AZIM DEWJI AWAJIA JUU WANAOMKEJELI CHASAMBI “NZENGELI NDIO ALIPASWA KUPEWA URAIA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 55

  • @OliverMjimba
    @OliverMjimba 20 часов назад +6

    Hongera san Kwa maneno yako ya busara tena chasambi kocha ampe nafasi ya kucheza kila mechi

  • @saidsalim7177
    @saidsalim7177 18 часов назад +1

    Excellent Mzee Azim.

  • @CharlesPalangale
    @CharlesPalangale 19 часов назад +2

    Safi sana umeongea kisoka mzee wetu

  • @abdallahlungo3816
    @abdallahlungo3816 11 часов назад

    Asante Kiongozi nimekusikia.

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 17 часов назад

    Sawa sawa mzee, Uko sahihi

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 20 часов назад +8

    Kikubwa timu ya simba iache back pass ambazo zinatupa shida muda wote kamara atachoka tu muda wote mpira nyuma mengine mashuti kwelikweli aaaah!.

  • @ZefaniaSabasaba
    @ZefaniaSabasaba 9 часов назад

    Wana simba 2musamehe2 chasabi kuliko kusemasea2 ukiabiwawewe ukachezemoutaweza ❤❤simba ubaya ubwelaaaa wanasimbaaa

  • @juliusbaruti8617
    @juliusbaruti8617 20 часов назад +2

    Tanzania hatuna wachambuzi mzee wangu.
    Chasambi bado tunamjhitaji

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 20 часов назад +4

    Huyo mtoto awe serious mzee ,aache utoto tatizo uongozi umeweka matumaini makubwa kwa huyo chasambi ndio maaana anavimba kichwa anaona sawa tu

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 20 часов назад +1

      Huna akili

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 20 часов назад

      Mi ni shabiki wa yanga ila we jamaa hivyo unajielewa?

    • @wilfredbalohho2283
      @wilfredbalohho2283 19 часов назад

      Acha ushamba

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 18 часов назад

      Jamaa uko sawa kweli, et mtoto aache utoto anaachaje wakati ni mtoto?

    • @saidsalim7177
      @saidsalim7177 17 часов назад

      Wacheni ushamba ktk soka, mazur mangapi Chasambi amefany, ss kosa moj iwe shida? Hv mnajua mnachokiongea lkn. Muacheni dogo acheze mpira, km mmeshindwa kushabikia mpira bc tafuteni michez mingine mushabikie.

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 20 часов назад +3

    Mzee unabusara kubwa

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 17 часов назад +1

    Mzee Dewji umezungumza kweli kuna mashabiki Simba ni wanafiki sana Chasambi kampenda MAX akina GB 64 hovyo sana na akina Mzarama hovyo kabisa wanamsema mtoto wa watu balaa wanamkosesha raha sana

  • @JohnRossan-pk5cl
    @JohnRossan-pk5cl 20 часов назад +3

    Mzee umeongea kwa busara lkn Kagoma ana 28 kama skosei n'a sio 19

  • @Emilianovibes
    @Emilianovibes 16 часов назад

    Mzee Shikamoo

  • @emmanuelndanu770
    @emmanuelndanu770 19 часов назад +2

    DOGO ALIKUWA ANAONGEA KWA KUJIKUBALI SANA NAKUJIONA ET KWENYE TIMU YANGUUU HAKUN,, HAKUNA NINAYE MKUBALI. WALA SHIDA SIYO KUMKUBALI MCHEZAJI WA YANGA MBINA MAX MWENYEWE ALISEMA ANAMKUBALI AWESU NA FEI

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 19 часов назад +1

    Umeongea ukweli mtupu

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 18 часов назад

    Ee 😳 kumbe chasambi anamzidi kagoma miaka 😮😮 nilikua sijui

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 19 часов назад +2

    kwahyo ndo avae GPRS kwann matajiri wengi wanaavaa GPRS mkononi

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 18 часов назад +1

    We mzee Tuache kwa lile shuti alizamilia kutufunga kabisa umebebwa tu na mo wewe ni utopolo uliyejivika ngozi ya Simba hebu tuache bhana

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu 19 часов назад

    Huyu gwiji kwenye Mambo ya mpira vizr Sana mzee

  • @mwinyimrisho5710
    @mwinyimrisho5710 17 часов назад

    Muambie tyu Aweke pamba Kichwan Asiwasikilize😅😅 3:13

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 20 часов назад +1

    USKUTE HUYU MZEE NDO MWENYE SIMBA MAANA NDO ANAKUWAGA MSITAR WA MBELE KUSIMAMA PENYE SHIDA

  • @jaffarmagawa3245
    @jaffarmagawa3245 13 часов назад

    Ameongea points tupu kuanzia Kwa mashabiki mpka wachambuzi wamekuwa wanafk hawapo fair Leo wanamsakama chasambi kesho watamsifia usenge mtupu

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 20 часов назад +1

    Hata hao wachambuzi wanaaangalia mechi mbili tuu za Simba na Yanga. Kwa hiyo tunaweza kusema kwamba hao ni wachambuzi wa Simba na Yanga. Unakaa unajiuliza hivi inawezekanaje nchi hii timu zipo 16 lakini redioni zinasikika Simba na Yanga tuuu.

