SIMULIZI YA KUSISIMUA: JAMAA ALIPATA DEMU MAKABURINI USIKU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 255

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 Год назад +9

    Shukran sana anko Jay shukran pia Mwandishi wetu Juma cha muhimu ni kumtegemea ALLah Alietukuka, kufanya Adhkar kwa wingi asubuhi na jioni na pia kuswali sana na kuwacha zinaa

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Год назад +10

    Hongara sana kaka hasani kwa kumurudiye mungu wa binguni na duniani shatani Hana nguvu kuliko mungu. Halihakusha kutoka binguni

  • @Jasminehamisi29
    @Jasminehamisi29 3 месяца назад +3

    Ndo tuweni makini jamani dunia ina viumbe vingi sana tusivyo vijua na kuona nime enjoy sauti nzur ya msimuliaji❤❤❤ kwanzia leo mm ni shabiki yako

  • @lizlesley9847
    @lizlesley9847 Год назад +16

    Wow...kila uchao tunaburudishwa na simulizi kali zaidi thanks uncle J plus your team ❤

  • @puritydhahabu4464
    @puritydhahabu4464 Год назад +63

    Wakwanza jamanii😅😅😅😅😅😅 Leo nko na Raha anko nipe like zangu mana hata siamini kama nimekuja wakwanza aki

  • @yussrasimba1379
    @yussrasimba1379 Год назад +12

    Ank j dah ulituliza kwanza ulete usiku or sisi tulosema lete usiku aisee tukaisikiliza usiku niliota bwan niliweweseka hadi kushituk usiku huuuii 😅😅 nipeni like zangu kwa wale tulosikiliz usiku afu tuka wewesek 😅

  • @KhalfanHabibu
    @KhalfanHabibu Год назад +3

    daaa sijui kama nsemeje,simulizi hii imenikumbusha mbali kuhusu maisha nilio ya pitia,uncle j Allah akujalie Kila lakheri katika maisha ya hapa duniani na kesho akhera nimejifunza mengi kupitia darasa lako❤.

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 Год назад +3

    Ni vyema kumtumainia Mungu tu. Shukran Mr jay na mwandishi

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +5

    Asante kwa simulizi nzuri sana, na naipenda sana sauti yako.

  • @cadeaualiza
    @cadeaualiza 5 месяцев назад +2

    Yeeee ankojay unanitiya uwoga 😢unajuwa na mimi nikienda chuo huwa napitiya kaburini kwa sababu ni njiya ya karibu saaana,yatakuja kunikuta na mimi mungu wangu weeee😢😢😢

  • @RenaldaMsuya-s1f
    @RenaldaMsuya-s1f 10 месяцев назад +3

    Sauti yako nzuri sana… yan simulz zako nasklzaga tu usku…. ❤ Sauti imetuliaa yan mtu anaweza Aka imagine how the story is going on

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 10 месяцев назад +3

    Hiii simulizi nimecheka sana kweli Hassan ni muoga

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Год назад +4

    Kidumee kimelipua mamisile 💣😂😂😂🙆🏿‍♂️🤦🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mabomuu ya hewa safii 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nancynancy4362
      @nancynancy4362 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rinahkaudencia2730
    @rinahkaudencia2730 Год назад +3

    Congrats anko jay simulizi nzuri sana nimeipenda na pia nimechigunza mengi sana kubitia hio simulizi hongereni smx Kwa kutuburudiaha🥰🌹🌹

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Год назад +6

    Present as always...hii nayo inakaa kutisha but pia itaelimisha..thing to do and not to do.thanks Anko❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NiddalNiddal-eo9yp
    @NiddalNiddal-eo9yp 11 месяцев назад +2

    Aaaaaa hii story ni ya kutisha sna mm cha msingi kumuweka mungu mbele

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +6

    😂😂😂😂😂😂 Anko jay leo umeniumiza mbavu sana ..nilidhani hii simulizi niyakutisha kumbe lahasha 😂😂😂😂hassan limekukuta jambo baba..Anko jay na juma hiza kunyweni soda naja kulipa

