Darassa - Achia Njia (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 3 тыс.

  • @princenewton
    @princenewton 6 лет назад +549

    Wangapi tulikua tunamsuburia darasa kwa hamu na ghamu daaa eti darasa kaingilia madawa ya kulevia Ila Mungu alali welcome back king +(254)kenyaaa

  • @makasu203
    @makasu203 11 месяцев назад +11

    Huyu jamaa ni mdeadly mbaiiiya

  • @oneslevinezagos2852
    @oneslevinezagos2852 6 лет назад +121

    Tafadhalini team darasa naomba ata likes cjawahi pewa ata moja 😢😢😢

  • @givenkikoti3768
    @givenkikoti3768 6 лет назад +98

    Wale wa kusoma comment tia like apa 😀😀😀😀like kwa darasaaa bigg up bro ngoma kaliii

  • @boniphectoboniphace7187
    @boniphectoboniphace7187 6 лет назад +10

    Shujaa wangu karudi nione like nyingi san kwa fujo.hata kwa jiran fresh tyuuuuuuuuuu

  • @migogenio
    @migogenio 6 лет назад +77

    Ukitaka kujua ukubwa wa hii ngoma tulia kimya sehemu ambayo haina kelele ndo utajua ukubwa wa mstari anao imba darasa, keep it up Broo ngoma kali inaenda Bila kiki

  • @BlackPanther-xx8dn
    @BlackPanther-xx8dn 6 лет назад +327

    Wanao mpa 100% mr Darasa piga like hapa

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 6 лет назад +282

    Kwasisi tulio kua tunamsubil darassa kama Mimi like zetu n apa 👇👇👇

    • @raziajolie7774
      @raziajolie7774 6 лет назад +1

      Nilikuwa nimemmiss saaana nampenda sana i'm from Égypte to Birundi

    • @esthereslom992
      @esthereslom992 6 лет назад +1

      Welcome back dalasa

    • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
      @ukhtyashurasakinamnyoti1786 6 лет назад +1

      Ingawa si mpenzi wa miziki ila huyu ni silaha ya maangamizi nliumia sana zilivyovuma tetesi kuwa kaingia ktk kashfa ya utumiaji madawa kisa kapotea mwaka mzima ilikuwa inanichoma moyoni kama pasi ww ndio simba org hao wengine mapaka tu

    • @johnsadick5296
      @johnsadick5296 6 лет назад +1

      Ngoma imekaa mahari pake

    • @lucasmanzoli1194
      @lucasmanzoli1194 6 лет назад

      Hahahahaha

  • @slapoian5215
    @slapoian5215 2 года назад +21

    I love Darassa songs, he's always on top..much love from kenya.

  • @eyeque4687
    @eyeque4687 6 лет назад +117

    hili ndo darasa kama umekubali we like tuuuu... kwani sh ngapi!! +255 , +254
    kwani humu kuna mtu anashindana na pombe? , ajiandae kuzima!!

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 6 лет назад +34

    King wa mistari,,tumekungoja kweli hujai tuangusha💯❤

  • @sheriffshatterz
    @sheriffshatterz 6 лет назад +146

    *ACHIA NJIA LYRICS*
    *AUTHOR: DARASSA*
    WE UNGA UNGA MITAMBO MI NIKO HEWANI, MAMBO YANAENDANGA NA FANI,
    FUNGA VIRAGO YOUR JOB IS DONE, BAHARI IKICHAFUKA INAKUJA TSUNAMI.
    USIPOELEWA SOMO WATU WANAKUPIKU, EEH UNAULIZA MAJIBU,
    KUPATA HESHIMA UNACHIMBA DEEP, ILA UKITAKA DHARAU NI VERY CHEAP
    RUDISHA AKILI ULIKOAZIMA, HUWEZI UKAKUTANISHA MILIMA
    TAFUTA KITU CHA KUJIPIMA,
    UKISHINDANA NA POMBE UNATAKA KUZIMA???
    WEKA USHINDAN FINE ME I DON'T MIND, UNAUZA SURA MTAAN PEOPLE DON'T BUY
    AND YOU KNOW WHAT??? SEMA BYE BYE
    HAUKAI DISCO LIMEINGIA MMASAI
    ***(CHORUS)***
    ACHIA NJIA,ACHIA ACHIA NJIA×4
    ***INSTRUMENTAL***
    UNASHANGAA MATAA, BIASHARA HAILIPI UNAKATAA, HAPANA BANA ME I DON'T LIKE THAT, USINIJARIBU KAMA NGUO YA KUVAA,
    NOW BREAK IT
    DOWN....
    ****INSTRUMENTAL***
    MACHO JUU MACHO CHINI CHINI, VIPI UMEPOTEZA DISCIPLINI, UNACHEKESHA KAMA MR BEANI, ACHA KUCHIMBA CHIMBA WATU CHIMBA MADINI.
    HUO UCHIZI UMEKUANZA LINI,
    AU UMEFATA MAMBO YA MJINI
    EEH ULIWAZA NINI, UKAWACHA VIWANJA UKAJA KUCHEZA RELINI
    ***(CHORUS)***
    ACHIA NJIA ACHIA ACHIA NJIA×4

