Bwana yesu apewe sifa,kupitia wewe wengi tunabarikiwa kwa kusimamia neno natunafanikiwa ,kiroho na kimwili wewe upo kwa wakati huu ili unene kweli ili ituweke huru
Lucy from Kenya am blessed ,,,, in fact huwa unaujenga moyo wangu sana,,,unafundisha Kwa njia ambayo ninalielewa neno la mungu kiurahisi,,,,God blessed
Ule wakati nimeketi Sina kazi,,Mimi hupenda sana kuskiza mafundisho Yako,na yananiinua kiimani.hata kama ni ya 2yrs ago,neno LA mungu halizeeki,nafaidika nayo sana.Mungu azidi kukutumia ili nasi tupate ufahamu wa Roho mtakatifu...
Asante yesu 🙌🙏🙏🙏 namushukuru mungu kwa kuleta mtumishi wa mungu kwa maisha yangu nilikua nimepotea lakini kwa achili ya maubiri yako yamenichenga nimebarikiwa , ubarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙌🙏🙏🙏
Hakika wewe ni mtumish wa Mungu kweli kweli,Mungu akutunze baba nabatirikiwa mnoo na mafundisho wangu na ninapoyafanyia kazi nauona udhihirisho wa Mungu maishan mwangu,ubarikiwe mnoooo
Asante Mtumishi wa Mungu I just wake up this morning here and something told me to open the RUclips and there you we’re praying for this month na kweli nikasali pamoja na wewe na kuomba Neema ya Mungu iwe juu yangu katika kazi za mikono yangu
Gertrude Mwamburi kutoka Kenya Nairobi Asante pst kwa neno linalofafanuliwa kwa ustadi umenijenga sana kiroho God bless you aboudantly na akupe muda mrefu uzidi kutujaza
Mungu Asante kwaajili ya mtumishi wako huyu lakini nataman sana nipate number ya pastor kwaajili ya ushaur Kuna sehem u ninakwama pls najua mtumishi atanipa maarifa au neno nitatoka katika Hali hii
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimejifunza mambo mengi kupitia mch huyu mimi nipo mbali lkn nimejitahd sn ht kumfikia mch haiwezekani tuwekeeni no ht ya mch msaidizi nipo marekani. Pia Nina neno la kushauri jmn .nashauri kwa mbanano huu wamama wakae mkono wa kushoto wa mch wababa kulia mnabanana siyo kwa ubaya
Listening keenly from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🥰🥰
Shalom shalom shalom 🎉🎉
Watu wa Mwanza mmepewa Zawadi kubwa Mungu Baba pokea Utukufu na heshima zoote!!
Ee mwenyezi mungu niweke mbali nauovu mwenzi wakumi uhovu autokaa ndani ya nyumba yangu 🙏🙏🙏
Bwana yesu apewe sifa,kupitia wewe wengi tunabarikiwa kwa kusimamia neno natunafanikiwa ,kiroho na kimwili wewe upo kwa wakati huu ili unene kweli ili ituweke huru
I appreciate pastor. God bless you for the wonderful sermon......Amen 🙏
Lucy from Kenya am blessed ,,,, in fact huwa unaujenga moyo wangu sana,,,unafundisha Kwa njia ambayo ninalielewa neno la mungu kiurahisi,,,,God blessed
Aki ata mie napenda jinsi anafundisha mpaka unasikia umeelimika kabisaa, Lucy hi ,mkamba also, from tvt town,
Mchungaji nabarikiwa sana na mahubiri mungu akupe maisha marefu uzidi kutulisha chakula Cha roho
Ata mie nampenda sana mtumishi anafanya naelewa vyema sana
❤❤❤❤❤❤
Me too watching from kenya,,,this man ananielewesha neno vizuri sana
Ule wakati nimeketi Sina kazi,,Mimi hupenda sana kuskiza mafundisho Yako,na yananiinua kiimani.hata kama ni ya 2yrs ago,neno LA mungu halizeeki,nafaidika nayo sana.Mungu azidi kukutumia ili nasi tupate ufahamu wa Roho mtakatifu...
