukweli tuna washukuru sana ndugu zetu wa kenya mmekuwa mkitu support sana ndugu zenu tangu msiba wa grace mapunda hadi huku kwenye ajali mungu aendelee kulinda Amani yetu ❤❤
❤🇹🇿❤
Shukran wakinya 🙏🙏🙏
Poleni sana , kuwa katika nafasi yenu na kutoka salama ni jambo la kumshukuru Mungu, Na huyu kijana ni honest sana angekuwa mwingine angesema amepoteza kila kitu anaomba msaada!
Angalia hii picha n mtu aliejaa na imani hongera sana hassan
Hongera kaka Hassan na kwa wale waliopoteza maisha Mungu azilaze roho zao mahali pema😢
❤❤❤mwenyezi mungu ni mkubwa sanaa ameen❤❤polee sanaa brooo
Aliwz mengi sana mpka akajiposti...mungu mwema
It was well in his soul🎉
Bro mshukuru mungu...sana km huswali Anza mapema ..
Uza jinzi za wanaume Sasa ...awa watembea uchi achana nao
😮
😅😅😅😅
Eti watembea uchi nyinyi ndo wale huwa mwapata dhambi kwakunyoshea watu mkono
😂😂😂😂watembea uchi jaman umenifanya nicheke
Kwani uongo??@@yasminoluoch169
Inalilah wainaillah rajighunn
Hatari sana
Mungu ni mwema sana🙏
Mungu ni mwema poleni sana
Mungu mkubwa 😢
Mungu mwema sana kaka ang hassan dah
Aisee watanzania tuna umoja hongera hassan na hengoreni kwa ujasir
Mali zinanatafutwa uhai ukipote ndio basi.m/mungu atakusimamia utakuwa sawa kwa uwezo wa Allah. Alhamdulillah
Poleni sana ndugu zangu
9:40 pole sana bro
Pole sn mwangu hasani me mteja wako was suruali Zanzibar
Pole Hassan😢
Mungu ni mwema Sana
Unene ni raha kama TARIMO au ni shida kama huyu jamaa!!😂😂
Pole sanakaka
Mungu mkubwaaaa jamaniii
Poleni sana kweli
MUNGU ajalie kher muwe salama na waliotangulia MUNGU awapunguzie adhabu za kabr.
Nyumba za kariakoo wanafanya kama store za kuwekea mizigo huko gorofani. Uzito unapitiliza mfanya biashara hushusha kontena zote hupandisha magorofani bila kufikia ni tani ngapi hilo liangaliwe majumba yote ambayo ameweka ghala zisiruhusiwe.
Pole
Pole sana
Wajinaaa polee
Pole sana kaka
Sura ina cheka ila roho ina lia😢😢😢 aisee inauma nime umia aisee ina uma hii dah
Bongo kweli nyoko mtu upo kwenye hatari na bado una kumbuka kuji selfie 😅😅
Poleee kaka
Daaah 😭
Allaah kareem
Mung ni mwema
Ni muda wa kujua hali yake kwanza hadi atulie ndio umfanyie interview ya mali
Hili limeniliza sana 😭😭😭😭
Poleni sana ndugu zangu ila mtoto wa shetani aliwaambia atafanya tukio la kukumbukwa mwezi huu sio? Rudieni interviews zake. Salini sana miezi hii ni miezi ya kafara inabidi mumtegemee Mungu na mtubu sana
Ndo nani huyo mtoto.?
@vallerylucas9478 Nenta youtube andika Mtoto wa shetani usikilize anavyosema na interview zote anaongelea kafara tu
@@hellenbech7823 Duh,haya ngoja niangalie
Pol San kaka
Da
Dah chinjeni ata ngombe jamani mtoe sadaka kwa kumshukulu Allah uzima ndo kila kitu jamani
😂😂kwahyo iyo ng'ombe ndo sadaka ni dini gan inaelekeza hvo
Kwakweli picha muhimu dah mtoa roho alikuwa amesha mshika
Dah
Duuh
Dah uruma
Nyie kifo sio mchezo
Pole sana kaka