  • @salmakivega3981
    @salmakivega3981 Год назад +6

    Much love kwa anko jay na mwandishi Juma Hiza ❤❤

  • @mariayombayomba1606
    @mariayombayomba1606 8 месяцев назад +1

    Fundisho zuri sana

  • @editha8630
    @editha8630 Год назад +1

    Anko jay,,, Hongera sana unajua kusimulia simulizi kila sehemu unaongea kama inavyotakiwa penye huruma unatia huruma,kweny huzuni unafanya kam ilivyo,,,kweli Mungu amegawa vipaji mbalimbali

  • @DestinysChild-nn7ug
    @DestinysChild-nn7ug 7 месяцев назад +1

    Napenda sana uncle jay simulizi uishi maisha mareeefuu ❤❤❤uncle

  • @mercykhalayi
    @mercykhalayi Год назад +2

    Wow khongera Sana anko J nowadays unatuelewesha Sana na hizi simuliz zaa kichiwi❤❤❤

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 Год назад +4

    Jaman Hassan alikua anagongaa mbuyuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shukran sanaa Ankojay Nimejikuta Nachekaa mbayaa

  • @hessaalharthi7462
    @hessaalharthi7462 Год назад +4

    Waaaauuu ankojay nipe yako basi hiyo lake nakupenda bure babaa❤❤🎉🎉🎉

  • @Oumaymahmm
    @Oumaymahmm 9 месяцев назад +1

    YAÀAAA RABB ❤❤❤ KAKA KARIM WEWE NI MWANAUME HODARI KABISAÀA 😂❤❤❤

  • @IRENEMENGI
    @IRENEMENGI 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂 ila dah nacheka kama mazuri huku nikiwa nasubiri simulizi ya lisa najipooza na hii

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc Год назад +3

    Hello guys nyng tena thank you anko jay asante kwa kutupnd tunakupnd pia

  • @NiwaelyJoachim
    @NiwaelyJoachim Месяц назад +1

    Mim mama yangu mdogo alikutana na mkaka amekaa makaburin mchana 😢😢

  • @LindaRobson-qn1br
    @LindaRobson-qn1br Год назад +1

    Thanks ank simuliz nzuli sana💙💚💙💚💙💛💚

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 Год назад +3

    Pole kaka hassani ❤

  • @ffed1876
    @ffed1876 Год назад +2

    Asante sana ila rudi kwa imani yako kaka umuabudu Mola wako kwani hakuna dini ya haki km sio uislamu.

  • @Oumaymahmm
    @Oumaymahmm 9 месяцев назад +1

    YAAANI STORY YAKO NZURI SANAAAAA 😂😂😂😂😂😂IMEISHA SAFI SANAAAA 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaSI-p5o
    @MaSI-p5o 3 месяца назад

    Amen mungu apewe sifa haki mungu ashukuriwe

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 Год назад +1

    anko jey sahii watuletea vitu mfululizo tunaenjoy asante sana ankojy ❤😂😂😂

  • @nooraahmed6948
    @nooraahmed6948 Год назад +1

    Asante kwa simulizi ila mimi napenda kusikiliza lakini kichwa kinaniuma alafu naota ndoto zajabu

  • @AishaAlly-nr8ln
    @AishaAlly-nr8ln Год назад +1

    waooo simlizi nzuri jmn khaaa zimenivutia hatari 😍

  • @karanjay-ex9zt
    @karanjay-ex9zt 7 месяцев назад +3

    mmmmh cyoo wakina mariamu wakwetu uku buza kaka

  • @YusuphEllyn
    @YusuphEllyn Год назад +2

    Polee sana kaka

  • @franciscassian
    @franciscassian Год назад +3

    Huyo Mariamu atakuwa jini sio bure😂😂😂

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 Год назад +3

    Wadau mnamakusudi sio kwa kuwahi namna hii, vijicho vyote kwa anko jay🥰🥰🥰😅

  • @fareedmohd9195
    @fareedmohd9195 Год назад +3

    Kaka hongera sana ila nimecheka kwa sauti kubwa sana baada ya kupiga simu namba ya Judi ikapokewa na zima moto
    😂😂😂

  • @ZuhuraHasani-b2x
    @ZuhuraHasani-b2x 10 месяцев назад +1

    Kaz nzuri 🎉🎉🎉 kaka 🎉🎉🎉

  • @RahmaSaeed-kt1dc
    @RahmaSaeed-kt1dc Год назад +1

    Asante uncle j❤

  • @BijouxKikwindi
    @BijouxKikwindi Год назад +1

    asatesana anko simulizi hi zuri asate kwa sauti yako zuri mungu akubariki

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 8 месяцев назад

    Anko j jaman tuletee bint mina na jin mahaba tunaisubilia kwa amu ❤❤❤❤❤ nakupenda sana

