TISS ACHENI NJAMA CHAFU DHIDI YA LISSU NA MBOWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 34

  • @tospend
    @tospend 2 часа назад +2

    Busara zimejaa hongera mtumishi

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo Час назад +1

    Badala ya liserikali kuhudumia watu wake liko busy kuondoa uhai wa watu wake wema.
    Haya matawala hayana haya!!

  • @JofreyMlawa-k1h
    @JofreyMlawa-k1h 18 секунд назад

    Vizuri sana na hongera sana kaka

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 3 часа назад +2

    ❤❤❤❤ tuwe makin na ccm

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 56 минут назад

    👊👍✌️.

  • @yusuphabel5530
    @yusuphabel5530 20 минут назад

    Hongera sana mkuu

  • @joejosca7594
    @joejosca7594 2 часа назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢Eeh Mungu simama ujitetee tena😢😢😢😢😢😢😢

  • @Mussa-jd6nMussajd6nv
    @Mussa-jd6nMussajd6nv Час назад +1

    Tangu lini Mzanzibari akampenda mtanganyika! Wazanzibari wanalipiza kisasi lakini wasisahau wanapanda mbegu.

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 20 минут назад

    Ndugu msemaji uko sahihi kabisa, maoni yako uko sawa kabisa.

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 3 часа назад +2

    MIMI NIPO UPANDE WA TUNDU LISSU

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 4 часа назад +2

    Shida ni wao. Ya chumbani wanayaleta kondeni. Why?

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 59 минут назад

      Kwamba ndio wastahili kufa?
      ..mamako!!

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 часа назад +1

    Dah! Nchi inakufa kibudu.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 часа назад +1

    Boni Yai ni nani pale Chadema mbona yeye ndio yuko mstari wa mbele kukigawa chama,kama hamtaki Lissu kwann asimkatae kwenye kura kwani Lissu amekosea wapi?!!

    • @tospend
      @tospend 2 часа назад

      Ujui ni mwenyekit kara ya pwani kwani hana haki ya kuamua na kusema anaenda na nan?

    • @Educatedmind-k9r
      @Educatedmind-k9r 48 минут назад

      ​@@tospendulisikia hotuba yake?

  • @LucasGoliath
    @LucasGoliath 3 часа назад +3

    Wewe mapungufu ya viongozi wa chadema huyaoni..Endelea kukumbatia kinyesi,,,utanuka,.Waambie ukweli na wewe..

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 часа назад +2

    Mze Ngurumo ushauri wako ni mzuri sana ila tatizo wanafunzi wako tumesha ona kuwa una mahaba makubwa kwa Mbowe yani yeye ni mkamilifu uwa hakosei.
    Kuka tu kwenye kiti cha wenye cha kudumu hio pia ni changamoto kwa mwanademokrasia

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 часа назад +1

      Ww nawe acha ujinga

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 часа назад

      @
      Jinga ni wewe tulieni apige miaka 25 tena

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 часа назад +1

      ​@@sonnyr1899Kwa nini makasiriko? Kumbe na wewe una upande wako. Kwa nini ushutumu? Kwa namna hiyo huwezi kuwa mwamuzi sahihi!

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 часа назад

      @@sonnyr1899 kwani Nyerere alipiga miaka mingapi?punguza ujinga ww

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 часа назад

      @@SylvesterKameo
      Kaka Sylvester samani bro wala sikuwa na lengo la kuongea maneno ya hovyo ni huyo ndugu Kaja kwenye koment yangu na kuniita mjinga utadhani yeye ndio anaenilisha.
      Demokrasia inaanzia hata kwenye kutoa maoni ao sio bro.
      Ndio maana section ya komment iliwekwa ili kila mtu atoe maoni yake si Ndio bro.

  • @knight6757
    @knight6757 3 часа назад +5

    Wanataka kuivunja CHADEMA hao akina usalaama wa Taifa

  • @JescaMasasa
    @JescaMasasa 3 часа назад +3

    Mwandishi bora sana

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 часа назад +4

    Mchambuzi uko sahihi

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 2 часа назад

    Leo umepunguza uchawa

  • @hassanamani2131
    @hassanamani2131 Час назад

    Hahaha, wewe Ngurumo ni mwendawazimu, chadema ni chama cha wahuni.
    Kuanzia enzi za Zitto Kabwe na Kitila Mkubo kufukuzwa na kufuatuwa na viongozi wengine hadi kundi la wanawake likiongozwa na Halima Mdee na Msigwa, hiyo ni dalili ya kwamba chadema ni fujo ndani ya Chama, hapa kilipofikia ni hitimisho tu, Wacha kuanza kutafuta wachawi.

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 3 часа назад +1

    Aisee hili wazo nililipata akilini kuwa hawa viongozi wawili wako hatalini walindwe sana vingnevyo ccm na vyombo vya dola watawamaliza hilo ndo targeti iliopo

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 3 часа назад

    Lissu umaarufu wake unakwenda kupungua,aache kuingia kwenye mtego huo uliotegwa mbele yake.hawezi shindana na mbowe

    • @gasperelasto8842
      @gasperelasto8842 3 часа назад

      Unaelewa nin chama kikiitwa ni cha 'demokrasia na maendeleo'?