#TBC1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 52

  • @stanleymatasa9955
    @stanleymatasa9955 4 месяца назад +11

    Tanzania kazi mwafanya mmetushinda kwa maendeleo nmependa sana umoja na bidii yenu

    • @Abounaumaan224
      @Abounaumaan224 4 месяца назад +3

      Manager wa Serengeti Lounge nadhani ni kutoka nchi Jirani amekuja kuungana watz kuleta maendelea, JAMBO JEMA... tusonge mbele kama majirani.

    • @irenewile
      @irenewile Месяц назад

      Kwani mnashindana na hatujui

  • @jacksonerasto3696
    @jacksonerasto3696 4 месяца назад +5

    Miaka ya 2005 kurudi nyuma kiwanja hicho kilikuwa kikipokea ndege kubwa za mizigo ambazo zilichochea maendeleo na kukuza uchumi wa jiji la mwanza na taifa kwa ujumla pia fursa za ajira zilikuwepo kutokana na ubize wa uwanja huo likina kwa sasa hakuna hata ndege za kubeba samaki hazitui hapo badala yake ndege hizo zimehamia Nairobi ni jambo la kusikitisha sana kuona samaki zinavuliwa na kusindikwa katika viwanda vya Tanzania na kupelekwa Kenya kwa ajili ya usafirishaji kiasi ambacho ni fetheha na maumivu kwa watanzania kana kwamba wizara husika hazioni kwamba hili ni tatizo na linazorotesha uchumi wa taifa letu.

  • @lugwaja
    @lugwaja 10 дней назад

    I am glad some work have final started on the outside,though the inward part of this main building was like that for almost 4 yrs now .. since the time when the airport was under Ilemela municipality

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 4 месяца назад +6

    Kipindi JPM akiwa madarakani aliwapiga watumishi na wataalamu mikwara ya kutosha kisha wakasaau professionalism ona sasa design za kwanza zinaonyesha kabisa jengo lilikuwa kwa ajiri ya domestic destinations tu ila kwa sasa wanalazimisha liwe na international destinations, km ningekuwa ni mimi mwenye mamlaka ili jengo lingebaki kuwa la domestic kisha tungejenga terminal nyingine ya kimataifa ya kisasa na vigezo vyote vinavyostahili

    • @isaacmwaipopo
      @isaacmwaipopo 4 месяца назад

      Kweli mdau. Mie pia nadhan jengo la International lingekengwa kubwa zaid. Na liwe pemben ya hapo.

    • @rodgersasu
      @rodgersasu 4 месяца назад

      interesting,

  • @anordbwai5620
    @anordbwai5620 9 дней назад

    Mwanza🎉🎉🎉🎉

  • @ngamaizinzi3987
    @ngamaizinzi3987 3 месяца назад +1

    Mwanza hamuitendei haki aisee😢 apo inabidi muunganishe jengo lingine lenye ramani hiyohiyo . Yaungane mawili. Hicho kijengo n kidogo sana kwa Mwanza.

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 4 месяца назад +1

    Meneja wa Kiwanja cha Ndege anajielewa. Inaonesha ana vision... na anajua anachokifanya. Hongera kwa sisi Watanzania kwa mradi huu mzuri. Hongera Serikali kwa kutoa pesa. Kimenifurahisha sana Wakandarasi ni Wazawa. Ila kwa maoni zaidi. Hilo jengo baadae liachwe liwe la local tu, kuwe na jengo jinginge pembeni la International Flights ✈️ tuwaze miaka 100. Kwa plan hiyo miaka 20 tu! Tunaweza ona haifai.

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 4 месяца назад +2

    That building is too small for Mwanza city, considering the rate of growth of this peculiar lake side city.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 месяца назад +1

    Yaani Mimi uwa nasema tofauti ya Ngozi nyeusi ya kibongo Na Ngozi nyeupe ni akili uwezo wa kufikiri na kuona mbali hapo tu ndio tofauti Na hapo ndio maana vitu vya nchi za watu weupe vingi ni vizuri ! Mbona Tanzania 🇹🇿 hela mna ila ona ushunzi huo mnaojenga sasa akilini kuna makimba manina zenu !!! Terminal ya jiji kubwa kama Mwanza halina hata air bridge

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 3 месяца назад +1

    Jengo ni zuri ila ni dogo sana Kuliko Stand ya Bus ya Nyamhongolo

  • @Peter-fy3gf
    @Peter-fy3gf 3 месяца назад +1

    Jiji kama Mwanza Ki Airport cha Ajabu

  • @DenisFelician
    @DenisFelician 4 месяца назад +3

    Serikali haipo serious huo uwanja hauna hadhi ya jiji la Mwanza.. kiukweli hapo mumezingua xn aisee

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 4 месяца назад +2

    Bil 28 mbona nyingi sana kwa jengo la vyuma na vioo 😮

    • @Abounaumaan224
      @Abounaumaan224 4 месяца назад +2

      Nadhani cost inaenda pia kununua vifaa vya operation litakapokamilika.

