Mbowe: Misukosuko Isiwatishe, Tusikubali Tukaona Mwenye Mawazo Tofauti Ana Dhambi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 105

  • @davidsilwamba2465
    @davidsilwamba2465 День назад +13

    Asante kwa hutuba nzuri,ushauri wangu mh mwenyekiti nakuomba ufanye uamuzi wa kusitafu nakubaki mlezi namshauri wa chama chetu ili kujenga heshima yako milele tunashukuru hapa ulipo kifikisha chama.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 6 часов назад +1

      Mlezi mkuu wa chama. Katiba ya CHADEMA irekebishwe kuwe na nafasi itakayomfaa mtu aina ya Mbowe.

    • @NicholasMtoro
      @NicholasMtoro 4 часа назад

      Bado lisu hatosh

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День назад +6

    Hongera sana ndugu Mbowe. Hekima zako zimezidi na kuona mbali sana. Kuna wafuasi wako hawaoni mbali . Wako hapo kimaslahi binafsi. Wewe na Lisu wote mko vizuri sana ndo mmekaa vizuri kwa miaka mingi sana. Wanaheshimiana, kuthaminiana na kusaidia a Lakini wengine hawajauona umoja na udugu huu wa kweli wa Mbowe na Lisu na ndio hao wanao wa wana manenomaneno. Wengine wamenishangaza sana hasa Boni Ayi kwa maono yake finyu na maneno aliyoyatoa zidi ya Lisu ambaye ameisaidia kuileta Chadema hapa iliko. Wengi hawampi pongezi yake anayostahili. Ingawa ana staili tofauti na Mbowe mchango wake katika chama na nchi hii ni mkubwa sana. Hana woga, hapindishi na unaweza kumtegemea na kumwamini. Ni wewe tu Mbowe na wachache wengine unajua mchango wa Lisu kwako, kwa Chadema na Taifa kwa unumla.
    Wewe na Lisu ni watu wawili mnaoheshimiana kikazi na kujaliana sana. Tulikuona wakati Lisu alipigwa rızası. Nakusifu kwa ushujaa na ukweli wako kwa kutunza hadhi ya chama. Mungu akubariki sana kwa kujielewa na kumtetea pia Lisu kama mwenyekiti kwani kuna watu ndani ya chama hawajali kukiua kwani hawana uchungu nacho kama wewe na Lisu mlivyokuwa na uchungu nacho. Mmeonyesha kwa pamoja kukilinda, kusimamia kulikuwa na kukilinda chama, watu wake na maslahi yake. Mtawavutia watu wengi zaidi kwa msimamo wenu kwa pamoja bila kutetereka, mtakiboresha zaidi na kuaminika mbele za umma zaidi. Mko vizuri na chama kipo vizuri zaidi. Wapondeni na muwasaidie hao wenye ma wazi hadi. Kama wanakipenda chama watazidi kukiunga mkono na kuwaungeni mkono nyinyi wawili .Mungu awabariki sana Tanganyika inawahitaji sana hasa kwa sasa. Mungu ibariki Tanganyika na watu wake. Tuvusheni.

  • @AluminiumMandela
    @AluminiumMandela 22 часа назад +6

    Haya mwenyekiti wa maisha kila mtu akitaka kugombea anageuka kuwa adui yako.tukikupa nchi utatoka kweli???

  • @Tanzaniayangu-g8v
    @Tanzaniayangu-g8v 4 часа назад

    Asante kwa hotuba nzuri mhe mwenyekiti, binafsi nakuomba uwe mshauri wa chama kwasasa, ww na jopo lako mzidi kubuni maono na mipango mizuri kama hii.

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 День назад +8

    Me binafs nakukubali sana ila achia ngazi mbowe tumekupigania sana mzeee

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 День назад +3

    Nimekubali mbowe nikiongozi Chadema Familly Umeleta jambo jemaa sanaaa sanaaaa xanaaa Namimi Lazima nijiungeee::::::::____Jambo jema sana la chadema family❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 7 часов назад +1

    Achia,muda unatosha umeongoza miaka mingi sana,mwaachie Lissu ,kumbe Msigwa alikuwa na jambo

  • @songombingo108
    @songombingo108 День назад +15

    Waambie hao vijana wako Machawa wako. Tayari akina Boni Yai wanamuona Lissu amekosea kutangaza nia kugombea Uenyekiti.

