Nimependa Sana usomaji wako na KIPINDI hiki. Mungu akubariki sana. Umenifundisha kitu kikubwa . Jamani tujifunze kusamehe na kuwapenda maadui zetu. Na tumtafute sana Mungu.maana yeye ndiye uhai wetu
Sijajua ni kipaji tu au ulipata pia maarifa kwa mtu, na kama ulipata kwa mtu huyo mwalimu wako si atakuwa baraa, maana story zako si kuelimisha tu bali mvuto pia wa maneno unaleta hamasa kubwa sana wa kusikiliza zaidi na zaidi. GOD BLESS.
Mfikirie sasa kutengeneza makala (documentaries) kuhusu viongozi wa taifa hili hapo zamani + pamoja hata na ma-chief kadhaa. Mfano makala kuhusu Mtemi Mkwawa, vita vya Majimaji, nk. + na kwa namna unavyoelezea ingependeza zaidi.
Dah,ww Jamaa upo poa sana umenifanya nijue vitu vingi dunian ambavyo nisingejua mpaka kufa na nmejifunza sana na mm kwasasa naweza kutoa hoja sababu umenifundisha,endelea na Mimi nipo pamoja naww man
Inasemekana Winnie ilifikia hatua akaamini Mandela hatokaa atoke gerezani hivyo aliamu kuendelea na maisha ya mapenz kama kawaida mpaka akajisahau na kumbe Mungu alipanga mumewe siku 1 atatoka gerezani na hapo ndipo mambo yakawa kama yalivyokuwa
Mandela hakushindwa mapenzi nafsi yake ilishawishika kwa sababu ya uongozi.amwacha Winnie ili chama chake kisimteme. Kumbuka bila ya Winnie Nina make MANDELA linge sahauluka kitaamboo akiwa Robben island. Mara mingi tunamsifia sana Nelson na kusahau Winnie..
km unamkubali mtangazaji huyu gonga like apa twende saw
Nimependa Sana usomaji wako na KIPINDI hiki. Mungu akubariki sana. Umenifundisha kitu kikubwa . Jamani tujifunze kusamehe na kuwapenda maadui zetu. Na tumtafute sana Mungu.maana yeye ndiye uhai wetu
Uko vizuri muandaaji, tumejifunza vitu Vingi kwenye hii Makala yako na hata ile ya kwame Nkuruma
We love mandela May Allah gives you paradise I. Shaa Allah
Edgar na Denis ur so great fantastic fantastic u make African youth so great this is true history of our time.
Asante Muliro. Hivi ni yule Muliro wa Kibondo?
@@mpagazedenis8395 ndio nipo kisumu for unafanya kazi nzuli mungu akubariki
Ur de best ma brother unajua kuliko wanavyokuchukulia
Asante sana global TV. Mpo vizuri.
Yaani nasikiliza mpaka tangazo gold voice bg up.
Unasimulia vizuri sana mkuu endelea hivyohivyo nafatilia sana habar zako
Uko vizuri kwenye uchambuzi nimezipenda sana. Hongera sanaaaa
I appreciate the way you narrate these wonderful stories! Big u sana mzee baba
Mtangazaji uko Sawa...Big up
Daah......barkiwa kwa kipaji
Masimulizi moto kabisa..kazi nzuri aisee!
Sijajua ni kipaji tu au ulipata pia maarifa kwa mtu, na kama ulipata kwa mtu huyo mwalimu wako si atakuwa baraa, maana story zako si kuelimisha tu bali mvuto pia wa maneno unaleta hamasa kubwa sana wa kusikiliza zaidi na zaidi. GOD BLESS.
Sauti ya huyu Ananias inatisha sijawahi kusikia sauti ya muvuto kama hii,Ananias thank the Lord you,re a talented journalist. I assure you
Ahsante sana
Mfikirie sasa kutengeneza makala (documentaries) kuhusu viongozi wa taifa hili hapo zamani + pamoja hata na ma-chief kadhaa. Mfano makala kuhusu Mtemi Mkwawa, vita vya Majimaji, nk. + na kwa namna unavyoelezea ingependeza zaidi.
Ahsante sana Anania Edgier
Mashaa allah kaka uko vizuri sana zaidi ya sana
Big up 2 you kwa kazi zako nzuri
Jamaa noma sana. Dondosha comment. Yko kama unamkubali jamaa
William Nyankongo
William Nyankongo namkubali mno
Hawa ndio viongozi wa kuigwa
Dah,ww Jamaa upo poa sana umenifanya nijue vitu vingi dunian ambavyo nisingejua mpaka kufa na nmejifunza sana na mm kwasasa naweza kutoa hoja sababu umenifundisha,endelea na Mimi nipo pamoja naww man
Napenda sana hizi story zinanikumbusha sana kazi nzuri kaka
Niceeeeeeeeee kama zoteeeee
Ukweli ni kwamba hiyo misemo na mifano yako ndio inanikosha zaidi. Pongezi sana Ananias Edgar.
