Man Water feat Christian Bella & Alikiba - Kilegendary (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Месяц назад +385

    Naombeni tumuonyeshe alikiba yakuwa tulikuwa tunataka afanye kazi tena na man water kwa like apa jaman
    King kiba for hit song only
    King kiba for bongo freva
    King kiba for music

  • @yohanapedomusic1110
    @yohanapedomusic1110 28 дней назад +15

    Man water, Christian Bella na King ni marafiki wa muda mrefu❤

  • @FaustinLubunge-hl9jr
    @FaustinLubunge-hl9jr Месяц назад +148

    Nimekua wakwanza kushusha comment from usa 🇺🇸 bana congo 🇨🇩 king 🤴 kiba

    • @cmeratkenya2425
      @cmeratkenya2425 Месяц назад

      ruclips.net/video/pENcpf_1dMA/видео.htmlsi=oKRAJ9mwbku533J2

  • @ayubuwilison8330
    @ayubuwilison8330 29 дней назад +65

    Bella katika ubora wake jamaa anaweza kabisa yani tunao mkubar bella tafathar like hapo

    • @DominicBwanali-xl4wj
      @DominicBwanali-xl4wj 28 дней назад

      Bella atabaki kuwa bela kwani kuanzia nyumbani kwsngu mpaka kwenye hi simu yangu zimejaa ngoma za bella na video zake namkubali sana huyu jamaa kuliko msanii yoyote hapa dar

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 Месяц назад +254

    Sisi kama fans wa Alikiba, all the way from Kenya, Tanzania and East Africa kote wapi likes za Kiba jamani. Much love from Kenya❤️❤️❤️. #emmanuelbrownke

  • @ibrahshifta1595
    @ibrahshifta1595 29 дней назад +6

    Ally Kiba, Kibaaaaa, Bella ,Bella. Bella, mnjua sana muziki nyinyi watu, mm ni mshabiki wenu nadhan namba moja i real appriciate you guys ur my number one ever

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Месяц назад +86

    Nani anaona ngoma kubwa zaid baada ya Alikiba kumrudia man water king ni mmoja tu apa bongo weeeeeeeeeeee yooooooo!!!!🎉🎉🎉 Wapi laki za malegendaly

    • @cmeratkenya2425
      @cmeratkenya2425 Месяц назад

      ruclips.net/video/pENcpf_1dMA/видео.htmlsi=oKRAJ9mwbku533J2

    • @reymesgeofrey2685
      @reymesgeofrey2685 29 дней назад +1

      Hii ni bond Moja Kali sana, manwater ndo producer anayemjulia allykiba, sijui why walikatisha huko nyuma, na Kuna producer mwingine before manwater na yeye alikuwa anatembea mulemule na allykiba, in short uimbaji wa kiba unahitaji producer anayejua kunyonga sana vinanda,

    • @SwahiliAmbasador954
      @SwahiliAmbasador954 29 дней назад

      @reymesgeofrey2685 mwamba unajua sana kunena huyu kiba na water wakikutana huwa inakuwa ni kolabo moja ya moto sana kiukwel walisha juana tunatamani kazi nyingi zaidi kutoka kwako

  • @manbastar12
    @manbastar12 29 дней назад +5

    Cbo tena na king ndani ya man water ni motoo

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 Месяц назад +56

    Shida ya hii ngoma inaisha wakati imekuwa tam sasa yani nikama unaiba kininti kwao unafika kati unaskia get linapogwa unakatisha daaaaa hi ngoma jaman ukwel alikiba hakwepeki man water karibu tena king music forever we bella weee mtoto wa baba christian hii ya moto sana ambien watoto wakalale leo tuna kula kuku na mpishi wake na tunalala uku uku🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jiwahassantestimonies
    @jiwahassantestimonies Месяц назад +28

    Nakosa cha kuandika...MAN WALTER umefunga mwaka na kuufungua hommieee....yaani sekunde ya 10 tu imechangamkaa

  • @TeresiaRobert-x7m
    @TeresiaRobert-x7m Месяц назад +28

    Dàah Alikibaaaaaa popote ulipo UNAjua Mkubwa

  • @elly-mosi2588
    @elly-mosi2588 Месяц назад +9

    WAELEKEZE MAMBO MAZURI..
    KAMA HIVI...
    SALUTE TO THE KING.