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +4

    Thank youuuuuuu so much 💞❤❤❤🎉🎉🎉

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 Год назад +3

    Jamani mm nimechelewa nilikua naisubir kwa ham ila mambo yameingiluana ndio nasikiliza mda huu usiku cjuw nitalala😂😂😂

  • @anjelinandambuki-fi4ip
    @anjelinandambuki-fi4ip Год назад +2

    ❤❤❤❤ tulikua tunaingojea

  • @roznaaa5995
    @roznaaa5995 Год назад +3

    Pole hassan wangu nina mtoto anaitwa hassani

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Год назад +4

    I need more from you anko j.....😂😂😂 U are the best of the best.....🥰 Best in east,south,north and west 💋💋😘😘👍

  • @YusuphKawalika-dj9kr
    @YusuphKawalika-dj9kr 11 месяцев назад +1

    Umetisha

  • @JaydenKariuki
    @JaydenKariuki 11 месяцев назад +1

    Daah kaka hongera

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Год назад +1

    Kwa kwel simuriz atari sana❤❤

  • @HafsaAbdullah-k9b
    @HafsaAbdullah-k9b Год назад +2

    Mmh!!naogopa wallah siendi endelea sikiliza KABISA 😢😢

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein Год назад +2

    Ohoo active subscribers kitu chetu Cha kutisha tisha😂 Sasa twende kaziiiii🎉🎉🎉🎉

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +1

    Nakupenda sn uncle ubarikiwwe cn na kipaji chako kimarike mwaaaàaaaah

  • @neutybebz3187
    @neutybebz3187 Год назад +1

    Samahani kaka Jeshi la polisi tukusaidie nini jamani mara zima moto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😊😊😊😅🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅

  • @IracokeJoanfaustim-bp4qj
    @IracokeJoanfaustim-bp4qj Год назад +1

    vizuri sana ancojei

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc Год назад +1

    Mmmmh. Inatixh lkn nime like hii simuliz😊

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 Год назад +11

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉 ankojay 17k subscribers ❤❤❤❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +2

      Thank you so much 😀

    • @estherimbotsi7553
      @estherimbotsi7553 Год назад +1

      ​@@ankojay_you're welcome 😊😊😊😊😊

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +3

    Anko Jay Simulizi ya Leo imenipa uwoga sanaaaaaa 😢😢😢😢😢😢

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 Год назад +1

    Anko jay! Nakupenda sanaaa,❤ umenichekesha sanaa apo Hassan! Aliporipuwa bomu!!😂🤣👍🏻alivyokuwa anatowa hewa chafu..😅

  • @williamjoseph144
    @williamjoseph144 Год назад +1

    Huyu uncle j anajua kusimulia jmn yan anajua mpaka anakera😂😂😂🙌🙌

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Год назад +1

    Ki2 hko ❤❤❤

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +1

    Ndokuingia sijachelewa sanaaaa ❤❤❤

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +3

    mambo ni motoo motoo🔥🔥🔥🤣🤣🤣

  • @SilvesterAule
    @SilvesterAule 3 месяца назад

    Upewe mauwa yako 🌷🌹💐

  • @ireneirungu4255
    @ireneirungu4255 Год назад +1

    Uncle nimecheka na ambavyo kijana wa wenyewe anapopatwa na mauzauza

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +2

    😢😢 kesho na mimi nitalala RUclips iliniwe wa kwanza...wacha nisikilize kwanza hiyo njia ya makaburini iko je..ina miba au mabonde 😂 Ahsante msimuliaji wetu maarufu Mr.Anko jay..bila kumsahau mwandishi wetu mahiri Mr juma hiza😊

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад

      😂😂😂😂 ulale humu humu ausio

    • @binthassan9191
      @binthassan9191 Год назад

      @@ankojay_ ndio Anko jay..nasikia uchungu kila siku mimi ni mkia 😒😒sai nataka kukua kichwa 🤣🤣