    • @AnthonyDcosta-f3q
      @AnthonyDcosta-f3q 15 часов назад

      Nilisha wa challenge kama wana uwezo watuchambulie hata game moja EPL

  • @mwinyimrisho5710
    @mwinyimrisho5710 17 часов назад

    Mzeeh Wa Busara

  • @AkishaEnterprises
    @AkishaEnterprises 15 часов назад

    Harafu pia, kumsema mchezaji anapokosea anazudi kuvurugwa wakati mechi bado nyingi

  • @AkishaEnterprises
    @AkishaEnterprises 15 часов назад

    Hao watu wenye hasira wasioweza kuzuia hasira zao kama kina Gb64, wahijiwe siku moja baada ya mechi ili wapate muda wa kujitafakar

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q 15 часов назад

    MZEE WA BUSARA

  • @AhmadZumba-p2z
    @AhmadZumba-p2z Час назад

    Ayo, mwambieni yule mchambuzi uchwala wa majizo pale EFM anajikutaga anaongea sana kiingereza Cha hovyo hovyo,nadhan hata ethics za kazi yake hazijui,anashindwa kuchambua,anatanguliza ushabiki,Kila mchambuzi ni shabik wa team fulan ila wawapo kazini Huwa wanakuwa neutral ili kuepuka bias,ila huyo majnun aso maana....ametufanya Hadi tushndwe kusikiliza kipindi chao

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 19 часов назад

    Siyo wapondaji ni Wachambua mavuzi ya wake zao

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 19 часов назад

    Uongozi ufanye mpango basi umlete zengeli uwanyamani ili kumtuliza kijana

  • @FrankYako-i8i
    @FrankYako-i8i 16 часов назад

    unachosema ni sawa ila akilin mwang hayupo tena ye apambanie nafasi yake tu ila mi siyo shabiki yake tena hyo chalii

  • @pascalPembamoto
    @pascalPembamoto 18 часов назад

    Hamza ilifunga magoli mangapi HAPO SIMBA, ILA BACK PUS ZIPUNGUE.

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 20 часов назад

    Mzee mi shabiki wa yanga ila we Mzee, umeongea kimpira na weledi na busara.

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 18 часов назад

      Unamjua lakini huyu mzee??? Et shabiki wa yanga 😂😂😂😂

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 14 часов назад

      @omariaman7818 umeelewa comment yangu ebu isome Kwanza

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 17 часов назад

    Hata mim nampenda max nzengel ana nidham

  • @christophermboya7676
    @christophermboya7676 20 часов назад +2

    Wewe mzee umeinyonya sana Taifa letu kwa kujificha kwenye Team ya Simba
    Hv yule Dogo alitekwa na nani mzee??

    • @Travol_Alonetz
      @Travol_Alonetz 20 часов назад

      Unahitajika cantral station posta uje uelezee kwa upana kile unachokihisi tufanyie kazi

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo 20 часов назад

      Hivyo watanzania tunashida gani Kila kitu mtu lazima akosoe, kwenye mpira,siasa ujuaji mwingi Mzee kaongea points,haijalishi mi shabiki wa yanga yupo right.

    • @sadih5333
      @sadih5333 15 часов назад

      Nyinyi watu wengine mna chuki na jamii yenye tofauti ya ngozi na sisi , wanao nyonya hii nchi ni viongozi wetu wote wa kila kada, mawaziri wabunge ma manager, raisi , polisi na kila kitengo hao ndio wanao ifilisi hii nchi , sio wafanya biashara wanao kamuliwa kodi

  • @georgekitosi1514
    @georgekitosi1514 18 часов назад

    Ukubwa dawa!

  • @JuliusAkida
    @JuliusAkida 20 часов назад

    MZEE ,KATIKA washabiki wa CMBA naona wwe peke yako ndio unakili, hao wengine ni zero blain,

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 19 часов назад

      Nawe sio Blain ni brain tuanzie hapo hata wewe ni zeroooooo brain😂😂😂😂😂

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 18 часов назад

      ​@@taseleli9181hao wa yanga ndo zero brain 😂😂😂