Kama kweli mond anampenda zuchu agunge nae ndoa bila.hivyo tutajua kuwa yeye ndio anaewatuma kumchukia zuchu inshaalla mungu anawaona nyinyi miaka3 mmemchezea mtt wa wAtu hawNa hours ya.mungu lakini yote hayo ni kutokusoma dini
How can you people tell who Diamond love and who he doesn’t. Is it because he have money because without the money he’s no prize …..just sayin and you people for Christ sake leave Zuchu alone. 🇺🇸
naomba muniambie humu ndani chanzo chakuachana diamond na zuchu maana mpakasasa sielewi nasiamini kamakweli wameachana pls nisaidieni kwahilo vipenzi vyangu nawapenda naupenda umbea ilahuu badosijauelewa
🤲🤲🤲🤲
Respect kwa doto
Kama kweli mond anampenda zuchu agunge nae ndoa bila.hivyo tutajua kuwa yeye ndio anaewatuma kumchukia zuchu inshaalla mungu anawaona nyinyi miaka3 mmemchezea mtt wa wAtu hawNa hours ya.mungu lakini yote hayo ni kutokusoma dini
Diamond will get his one day. What goes around comes back around. Diamond is a scum bag
Diamond hawezi kumuacha zuchu sio kwa mapenzi... Yaan wcb kwa sasa bila zuchu ni msondo bila ngurumo
How can you people tell who Diamond love and who he doesn’t. Is it because he have money because without the money he’s no prize …..just sayin and you people for Christ sake leave Zuchu alone. 🇺🇸
Diamond hajawahi kaa na mke yeye anajua anachotaka kwao na bado atachukua mwingine ndio ujue wanawake harafu watalia tu
Diamond ni mjinga tu sema Mungu alimbariki na management nzuri kwa muziki lakini ingekua anajimanage angeangamia huyo mwanaume