Je, mimi huwa nashukuru Mungu?? | jifunze kitu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 17

  • @evanatheonly6965
    @evanatheonly6965 2 года назад +2

    Asante fr kwa masomo haya mazuri na umenifunza mengi. continue resting with the Angels

  • @noeljoseph2182
    @noeljoseph2182 5 лет назад +9

    namkubali sana huyu father na hakika amenifumbua vingi sana kuhusu imani yangu ya kanisa katoliki.

  • @scholasticapatric6214
    @scholasticapatric6214 5 лет назад +1

    Asante sana PD. Mbiku kwa mafundisho mazuri mungu akubariki sana

  • @haikangowi3828
    @haikangowi3828 5 лет назад +1

    Amina sana sana fr Mbiku...ubarikiwe sana

  • @sofiamtenga798
    @sofiamtenga798 5 лет назад +2

    Baba asante kwa fundisho zuri ni kweli tunasahau kushukuru kwa sababu tunahisi yote tulio nayo tumepata kwa nguvu zetu kumbe la! Ubarikiwe saana

  • @fideliskimati4619
    @fideliskimati4619 5 лет назад +2

    Namkubali sana uyu father

  • @veronicamorris8257
    @veronicamorris8257 2 года назад

    Amina

  • @marryancilla90
    @marryancilla90 5 лет назад +1

    Thanks father

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile9606 4 года назад +1

    Kwa waliopitia kwenye sakramenti yoyote chini ya Paroko Fr. Mbiku pale UDSM, mwenyezi Mungu azidi kukubariki sana.

  • @lucymassoi9363
    @lucymassoi9363 3 года назад +1

    Endelea kuimba na Malaika wa MUNGU wetu wa Mbinguni Baba Monsignor Mbiku🙏🏽...

  • @happyfocus3030
    @happyfocus3030 4 года назад

    Amen baba

  • @daniellyimo378
    @daniellyimo378 3 года назад

    Asante baba.

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 года назад +1

      Amina, Karibu utazame Hazina ya Mafundisho mazuri aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika Channel yetu ya THE SERVANT MEDIA Kwa ku SUBSCRIBE.

  • @johnsanga7895
    @johnsanga7895 3 года назад +1

    Baba tumekupoteza 'pumzika kwa amani

  • @angelucyleonard2543
    @angelucyleonard2543 5 лет назад

    Amina sana baba.

    • @leahpawa7804
      @leahpawa7804 5 лет назад

      Asante Padre kwa somo zuri Mungu akubariki

    • @vinlee8621
      @vinlee8621 4 года назад

      Ahsante Fr Mbiku kwa mafundisho yako.