utazame mji wa serikali magufuli city dodoma umebamba africa nzima ikulu wizara tasisi na kila idara

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 49

  • @lovazi
    @lovazi 10 месяцев назад +4

    Magufuli the hero of Africa, we are still remembering you

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 3 месяца назад +1

    Hongeteni sana sana Dodoma imebamba,tusijenge majengo yenye kufanana jamani,nimeona hapo kuna jengo kama lililoko arusha matendo lile la watalii la vioo vingi,shida kubwa ya wakandalasi wa kichina wanapenda sana kurudia structures

  • @issanuru3687
    @issanuru3687 Год назад +7

    Mdogomdogo tunakwenda, kila mshiriki ahisi kama mali yake binafsi (uzalendo kwanza)
    Hongera watanzania, hongera serikali, hongera mheshimiwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuendelea kushika kasi pamoja na changamoto za kifedha zilizopo.

  • @saidwambura7293
    @saidwambura7293 2 месяца назад

    Kiukweli baada ya kifo cha Rais magufuri kutokea ,watanzania wengi walibaki njia panda ktk suala zima la kuendeleza na kukamilisha miradi iliyokuwa imepangwa na serikali kupitia ilani ya chama cha mapinduzi.Kwa sasa mambo ni safi sana, hakuna kilicho kwama.hongera mama

  • @masiretv9729
    @masiretv9729 11 месяцев назад +3

    Mungu ni mwema,tumuombe atupe maisha marefu,tuyaone yakikamilika.Amina

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 8 месяцев назад

    Hongera sanaaa rais wetu Samia mama wa Watanzania! Mama wa Africa utatuvusha salama! Tunakuombea

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 8 месяцев назад +1

      Simia amefanya Nini? Mbona kama vile aki Yako umejaa mavi

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 11 месяцев назад

    Tunajisifia Africa Wetu hatakama tuko inchini tofauti tofauti 🙏💯

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 11 месяцев назад +1

    Asilimia %100 kazi nzuri

  • @SalehKippy
    @SalehKippy 11 месяцев назад +1

    Mmefanya la maana Sana kulioa Jona eneo uko Dodoma maana kafanya mengi Sana huyu mzee

  • @Elizabethmwanga-y5e
    @Elizabethmwanga-y5e 11 месяцев назад +2

    Mji wa magu rip our president

  • @christopherchales2219
    @christopherchales2219 11 месяцев назад +1

    Simchezo the capital city 9f TZ big up

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa Год назад +2

    Bado tunaujenzi wa kitumwa kweli watu wanabebeshwa matofari mpaka juu kweli

  • @AfricanKid-mu9lo
    @AfricanKid-mu9lo Год назад +2

    Hata mm mjukuu wake nakubaliana na mji huoo 😅

  • @mwitanyantora4542
    @mwitanyantora4542 11 месяцев назад +2

    Ni kweli baba wa taifa aliagalia usalama wataifa kwanza , mji kuu hauwezi kukaa karibu na bahari . Hii ni sawa mkuu wangu ( CDF) alivyo mbaini wakimbizi hili swala lisifanyiwe utani sheria zetu za jeshi uliona adui?

  • @adamally5908
    @adamally5908 11 месяцев назад +1

    Utakuwa ni mji wa kawaida sana,na magorofa mafupi mafupi,naamini miji ya mwanza na Arusha itabaki kuwa miji mizuri kuliko Dodoma

    • @johnmagoma5171
      @johnmagoma5171 10 месяцев назад +1

      nahis hujawahi uona ebu uje utenge muda kwenda kuuona

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Год назад +1

    Barabara kila siku mnaferi nyembamba sana

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Год назад +1

      Ni kweli mkuu hatuna planners wazuri barabara ni nyembamba sana sijui uwa hawajifunzi na eneo lilikuwa kubwa tu sijui kwa Nini wamejenga barabara ndogo sana

  • @RamaRama-wc1oc
    @RamaRama-wc1oc Год назад +2

    Asante Mama Samia umetuheshimisha duniani

  • @ibrahimsaad617
    @ibrahimsaad617 11 месяцев назад +2

    Ipandwe miti mingi sana

  • @righitkileo
    @righitkileo 11 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤R,l,P MAGUFULI❤❤

  • @JasminSalum-k4r
    @JasminSalum-k4r 11 месяцев назад +1

    Hatar

  • @noelyaribo9309
    @noelyaribo9309 Год назад +1

    Jamani jamani biashara kiwanja mji wa serikali kiwanja kipo krb na bango la miji wa serika kiwanja ni makazi tu kina tizama magorofa ya mwanzo wa kwenda mji wa serikali kina ukubwa wa $kwea mita 302

  • @MusaEnock-x7s
    @MusaEnock-x7s 3 месяца назад

    Huyo ndoaliyekuwa rais na huyu wa naemusema anaupiga mwingi sijui nini huo mwingi

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 Год назад +1

    Oh kumbe bado hawajafika mi nilijua tayari....

