Akili yako imeganda hao uxone wanaongea ni wasomi nchi wanaojua kuliko unavyo jua ww hao ndiyo wazazi wa mtoto wa taifa hili hakuna wasicho kijua katika taifa hili asilimia mia moja wanaongea wacho kijua ww unabaki unaongea kwa mihemko hawezi kulizungumzia taifa hili bila kuwataja viongozi hawa ukibisha wambie hao viongozi wa serikali wafanye mambo yao nje na hawa jamaa uone watoboa ukitafuta mjini ya taifa hili basi ni hawa jamaa unao wabeza wewe
mnafanya kazi ya Mungu
Hakika Mungu awe pamoja na taifa letu
Heko maaskofu kwa maono ya mbali mkataba hauna maono ya baadae
Hayo ya wamasai niuchonganishi je Huduma ya maji na elimu kweli hamuoni ? WANANCHI wangapi wamekataa?we padri jiangalie
Akili yako imeganda hao uxone wanaongea ni wasomi nchi wanaojua kuliko unavyo jua ww hao ndiyo wazazi wa mtoto wa taifa hili hakuna wasicho kijua katika taifa hili asilimia mia moja wanaongea wacho kijua ww unabaki unaongea kwa mihemko hawezi kulizungumzia taifa hili bila kuwataja viongozi hawa ukibisha wambie hao viongozi wa serikali wafanye mambo yao nje na hawa jamaa uone watoboa ukitafuta mjini ya taifa hili basi ni hawa jamaa unao wabeza wewe
We ni mumoja. Ya matapeli nn
Kwendaraaaaaaa mama fanya unayooona yanafaaaa
Mhh unaonekana unauelewa vizuri mkataba unavyo enda Tu dokeze nasis tuukubari.
@@magemchenya3537 mkataba wezi wengi ni maaaskofu wanaona watakosa unafuuu wanapiga kelele