G NAKO AWALIPUA VIBAYA LAVA LAVA WA DIAMOND,CHID BENZ AMESEMA MIMI SIO MSANII NI SAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

Комментарии • 12

  • @jumanassoromzee5417
    @jumanassoromzee5417 2 дня назад

    Idea ni ya lavalava g umezingua Bro then umetema fire Sanaa Sio fresh

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 3 дня назад +4

    Bro amezingua bhn! Kwa heshima yako G Nako hujatumia busara kabisa, Wewe na WCB ni family istoshe Lava Lava huwaga Hana mitikasi ya hovyo kiasi hicho, ulitakiwa kutumia busara kwny kujibu majibu yako! Na ukwl n kwamba ww umeiba kwl bhn iyo idea ndomana umekosa point ya msingi.

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 дня назад +1

    G.Nako ni full package

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 дня назад

    Gnako anajua sana aisee

  • @Thedonrboysuper_tz
    @Thedonrboysuper_tz День назад

    Hiyo nimichano kaka mkubwaaa😂😂😂😂

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 3 дня назад

    Kwel kaiba

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 дня назад +1

    Mkinipa number za huyo mama nahamia dar

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 3 дня назад +1

    Kwel naamini kaiba kwa majbu ayo

    • @spartachize122
      @spartachize122 3 дня назад

      Unamaanisha nn kaka

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 2 дня назад +2

      Ameshindwa kujitetea Kuna uhuni ameufanya gnako ndio maana anajikanyaga tu😅😂😂

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl День назад

    Diamond kaingiaje apo sasa lazima mumtaje

  • @johel882
    @johel882 2 дня назад

    Imebidi mpenyeze ilo neno “wa diamond” kwemye caption ili views zije sio😂