  • @fitiaswere2343
    @fitiaswere2343 Месяц назад +12

    KING NI MMOJA....KING NI ALI

  • @allymbaga2162
    @allymbaga2162 Месяц назад +16

    Inapendeza Man water na king kuelewana na kufanya nyimbo pamoja

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 Месяц назад +16

    Bonge la ngoma 🎉🎉 ndo tunafungia mwaka nini

  • @PerfectJbo03
    @PerfectJbo03 29 дней назад +16

    HII NGOMA NI KALI KINOMA KAMA NA WEWE NI LEGENDARY EBU GONGA LIKE HAPAAAAA, KING AND OBAMA NOUMA SANA, LAKINI WATER UTAWAUA WEWEEEE

  • @QaboosSaid-vl5ic
    @QaboosSaid-vl5ic Месяц назад +11

    King 👑 kiba on fire msanii Bora wa muda wote

  • @fidelcastle5468
    @fidelcastle5468 29 дней назад +10

    King Kiba ndoman kilasikuna najivuninia Kuwa shabiki wako

  • @Dannytitoff254
    @Dannytitoff254 Месяц назад +16

    King 👑 kama king kw ubora wake

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 29 дней назад +8

    King kiba 👑 mumetisha nyinyi wote yani ni noma sana mimi ni mucongo mani🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤ naisha USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 nimependa hii ngoma sasa 🔥🔥🔥🔥👌

  • @rafikilungu477
    @rafikilungu477 Месяц назад +257

    Humu kiba ameua sana like zake nazitaka hapa tafadhari ✌✌✌

    • @cheff778
      @cheff778 Месяц назад +4

      Kama unaamin ngoma inafunga mwaka gonga like hapa🎉

    • @elfabriyafab8405
      @elfabriyafab8405 Месяц назад +1

      Kauuuwa sana sio kidogo wew unajua mziki kweli kabisa

  • @GermainMuzanga
    @GermainMuzanga 29 дней назад +7

    Vraiment suis congolais eh mes frères soutenons les un rythme d Chez nous au Congo Christian bella Force à toi,un son qui transperce le cœur.🎉🎉🎉🎉

  • @thegenius8621
    @thegenius8621 Месяц назад +10

    King kiba waoneshe wanaoiga kuimba..nakukubali bingwa kutoka 254 kongowea ndio kitaa...

  • @BizmanElisha
    @BizmanElisha 29 дней назад +5

    Huu ni moto wa kuotea mbali kabisa sote tucheze ki legendary

  • @jonasjme
    @jonasjme Месяц назад +17

    Sawa sawa hizi bhana uwa unauwaga mno

  • @kassimali1477
    @kassimali1477 29 дней назад +11

    Huyu Man water alituambia yupo n two hit songs za Kiba ndani.... imebaki moja! Man Water 2 the world

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 Месяц назад +9

    Aaaah yeee babaa king kama 👑 Bella akitokea jua hio ni 💥👌

  • @mwanzaonlinetv1430
    @mwanzaonlinetv1430 29 дней назад +16

    King 👑👑👑 wewe unawapiga mbali sana wasanii wetu Hawa wa bongo wewe ni model kabisa huna wa kukufanana🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Mwanatanga
    @Mwanatanga Месяц назад +15

    Kumeanza kuchangamka king kiba 👑👑

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 Месяц назад +10

    Sema jamaaa wamecheza sana afu nmegundua ukiachana na ali na bella man water ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @anorddevi1185
    @anorddevi1185 Месяц назад +13

    King kiba yaaah 👑

  • @Younghmelody
    @Younghmelody Месяц назад +52

    Wangapi walaikua wanahamu ya kusikia sound ya Producer man water

    • @kassimali1477
      @kassimali1477 29 дней назад +2

      One of the best producers in E.A
      Huyu jamaa inabidi King Kiba amuweke karibu sana

  • @anwarymuhammad7316
    @anwarymuhammad7316 Месяц назад +29

    wa kwanzaaaa

  • @guershomsivihwa125
    @guershomsivihwa125 28 дней назад +6

    Toka Dr Congo 🇨🇩 Kinshasa nawakubali wandugu zangu

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 Месяц назад +15

    Nitoke sasa mana nisharudi hadi nimerudia tena na tena na tena❤❤❤❤

  • @JosuéFerdinand-k3z
    @JosuéFerdinand-k3z 29 дней назад +5

    Alikiba t'es comme une foudre⚡💪.Merci pour cette belle chanson avec man water et Christian bella nos grands barons🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AliMfundo-q1k
    @AliMfundo-q1k Месяц назад +5

    King dee kiba hapa from 254,moja kali Somo

  • @charleslulandalah9785
    @charleslulandalah9785 29 дней назад +8

    Hiii ngoma ni qall sana tusiwe wavumivu kuitazama jmn iende km tulivyo na nguvu ss team music mzuri hatjuagi kushindwa jambo🙌💪🔥👑

  • @augustinomauki5969
    @augustinomauki5969 Месяц назад +12

    Daaaah huyu jamaa bas tu yani....

