Hakuna Mbowe wala Lissu wa kuitowa CCM..Lissu akiwa Mwenyekiti wengi watahama Chadema,kwasababu atapisha a na wengi sana...Amekosa Hekima,na amekosa busara...
Hakika Askofu Mungu akutunzee sanaaa,hakika Tanzania aitajengwa na vyama si CCM wala CHADEMA balii ni WATANZANIA wenyewe wakiwa na uthubutu na utimamu wa fikra
Huu sio wakati wa kusema mema ya mtu! zaidi Huu ni wakati wa kutengeneza akili ya kuyakabili maccm! Hata Kama wanatumia majeshi ya nchi kukandamiza haki za raia! binafsi Najivunia Mh Lissu! ni wapumbavu tu na magoigoi ndio wanaombeza Mh Tundu Lissu.
Mpka sasa mbowe hajatangaza nia 😂😂 hii ni swala la lissu kuwa alishaandaliwa kuwa mwenyekiti ,, hakuna mchuano bali ni swala la kuboresha chama # lisu for chadema mbowe for chadema Tanzania ya chadema😂😂
Kama kweli Unajua jinsi ya kuchambua siasa na unataka kusema ukweli toka ndani ya moyo wako huwezi kabisa kusema uongozi wa Magufuli ni sawa au unskaribis kuwa sawa na wa mama....hiyo si kweli kabisa. Yaani uongozi wa wawili hao uko tofauti sana sana sana kabisa hata watoto wa shule Wanaweza kukuambia tofauti hizo tena kwa usahihi na ni.kubwa za wazi kabisa.. Labda kama kuna kitu kimoja au vichache sana unataka kulenga. Kwa analysis ndogo to za kawaida huwezi kabisa kulinganisha wawili hao baba askofu unapotoka kidogo. Kuanzia approach yao.kwenye mambo, misimamo yao katika kila jambo Kya.zia uchumi, matumizi.ya pesa za uma, kufanikisha na ufisadi, rushwa na mengine mengi sana. Hawafanani hata kidogo
Wanasiasa bwana wanajijua wenyewe. Kusema ukweli kuhusu sifa za mtu ni kama kujiloga. Hawajui kuwa ingewafanya waonekane wakweli na wenye mvuto zaidi. Hilo hawajui
Kweli. Siyo mema ya mbowe tu bali hawezi kusema mema ya mtu yeyote anayemhofia hata kama mtu huyo ameshakufa. Anasema kasoro yake tu hata kama ni ndogo ataikuza kisiasa. Huyo ndiyo Lissu mwenyewe. Ni mwanasiasa haswa. Lakini angeonekana muungwana na mkweli zaidi kama angesema yote....mema na amabaya ya mtu
Sishangai kabisa. Lissu hawezi kusifia kiongozi hata kama kiongozi huyo amekufa kwake ni ngumu sana kusema mazuri yake japo hashindani naye tena. Badala yake atashupalia kwenye kasoro moja ataitumia kwa nguvu zake zote kama.ngazi yake ya kupandia juu. Kama ndiyo siasa zilivyo basi ni ngumu sana kumwamini mwanasiasa kama anasema ukweli. Kama ukweli huo hai na faida kwake binafsi basi hawezi kuutaja wala kusifia. Hiyo siyo fresh
Kati ya wagombea hawa kuna wanaoambiwa "Bila wewe chama kitakufa"?? Nyerere aliambiwa hivyo pia. Baadaye aligundua hao wanasema hivyo kwa maslahi yao binafsi.
Lisu atakaposhinda asilipe kisasi awasamehe tu hawa wapambe wa Mbowe wnaoibuka na pia Mbowe akishindwa amsamehe tu Lisu ila Mbowe abadili stail ya uongozi wake
Askofu kwani Lisu hakusema Chama kimekua sana?? Alafu hakusema katiba haikuwa na ukomo wa uongozi kwakuwa walikua wachache mno? lakini sasahivi wamekuwa wengi sana? hivyo katiba inafaa kurekebishwa iwe na ukomo wa Uongozi. Askofu Hiyo haitoshi kuonyesha kuwa Lisu kazungumza kuwa Mbowe kafanya kazi nzuri na kubwa kipindi chake ?? Na hayo aliyosema Lisu atafanya hata Mbowe anaweza kuyafanya. Lakini ni busara kupokezana Uongozi ,na kuendelea kushauriana kukijenga chama.
