KUMBE MLEVI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 427

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 Месяц назад +267

    Waliofurahi kumuona masele baada ya muda mrefu sana,wagonge like hapa

    • @nazaeljohn7143
      @nazaeljohn7143 Месяц назад +7

      Leo ndio namuona akiwa hajalewa ahahhahaha

    • @samoredelavida3782
      @samoredelavida3782 Месяц назад +2

      nina imani joti atamsaidia mshkaji maana reality jamaa na tungi ni damdam

    • @MgonjaFide
      @MgonjaFide Месяц назад

      😅😅😅😅

    • @NurdinSaleh-jf8so
      @NurdinSaleh-jf8so Месяц назад

      ​@@samoredelavida3782
      Mara nyingi nakutana nae lumbumbashi Mbezi mwisho...dah Bora alivyorud kwenye gemu aisee

    • @nolanraphael8502
      @nolanraphael8502 Месяц назад

      Mbonaa Anatoa clip kibao na kina ndaroo

  • @EDENIPASCHALI
    @EDENIPASCHALI Месяц назад +100

    Uyo masele Ni staa Sana shukran nyingi ziende kwa boss jot kipaji kilikuwa kinapotea ungalia Bado uwezo anao

    • @nancyfantasia1945
      @nancyfantasia1945 Месяц назад +6

      Joti siyo mchoyo naona anajaribu sana kushirikiana na wenzake wote 👏

    • @vaalonedearmy939
      @vaalonedearmy939 Месяц назад +3

      Meona eee jamaa fundi mpaka leo😂😂😂😂😂😂

  • @annaki318
    @annaki318 Месяц назад +92

    Asantee joti kwa kumkumbuka MASELE CHAPOMBE♥️🙏

  • @nancyfantasia1945
    @nancyfantasia1945 Месяц назад +56

    Joti siyo mchoyo anajitahid kushirikiana na wenzake ad raha 👏👏👏👏

  • @michaelmacha7033
    @michaelmacha7033 Месяц назад +120

    😂😂😂😂😂Kama unakubali Joti ndiye comedian namba moja East Africa, twende nalo 👊🏿👊🏿

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be Месяц назад +24

    leo tumepata surprise, the return of Masele, JOTI LUCAS kazi nzuri sana

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 Месяц назад +56

    Nakubali mlivyomrudisha Masele kwenye game.,.. kutoka Doha

  • @kabwanga83
    @kabwanga83 Месяц назад +42

    Huyu Masere walisemaga kafariki kumbe ni mzima wa afya.

  • @russellwilliams6316
    @russellwilliams6316 Месяц назад +33

    Nimefurahi sana kumuona Masele cha P😂😂😂😂😂 😂 😂

  • @savioursimon458
    @savioursimon458 Месяц назад +12

    Jamani Joti umetuletea Masele wetu haki umenifurahisha, barikiwa kaka yangu. Kukupenda tuu jirani yangu Kibada moja woyooo 🎉🎉

  • @jeffmastertz
    @jeffmastertz Месяц назад +35

    Kama unaamini kama nnavyoamin mmi hakuna comedian anaemfikia JOTI Tz kwa kipaji chake gonga like.🔥

  • @faithwanzeli2786
    @faithwanzeli2786 Месяц назад +4

    Mashabiki wa joti kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
    Weka kopa❤

  • @SamuMushi-d1y
    @SamuMushi-d1y Месяц назад +19

    Masele best comed upande wa pombee akuna mpinzani 😂

  • @bonfilskashaba7381
    @bonfilskashaba7381 Месяц назад +24

    Joti wewe huyu mlevi umemtolea wapi tena❌❌❌ ila hongera sana *Masele* leo ujagonga vitu vyako😅😅😅

