MSANII RAPCHA KAFUNGUKA NI KWELI AMEKWAMA KUWA MKUBWA ZAIDI? AELEZA SABABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025

Комментарии • 94

  • @GamechangerTz
    @GamechangerTz 2 месяца назад +10

    Rapcha Yuko Smart Sana Watu Wampe Sikio Tu Ni Artist Mzuri By The Way 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @producercharlz2549
    @producercharlz2549 2 месяца назад +11

    Huyu jamaa angekuwa mtangazaji angeuwa sana icon voice tone ni wachache sana wenye vocal la nyau

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 2 месяца назад +18

    Huyu jamaa akimaliza usanii awe mtangazaji wa redio vocal kali sana

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 2 месяца назад +1

      Huyo Dizasta Kuna watu wamemfahamu sababu ya hiyo Diss tu

  • @innocentbeda
    @innocentbeda 2 месяца назад +15

    Alikosea kushindana nguvu na Dizasta. Look where he put him, down to his levels.

  • @_blueprint
    @_blueprint 2 месяца назад +3

    Blaza anajielewa, speaking facts

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 2 месяца назад +6

    Nakubali mwanangu all good

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu 2 месяца назад +4

    Japo kuwa hawapatana dis vina lkn rapcha pia nakubali na very humble

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 2 месяца назад +4

    Noma sana #tellaaxistz

  • @kale_maga
    @kale_maga 2 месяца назад +2

    natamani ningepewa nafasi ya kunisikiliza japo wimbo wangu mmoja 🤲🙏

  • @emilyfocus5639
    @emilyfocus5639 2 месяца назад +5

    Fact ..nakubali

  • @Ashibutz
    @Ashibutz 2 месяца назад +14

    Asikate tamaa, aachane na bifu za kishamba

  • @sellemanbuddy4126
    @sellemanbuddy4126 2 месяца назад +3

    Rapcha ulistahili tuzo bro Tma ya rapa bora

  • @Scott_lit
    @Scott_lit 2 месяца назад +37

    dizasta vina kashaua Hii Mende Kwa Bunduki😂😂 hatumsikii

    • @mrfashion1687
      @mrfashion1687 2 месяца назад +3

      Huyo Dizasta unamsikia???

    • @Simulikanasi
      @Simulikanasi 2 месяца назад

      Wew ndo humsikii​@@mrfashion1687

    • @SAIDNICO-p3o
      @SAIDNICO-p3o 2 месяца назад +3

      ​@@mrfashion1687we unataka umsikie wap?

    • @Scott_lit
      @Scott_lit 2 месяца назад

      @mrfashion1687 simsikiii

    • @Scott_lit
      @Scott_lit 2 месяца назад

      @@SAIDNICO-p3o mtoto wa 99 huyo amefua amekuja kumwaga povu😄

  • @majorwayonlyway
    @majorwayonlyway 2 месяца назад +1

    Very smart

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 2 месяца назад +10

    Ata uchane vip paleeeeeee coz ulkuwa umepaaa but ukaharb kumdis dizasta vina yule ni baba yako ( respect school is free)

  • @ibraaahmwanyello6233
    @ibraaahmwanyello6233 2 месяца назад +7

    Kalianza vizuri kakatukana wakubwa kakapata laana😂 actualy nilikuw shabik yako sana bt kwa kumdisrespect King of hip hop bongo D Vina nmekushusha huna nidham ya kazi..

    • @ibrahimmkombozi9871
      @ibrahimmkombozi9871 2 месяца назад +1

      That's hip-hop brother

    • @Joppa555
      @Joppa555 2 месяца назад

      True say mzee..wasanii wengi wanaanguka hapo..staying humble na kujua kudeal na walimwengu ni nyenzo muhimu kusonga mbele,sasa bwanamdogo rapcha yupo kama chipukizi flan hvi🤓🤓🤓🤓🤓🤓

  • @DanielLyatuu-c3c
    @DanielLyatuu-c3c 2 месяца назад +3

    Angalaukanenepa

  • @geofreypeter-id3vr
    @geofreypeter-id3vr 2 месяца назад

    Yah,true ni kama amestuck sehemu hivi

  • @AluwatanKingjaja
    @AluwatanKingjaja 2 месяца назад

    "Aaah men shave dred you whack l, yo not pretty" 😂😂😂 endeleeni kutupiana Diss na Dizasta namiss yale mapunch lines.