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j День назад +1

    Mbowe
    Mungu wa mbinguni akubarki,kwa maneno,yako yanalizisha sana,Amina

  • @MentfrezHustlerRasta
    @MentfrezHustlerRasta 10 часов назад +1

    Kiongozi Bora Tanzania

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Час назад

    Mzee huyu ana busara sana Mungu akupe maisha marefu sana baba wewe ni baraka kwa taifa la Tanzania

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 22 часа назад +4

    Mngefanya uchaguzi ili tuone chaguo la wanachadema

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi 18 часов назад +1

    Kaka mbowe mm ninakuelewa sana,una busara,hekima,maarifa na maono ya mbali sana.Mungu akulinde.Tatizo la tindu lisu Ana haraka sana,na busara hana akipewa chama,ataua chdema kwa haraka sana.

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r День назад +3

    Usije ukatuletea habari za wangwe zitto na slaa safari hiii pumzika hatutaki ma vyama ya kifamilia

    • @AgustaZaile
      @AgustaZaile 23 часа назад

      @@MalaikaHome-b6rchama cha wachaga

  • @AlfredChiganga
    @AlfredChiganga День назад +4

    Ni muhimu mkubaliane ili kukilinda chama, maana wote mnakubalika kwa watanzania. Kumbukeni malumbano yatasambalatisha chama.

  • @alexbujenja2750
    @alexbujenja2750 День назад +2

    Watangulizi wako wameongoza kwa miaka 10 kwa 10 ila wewe unaenda 20 sasa hata Zito kawa kiongozi ukiwa tayar wewe ni Kiongoz mpaka kaachia kiti wewe bado uko mwenyekiti! Hapana ktk hili sikuungi mkono mbowe Ruhusu mawazo mapya nayo tuone yanatufikisha wap.

  • @JOACKIMTEMBA
    @JOACKIMTEMBA День назад +3

    Mzee niwakati wako wakustafu kwa heshima
    Usituaribie chama kwa kujenga machawa
    Kwako wewe chama ni kampuni

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u День назад +4

    Kiukweli Mboe ni kiongozi kweli kweli namkubali asilimia Mia 100

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 День назад +1

    Anachokiongea nahisi amepoteza umakini baada ya press ya lissu lakini kama tangu mwanzo alikua lengo lake ni kujenga imani mpya inayoitwa chadema na kuunda vigango na jumuia kamaza kikanisa amepoteza muda sana katika hiyo nafasi na ajui nini maana ya chama cha siasa

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Час назад

    Baba yetu mwenye busara sana na Kiongozi bora mwenye sifa ya kuigwa watanzania tunakupenda sio kidogo na utakumbukwa katika historia ya nchi yetu vizazi na vizazi

  • @PelleSamky
    @PelleSamky День назад +5

    Madaraka haya tolowi kwenye kisahani mjue hilo ,pia msilumbambane ,acha vijembe unakosea, ulichofanya Wewe nini ? Ni yaleyale unaharibu kabisa hizo turufu mbali ndio wenye chama mmojawapo akitoka hakuna chadema .

    • @Flaviosafari
      @Flaviosafari День назад +1

      Ni kweli. Lissu akiondoka kwa figisu tunaondoka naye.

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 День назад +2

    Mbowe ni kiongozi bora si bora kiongozi. Mbowe ana hotuba bora nzuri inayovutia jamii kama Nyerere. Nyrere alidai uhuru wetu bila kumwaga tone la damu ya mtu yeyote

    • @Benj722
      @Benj722 День назад +2

      Ndio maana naona ndio muda wake sasa wa kukaa pembeni

    • @wazirimwanazuoni5567
      @wazirimwanazuoni5567 День назад +1

      Nchi yetu ilikuwa chini ya Udhamini wa umoja wa Mataifa na ndio maana hakukuwa na ugumu katika kupata uhuru wake. Hata kama Nyerere asingekuwepo tungepata uhuru mapema na bila kumwaga damu. Ingekuwa umesoma historia kidogo usingesema hayo

