Jenerali na Prof. Shivji: Tunaendeleaje Toka Uhuru? Pt 2 |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 5

  • @Abrahamdon5692
    @Abrahamdon5692 День назад +1

    Ni kichwa tu kichovu kinaweza kuchoka kuwasikikiza.. ninyi ni sawa na Ile talanta iliyopokelewa ila ikafichwa badala ya kuzungushwa ili izalishe.. God bless you🙏🏼

  • @knight6757
    @knight6757 День назад +1

    4:10 Mahakama ipi isimamie haki ?😂

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 День назад

    La kuvunda halina ubani!

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 День назад

    Tamisemi kusimamia uchaguzi wa vyama vingi ni kichekesho cha karne.

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 День назад

    Leo wazee wanajadili mstakabali wa nchii vijana wanawaza kubeti na simba na yanga mhh taifa langu tanzania