  • @DanbLaurent
    @DanbLaurent 2 месяца назад +2

    USIWAZE ONE DAY YES MWAMBA ✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾✍🏾

    • @DanbLaurent
      @DanbLaurent 2 месяца назад

      WAMBIE TUNA WACHORA TUU WE MKALII BHANA

  • @AmadesalimoSaide-j6c
    @AmadesalimoSaide-j6c 2 месяца назад +1

    Uyu jamaa nankubali saana❤️✊

  • @mdasaboi
    @mdasaboi 2 месяца назад +3

    ...NINJAA wanae muogopa tuna RUKA nae

  • @freakboy1804
    @freakboy1804 2 месяца назад +1

    "Leo gangster kesho bishoo haueleweki" naona ulifanyia kazi maelekezo ya kaka yako

  • @Mabokitz
    @Mabokitz 2 месяца назад +3

    🔥🔥🔥

  • @ShabanisafishaShabanisafisha
    @ShabanisafishaShabanisafisha 2 месяца назад +2

    Kumbe Rapcha Ana Mbess 😂😂

  • @acrazo3721
    @acrazo3721 2 месяца назад

    Last king of 99 🔥

  • @Ayoubsambo
    @Ayoubsambo 2 месяца назад +3

    Ulitaka kuaribu interview uliopo anza kumtaja Bb samia😀😀

    • @Joppa555
      @Joppa555 2 месяца назад

      🤓🤓🤓uko sawa mzee alivomtaja tu bibi nikapause kwanza interview yenyew akawa kashanitoa mchezoni ndo nikaanza kupitia komenti,uko smart san we jamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @melvinkanje70
    @melvinkanje70 2 месяца назад +2

    Upo Vizur we Muhuni

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 2 месяца назад

    Hivi kwanini hizi mama mama kila sehemu?? Aiseeee

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Месяц назад

    Tatizo nursery bars

  • @mr.eeh_bwana.1929
    @mr.eeh_bwana.1929 2 месяца назад +4

    First ❤

  • @THEGAME_t
    @THEGAME_t 2 месяца назад +2

    Enjoy Enjoy😂😂😂

  • @jaybee3429
    @jaybee3429 2 месяца назад +1

    Kaombee msamaha kwa dizasta

  • @eliaswegero2199
    @eliaswegero2199 2 месяца назад +2

    Aligusa busha wazee 😂😂😂

  • @JeffFerdinand
    @JeffFerdinand 2 месяца назад +1

    Kawa mbaya apunguze minywele iyo

  • @PembeSalehe
    @PembeSalehe 2 месяца назад

    Uyo dizasta wenu mbona hawi mkubw yeye kama rahis

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 2 месяца назад +4

    Iv Dizasta vina atakuwepo?

  • @MagembeKisabo
    @MagembeKisabo 2 месяца назад +2

    Mimi namkubali Vina ila jamaa alisaidia kumleta Vina mahali pazuri kupitia diss

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 2 месяца назад

    Cosmass😂🙌

  • @majorwayonlyway
    @majorwayonlyway 2 месяца назад

    BONGO NYOSO

  • @sheilaidahEmpressshish
    @sheilaidahEmpressshish 2 месяца назад +1

    Rapcha kubali tuu umeshuka

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 2 месяца назад +1

    Rap Cha unajua kuchana kisasa pia una content

  • @danielkenedy4357
    @danielkenedy4357 2 месяца назад +9

    Na ustaa wote unaitwa cosmas

  • @kelvinpaul2808
    @kelvinpaul2808 2 месяца назад +4

    Huyo hana maajabu arudi ty kwa dizasta apewe somo la rap na hii ikawe funzo kwa wengine na kwenu py media kuwa dizasta vina a.k.a black maradona ndiye king wa rap na kuwrite mashair kwa ustadi wa kipekee,so acheni kumbania na kuwapromote wasiojua kurap kisa amewaagiza or kusfia visivyofaa kijamii

    • @mdasaboi
      @mdasaboi 2 месяца назад

      ...sio king wa rap . Pengine king wa rhymes

  • @Whizra
    @Whizra 2 месяца назад +5

    Ange nyoa ata izo nyele , zina Leta ifact cariere yake

  • @akidaali9828
    @akidaali9828 2 месяца назад

    Msanii kachoka minywele tu😅

  • @saidimessi9496
    @saidimessi9496 2 месяца назад

    Rapcha mkalii sanaa ndoman Mpk now anatuz uyo dizasta akauz tembele vikindu huko

  • @Lameckmichael-h2m
    @Lameckmichael-h2m 2 месяца назад +4

    Wenzio wanafuga kuku eapate hela weunafuga nywere? Nahela huna. Ebunyoa hizo nywere kaimbe Gospel utatoboa

    • @Kingshamsz
      @Kingshamsz 2 месяца назад +1

      anafuga sababu ana kichwa kidogo

    • @OtienoOwuor-d5r
      @OtienoOwuor-d5r 2 месяца назад

      ​@@Kingshamszhahahaha

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 месяца назад +2

      wew inakuuma nin km anafuga nywele ? fuga na wew

    • @OmaryYunus
      @OmaryYunus 2 месяца назад

      Majibu smart yanayoeleweka​@@aboudijaaboudija

    • @OmaryYunus
      @OmaryYunus 2 месяца назад

      Majibu smart yanayoeleweka​@@aboudijaaboudija

  • @NabothChaula
    @NabothChaula 2 месяца назад +2

    mbona kilicho andikwa sio alicho ongea

    • @aloycemaduhu4497
      @aloycemaduhu4497 2 месяца назад

      😂😂familia wamekuchanganya....ukisoma hiyo habar ilivyoandikwa unaweza kusema km dogo ndo amesema...kumbe mwisho kuna alama ya kuuliza means yeye ndo kaulizwa