Mzee umeongea vizuri sana sisi vinjana ni wajinga wa fikila leo Tundu lisu eti ametumwa huo ni ujinga wala siyo uzelendo kumbe kuomba kura ni kosa hata mbowe wanamudaganya hebu tuache unafiki tusubili sanduku ndo litaamua
Lissu hakuwa na haki ya kumshutumu Mbowe kung'ang'ania madaraka kwani kufanya hivyo ni kumnyima Mbowe haki yake ya msingi ya kugombea kama katiba inavyosema.Lissu ilitakiwa atangaze nia yake ya kugombea na ni haki yake na sio kumshutumu Mbowe kama anamfukuza vile.
@@davidkawesa3594Tusimbuke na zanybally huyu ni CHAWA WA UJINGA. Bado waandishi na wasomi wa taifa hatujawai kujua mwenyewe kuaaisi neno Chawa Lina maana gani?. Ukweli chawa nichawa wa ujinga.
Asante Askofu Mungu akubariki
Askofu Mungu akubariki sana kwa kuwaelimisha Watanzania wengi hawajiþambui Ahsante sana kwa Elimu Ubarikiwe sana
Nimekuelewa sana baba Askofu ni vigumu kuzuia mafuriko Lisu anahitajika sana kwa siasa za sasa za ccm na machawa wake
Hakuna Mbowe wala Lissu wa kuitowa CCM..Lissu akiwa Mwenyekiti wengi watahama Chadema,kwasababu atapisha a na wengi sana...Amekosa Hekima,na amekosa busara...
Hakika Askofu Mungu akutunzee sanaaa,hakika Tanzania aitajengwa na vyama si CCM wala CHADEMA balii ni WATANZANIA wenyewe wakiwa na uthubutu na utimamu wa fikra
kweli kabisa askofu be blessed
Ubaya wa chadema ni chama Cha kikabila nilikihama kitambo
Askofu uko vzr. Saiv ni muda muafaka wa lisu
Naipenda sana Chadema
Ww ni sauti ya mungu upo katika kwer askofu
Askofu Smart sana
well done very fantastic analysis
Huu sio wakati wa kusema mema ya mtu! zaidi Huu ni wakati wa kutengeneza akili ya kuyakabili maccm! Hata Kama wanatumia majeshi ya nchi kukandamiza haki za raia! binafsi Najivunia Mh Lissu! ni wapumbavu tu na magoigoi ndio wanaombeza Mh Tundu Lissu.
Mpka sasa mbowe hajatangaza nia 😂😂 hii ni swala la lissu kuwa alishaandaliwa kuwa mwenyekiti ,, hakuna mchuano bali ni swala la kuboresha chama # lisu for chadema mbowe for chadema Tanzania ya chadema😂😂
Whoever wins and leads the Party...I will remain a sincere Member of CHADEMA
It is no longer now!
Kama chama hakiitaji uchaguzi bas kibaki kuwa Kimoja CCM maana mnatuchanganya kama wengine wakichukua Fom mkawaita wasaliti
Ni kweli askofu maoni
Ni kweli tanzania bila ccm hakuna nchi salama askofu wa mchongo chawa wa chadema tena chawa mzee
Ni kwel kbsa tanzania bila haiwezekani
Unamkosea Askofu
Ahsante sana Baba askofu,,,ametoa mifano vizuri sana..Wanao nanga wagombea,,,wanataka Teuzi..
Kama kweli Unajua jinsi ya kuchambua siasa na unataka kusema ukweli toka ndani ya moyo wako huwezi kabisa kusema uongozi wa Magufuli ni sawa au unskaribis kuwa sawa na wa mama....hiyo si kweli kabisa.
Yaani uongozi wa wawili hao uko tofauti sana sana sana kabisa hata watoto wa shule Wanaweza kukuambia tofauti hizo tena kwa usahihi na ni.kubwa za wazi kabisa..
Labda kama kuna kitu kimoja au vichache sana unataka kulenga.
Kwa analysis ndogo to za kawaida huwezi kabisa kulinganisha wawili hao baba askofu unapotoka kidogo.
Kuanzia approach yao.kwenye mambo, misimamo yao katika kila jambo Kya.zia uchumi, matumizi.ya pesa za uma, kufanikisha na ufisadi, rushwa na mengine mengi sana. Hawafanani hata kidogo
Chagueni Lissu ili uchizi uongezeke😢😢
kwaiyo aligombea urais na kuaminiwa na CHADEMA kwaiyo CHADEMA walitaka Watanzania wachagua Rais chizi?
