Hawa jama wanaojiita salafi wakajiona dini wameshushiwa yani wanazingua mana walipwa pesa ni mayahudi uko halaf uku wakifitinish waislamu ,tena kassim mafuta na dilele anaejiita Abu humed hawa watu Allah anawasubir man nd wanaochafua uislamu na waislamu
ktk uislam unamisingi yak chunga habar yako unaichukua kwa nani nahuyo anaekupa asaha ninani wengi mtapotozwe huu ni uongo wazi wazi mimi nipo omary sijaona hilo jambo halaf et hapafundishwi ktab tawheed subhanaallah 😂😂 daah kweli zama za uongo hizi
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI. NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA! NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE... SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI. MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI. SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI? AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
Haya kama nyinyi mnawaita swa'fika na haddadia haijatosha kuwa mahizbi mpaka wapige kura Ndio watakua mahizbi. Mbona nyinyi maswahib wa istirdab mnalingania kwenye furka tuuu..!
NAULIZA MASALAFI WAKIPEWA KIJIJI WATAWEZA KUONGOZA ? SIJAONA KWENYE MFUMO WAO WA ELIMU KAMA WANA NIA YA KUA WASIMAMIZI KWENYE JAMII,HASA KWA KUHARAMISHA KUPIGA KURA SIJUI INGELIKUA NI WAO TU HAPA NCHINI WANGEISHI VIPI,AMA KURUDISHA UFALME WA MUAWIYAH NA YAZID KWENYE DINI?
Haya ni maneno ya ujinga, kwani dini kama dini sio mfumo, na mtume swala na salaam zimuendee aliongoza vipi, na kulikuwa na kura, acha ujinga som adini yako. Usiitie uoungufu dini kwa kufuata fikra za wamagharibi na makura hayo. Hawa mahizbi wa kupiga kura sio dalili kuwa wapo sahihi
Hii channel ni ya MAHZBI, Hilo jina salafi lisiwachanganye Ukifuatilia video zao zinawasema vibaya mashekh wa kisalafi kama vile 1. Shekh Kassim mafuta 2. Abdallah Humeid 3. Shekh Hamis imam 4. E.c.t
Njooo hapa?markaz ndo ujue tumesoma vitab vya man haj au hatujasoma fikiii sio kitab cha man haj hadith sio manhaj tauhid sio man haj aya na man haj salaf unataka nin wew
@@adamjutto5849 ninacĥotaka nikuambie shaafee na akidu ni mahzibi au masufi na khamis imam na mujaahid ni watu gani. Nijibu kiufasaha Sana saana Kuhusu shaafee na akidu
@@mundhirhassan2708 uwazi gani,hao toka kwenye qadhiya ile ya morogoro tukajua hawa ni watu wana asli ya uongo,hvi si akidu ambae alikua akiulizwa kuhusu hili anajibu vingine,mara anapindisha maneno?,afu leo hii mtu kama huyu aje aongee watu wamsikilize!!,al haaswil akidu na shaafi wana usluub mbaya ktk daawaa,tujaalie ni kweli vijana wa omar walipiga kura,je hii hukmu inawaendea mpka masheikh,masheikh pengine walikua hawajui,lkn wanafunzi wenyewe wakitoka pale nje ya eneo la markaz wanajichanganya kwenye minkaraat mbali mbali,sasa hapo masheikh wanaingia vp?
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI. NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA! NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE... SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI. MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI. SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI? AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
Mkiambiwa ni watu wa system huwa mnakataa Sasa mnajiweka wazi
Maigizo
HAPO MUMEFELI NYINYI KWELI NI WAJINGA ACHENI UPUMBAVU HEBU TAFTENI VYA MUHIMU MZUNGUMZE
Hawa jama wanaojiita salafi wakajiona dini wameshushiwa yani wanazingua mana walipwa pesa ni mayahudi uko halaf uku wakifitinish waislamu ,tena kassim mafuta na dilele anaejiita Abu humed hawa watu Allah anawasubir man nd wanaochafua uislamu na waislamu
Makada oyeee
Mhhhh mpaka hapo tushafahamu kwamba nyinyi mnapanga Allah atairida markaz yetu zind ya shubuha zenu inshaallah
Msongo wa mawazo utawamaliza haki imewakimbia
هداهم لله
Aamiyn
Salafisiemu ,😅😅😅 haya Allah atazid kuwafedhehesha hawa Mahizbi Masawafiqah
Daaaah nasikitika sana dini imeingiliwa na wapuuzi
CCM oyee
Acha uongo we kijana me nimemaliza omary mwaka juzi nimefundishwa na doctor kitabu cha manhaji...درر الذهبية في اصول و منهاج السلفية
Wapewe nasaha hawa mashekhe watarajaa na wabadili mienendo yao inawazalilisha sana na ni jambo la aibu mashekhe kuwa warongo na kuwa kama vinyonga,
ktk uislam unamisingi yak chunga habar yako unaichukua kwa nani nahuyo anaekupa asaha ninani wengi mtapotozwe huu ni uongo wazi wazi mimi nipo omary sijaona hilo jambo halaf et hapafundishwi ktab tawheed subhanaallah 😂😂 daah kweli zama za uongo hizi
Mbona mmeanza kudhihirisha umoja wenu
Kusoma na Kufahamu ni Vitu VIWILI TOFAUTI.