  • @waluohopaulo2116
    @waluohopaulo2116 4 месяца назад +2

    Hili jengo limesuasua sana

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 14 дней назад

    Mliwahujumu wananchi wa Mwanza, maana ndoto yao kubwa ya kuwa na passenger terminal yenye hadhi ya uwanja wa kimataifa hakuna kabisa! Mmekula pesa za mama na sasa lomoni nyingi tu. Kwani mlikuwa hamyafahamu hayo yote?

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 4 месяца назад +1

    Mwanza ni jiji kubwa ukanda wa ziwa. Pia na barabara ya kuingia na kutoka airport ni ndogo, angalau ingekuwa double lane. Kama vile hatuna planners. Miaka si mingi mtatuambia mnataka kuanza kujenga jengo jingine

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 4 месяца назад +2

    Jengo ni dogo sana aisee hatuangalii future ni kama ambavyo barabara nyingi za majiji mnavyojenga ile Dar mmekazamia barabara za njia nne wakati hazitoshi looh

  • @daudm4892
    @daudm4892 4 месяца назад +2

    Ivi Bukoba na Musoma ni mikoa au.?🤔

  • @allykhalfankingwana5272
    @allykhalfankingwana5272 4 месяца назад +1

    Watanzania sisi wajuaji kinoma. Watu wanakosoa mwanzo mwisho, kisingi jengwa kwelele kimejengwa kelele😂😂😂

    • @MubarakaCloud
      @MubarakaCloud 4 месяца назад

      Hao ndo watanzania kama unakumbuka ujenzi wa terminal 3 ya Dar waliiponda sana mara Banda la kuku angalia sasa hvi kila mtu akija anasifia yaani watanzania Sisi sijui tulirogwa na nani kila kitu ni kuponda

    • @section8ight174
      @section8ight174 4 месяца назад

      @@MubarakaCloudThere’s nothing wrong with wanting bigger & better but also unique!

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 3 месяца назад

      @@MubarakaCloudusifananishe terminal 3 na upuuzi huo akili ya Mavi ya kibongo imeshaharibu toka kwenye ramani angepewa hata mchina amelizie ili alekebishe ila hao makandarasi wazawa wanataborongo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 месяца назад

    Hamna hata planning nzuri ya hilo jengo akili maboga ya kibongo imevurunda kazi toka kwenye ramani , halina mpangilio mzuri na jiji kama Mwanza utajengaje terminal ya kuchukua watu 600 , terminal zote standard maduka yote yako ndani ya terminal ona Wachina walivyojenga Arusha AirPort ingawa ni ndogo ila jengo liko standard , kumalizia hilo jengo ilitakiwa apewe mchina ila sio akili maboga ya kibongo hao wakandarasi wa kibongo !

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 4 месяца назад +1

    Nilipita hapo airport mwaka 2022 jengo likiwa linajengwa; leo hii mwaka 2024 injinia anasema ujenzi ndiyo umeanza

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 4 месяца назад +1

      Akili za watu waliopewa kusimamia bado zipo chini uamimifu ziro uzalendo ziro

    • @ahmedkyama4734
      @ahmedkyama4734 4 месяца назад

      Mkandarasi wa kwanza alinyanganywa mradi kapewa mwingine mpya, ndomana huyu anasema ndo anaanza

  • @Peter-fy3gf
    @Peter-fy3gf 3 месяца назад

    Yan Mnajenga Stendi 2 za Mabasi za Maana Alaf Ki Airport cha Kipuuzi hivi 😅😅

  • @lakasid3860
    @lakasid3860 4 месяца назад +1

    Huo ni uwanja wa ndege au stend ya mabus? Hampo serious nyie 🤔

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 4 месяца назад

    Ni uwanja ndogo mbona huwa hamjengi majengo kubwa badala ya kuja kujenga tena badae maana watu wataemdelea kuwa wengi

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 4 месяца назад

    Gorofa moja ndio gani hapo sioni ni nyumba ya chini tu

  • @mathiaschoma9527
    @mathiaschoma9527 4 месяца назад

    Hizo 28bn kwa jengo tu au vipi, naona vyuma na vioo

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 месяца назад

    Magufuli kuondoka mambo yanasuasua miladi imepungua speed yake

  • @benmuberwa2092
    @benmuberwa2092 4 месяца назад

    Mbona mwendesha wekeza Tanzania anakatisha maongezi ya wanaohojiwa???