  • @vincentjuma6457
    @vincentjuma6457 29 дней назад +7

    Umenikosha nishafunga mwaka mziki bila jasho basi ata usipotoa nyengine inatosha🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mongaBtv
    @mongaBtv Месяц назад +11

    Wa kongo tuna poa tu, fière de vous ❤❤❤ bana mboka, bella Na king kiba bila kusau baba man water🎉🎉🎉

  • @neemadanford8815
    @neemadanford8815 28 дней назад +8

    Jamani nyimbo Mbona nzuri inachezeka kwa sisi wa Penda sebene Hebu tulifika she million jamani 🎉

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 Месяц назад +11

    Tuko na mkongo king 💯💯💯💯💯 yooooooooop yebaba ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏

  • @HalimaNamangupa
    @HalimaNamangupa Месяц назад +5

    Oyaa weeeeee Ngoma Kali sanaaaaaa

  • @uiptv365
    @uiptv365 Месяц назад +10

    Musique ya kwetu Congo 🇨🇩🇨🇩❤❤️🔥🔥.Tanzania has joined 🇹🇿🇹🇿❤️

  • @BigStino-kf8go
    @BigStino-kf8go 24 дня назад +3

    On love 🫶 Congo RDC 🇨🇩 tupo pamoja

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 Месяц назад +18

    Weeeh kweli huu ni moto ❤❤❤❤

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga Месяц назад +6

    Ali ndo ameua kabisa from Mozambique 🇲🇿🇲🇿 mm silali

  • @bernadking3835
    @bernadking3835 Месяц назад +8

    Ila kiba mwamba anajuaaaaaa

  • @PhinemeBad
    @PhinemeBad 29 дней назад +9

    Mwana mboka toujours voix congolaise 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 la voix de la rumba 💪💪💪

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 Месяц назад +20

    Natazama hii nyimbo kilegendari nikiwa 254🇰🇪,shabiki sugu wa king kiba na lingala...kazi safi❤❤❤❤

  • @charleskagoma8830
    @charleskagoma8830 28 дней назад +7

    Bonge moja ya Sebene.. Yaan hii collable imeshiba haswaa❤❤❤❤❤

  • @NicholausBatista
    @NicholausBatista Месяц назад +8

    Asee bonge ngoma ni likali nimelikubali htr

  • @mandelajunior5603
    @mandelajunior5603 29 дней назад +6

    Anybody listening from juba South sudan let me know by liking this comment, KING KIBA to the world

  • @MaggaBoi
    @MaggaBoi Месяц назад +35

    Huyu Kiba jmn daaah, kama unamkubali gonga like

  • @JoaomarcelinoRumba-sz3ql
    @JoaomarcelinoRumba-sz3ql Месяц назад +15

    Man Walter baada ya siku nyingi ndo nakuja kumuona Leo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ishima yako king

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo Месяц назад +10

    Nawaona kweli muko pamoja sana 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤

  • @geohmakerseven
    @geohmakerseven Месяц назад +18

    Wale wa dance music goma kali na king 👑 KIBA kaua sanaa kama unakuliana na Mimi weka like tuendebayo

  • @lazenbett5813
    @lazenbett5813 Месяц назад +7

    Kenya from kakamega kenya vybing with king kiba fro DAr in Tanzania 🎉❤

  • @Vox_Melody
    @Vox_Melody Месяц назад +8

    Oy king ni kingkiba alafu kuna king of the melody Oy uwiiiiiiiinoma Sana

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 Месяц назад +8

    Ye baba,umeuwa king kama king. The legendary KIBA

  • @deciocandidoussene3839
    @deciocandidoussene3839 29 дней назад +9

    Ngoma Kali Sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥

  • @SaideAliSangomes-cc7sj
    @SaideAliSangomes-cc7sj Месяц назад +8

    Mimi Ali mimi uyo legendary

  • @deogratiasruvwamabo7507
    @deogratiasruvwamabo7507 29 дней назад +4

    WEEeee!! MAN WATER WEEEE KING KIBA BELLAAAAA🙌🙌🙌🙌

  • @princebkentertainment
    @princebkentertainment Месяц назад +20

    Huna baya baba mfalme nimmoja king kiba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @joshuamartinpryce8424
    @joshuamartinpryce8424 29 дней назад +5

    The legendary voice of expectation is a spiritual force of nature.

  • @DicksonKobe
    @DicksonKobe Месяц назад +8

    Man water na Kiba noma sna ❤

  • @williamnambili430
    @williamnambili430 Месяц назад +3

    From Kenya so much love. Hio song ni fire 🔥🔥. True legends wamefanya ile kitu.