    • @davidpallangyo114
      @davidpallangyo114 День назад +1

      Hivi ndugu zangu,Mwalimu Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa TANU na baadaye CCM kwa jumla ya miaka mingapi?
      CUF ina nguvu kiasi gani leo?
      NCCR Mageuzi ina nguvu kiasi gani ?
      Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM mpaka pale alipokuwa na uhakika kwamba siyo rahisi tena kuitikisa CCM na kuisambaratisha.
      Ni kweli,Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa Chadema kwa muda mrefu lakini hicho siyo kigezo peke yake cha yeye kuachia uongozi!😮

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад

      Mbowe kalelewa na Nyerere hivyo ana sifa ya kuwa kiongozi na ndio maana chadema iko imara chini yake.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад

      ​@@davidpallangyo114sio kigezo kabisa.Mbowe anafaa sana kuendelea kuwa mwenyekiti.Nyerere alikuwa mwenyekiti na urais juu kwa muda mrefu.

  • @trueprophet7627
    @trueprophet7627 День назад +1

    Mbowe achia chadema. huna maarifa mapya ya kukaboliaana na ushetani wa ccm. malalamiko hayatakiwi kukabiliaana na cxm

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 21 час назад +3

    Mimi naomba lisu awe mwenyekiti kwa sasa anahitajika hstutaki maridhiano na samia ni kupoteza muda

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 День назад +1

    Dah huyu jamaa kumbe anataka kiwe chama cha kuzikana na kusaidiana sio kushika dola hahahahahhahahaa, ndio maana anaona hata jambo la uchaguzi sio ishu

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 20 часов назад +1

    Lissu ukigombana na CHADEMA utakuwa unakosea sana.

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 7 часов назад

    Mbowe tunakupenda ,tunaheshimu hatua zako kwenye demokrasia ,tunatambua mchango wako kwenye kutetea haki za watanzania ila nakuomba kapumzike ,mpishe Lissu tuna Imani kutupeleka kwingine tena ,uking'ang'ania ,sitowahi kukuheshimu kwa lolote maana hautakuwa tofauti na yale mnatuambia Ccm wanafanya ,umeongoza miaka mingi sana ,waachie na wangine tena,usiongoze milele,ulishawalea vya kutosha nao ss wataweza ongoza chama

  • @yomseyyomsey5114
    @yomseyyomsey5114 День назад +1

    Mbowe ni M/k Mzuri sana na mwenye Hoja za Msingi na mchambuz makin sana Yaani Ni Mtulivu na mwenye Kujiamini na Kuwa M/k sio Dhambi Jambo la Msingi ni Uwezo wa Kuongoza chama na Wanachama na Jamii kwa Ujumla mbona Bado Nguvu Anazo uwezo Anao na Tumaini la Watanzania bado Anao HIVYO Wana-Chadema hiki kipindi Cha kuwa Makini na Upande wa Pili maana Huenda kuna-mamluki

    • @AgustaZaile
      @AgustaZaile 23 часа назад

      @@yomseyyomsey5114hapa umefikiri kwa makalio

  • @geey7893
    @geey7893 День назад +3

    Tulia dawa iingie wewe Mugabe😂

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 17 часов назад

    Mimi naona kama mtaona uchaguzi unaweza kupasua chama sitisheni huo uchaguzi ili kulinda chama, nawaomba sana kutumia hekima ktk maamuzi yenu ili kulinda chama naomba Mungu awape busara.

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 День назад +1

    Hekima busara na maarifa ya kutetea haki na kweli ktk taifa kama baba wa taifa Hayati Mwl. Nyerere.

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 День назад

    Mkuu point zako ni za msingi sana ila kuna watu wameanza uchawa sio fresh.

  • @allenmambasa408
    @allenmambasa408 10 часов назад

    Resign mkuu. Tunahitaji kuona sura mpya. Hiyo ndiyo demokrasia.

