Mafundisho yako Marehemu Monsinyori ( Sauti Kazi Injili) hatutayasahau na yateendelea kututia nguvu na kyisogeza injili mbele. Mungu akakupe tuzo yako mbinguni. Tutaendelea kukuombea daima. Nawe utuombee ili "Sauti Kazi Injili" ziwe nyingi haza kutoka Tanzania, Afrika na duniani.
Pumzika kwa amani Baba, Nakuombea kwa Mungu kupitia mafundisho yako Mungu akakukumbuke kwa kunikomboa mimi na watu wote walioijua dini zaidi kupitia wewe,Mungu akupokee mbinguni
@@theservantmedia7566 Asante sana,Nimejifunza vitu vingi kwa Baba mpaka wakati mwingine najiona Imani yangu bado sana.Hakika anasitahili kuwa Mtakatifu,Tumuombee.
Tumsifu Yesu Kristo padri.Asante kwa maelekezo khs novena ya siku 54. Naomba kuuliza khs NIA ambayo inatakiwa kuwa moja tu.Je nikiomba MUNGU aniponye na magonjwa yote itakuwa nimeweka nia nyingi?Niombe Mungu aniponye ugonjwa mmoja mmoja padri?Naomba kujibiwa asante sana padri.
Hayo maombi ya kuombea marehemu ni mbatili kabisa,No amount of prayers can change the destiny of the dead, you're deeds goes with u to the grave and on judgement day your deeds will determine your gate, Acheni uongo
Kwa mafundisho haya utatoa hesabu maana ni upotovu mtupu
Hakuna sehem yeyote ndani ya Bible inaruhusu ibada ya marehemu,,, nyie Rc akili ya kupewa changanyeni na yenu,,, haya ni mahubiri ya kishetani
Wewe na RC nani kaanza kuwepo kwanza??
Mafundisho yako Marehemu Monsinyori ( Sauti Kazi Injili) hatutayasahau na yateendelea kututia nguvu na kyisogeza injili mbele. Mungu akakupe tuzo yako mbinguni. Tutaendelea kukuombea daima. Nawe utuombee ili "Sauti Kazi Injili" ziwe nyingi haza kutoka Tanzania, Afrika na duniani.
Pumzika kwa amani Baba, Nakuombea kwa Mungu kupitia mafundisho yako Mungu akakukumbuke kwa kunikomboa mimi na watu wote walioijua dini zaidi kupitia wewe,Mungu akupokee mbinguni
Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.
@@theservantmedia7566 Asante sana,Nimejifunza vitu vingi kwa Baba mpaka wakati mwingine najiona Imani yangu bado sana.Hakika anasitahili kuwa Mtakatifu,Tumuombee.
Hakika Mungu alikuleta duniani kwa kazi maalum. Hiki kipaji hakikuwa cha kawaida .Mungu hawezi kukutupa. Utakuwa mwombezi wetu muda si mrefu.
Amina karibu utazame hazina ya mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika channel yetu.
Aminaa
Tumsifu Yesu Kristo padri.Asante kwa maelekezo khs novena ya siku 54. Naomba kuuliza khs NIA ambayo inatakiwa kuwa moja tu.Je nikiomba MUNGU aniponye na magonjwa yote itakuwa nimeweka nia nyingi?Niombe Mungu aniponye ugonjwa mmoja mmoja padri?Naomba kujibiwa asante sana padri.
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika RUclips Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
Hayo maombi ya kuombea marehemu ni mbatili kabisa,No amount of prayers can change the destiny of the dead, you're deeds goes with u to the grave and on judgement day your deeds will determine your gate, Acheni uongo
Matango pori haya
mafundisho mazuri sana.haya mafundisho yatatufaa vizazi na vizazi
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika RUclips Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
Asante servant media Kwa kuendelea kutuletea hii habari njema
@semba
Namba ya huyu Mseja mnisaidie ndugu zangu ktk Imani
0755 806 603 fr.Mbiku
@@theservantmedia7566 Ahsante.
Hakika nilichewa kuijua hii sehem
Karibu Sana Ndugu John Mungulele.
Utashiba Kiroho na Hujachelewa naamini. Huu ndio wakati wako Sahihi.
Hiyo novena ya kusali cku 54 inaitwa?na naipata wapi?
ruclips.net/video/ROe1-4LKvgw/видео.html hii hapo
@@theservantmedia7566 hajataja jina katoa maelezo Tu.natakabjina
Kesho jpili atasoma misa saa ngapi?na wapi?
Atakuwa chuo kikuu na Misa ya 3
Ok,misa ya 3 ni saa ngapi?naomba ramani ya kufika hapo chuo kikuu
Nimejifunza kitu kikubwa sana katika mafundisho haya
7
Naomba namba ya huyu padre
Huyu Padre alishafariki
Mafundisho yako ni hadithi nzuri kwa vizazi vyote uliyoiachia kanisa katoliki. Hakika tutakukumbuka mosinyori Mbiku.
Amina karibu utazame hazina ya mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika channel yetu.
Baba tunazidi kukuombea pumziko jema, tunakukumbuka Sana
R.I.P baba wa Imani.
Kwa amefariki ?
Amina
Ndiyo, Alifariki Siku ya Paska Jioni
@@theservantmedia7566 Oh may he rest in peace. God likes good people also. Tukae macho
7