NDIO maana Kukawekwa Mitihani kwenye KUSOMA!
NARUDIA TENA ASILIMIA NYINGI ZA MASHEIKH WETU WA KISALAFI WALIANZA(AMA KWENDA KUJITWIKA USHEIKH) BAADA KUFELI SHULE...
SHEIKH MSABAH ALIWAH KUSEMA ,ELIMU(MASHINDANO) YA KUIPIMA AKILI AU KUKUZA AKILI NI MUHIMU SAANA,LAKIN KWA MASIKITIKO MASHEIKH WAMEPUNGUKIWA FANI HIYO YA KUKUZA AKILI.
MASALAF JADIDA,MAWAHAB TABU ZENU KUBWA AKILI MUMEIWEKA NYUMA YA ELIMU(UFAHAMU) KWA KISINGIZIO DINI HAITAKI AKILI.
SASA BILA AKILI UTAMBANUA VIPI?
AU SHEIKH AKIWA NA AKILI YEYE NDIO NUSURA KWA UMMA?
Mijitu mirongo utaijua tu mnajaribu mnajaribu kuchafua
Haya kama nyinyi mnawaita swa'fika na haddadia haijatosha kuwa mahizbi mpaka wapige kura Ndio watakua mahizbi. Mbona nyinyi maswahib wa istirdab mnalingania kwenye furka tuuu..!
NAULIZA MASALAFI WAKIPEWA KIJIJI WATAWEZA KUONGOZA ?
SIJAONA KWENYE MFUMO WAO WA ELIMU KAMA WANA NIA YA KUA WASIMAMIZI KWENYE JAMII,HASA KWA KUHARAMISHA KUPIGA KURA SIJUI INGELIKUA NI WAO TU HAPA NCHINI WANGEISHI VIPI,AMA KURUDISHA UFALME WA MUAWIYAH NA YAZID KWENYE DINI?
Haya ni maneno ya ujinga, kwani dini kama dini sio mfumo, na mtume swala na salaam zimuendee aliongoza vipi, na kulikuwa na kura, acha ujinga som adini yako. Usiitie uoungufu dini kwa kufuata fikra za wamagharibi na makura hayo.
Hawa mahizbi wa kupiga kura sio dalili kuwa wapo sahihi
Ccm bwana!!!
Ukilisikiliza lijitu linaelezea kama vile?linajua kumbe boga
Hii channel ni ya MAHZBI, Hilo jina salafi lisiwachanganye
Ukifuatilia video zao zinawasema vibaya mashekh wa kisalafi kama vile
1. Shekh Kassim mafuta
2. Abdallah Humeid
3. Shekh Hamis imam
4. E.c.t
Kwan mtu akimsema vibaya kassim ndo anakuwa hizbi kassim ndo kipimo cha usalafi
Munakera sana
😂😂😂kweli Huwa chungu ila sasa subiri dosi yaingia
Masalafi wote kuwini kitu kimoja musiwasikilize hao
Njooo hapa?markaz ndo ujue tumesoma vitab vya man haj au hatujasoma fikiii sio kitab cha man haj hadith sio manhaj tauhid sio man haj aya na man haj salaf unataka nin wew
Tahdharini na shafi na akidu,hawa ni wati wa fitnah
Wee nawe unaugua nini
@@abbaspaziaog2188 kama wewe au?
@@adamjutto5849 ninacĥotaka nikuambie shaafee na akidu ni mahzibi au masufi na khamis imam na mujaahid ni watu gani. Nijibu kiufasaha Sana saana Kuhusu shaafee na akidu
Ni watu wa fitna au anakuwekeni wazi, acheni manhaji ya kiyahudi kufichanfichana kwenye makosa