Kiswahili chako kinaelewa saanaa , ungekua mwalimu wanafunzi wangepita kiswahili sana dope
Dah aisee unasimulia kama ulikua unaishi na huyu Mandela, soooo nice
Aisee we jamaa una bonge la sauti yani huchoki kusikilizwaaa😊😊
Kabisaaa
well done Ananias Edgar, your voice punch is superb
Napenda vionhoz kama hawa kwani wananifunza maisha ya uvumilivu na HAKI silazima niwe kiongozi Wa kitaifa
Uko vizuri kwa simulizi
Hongela kwa kazi nzuri Ananias eddiga
Wewe ni mwalimu mbele ya walimu nyuma ya walimu hongera sana historia unaitambua sauti nyororo
yupo powa sana napenda jinsi anavyo toa history daaaah ananifanya natamani kulud clasic
Aksante.
Msamaha ni ushindi. Mungu amrehemu shujaa huyu.
A leader stay with his people
Akiiandaa mpagaze akiisoma Edgar,,, eebana kila kitu shwari bana..... shukran kwa historia hii
Asante
@@mpagazedenis8395 Karibu mkubwa wangu,,,, akujaalie afya njema na ufasaha zaidi kwa kazi yako...MUNGU.wetu aliye hai
Asante kaka kwa kazi nzuri
bomba ya mtangazaji big up
Kila siku lazima niskilize walau histolia moja,,unajua sanaaaaaaa mkuu
Nakukubali sana
Jamaa bomba sana na story kali, bigup sana mkuu tangaza zaidi na zaidi
Man you are so pleasant,watazania tuna bahati sanna yakua na watu wazuri.
Ningependa uwe mume wangu uwe tu unanihadithia hadithi beautiful voice mash Allah
ha ha ha
Inasemekana Winnie ilifikia hatua akaamini Mandela hatokaa atoke gerezani hivyo aliamu kuendelea na maisha ya mapenz kama kawaida mpaka akajisahau na kumbe Mungu alipanga mumewe siku 1 atatoka gerezani na hapo ndipo mambo yakawa kama yalivyokuwa
Mpo vizuri sana
Ningependa kuwasiliana na bro Denis Mpagazi
Nipo Eric 0753665484
nakuerewa Sana sikosi kila simulizi zako Ananias Edgar Big up Mani
Historia nzuri Aksate
Broo wewe ni moto wakuotea mbali,Asante baba kwa kutufunza
kaka nakubari sana kazi zako mungu azidi kukupa uhai na maarifa
Uko sawa bro
Nice sana hio
Appreciated broh..keep it up
nice one
Uko vizuri bro hongera sana
nzuri sana Ananias
Denisi Mungu akupe neema tuu !! Shuja wa kusiasa kushindwa na ndoa ni baraa
big up ndela
Unajua kuaimulia,❤️❤️
From Qatar 🇶🇦 nakuelewa sana kaka unatisha kama Simbaa
Safi sana Mkuu
Wow! Hongera kwa kumbukumbu hii.
Ukomakini_Sana Brother.
Imekaa safi! Somo limefika.
Uko vizuli sana respect kwako
Uko vzr Sana bro
Upo vzr br, nasubili ya Mwal.Jk.Nyerere.
Hongera sana Mpagaze
bless sana bro napenda sana simulizi namisemo yako
Nilikua nangoja hisitoria ya Mandela sana BG BG buroo
Nakukubali darecta
Story inakwenda na comedy ndani yake,I enjoyed it.
Niko Kenya nakupenda sana unanielimisha sana kwamajina ni Collins
nzuri xana
Mandela hakushindwa mapenzi nafsi yake ilishawishika kwa sababu ya uongozi.amwacha Winnie ili chama chake kisimteme.
Kumbuka bila ya Winnie Nina make MANDELA linge sahauluka kitaamboo akiwa Robben island.
Mara mingi tunamsifia sana Nelson na kusahau Winnie..
Hongera
Guys keep you're promise, mmeanza kuwaangusha wafatiliaji wa makala zenu, ni hayo tu
I really like the way you have presented! Well done 👍
Noma sanaaaa
Edger uko vizuri kaka,unanikumbusha zuberi msabaha
Ila hao watu Mungu anawaona jamani miaka 27 duh!!
Jamani waafrika kwa waafrika mnabaguana😥😥 na hamsikilizani😥😥
Kiswahili lugha nzuri sana
safi sana broo unajua
vzr brother
Ahsante sana kaka
Bado nakukumbusha utupatie story ya Steve BIKO mwanaharakati wa South Africa pls pls
Aaaa,kaka BG up
NAPENDA HISTORY YAKO BROTHER
So nice
Nakukubali sana brow
Nashukulu kwan nimepata funzo.
Mko vizur saana
safi sana simulizi nzuri sana😂
NAmunga mukono hawawanaweke tunao owanisumukubwa tunapititia mengi unakata muhaharifu anayekuhatarisha maishayo unasikia wanamupingia Sim mutupendani muturiyezanaye
napenda hizi historia unazozipenda
You're smart
Hongera sana kaka unajua kuongea sana
Bro upo vizuri sana ....
Napenda sana history tamu
I like it bro..your up%%%%
kipaji brother 💪💪💪
Pamoja sana
Nawashukuru Sana naomba niwapongeza kanisa wenu Briton ndishi mwz
Noma sana ww mwalimu w History full
Tunaingoja kwa sana hii