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад +14

    Ongera sana kuwakumbuka na akina masere,sio baguzi❤❤❤🎉🎉🎉🙏👆🌹

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 Месяц назад +39

    Ndo kwanza leo namuona masele hajalewa😮😂😂🎉

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 Месяц назад

      Hata na mm pia

    • @zicomgravity4897
      @zicomgravity4897 Месяц назад +1

      Mpe mgongo tu uone...😂

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 Месяц назад +1

      @zicomgravity4897 kacheleweshaa ss unazan yaan bila ivoo vituu hakai sawa hadi ukweni duuh🙄😂😂

  • @johnsamwel3730
    @johnsamwel3730 Месяц назад +1

    M nmefrah kumuona masele tena huyu jamaa n noma jot big up sana man 👏👏😀😀🙏🙏🙏

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Месяц назад +1

    Joti huna baya 🎉🎉 nimefurah kumuona masele cha pombe ❤❤

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 Месяц назад +12

    😂😂😂😂😂😂😂😂Khaaaaaaa nltk nshangae masele asilewe? 😂😂😂tyr kumeshaanza kuchangamka 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 Месяц назад +34

    Tuseme ukweli joti anasapot sana wenzake 💯🥰

  • @Shuu.A
    @Shuu.A Месяц назад +13

    Masele lazima ataharibu tu chaP haiwachi na mama nae ndie akiambia sogea anasogea geuka anageuka😂😂😂

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Месяц назад +12

    Kaunda suti ikaanza kuchangamka😂😂😂😂😂

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 Месяц назад +12

    Huyu mwamba wa kitambo sana,anaigiza akiwa amelewa,saizi joti kamleta kivingine

    • @Jasminadamu
      @Jasminadamu Месяц назад +3

      Mwenyewe alisema kwenye interview amebadilika na anaacha pombe,joti ameamua kubadilisha ladha tu kwa walaji sio kambadilisha

  • @adozenaziz8362
    @adozenaziz8362 11 дней назад

    masele mzee wa henken tulikutana chunya mjin namarehem erick mungu amrehem ila mshikaj saf sana

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +2

    Nimefurahi sana kumuona masele hongera sana kuwakumbuka malegend wenzako❤🎉

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p Месяц назад +3

    Uchambe kooo 😂😂😂😂joti ww noma nimefurai leo nimemuona masele akulewa cha pombe masele 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @princecharmy6838
    @princecharmy6838 Месяц назад +18

    Mmeipenda U-turn ya Masele mwishoni😂😂

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 Месяц назад +6

    Hongera Joti kuturudishia wakongwe kazini

  • @Shamimmahmoud-wg4rf
    @Shamimmahmoud-wg4rf Месяц назад +5

    Hiii ya leo imenimaliza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mussamasenda8896
    @mussamasenda8896 Месяц назад +2

    Nimefurahi mpaka furaha imepitiliza Asante jot usimuache uyo masele

  • @MasambaErick-mh1uq
    @MasambaErick-mh1uq Месяц назад +3

    Asante nishayi hapa Rwanda mulvi tunamupenda sanaaaaa aludi tenaaa😂😂😂

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 Месяц назад +6

    😂😂😂😂😂masele hajalewa leo 😂😂😂😂😂asante joti kwa kutuletea huyu mtu 😍😍😍😍

  • @yotehapatv7705
    @yotehapatv7705 Месяц назад +1

    Huna baya tajiri unawakumbuka wakongwe wa game la comediani🎉🎉❤❤❤❤

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 Месяц назад +6

    Mshikilie mshikilieee😂😂😂

  • @tarickmhando7689
    @tarickmhando7689 Месяц назад

    This is the best Kali ya kufungia mwaka 🔥🔥🔥🔥masele kitambo sana

  • @philibertsanga8100
    @philibertsanga8100 Месяц назад +1

    Misele chiz kweli😂😂😂 jiweke Sawa umekuja kuoa wewe 😂😂😂 kipaji kilikuwa kinapotea hik jot tunakuheshim sana jamaa yetu hongera kwa kumshika mkono masele Asante sana