Lissu yuko vizuri sana.
gracekagoma3132 naamin kama ni uchizi unaweza kuwa kiongozi wa uchizi nadhani hapa uelewa wako ni sbbu pia ndo maana unakua na hisia za kichizi!
Lazima uwe chizi chini ya utawala wa ccm , huku na chizi ccm kuna wauwaji hapo patakua sawa. Unaunaje
Wanasiasa bwana wanajijua wenyewe. Kusema ukweli kuhusu sifa za mtu ni kama kujiloga. Hawajui kuwa ingewafanya waonekane wakweli na wenye mvuto zaidi. Hilo hawajui
Lisu yuko vzr sana japo na mboe Yuko vzr lakn mboe miaka 20 kaongoza mngemshauli akae pemben kidogo ili iwe zvz kuona alipo kosea miaka yote 20
Kweli. Siyo mema ya mbowe tu bali hawezi kusema mema ya mtu yeyote anayemhofia hata kama mtu huyo ameshakufa. Anasema kasoro yake tu hata kama ni ndogo ataikuza kisiasa. Huyo ndiyo Lissu mwenyewe. Ni mwanasiasa haswa.
Lakini angeonekana muungwana na mkweli zaidi kama angesema yote....mema na amabaya ya mtu
Mimi simkubali kabisa Lissu, nawaambieni wanachadema Lissu akiwa mwenyekiti chama kitakufa kabisa. Hana busara kabisa huyu Lissu.
Unawaza kama mimi ..ni mropokaji hana kuchuja maneno
Waandishi ni wachochezi tu, nakukubali askofu, anapenda haki,
Uchambuzi mzuri
Baba Askofu 😮😮
Sishangai kabisa. Lissu hawezi kusifia kiongozi hata kama kiongozi huyo amekufa kwake ni ngumu sana kusema mazuri yake japo hashindani naye tena. Badala yake atashupalia kwenye kasoro moja ataitumia kwa nguvu zake zote kama.ngazi yake ya kupandia juu.
Kama ndiyo siasa zilivyo basi ni ngumu sana kumwamini mwanasiasa kama anasema ukweli. Kama ukweli huo hai na faida kwake binafsi basi hawezi kuutaja wala kusifia.
Hiyo siyo fresh
Wasiwsiwangu Kwa lisu nimtu WA visasi je hawezi kulipa kisasi Kwa watangulizi ndani ya chams atakapogundua kuna makosa
Kati ya wagombea hawa kuna wanaoambiwa "Bila wewe chama kitakufa"?? Nyerere aliambiwa hivyo pia. Baadaye aligundua hao wanasema hivyo kwa maslahi yao binafsi.
Bado hamjasema
Lisu anahitilafu kichwani kutokana na yale madhala ya Risasi alizzopigwa,sio bure ,na anapokwenda sio kuzuri kabisaa,
Mbowe apumzike awachie wengine nawao wagombee
Eti sio madhaifu ya chadema!
Wamekosea sana chadema kufanya chaguzi zao za viongozi wakati uchaguzi mkuu uko njiani .
Sikujua kuwa huyu askofu ana reasoning capacity kubwa kiasi hiki. Ana upeo mkubwa sana wa mambo.
Askofu chama chake kkkkk
Vaa vizur kofia unaharibu kofia ww
Baba
Askof
Wacha
Siasa
Kumbe huyu mtu ni kichwa
Mwenyekiti wake au Mwenyekiti wenu?
Lisu atakaposhinda asilipe kisasi awasamehe tu hawa wapambe wa Mbowe wnaoibuka na pia Mbowe akishindwa amsamehe tu Lisu ila Mbowe abadili stail ya uongozi wake
Huyu askofu Ni m wa manake anatufanya Sisi jatusikii Ila yy ndoanasikia
Muda wa lisu
Nikweli kabisa kuna baadhi ya wana chadema ni wajinga sana hawataki mageuzi sasa lisu ndochaguo letu
Askofu kwani Lisu hakusema Chama kimekua sana?? Alafu hakusema katiba haikuwa na ukomo wa uongozi kwakuwa walikua wachache mno? lakini sasahivi wamekuwa wengi sana? hivyo katiba inafaa kurekebishwa iwe na ukomo wa Uongozi. Askofu Hiyo haitoshi kuonyesha kuwa Lisu kazungumza kuwa Mbowe kafanya kazi nzuri na kubwa kipindi chake ?? Na hayo aliyosema Lisu atafanya hata Mbowe anaweza kuyafanya. Lakini ni busara kupokezana Uongozi ,na kuendelea kushauriana kukijenga chama.