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 10 месяцев назад

      hamna msimamizi mzuri yangekua yashaisha kama samia angekua anauchungu na hizi mali za nnchi ye anatoa tubilion 300 wakat wateule wake kwa mwezi wanaia matillion ya mapesa wanapeleka nje kuyaficha rais hayuko na uchungu na nnchi

  • @paulinejustin6420
    @paulinejustin6420 Год назад +1

    Ila hapata kuta Arusha kwa uzuri. Hatuna tu airport nzuri

    • @JenafaTV
      @JenafaTV  Год назад +1

      Ni kweli baada ya Dar , mwanza na unguja then arusha ni inafuata nchi hii ila dodoma inawakimbiza soon utazid majiji yote isipokuwa dar

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Год назад +1

      Arusha ni Iko chafu na hamna barabara nzuri na mpangilio wa mji sio mzuri ni kama Mwanza hamna barabara nzuri zenye ubora

    • @peternassari7634
      @peternassari7634 11 месяцев назад

      ​Sio unguja ni zanzibar, zanzibar city ni mji wa tatu kwa ukubwa nchini nyumba ya Dar na Mwanza ikifuatiwa na Arusha uko sahihi kabisa. Unguja ni kisiwa ambacho Zanzibar city ipo kisiwa kingine ni Pemba kwa pamoja unapata zanzibar. Zanzibar mji mkuu wake unaitwa pia Zanzibar kama ilivyo Mexico na Mexico city na si unguja, unguja sio mji.​@@JenafaTV

  • @MkisiStylish
    @MkisiStylish 10 месяцев назад

    Ila jiji bila bahari wala ziwa ni kijiji😂

    • @komangohill5957
      @komangohill5957 4 месяца назад

      Dar na Mwanza hakuna huduma ya maji , nini tofauti?

  • @mwitanyantora4542
    @mwitanyantora4542 11 месяцев назад

    Hayati magufuri : hogera hata Kama hayupo dunia , kuliko watu Fulani kundi Fulani kudai kuhurumia wa Tanzania wakati ni bibara wa wazungu kwa nini nimesema neno hilo . Hayati magufuri : alipo zuiya Mali zetu zisichukuliwe kihorera makundi au watu hahao walimtishiya kuwa utafugwa?

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 11 месяцев назад

    Majengo haya yanajengwa kwa technolojia ambayo utunzaji wake unahitaji viwanda vya ndani.Tunamaliza majengo.Vipi viwanda na uendelezaji wa raslimali watu wa utaalamu wa kuendesha na kudumisha vifaa na majengo haya?

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Год назад +1

    Hamna kitu na huyu Bibi Samia wako busy na mji wa serikali ila hamna kingine cha maana kinachoendelea kama wakati wa Magufuli. Commuter train sijui imeishia wapi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Год назад

    Hawana mawazo Na maono mazuri barabara nyembamba sana sijui huwa hawaoni mwenzao wanajenga vipi barabara zao , Abuja barabara ni pana hata mji mkuu wa ivory coast Yamoussoukro barabara ni pana

    • @issanuru3687
      @issanuru3687 Год назад

      Barabara imejengwa kulingana na aina ya mji, huu ni mji wa utawala (administration city) sio makazi, wala industrial area, na kulifanyika uchambuzi yakinifu ambao kwa miaka 150 ndipo kutahitajika mabadiriko, hivyo kulaumu ktk hili si dhani kama njia mbadala ya kuplan mawazo

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Год назад

      @@issanuru3687 sio kweli nchi nyingi mji wa kiutawala una njia pana na kubwa na mahitaji yanaongezeka ni muhimu kuona mahitaji ya baadaye , ni ubovu wa planning ya waliofanya planning na Tz hamna good planners mjifunze nchi zingine au wawasaidie kupanga mji yenu iwe ya kisasa nenda Abuja uone mji ulivyopangwa vizuri barabara pana nzuri zinapendeza , mambo ya ovyo ovyo sana Tanzania 🇹🇿 sijui lini mtajifunza

    • @allymape8911
      @allymape8911 11 месяцев назад

      pembeni ya mji kuna ring road hapo mzazi