  • @AliveGiant
    @AliveGiant Месяц назад +10

    Huyo jamaa n mlev kwel ujue 😂😂😂

    • @chichiereyh
      @chichiereyh Месяц назад +2

      Uwongo hata pombe hatumiiii aliwah kuhojiwa na hajawai tumia pombe n kilevi tu

  • @cheff778
    @cheff778 Месяц назад +2

    Pele limepata mkunaji comedy for life now😂

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 Месяц назад +9

    MUNYAMULENGE 😮 MY KABILA👌❤🇨🇩

  • @aminayusuphu8300
    @aminayusuphu8300 Месяц назад

    😂😂😂 nilitaka kushangaa masele kwamba ameacha pombe 😅hii kali ya leo❤❤❤

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r Месяц назад +8

    Mpaka hapa shughurii imeisha haribika 😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelymalange8332
    @emmanuelymalange8332 Месяц назад +6

    Dhaaa masele we n noma😂😂😂😂

  • @blaiseiranzi7313
    @blaiseiranzi7313 Месяц назад +3

    We Mama Mpafu Sana eri uyo.Mulevi Munyamulenge! Poteya Mbali

  • @greymuclass8217
    @greymuclass8217 Месяц назад +3

    Daaaaah! Masele katishaaaa! Mara ya kwanza kumwona akiwa hajalewa!

  • @HubertVitalis-ou9sz
    @HubertVitalis-ou9sz Месяц назад +9

    😂masele amaeua

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Месяц назад

    Kazi nzuri sana ilaa tuleteee na kibogaaa jaman

  • @LameckMangwenje
    @LameckMangwenje Месяц назад +1

    Yani atakama hajalewa bdo anakaa mlevi tu😂😂masele😂😂

  • @BigabwaBear
    @BigabwaBear Месяц назад

    You did good to bring back Masele👍👍👍

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 Месяц назад +7

    😂😂😂😂😂😂Mama alieigiza mke wa babu joti nampenda sana 😂😂😂😂😂anajua mpk anajua tena

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Месяц назад +5

    Uwanja wa vipaji...jot tabia mbaya

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala Месяц назад +3

    Masele 😂😂😂😂😂 unaweza kaka.

  • @minatto12
    @minatto12 Месяц назад +2

    yaan nmecheka loooo😂😂😂

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi Месяц назад +4

    Una shida sana yakuolewa😢

  • @captainjoseph8131
    @captainjoseph8131 Месяц назад +2

    Babuu na masele kazi nzuri

  • @jenifamtunguja484
    @jenifamtunguja484 Месяц назад

    Safi sana brother jot kufufua kipaji cha masele tunategemea vitu vizur sana kutoka kwen😊

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Месяц назад

    Asante sana Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @najimnagy6020
    @najimnagy6020 Месяц назад +1

    Hii ya leo kiboko!! Asante joti and team

  • @mbarakislam161
    @mbarakislam161 Месяц назад +1

    Sana tuu masele chapombe 🎉🎉

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 Месяц назад +4

    Kumbe asipolewa madeleines anaeleweka zaid 😂😂

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 Месяц назад +2

    Kazi iendelee😂 na masele basi

  • @MasambaErick-mh1uq
    @MasambaErick-mh1uq Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂mamaaa nacheka sanaaaaaa Asante joti

  • @IbraKadabra88-x3z
    @IbraKadabra88-x3z Месяц назад

    Mawanda anasema joti ni 👑 support talents like Matingisa

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 9 дней назад

    😂😂😂😂😂jikazee maselee😂😂😂

  • @amocernest2896
    @amocernest2896 Месяц назад +8

    Af huyu masela chapombe kwl huyu😂😂😂

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Месяц назад +1

    Nimecheka kwa nguvu😂😂😂

  • @medimajogoo
    @medimajogoo Месяц назад

    joti nakukubali sana huna uchoyo mtafute na stev bakora

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q Месяц назад +1

    Sku nyng jot hajanchkesha leooo saasaa ad machoz 😅😅😅😅😅

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 Месяц назад +1

    😂😂😂leo umepatikana Joti😅

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Месяц назад

    Joti kuma la mamako senge wwwww manamaeee joti mkojo umtoka mpka nime vunja latop yangu mamaeee😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Kidoaaisha
      @Kidoaaisha Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @EliudiJastini
      @EliudiJastini Месяц назад