Jamani kuna kubwa zaidi kama kusema amechukua chupa ya oxygen acheni uchawa
Umeacha kukemea maovu watu wanafirana nakusagana wao kula sadaka
Wewe si unafahamiana nao wanao fanya hayo wambie sasa usisubiri mpaka mwamakula
Mjinga saa E
Kwani mpaka ayaseme ww hata ww unaweza kuyasema,shika maiki na ww useme tutakuskiliza
Ndio maana shetani anazidi kupata ushindi kila uchao, kwasababu wameiacha kazi Yao ya msingi
Umesahau na serekali kuuwa watu na jamaa zetu pia.
Manoara hawezi hiki chama anaropoka sana,hakai na jambo
huyu ni Mwamakula niprofesor wa maprofesor
Mbona hana upendeleo wa mazungumzo, anabalansi hoja
Lisu anafakabisa mbowe abaki muzewaushauli
ASKOFU UPO SAHIHI HAIWEZEKANI CHAMA KUJINASIBISHA NA DEMOKRASIA WAKATI KINAENDESHWA NA MTU MMOJA KIDIKTETA!!
Kofia kama mzee Magoma😂😂😂
Acha kashfa
@stanslausmteme8455 siasa na din wap na wap panya wewe
Ulaniwe
jibu hoja wewe
Chadema ni chama cha watu wa hovyo
Wanao msema risu hawana akiri
Nikweri mchungaji
Mzee umeongea vizuri sana sisi vinjana ni wajinga wa fikila leo Tundu lisu eti ametumwa huo ni ujinga wala siyo uzelendo kumbe kuomba kura ni kosa hata mbowe wanamudaganya hebu tuache unafiki tusubili sanduku ndo litaamua
Moongoww.mtangazaji.acha.wenyewe.waseme.kihelelenn.ww.mwanahabari
Mwamakula nichawa wa chadema
Basi na sisi ni chawa wa ujinga?
Anapenda haki
Anawaamsha watu waliolala
Mnaosema Mwamakula ni chawa wa chadema hamjitambui sababu huyo mtumishi anakosoa,anapongeza na KUKEMEA panapolazimu!
Sasa mda wa mihemko iishe kila mmoja wetu atafakari kwanini Mbowe na siyo Lissu/ kwanini Lissu na siyoMbowe.
Joke of the year
Hiki chama nichama cha kkt sio chama cha watanzania wote hao nivibaraka wambowe tunajua Lisu huwezi kupendwa wewe ni mkatoloki tambua hilo
Lissu hakuwa na haki ya kumshutumu Mbowe kung'ang'ania madaraka kwani kufanya hivyo ni kumnyima Mbowe haki yake ya msingi ya kugombea kama katiba inavyosema.Lissu ilitakiwa atangaze nia yake ya kugombea na ni haki yake na sio kumshutumu Mbowe kama anamfukuza vile.
Huyu asikofo avue kanzu
Vaa ww km unalihitaj wala hamna shida
Askofu muongo wewe lissu hotuba zote kaeleza sana mazuri ya mbowe na wewe ni kituko sasa
Mbowe tumia busala pumzika
Kwani mbowe na chadema wakigombea shida iko wapi
Nilimwambia mbowe achana na lisu ndio anaedababisa cdm kukosa ushindi kwani wanachadema tujajua ni kibaraka
Leo kibaraka
@@davidkawesa3594Tusimbuke na zanybally huyu ni CHAWA WA UJINGA. Bado waandishi na wasomi wa taifa hatujawai kujua mwenyewe kuaaisi neno Chawa Lina maana gani?. Ukweli chawa nichawa wa ujinga.
Huyu siyo askofu Ni hawa
Askofu wa mchongo upo kazini
Lissu broke cardinal rule, can’t challenge your boss
Mbowe will crush him like a bug
ASKOF HAYA YA CHADEMA NA KANISA WAPI NA WAPI ? MBONA MNATUGAWA ?
Huyu ni padri fake na lisu wake hamna kitu ,,,,Siri yenu tumeijua subirini dhambi zenu zitakavyo watafuna
Mbowe kasha chemka
Askofu njaa usie kuwa na ushawishi? Unarazimisha tukujue
Mbonq wewe mwenyewe huna ushawishi??
we mzee unaongea nini