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl День назад +2

    Hotuba hii iko vizuri kwa were busara ni hotuba ya kiongozi

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze День назад +1

    Huwa natafakari Sana kwa Nini Kila anayeondoka chadema anapungukiwa na utukufu teteeni haki na haki Ni zaidi ya uchaguzi chadema family point

  • @kamekafuraha1465
    @kamekafuraha1465 12 часов назад

    Mimi ni ninaona Mbowe kapambana sana na hiki Chama sanaaaaa ila uongozi ni kijiti ambacho hubadilishana
    Ila yote na yote najiuliza hivi IKL MBOWE huwa a anasoma hizi keeling sms?

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r День назад +1

    Mmmh acha ugai gai ni zamu ya risu antpas na wewe uanze kukaguliwa

  • @ShafiiSoud-b3w
    @ShafiiSoud-b3w 18 часов назад

    😂😂😂
    ngoja nitulie kwanza

  • @IbrahimMwakasembe-mu5fv
    @IbrahimMwakasembe-mu5fv День назад +1

    Mbowe, kustaafu kwako kutakua ni alama nzuri. Nakuelewa sana mbowe

  • @willymkapa-fb6bj
    @willymkapa-fb6bj День назад

    ❤❤❤

  • @tumsifuweraufoo5380
    @tumsifuweraufoo5380 День назад

    Kaka yangu mbowe nnashukuru wewe ulikomaa bro,achana na siasa chama mikanda chadema

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 День назад +2

    Mwamba huyu hapa

  • @SaidKasuka
    @SaidKasuka 14 часов назад

    Kwani chadema hakuna mtu mwingine anaeweza kuongoza chama ni ww2 mnauwa chama iyo minyukano yenu inaathari kwa wapiga kura wenu hamtoona ilo asaiv

  • @PelleSamky
    @PelleSamky День назад +1

    Kwani hamna wazee ,malizeni mambo yenu kimya kimya, kwani uwenyekiti nni, mpaka mbalumbana,?

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 День назад

    Maneno haya akiyasikia Msigwa wa Iringa roho ina muuma anahangaika kukuhujum lkn mziki wako hauweziiiiiiiiiii

  • @evancemwaky7425
    @evancemwaky7425 5 часов назад

    Sawa tumekuelewa ila sasa ni zamu ya Tundu lisu

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise День назад

    Basi tuombe nchi nzima liwe tangazo kila mtaa hata msiba ukitokea tusikubali kuchangishwa na maccm tuwe wakujichangia wenyewe na maccm wajichangie wenyewe maana nahamini awapo wanaesabika labda wawaombe na polic wanaowalinda wawachangie tukifanya ivyo tutakua tumepiga hatua kubwa Kama chama,

  • @castromemba6311
    @castromemba6311 День назад +2

    Mbowe achia

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 День назад

    Huyu mzee awam hii ataingia kumi na nane za watu

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 16 часов назад

    Mbowe demokrasiya huna

  • @saygelori6773
    @saygelori6773 10 часов назад

    CHADEMA bila Mbowe itakuwaje!?

  • @SaidKasuka
    @SaidKasuka 14 часов назад

    Lisu aliwaambia hamjajipanga uchaguzi wa wenyeviti mkamlaum nani kweli mmeshindwa hata kufanya kampeni mikoani uku alafu mnataka dola badilikeni nyinyi

  • @ellyjeremia9401
    @ellyjeremia9401 День назад +1

    Lisu nenda ACT Wazalendo chadema ni genge la wahuni

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn День назад

      Mbona wewe hujatangulia umebaki ccm.Mshauri aende kwenye chama chako.

    • @SaidKasuka
      @SaidKasuka 14 часов назад

      Kabisa cdm wamepoteza dira

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari День назад +2

    Nakupenda mwenyekiti. Una ujasiri na hekima kubwa sana ya kiuongozi.Mchango wako kwa siasa za upinzani ni mkubwa sana. Sikwambii usigombee au ugombee lakini angalia maslahi mapana ya chama na wananchi tunataka nini. Namna mtakavyotoka kwenye huu msukosuko itatupa picha pana ya mustakabali wa uongozi wenu pindi tukiwapa nchi. Wananchi tunataka demokrasia ianzie kwenu tuone haki ikitendeka kwa uwazi.