  • @lovsply
    @lovsply 4 месяца назад

    ASILIMIA 20 MIAKA 6?😂 KUNA WIZI HAPA

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 4 месяца назад

    mwaanza inakuwa kwa Kasi, kwanini uwanja wa ndege mdogo hivi?

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 4 месяца назад

    Hii Nzuri ingawa mumejenga jengo Dogo tena

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 4 месяца назад

    Hiko kiwanja Kibaya kama pagale

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 4 месяца назад +4

    Ujinga tu! Hapo ndo nini sasa? Yaani Mwanza ndo mnajenga jengo la abiria 600 wakati saizi tu flight za Mwanza ni nyingi na inazidi idadi hiyo!
    Dodoma wanajenga uwanja mkubwa wakati abiria si wengi kama Mwanza!
    Nchi hii haina vipao mbele Mwanza si ya kujengewa jengo dogo kama hilo ya abiria 600!
    Hivi sisi huwa tunawaza kweli mbele au tunaishi zama za ujima maana naamini wenzetu wanajenga vitu vya kukaa miaka mingi!
    Abiria 350,000 kwa mwaka kwa maana ya abiria 1000 kwa siku na hapo bado Flight za kimataifa!
    Hatuna maono hatujui tunachofanya na tunafanya mambo kisiasa lakini matumizi ya maarifa kwetu ni kidogo sana!

    • @Yourshaban
      @Yourshaban 4 месяца назад

      Kaka mpango ulikua jengo la mda,serikali iko mbioni kuanza ujenzi wa jengo kubwa.Je ni sahihi serikali ianze ujenz wa jengo lingine wakat hili halijakamilika?..
      Hilo jengo linachukua watu 600 kwa mara moja wastan wa 200,000 kwa mwaka. Ni kweli mwanza inahitaji mambo makubwa lakini sio kwa kutelekeza hili na kuanza ujenzi wa jengo lingine, huku demand ikionesha hatuna uhitaji huo

    • @ahmedkyama4734
      @ahmedkyama4734 4 месяца назад

      Uwanja wandege wa dar na ukubwa wake wote kwa siku inapokea abiria 700+

    • @richdsr3517
      @richdsr3517 4 месяца назад

      Sisi hatuna watu wanaofikirisha AKILI na uwekezaji. Abiria 600 maana yake 400 local na 200 international. Ni UJINGA na Uzembe wa fikra. Wakajiulize KAGAME anafanya nini ukanda wa maziwa makuu. Abiria 600 ni sawa na ndege tatu tu za Dreamliner, sasa hapo ukimataifa uko wapi?? Kachukueni abiria DRC na Congo Brazavile muwakusanye Mwanza muwapeleke FRANCE na Belgium nyie hesabu zenu ni abiria 600 wajumbe wa CCM na familia zao, badala ya kulenga soko la KIMATAIFA ili humo ndani watu wauze Dhahabu, Vito na vyakula kwa USD wakati wanasubiri connection flights. Jengeni jengo la abiria 1500 kwa siku acheni Uzembe wa Fikra, mbona stendi za mabasi mnajenga kubw

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 3 месяца назад

      Kuna watu wapuuzi sana huko serikalini manina zao ona hata hicho kijengo hata hakieleweki yaani

  • @patrickchiwinga8158
    @patrickchiwinga8158 4 месяца назад

    🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 месяца назад

    Hamna hata planning nzuri ya hilo jengo akili maboga ya kibongo imevurunda kazi toka kwenye ramani , halina mpangilio mzuri na jiji kama Mwanza utajengaje terminal ya kuchukua watu 600 , terminal zote standard maduka yote yako ndani ya terminal ona Wachina walivyojenga Arusha AirPort ingawa ni ndogo ila jengo liko standard , kumalizia hilo jengo ilitakiwa apewe mchina ila sio akili maboga ya kibongo hao wakandarasi wa kibonge !