    • @jemedary6271
      @jemedary6271 6 лет назад +2

      Safi sana mkuu

    • @zogo496
      @zogo496 5 лет назад +1

      Jina ya hiyo intro tafadhali nipe...Ni nyimbo kivyake full ama ni intro tu?

    • @kenedlaurent7235
      @kenedlaurent7235 5 лет назад +1

      Umetishaaaa

  • @RomanusTv
    @RomanusTv 6 лет назад +371

    *Darassa - Achia Njia*
    00:47 ●━━━━━━─────── 3:48
    ⇆ㅤㅤㅤㅤ◁ㅤㅤ❚❚ㅤㅤ▷ㅤㅤㅤㅤ↻
    Thnx for all the likes guys! 😊🖒🏻

    • @KerewaQerewer
      @KerewaQerewer 6 лет назад +12

      Nimekubali bahari ikichafuka inakuja tsunami kamanda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥HEBU nigaweni LIKE Kama mwakubali DARASA Hana mfano💪💪💪👏💯

    • @thomasmwaijande7278
      @thomasmwaijande7278 6 лет назад +7

      Jamani like za kutosha aiseee

    • @aminaomary3118
      @aminaomary3118 6 лет назад +3

      👌Safi broo

    • @jumaibrahim4745
      @jumaibrahim4745 6 лет назад +4

      Mmmh baba

    • @unclekim6291
      @unclekim6291 6 лет назад +4

      darasa we hatari bwana, ata ukipitea five years u will still hite

  • @kedmondkepha7707
    @kedmondkepha7707 6 лет назад +81

    Mwamba karudiiiii Kama unamkubali huyu jamaa kama mimi gonga like hapa

  • @Deprince381
    @Deprince381 6 месяцев назад +3

    Daah wale wa Darassa 2024 ka tupogo wapi likes ❤

  • @mr.sayoosayomusic7064
    @mr.sayoosayomusic7064 6 лет назад +9

    Jaaamani eeee waliokua wamemiss kama mimi fanyeni kama mnajikunaaa iviiiiiii #LIKE TAFADHALIII,,, #ACHIANJIAAAAAA

  • @roseafrael5390
    @roseafrael5390 6 лет назад +66

    Unajua #darasa akitoaga ngoma kwa mara ya kwanza huwezi kuielewa lkn ukiendelea kuisikiliza unaielewa, big up brother 😄😍#achieninjia

  • @enjojonas583
    @enjojonas583 6 лет назад +44

    Nilikua namsubir darasa kwa hamu saan asant mungu kwa kumuinua tena

  • @fatmashaban3749
    @fatmashaban3749 6 лет назад +158

    Wale tunaomkubali uyu jamaa hebu tujuane achia njia gonga like kama zote

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 6 лет назад +27

    Rudisha akili uliko azima😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀darasa ulikuwa wap Baba anae kubali ngoma za jamaa gonga Like Kama Zoe 😎😎😎

  • @mickyusuph9839
    @mickyusuph9839 2 года назад +2

    Tupe ngoma mzeee unatutupa sana

  • @alikomwamundela6264
    @alikomwamundela6264 6 лет назад +232

    "Acha kuchimba chimba watu chimba madini" kama umeusikia huu msitari gonga likes nyingi!