  • @WinnerGeremia
    @WinnerGeremia Год назад +1

    Pole sana

  • @AdrianoWakara
    @AdrianoWakara 4 месяца назад

    Congratulations much but kuna vitu flanii hivii unakuwa unavipotezea mfano ulisema yupo kwenye mbuyu lakini yule mshkaji wake akulizangatia 2 jamaa kavunja simu balii mshkaji hakulizingatia kabisa na kulichukulia easy na kulipotezea .but big up brother🔥🔥🤝🤝🤝🤝

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад

    😂😂😂😂ulimuowa Mariam thanks ankojey 🙏🙏🙏🇰🇪

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +3

    Jamani wajina wangu zuwena 😭😭😭😭😭

  • @MasumbukoSelemia
    @MasumbukoSelemia 11 месяцев назад +1

    Nice

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc Год назад +2

    Anko jay kwanzia nimeanza kukusikiliza wee kaka una sauti ya kipekee love you so much 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛🥰🥰🥰🥰

  • @aminah9557
    @aminah9557 Год назад +1

    Mm wa mwisho kwenye top ten😂😂😂

  • @MacrinaSalama
    @MacrinaSalama Год назад

    Hongera sana anko jay

  • @angelhairdisgner9544
    @angelhairdisgner9544 Год назад

    story nzr, asante

  • @siwajarihossein1023
    @siwajarihossein1023 Год назад +1

    Anko j tuletee part 2 ya jini mahaba

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 3 месяца назад

    😂😂😂,,sijui Bado nachekea Nini akojay Niue kabisaaa 😂😂

  • @ivonacyprian4649
    @ivonacyprian4649 Месяц назад

    Kjana upewe maua yko 🎉🎉🎉🎉

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 Год назад +1

    Wow aina kama hizi kwenye you tube adimu sana big up 2:48

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 7 месяцев назад

    Nice 🎉🎉🎉🎉

  • @AbduhKareem-hi7sg
    @AbduhKareem-hi7sg Год назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥kilicho nichekesha hapo jamaa kamtukana jini et we bwege nn huyu jamaa noma et

  • @christinekanza5394
    @christinekanza5394 Год назад +1

    Congratulations ankojay ❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Год назад +1

    Yan ni 🔥🤭😂😂🤣🤣🤣
    Mungu mkubwa kabisa 🙏🙌

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Год назад +1

    Niceee.! 💜❤️💙

  • @DahuuAbdi
    @DahuuAbdi 5 месяцев назад

    Eeh yarab 😭 ninapishi njia kubwa ni makaburini 😭

  • @franciscassian
    @franciscassian Год назад +1

    Juu ya mti 😂😂😂

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Год назад +1

    Hapo kwa huduma ya wazima moto na sauti ya jeshi heeee wololo 😂😂😂😂😂

  • @StanslausStanslausfestorianmat
    @StanslausStanslausfestorianmat 2 месяца назад

    Bro nakubali sana stor zako yan sahv kila kukicha nasikiliza stor zako ila mm nilipenda sana ile ya TULIMZIKA BABA AKIWA HAI kama kuna nyingine inayofanana kama ile mm naitaka bro

  • @Oumaymahmm
    @Oumaymahmm 9 месяцев назад

    YANI WEWE NI MWANAUME HUNA UOGA 😂😂😂😂😂

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    Asate sana ako Jay

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 7 месяцев назад

    Plzzzzzz Kama part 2 Iko achiya

  • @halimaally8285
    @halimaally8285 Год назад +1

    Uncle j tunaomba simuliz za kutisha za kichawi ziwe nyingi please 🙏

  • @mariamkameesee
    @mariamkameesee Год назад +1

    Ii simuliz mwenzenu siisikizi maana najua nita ota 😢😢😅😅

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 Год назад

    😅😅😂😂😂😂😂mmmmmh jamn nimecheka sanaa leooo nimedhani inatisha

  • @FatmaMohd-sj7kc
    @FatmaMohd-sj7kc Год назад +3

    Nimechelewa jamani Ina nn njia ya makaburini acha nisikilize Anko miss Abby part ya mwisho vp

  • @ZombieZombiekille-wf6mo
    @ZombieZombiekille-wf6mo Год назад

    Mwanzo skupata kuelewa kama Mamu wenda angelikuwa jini ivyo nilijikuta naumia sana apo kwenye usaliti Ila dooh akika dunia inamambo makubwa sana

  • @dayanaamoit6951
    @dayanaamoit6951 Год назад +1

    1:51:12Jamani ni saa sita usiku naskiza huku naangalia huku na huko👻