  • @MGEMAMASELLE
    @MGEMAMASELLE Месяц назад +18

    nasubiri collable yak najux king kiba'mak kam mnaugonvi vile,itakuw kal san kam unakubalian namm like ap

  • @collinswambani8972
    @collinswambani8972 Месяц назад +11

    Kalisana Kama Una kubali alikiba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👑👑👑

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 Месяц назад +10

    Kama hiviii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    KILEGENDARY

  • @kulwapeter5807
    @kulwapeter5807 Месяц назад +2

    Noma boss Mani ndio anaetufaa sana

  • @ingozescopion
    @ingozescopion Месяц назад +10

    Man water ndo nimejua kwaniniii unaitwa man water

  • @hamisisalim
    @hamisisalim Месяц назад +1

    Congratulations guys kiba umeua kaka

  • @IssaIssa-h1d
    @IssaIssa-h1d Месяц назад +13

    👑 nomaaaaaaaa legendary kweli kweli

  • @IsdoriBango-ke2ov
    @IsdoriBango-ke2ov 29 дней назад +6

    Nilisubili sana water + King kiba

  • @bushobokaadolphe553
    @bushobokaadolphe553 Месяц назад +13

    Tokoos sana❤

  • @chacklet_brown9505
    @chacklet_brown9505 29 дней назад +6

    Yeeah baba!!! Wape dosee only Legend can relate 🔥 🔥 mob ❤ 🇰🇪 🇰🇪

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 Месяц назад +14

    Christian bella ni mtamu siku zote hata apotee akija kurudi ukimsikiliza una enjoy ❤❤

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 Месяц назад +3

    Man water huyu mwamba ni shida sana,anabalaa lake anajuwa sana mwamba

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 Месяц назад +27

    Wapi wale wa kingkiba wa like a pa

  • @richardmilingane
    @richardmilingane Месяц назад +4

    Nzebo moko ya kitoka, nasepeli.
    C’est l’Afrique qui gagne.🇨🇩

  • @mamoniniyoyishura3289
    @mamoniniyoyishura3289 Месяц назад +18

    Tupo king kila anacho fanya huwa sina uwoga

  • @dalalimrembo
    @dalalimrembo Месяц назад +1

    Hili goma tunafungia mwaka mzima hakuna ataelipindua hili dude
    Usikilize kwenye bufa aiseeeeeeee
    Mm sio shabiki wa mtu ila ni shabiki wa mziki mzuri
    Bella king of vocal ww damu yangu always
    Kiba umeua
    Man nae 💝

  • @Bugatvshow013
    @Bugatvshow013 Месяц назад +8

    Turabakunda cyane hano mu RWANDA 🇷🇼🇷🇼 Kandi iyindirimbo ninziza cyane ❤❤❤❤

  • @thimba-officiel4430
    @thimba-officiel4430 29 дней назад +4

    Hum paka apa congo uyu kiba ana tisha sana ana imba kama mtoto wa werra ,,,,, uyu kiba mukali to ndimiye 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Abdulaziz-tb1gd
    @Abdulaziz-tb1gd Месяц назад +15

    Kila mtu yeye wa kwanza king ameuwa mau yak🎉🎉

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc Месяц назад +4

    Hatariii nakubal sana

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Месяц назад +6

    Legendary King kibaa kamaaa hiviii

  • @Majuu_Simba
    @Majuu_Simba Месяц назад +8

    Ukiachan na king wa pori 《simba》huyu king wa mziki 🔥

  • @KanikiIvanChris-w7j
    @KanikiIvanChris-w7j Месяц назад +9

    King kiba baba keyan 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥇🥇🥇🥇

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 26 дней назад +2

    The king of African Ally kiba namkubali sana

  • @PlayboyComtz
    @PlayboyComtz Месяц назад +166

    Tuliorudia huu wimbo zaidi ya mara 3 tujuwane kwa LIKE ila ALIKIBA king wa bongo Fleva hakuna wakushindanishwa nae hapa tanzania na nchi jirani zetu❤❤❤❤❤❤❤

  • @TMtandila
    @TMtandila Месяц назад +3

    Hii ngoma hatar sanaaaaaaaa

  • @TresorKalonda-lt6vj
    @TresorKalonda-lt6vj Месяц назад +5

    Alikiba 💪💪👍 nakupenda Sanaa depuis Congo

  • @MauBonde
    @MauBonde Месяц назад +3

    Katika nchi ya Africa wakongo wanahisi kabisa wako nyumbani ni bongo.ngoma Kali.

  • @mupendambusa2575
    @mupendambusa2575 Месяц назад +22

    Wa kwanza kutoka mjini goma drc🇨🇩 nipeni like zangu

  • @chakamweruphe999
    @chakamweruphe999 29 дней назад +2

    Bella na alikiba mmeuwa big up vocals babu kubwa hasa bella

  • @saidimohamedi9948
    @saidimohamedi9948 Месяц назад +7

    Huyu manh20 n mbaya sana gola la kufungia na kuanzianalo mwaka

  • @abdallahkomba6605
    @abdallahkomba6605 29 дней назад +4

    Legendary kweli ❤❤❤❤ kwa hii ngoma babu kubwa respect 🙏 🫡