Helsi kama kuna ofaa ya mzize kwa uwezi alie juu mpe ruhusa aende ili akakiwashe akiwa bado mdogo muacheni kwa nua njema kwa SASA akiwa na thamani uongozi wa yanga msaidieni mzize aende akatafute changamoto m ya a Insha alhwa kwa nia moja na roho safi
Jezi jamani lisomeni viongozi wetu wa yanga wachezaji wako giza angalieni marudio mulisome hilo jezi jezi .Sheria ngoi kajisahau analeta sanaa kwenye mchezo wa ukweli man to man on pitch football is act if you can. You a hero live.nikirudi kwa mada yangu mashabiki au viongozi rudieni game au highlight tu tizameni muonekano wetu .alafu jibu lipo hapo hapo wakati wanaonesha mashabiki wale wenye hizi mpya tena wengi wana kijani yani utaona mashabiki wenyewe wamechoka ukiletwa kwenye mashabiki walio alia njano nyingi za zamani utaona wana waka ile mbaya full engergy adi raha .na wachezaji wetu utisho wao na full inajii zao jezi za ngoi zinawaficha sana game ikiwa ngumu pia kwa wachezaji inawasumbua hawaonani.jamani nazani munanifahamu angalieni highlight tazameni jezi zetu
Alhamdullh mungu ni mwem 🙏
kaka kessy yaani nakupendaga sana nakufatiliaga intview zako zote wewe ni msema kweli Mungu akutunze
Ww ni mchambuzi wa maana sana penye ukweli unasema huna ushabiki ndani yako ,big up bro🙏
Uko vizuri kuchambua, HONGERA
Asante sana Mungu wa mbinguni. Umekuwa mwema kwetu.
Amen
Ahsante Mungu kwa kutupa furaha ya matokeo ya ushindi
Brother umetisha sana
Safi sana umechambua vizur sana
Bg up bro
Umeongea kimpira sana
Hatahuku south Africa tunakupata
Asante sana sana sana
Kweli washabiki walikua wana mbeza
Kesy ww ni hatariii sana kwenye uchambuzi
Helsi kama kuna ofaa ya mzize kwa uwezi alie juu mpe ruhusa aende ili akakiwashe akiwa bado mdogo muacheni kwa nua njema kwa SASA akiwa na thamani uongozi wa yanga msaidieni mzize aende akatafute changamoto m ya a Insha alhwa kwa nia moja na roho safi
Kak umezungumz mpraaa
Huyu jamaa anajua sana kuchambua mpila hanaga uongo hata robo
Hii maiti imetokea wapi ?
Huyu naye kolo mida mingi uwa anao yanga awezi fanya makubwaa
Sam kama utarejeshewa gharama zako ulizotowa dhidi ya Simba naamini ungerudi YANGA UKAPATA UTAM .LKN ULIPENDA MASHAKA SASA yaone
Unasema uongo hakuna shabiki hata moja wa yanga aliekuwa anambeza maize ni ninyi wachambuzi msiwe mna badili maneno yenu
hapana kaka,kumbuka kaka wanayanga tulisema mzize hana hadhi ya kuichezea yanga kutokana alikuwa anafanya makosa mengi sana.fanya research kaka
@@myself-T2hakika ilikuwa hivyoooo
Tulimsema sana kipindi anakosa magoli kwa mamelod@@myself-T2
Mshambabtu huyo uyanga sana
Pole sana 😅
Jezi jamani lisomeni viongozi wetu wa yanga wachezaji wako giza angalieni marudio mulisome hilo jezi jezi .Sheria ngoi kajisahau analeta sanaa kwenye mchezo wa ukweli man to man on pitch football is act if you can. You a hero live.nikirudi kwa mada yangu mashabiki au viongozi rudieni game au highlight tu tizameni muonekano wetu .alafu jibu lipo hapo hapo wakati wanaonesha mashabiki wale wenye hizi mpya tena wengi wana kijani yani utaona mashabiki wenyewe wamechoka ukiletwa kwenye mashabiki walio alia njano nyingi za zamani utaona wana waka ile mbaya full engergy adi raha .na wachezaji wetu utisho wao na full inajii zao jezi za ngoi zinawaficha sana game ikiwa ngumu pia kwa wachezaji inawasumbua hawaonani.jamani nazani munanifahamu angalieni highlight tazameni jezi zetu
Gusa achia twende kwao