Ameeen napenda sana kumsikiliza nainuka MUNGU alimtumia Dr Joel nanauka kumjua huyu pastor
My name Terry Wambui am so blessed since i started watching you on line especially about midnight prayers I have seen fruits of midnight prayers
Ubarikiwe mtumishi wa mungu nimejifuza meng na naenda kuishi ndan ya kusud la mungu
Asante yesu 🙌🙏🙏🙏 namushukuru mungu kwa kuleta mtumishi wa mungu kwa maisha yangu nilikua nimepotea lakini kwa achili ya maubiri yako yamenichenga nimebarikiwa , ubarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙌🙏🙏🙏
Amen amen mtumishi Mungu azidi kkubariki sana aya mahubiri yananifunza mengi
From Malawi that's great this is wellce joseph
Janine kutoka UK. Nakufuatilia na nakushuru Mchungaji kwa mafunzo yako na najifunza mengi.Bwana azidi kukutia nguvu uendelee kutujenga barikiwa .
Mungu akubariki. Sana mchungaji..Mungu akuzidishiye hii neema huzidi kutufunguliya..mema ya mungu kwetu
Eee mungu waka uovubali yuba ya dadagu mari na yubayetu❤❤❤
Priscilla from Kenya working from Gulf.God hide us from the hands of evils🙏🙏🙏
My Goodness Prophet Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wooow truthhhhhh pure❤❤❤❤❤❤❤oye Niederösterreich ❤❤❤❤❤❤❤❤
You bless my heart from Kenya 🇰🇪,, you are good teacher
Hakika wewe ni mtumish wa Mungu kweli kweli,Mungu akutunze baba nabatirikiwa mnoo na mafundisho wangu na ninapoyafanyia kazi nauona udhihirisho wa Mungu maishan mwangu,ubarikiwe mnoooo
Ubarikiwe sana pastor 🙏🙏
Naomba mwezi huu aionganishe familia yangu na kutuinua na kuwa na kiwango kipya!
Ubarikiwe na BWANA pastor George MUNGU akuinue kwa viwango vya juu zaidi kwa ajili ya utukufu wa MUNGU
Alphonce Baya from Malindi Kenya, Amen 🙏
Naomba unizidishe neema kuu na wepesi ndani ya mwezi huu katika jina la Yesu kristo Amen
Asante Mtumishi wa Mungu I just wake up this morning here and something told me to open the RUclips and there you we’re praying for this month na kweli nikasali pamoja na wewe na kuomba Neema ya Mungu iwe juu yangu katika kazi za mikono yangu
Nabarikiwa mno_kutoka Tanzania.Barikiwa Pastor Mkabwa.
Gertrude Mwamburi kutoka Kenya Nairobi Asante pst kwa neno linalofafanuliwa kwa ustadi umenijenga sana kiroho God bless you aboudantly na akupe muda mrefu uzidi kutujaza
Nimebarikiwa sana kwa ujumbe huu,God bless you man of God.
Neema na baraka zako ee Mungu nakuomba zinifunike ktk mwezi huu wa10
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu Mungu awe nawe siku zote za maisha yako azidi kukutumia sana nakutakia kila la heri Ameeen3
Bwana zidishs wema wako na mwepesi katika njia zangu zifunguke katika jina la Yesu kristo Amen
GOD BLESS YOU PASTOR GEORGE
Napenda vile unavyofundisha neno linanijenga Sana kiimani pastor baraka ziwe nyingi kwako baba.Nakupenda
Doly from Kenya ....mtumishi mungu akuongeshe kibali shaindi.. umenifundisha na kufahamu neno la mungu..niombe kibali niwe Moja Kwa tumishi ata mm
Nafuta kilichoratibiwa na shetani ktk familia yangu na afya yangu nafuta kwa damu ya Yesu
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Watu wa Mwanza mmepata neema mshukuruni Bwana
Kweli kabisa
Asante Mungu,kwaajili ya mtumishi wako naelewa sana
Natwa Eunice nipo pwani mtumishi niakuelewa sana na pia moyo wangu unazidi kujengwa kiroho na kiimani asante
Amen And Amen Baba Mungu azidi kukutia nguvu zake
Mafundisho mazuri Sana, Glory to God
Moses kutoka Rombo nina barikiwa sana pastor Kwa neno la Mungu unalo fundisha.
Asante kwa mungu wetu kwa kutupa muchugaji online kwa wakati ufaao
Asante mungu kunikutanisha na hichi chombo chako.