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 14 часов назад

    nakuunga mkono mbowe najuiliza kwa nini lissu anaungwa mkono na ccm? na kwa nini ccm wanatamani lissu awe m/kiti chadema? kwa nini ccm wanamchukia mbowe? ukiona adui anakusifu basi ujitafakari. mbowe bado ni mtu sahihi

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 День назад +2

    Baba 2019 ,2020 na 2024 inakutaka upishe wengine waje na strategic nyingine.. hiyo ndiyo principle za siasa.
    Rish UK conservative wakupe somo.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz День назад

      Hapana apishe wengine ili iweje na wakati bado chama anakiendesha vizuri na kiko salama chini yake.

    • @yomseyyomsey5114
      @yomseyyomsey5114 День назад +1

      CHADEMA chairman is Able & Argues Things Greatly And has power And he still with more powers for management & Administration !!!!

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 День назад +1

    Lissu kwahuyo mwamba atoboi😢😅

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 День назад

    Nnje ya CCM hakuna atakae stawisha Taifa hili

  • @PhilipoIsaay
    @PhilipoIsaay 7 часов назад

    Achia chama chetu were imetosha umeshakua chawa WA mama

  • @SalumuLyenda
    @SalumuLyenda 15 часов назад

    Pumzika ndugu Kila miaka mwenyekiti wewe ukuna watu wengine,,au apo unapo ng'ang'ania kunani?

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 День назад

    ✌️

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День назад

    😢😢😢😮

  • @MichaelChombo-w2u
    @MichaelChombo-w2u День назад +1

    Mbowe mbona una busara sana

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile День назад +1

    Mbowe ni tapeli

  • @GbpAud_King
    @GbpAud_King 23 часа назад +1

    Stafu wewe mzee

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 15 часов назад

    Mbowe achia chama wewe utabaki baba wapili wa taifa lasivyo hicho chama utabaki na mkeo tu

  • @willymkapa-fb6bj
    @willymkapa-fb6bj День назад

    Busara nyingi sana

  • @ReginaldMushi-l6d
    @ReginaldMushi-l6d День назад

    Tundu lisu ni kirusi
    Anasahau watu walikuwa naye
    Leo anaona anafaa kuliko waliomfia!

  • @franksiame8441
    @franksiame8441 День назад +1

    Lisu ataua chama ana haraka sana

  • @TonyTrans-xw3bb
    @TonyTrans-xw3bb 22 часа назад

    halafu tujiulize hivi juzi Mbowe na Lissu walikutana wakaongea na waandishi wa habari sasa iweje tena Lissu arudi kesho yake atangaze nia ya kugombea uenyekiti je hilo linaingia akilini kweli

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz День назад

    Inawezekana Lissu yuko kundi moja na Msigwa na wamepanga kufanya usaliti.

  • @TonyTrans-xw3bb
    @TonyTrans-xw3bb 22 часа назад

    watu wengi hamjamjua Mbowe sio mtu wakupenda madaraka ila kakijenga chama kwa tone na damu kwahiyo yupo makini sana halafu angalia speech ya Lissu unagundua teyari kashapewa chake

  • @evelina9621
    @evelina9621 День назад

    Msikasirishe.mgangee.yajayo.chadema.wengi.mnadanganwa.haasa.chama.tawala

  • @Mkopi-TZ
    @Mkopi-TZ День назад

    CHADEMA ni separatist party kinataka kuvunja muungano, kinarudisha nchi nyuma hapa ni TANZANIA tu.
    CHADEMA ni hatari kupata dola.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo День назад

      Muungano upi utavunjwaa??Tanzania hakuna Muungano!wewe bwege!ni Ukoloni mambo leo Kwa Tanganyika kuitawala Zanzibar!

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 10 часов назад

      Una ka ushamba ka kijuaji

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j День назад

    Haaaaaa,

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 День назад +2

    mbowe achia ofisi unauza chama mzee maliziano na mengine huu mda unahitaji nguvu mpya falisafa mpya mzee kulinda chama nikuachia ngazi wewe

  • @abasishayo1402
    @abasishayo1402 День назад

    Akili kubwa mwenyekiti

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 День назад

    ✌️

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 День назад

    ✌️