#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Jiunge nasi moja kwa moja tukiripoti kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, anazungumza na waandishi wa habari. Tamko hili linatarajiwa kugusia masuala muhimu yanayoathiri chama hicho, ikiwemo: uchaguzi mkuu wa ndani wa chama hicho.
    kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии • 45