Ahsante kwa neno pastor❤
Mungu atainyoosha njia yangu kwa jina la Yesu kristo
Haron kithinji from Kenya pastor George God bless you for your teaching ward of God
Mungu ahsante kwa kujifunua kwangu
😂😂😂man of God, God bless you so much, thanks for the teachings. May God keep you long to bless many more and more. Amen
Ubarikiwe pastor
Asante Mt kwa mafundisho mazuri mungu akubariki sana
Nashukuru Mungu kwa neema yakunifungua ufahamu wang katika mafundisho hay
Baba naomba kibali chako Yesu mwezi huu.
Asante Mungu weka uovu Mbali na mimi
Hakika ubarikiwe hili neno limekuja wakati nilitaka kusikia Mungu akubariki sana 🙏
Waaaa!!!!!
Amen nimebarikiwa sana nahuu mwez wa10 lazima nifunguliwe
Am following from Kenya Man of God am getting blessed
Bwana Yesu asifiwe, kwa kweli namuona Mungu kupitia wewe mtumishi,unaimarisha sana imani yang.Mungu akutunze Pastor
Asante sana mtumishi 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Much ❤ mtumishi nazidi kukuwa polepole umenizaidia kuwa Na ujazili wa kuomba Mungu peke yangu Na kuhesh
imu Neno la mungu
Amen nimebarikiwa Sana Na hili Neno mafundisho yako kupitia roho Wa Bwana Nuru ya Mungu Na iangaze vyema juu Maisha yako poster❤❤🙏🙏🙏
Mungu Asante kwaajili ya mtumishi wako huyu lakini nataman sana nipate number ya pastor kwaajili ya ushaur Kuna sehem u ninakwama pls najua mtumishi atanipa maarifa au neno nitatoka katika Hali hii
Nafuta ratiba na kusudi la ibilisi juu yangu na familiar yangu natengua vyote katika jina la YESU KRISTO
Am blessed groly be to God be blessed also
Ni kwa neema ya Mungu tu .
Asante tunashukuru Mungu kwama fundisho
Amen kubwa
amen mtumish
Nabarikiwa na huduma Yako pastor Mungu akubariki
Ubarikiwe mwalimu wa neno
Ubarikiwe sana 🙏🙏
Your preaching lines with my pastors preaching exactly
Ninabarikiwa sana. Mungu akubariki Pastor GEORGE
Ahsante kwa loho mtakatifu kukutumia mtumishi
Ameeeeen🙏🙏🙏🙏🙏
Amen baba umenijenga kabisa nipo Burundi
Mungu akubariki sana pastor
Wonder full God be blessed Hear you
Ameen🙏🙏🙏
ASANTE PASTOR KWA MAFUNDISHO
Barikiwa sana pastor napenda sana huduma yako
Hakika kusudi la bwana likiwa juu ya maisha yangu,adui hawezi nifikia
Natamani kujazwa roho mtakatifu
Amen barikiwa sana
Amen amen 🙏
Amina sana
Ubalikiwe pastor
Àmeen 🙏🙏
Mafundisho mazuri Mtumishi nabarikiwa sana
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimejifunza mambo mengi kupitia mch huyu mimi nipo mbali lkn nimejitahd sn ht kumfikia mch haiwezekani tuwekeeni no ht ya mch msaidizi nipo marekani. Pia Nina neno la kushauri jmn .nashauri kwa mbanano huu wamama wakae mkono wa kushoto wa mch wababa kulia mnabanana siyo kwa ubaya
Nisawa lakini kumbuka kanisa ni ndogo kwa sasa ila wako wanajenga kanisa kila kitu kitakuwa sawa usijali kwa ilo
Hallelujah Amen 🙌
Napenda mafindsho yko yananpa ufahamu wakimungu nahtaji kupata mawsiliano na wewe ili nvune vngi
.uwanabalikiwa Sana Naayamaubili❤
Barikiwa mtumishi was mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤Ameeen..Ameeen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen asante kwa somo
Kibali
You have been a blessing to me pst
Kwa damu ya yesu nafuta kusudi la shetanin kwenyew kazi yangu
Amen Amen
Amen Pastor
Kweli nimebarikiwa na neno