      Tusi la kizazi duuu😂😂😂

    • @glorymanga3650
      @glorymanga3650 Месяц назад

      Hata kama ni furaha sio lazima utukane uchi wa mama wa mtu,sio sifa😢

  • @signolinenikiza3710
    @signolinenikiza3710 Месяц назад

    Izo pombe siyo kituuu😂😂😂😂😂😂

  • @teacherkaligodottonjige
    @teacherkaligodottonjige Месяц назад +4

    Babu ametisha Leo........ Gonga like

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w Месяц назад +1

    😅safi sana 🤝 joti kazi nzuri

  • @rukiangilla3113
    @rukiangilla3113 Месяц назад +1

    Wallah Leo Hii imeua🤣🤣🤣

  • @nuhumuhami731
    @nuhumuhami731 Месяц назад

    imepigwa u turn moja kali sanaaaa😂😂😂😂😂

  • @RamaNyoka
    @RamaNyoka Месяц назад

    Kumbe anaongea fresh tuu ,mwehhuuu kweli

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 Месяц назад +1

    ila joti 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂😂😂

  • @2116-n
    @2116-n Месяц назад +5

    Nyie watemiiii, naomba hela yangu ya guest 😂

  • @NajmaJoneke
    @NajmaJoneke Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂😂Ila masele

  • @Awoshy
    @Awoshy Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂bwana harusi 🙌🙌🤣

  • @nuruleonard959
    @nuruleonard959 Месяц назад +1

    😂😂 masele kuyumba 😂😂

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 Месяц назад +1

    Mwoaji kachangamka, mr Masele

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 Месяц назад

    Uyu Masele si walisema ameshakufaga jamani 😂😂😂 safi sana bora ata ameonekana uku 🔥🔥moto content motooooo

  • @SimonMshiu
    @SimonMshiu Месяц назад +1

    Mkali cku zotee😅😅😅😅😅

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Месяц назад +1

    Nimecheka sna😂😂😂😂

  • @donotieno2504
    @donotieno2504 Месяц назад

    😂😂😂😂😂Joti made my day Best Comedian in Africa😂😂😂

  • @latifamiluko-gr9iw
    @latifamiluko-gr9iw Месяц назад

    Khaaaa nmecheka sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @DavidMnyagwia
    @DavidMnyagwia Месяц назад

    masele dah ngoja nikate kidogo😂😂😂😂

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣uwiii muhudumu ongeza glaasss

  • @mzungumahenge305
    @mzungumahenge305 Месяц назад +1

    Asante joti kwa kumkumbuka masele.

  • @JuliusiSusuma
    @JuliusiSusuma Месяц назад

    Da noma sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dianamsuya7970
    @dianamsuya7970 Месяц назад

    Masela Kaua Sana😂😂😂😂😂

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Месяц назад

    Pombe siyo chai.haijawahi kumuacha mtu salama.😂😂😂

  • @luciamsani
    @luciamsani Месяц назад +5

    Bora umemrudisha Masele kitambo hatujamuona

  • @abasimpendu1664
    @abasimpendu1664 Месяц назад +1

    😂😂😂Amhada aaaah umelewa

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze Месяц назад +1

    😂😂😂mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbdallahKitemangu
    @AbdallahKitemangu Месяц назад +3

    Good turn of Masele big up Joti

  • @KharimSaid
    @KharimSaid 5 дней назад

    Unakuja kuoa ww jikaze masele😅😅😅😅

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Месяц назад +1

    Ila masele😂😂😂😂😂

  • @bonfilskashaba7381
    @bonfilskashaba7381 Месяц назад +2

    Vitu vyako masele😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 Месяц назад +1

    Kunavituko bongo 😂😂😂