UCHAMBUZI:JUSTIN KESSY AMFANANISHA MZIZE NA BENZEMA,HAKUNA KAMA AUCHO LIGIKUU,AHOUA SIMBA WAMEPATIA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 13

  • @Julius-lw5et
    @Julius-lw5et День назад +4

    Napenda sana kaka ukimchambua aucho

  • @johnmalisa9373
    @johnmalisa9373 21 час назад +4

    Mtu pekee ambaye ana uwezo wa kumuelezea Aucho

  • @TonnyMwampamba
    @TonnyMwampamba День назад +5

    Bonge la mchambuz kessy baba ball unajua🫡🫡🫡🫡

  • @ndumeabdallah5105
    @ndumeabdallah5105 День назад +2

    Nakufutilia sana nikiwa usa 🇺🇸 ohio

  • @CumaEmedi
    @CumaEmedi День назад +1

    Chambozi bora. Tanzania

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr День назад +2

    HUYU MCHAMBUZI UKISEMA UMUELEWI NENDA TU HOSPITAL

  • @nassornasry248
    @nassornasry248 День назад +1

    Mchambuzi pekee wa mpira ninae muamini na kumsikiliza mara zoote justine unajua sana

  • @jumakulwa-e7v
    @jumakulwa-e7v День назад +6

    Wewe ndiyo mchambuzi bora wa mpira tanzania siyo huyo ambokile chuma Cha mjerumani kazi yake ni kigeugeu akishinda Simba yupo akishinda yanga yupo yani ni kama mvuta bangi

  • @ZefaMwakilasa
    @ZefaMwakilasa День назад +1

    Unachambua kwa mapenzi na opponent waliobaki ni very taught bad enough hawafanyi makosa Kama mazembe na mechi za makundi zote yanga katanguliwa magoli ufanisi wa washambuliaji wa al hilali upo juu vs umakini wa mabeki wa yanga

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 День назад

    Kibakuli ni mchambuzi bora wa yanga nandio mana wanaomsifia wengi ni yanga muda wake wingi kusifia utopolo tu

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 День назад +1

    Mchambuz bola