Mkalaboko, wewe ni hazina ya nchi hii….kocha mzuri sana sana zaidi ya sana…Ninakukubali sana uko vizuri na unajua football na unachambua kisayansi siyo akina fulani wanaochambua kwa ajili ya bahasha ❤guy Kwanini usije kwenye technical bench letu la Young Africans??? You are welcome
Mkalaboko, wewe ni hazina ya nchi hii….kocha mzuri sana sana zaidi ya sana…Ninakukubali sana uko vizuri na unajua football na unachambua kisayansi siyo akina fulani wanaochambua kwa ajili ya bahasha ❤guy
Kwanini usije kwenye technical bench letu la Young Africans??? You are welcome
Direct football twende ku score
SIO LIGI NI LIGI YA AKINA MAMA SHIRIKISHO
Km ni ligi ya mama we ulichukua kombe unajifariji hyo maneno ya mkosaji
Hawa wachambuzi wa mtokeo sio soka,nikirejea kwenye post za siku kadhaa nyuma utagundua hawa wachambuzi wa mchongo.😂😂😂😂😂
HUYU NI BONGE LA MCHAMBUZI HANA MAKEKE KAMA UMUELEWI SHAURI YAKO
Mbona habari ni za yanga lakini heading ni simba scheni uhuni
Lazima waitaje simba ndo timu kubwa Tanzania kuliko Yang
Tupe makavu laivu.