  • @نسريننسين-ف3ط
    @نسريننسين-ف3ط 6 лет назад +12

    Asante darassa mie roho kwatuuuu

  • @johndestar2240
    @johndestar2240 6 лет назад +10

    Daaah! Bonge la ngoma kutoka kwa darassa,,,,Umetisha kinoma2 af hao Ma Video Vix wako ni Wazur kinoma2....Nawapenda sana

  • @vintage254
    @vintage254 6 лет назад +24

    Bahari ikichafuka inakuja tsunami,... Unashangaa mataa!!!!!... The king is back!!!!! Tumeupata wimbo wa kufunga mwaka,, nani anakubali? 🇰🇪 much love

  • @JiekeTV
    @JiekeTV 6 лет назад +38

    Asante sana kwa Comment yako.
    Tafadhali washirikishe na ndugu jamaa na marafiki zako ili waweze kujionea ubunifu wetu.
    Pia waambie wa Subscribe ili kusapoti kazi zetu Asante

  • @alexmwanamulenda8742
    @alexmwanamulenda8742 2 года назад +10

    I'm from DRCongo.i confirm this guy is the best. Proud to have you as an African.

  • @oparetorfiki5319
    @oparetorfiki5319 6 лет назад +13

    Mkubwa kasema #Achia__njia hit song funga mwaka hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @KISIIWOODEMPIRE
    @KISIIWOODEMPIRE 6 лет назад +61

    Welcome back Darassa......... wengine waende shule wakasome,,,,,,, #KisiiWoodEmpire was here...... likes kwa huyu Darassa

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 лет назад +1

    Crass... Nazipenda nyimbo zako mpka basiiii haswaah ya too much na Achia. Njiaaa😀😀😀💋

  • @njelutz4890
    @njelutz4890 6 лет назад +58

    Mda wa good music kama umekubali ngoma hiiii like hapa

  • @zeroeight842
    @zeroeight842 6 лет назад +62

    acha kuchimba chimba watu we chimba madini🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emmanuelmasunga2716
    @emmanuelmasunga2716 6 лет назад +250

    Jamani sijawahi kupata like, naomba hata likes 100 namimi😂😂😂

  • @calebjuma9018
    @calebjuma9018 6 лет назад +41

    Wapi like za kenya ,ajia njia noma sana

  • @kabangaonline4523
    @kabangaonline4523 6 лет назад +18

    Mwanangu darasa umeua bro tulikua tumekumis knoma good music the way from shy town butiama apa wote wameachia njia wanakusubili upite kama nawe uliimis sauti hii gonga like👊👊👊💯 nami nifurahi

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 6 лет назад +7

    Acha kuchimba chimba watu chimba madini,,Kenya tunakutambua Darassa,,❤💯

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 6 лет назад +40

    The intro song was way much better than the original song! Karibu tena baada ya kutokomesha kwa muda wa mwaka mzima!

  • @khamismachemba4020
    @khamismachemba4020 6 лет назад +44

    Fans from uganda napataje like za watz kwa hii ngoma kali

  • @octavianabdeleheman6034
    @octavianabdeleheman6034 6 лет назад +2

    Nakubali cmg darassa. Km unampenda darasa gonga like hapa...!

  • @enosedee4326
    @enosedee4326 6 лет назад +66

    KING IS BACK ACHIA NJIA WEWE

    • @lydialucas2579
      @lydialucas2579 6 лет назад

      Daaah inapndza San na ujio wa darsa

    • @eddutdat2033
      @eddutdat2033 6 лет назад

      mbayaa wao TZ ...scandals ety ulkuwa kwa madawa

  • @giftymtalo3225
    @giftymtalo3225 6 лет назад +50

    kwa wale rafiki wa kweli wa darasaa like hapa 👇kama umekubali hili song naku angalia mara mbili kama mimi

  • @jkkamonya
    @jkkamonya 6 лет назад

    Nyimbo zake kama misemo ya wahenga. Kali kweli. Nashukuru umerudi ukiwa salama. Chapa ngoma kabisa.

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 6 лет назад +16

    Kama na wewe hujalibiwi kama nguo yakuvaa gonga like ya kikonki kwa darassa cmg afu sena wozaaaaaaaaaaa!!

  • @kelvinkimathi6498
    @kelvinkimathi6498 6 лет назад +118

    Naomba like 10 ya darassa jameni

  • @musamusa1722
    @musamusa1722 6 лет назад

    Upo juu jina lako Darasa sasa wape darasa weusi na weupe lyrics wew ndio mfalme wa bongo noma sana unaandika sio mchezo

  • @jaymonstermusic4812
    @jaymonstermusic4812 6 лет назад +5

    Hii ngoma sio yakufungia mwaka tu tunavuka nayo 2019 nipeni like kama una mkubali Darassa CMG

  • @zenjonlinetv4953
    @zenjonlinetv4953 6 лет назад +37

    HICIA HAZIFICHIKI semeni na hapa NIPENI like tatu tu ili darassa aunge mitambo ila mi nipo hewani

  • @johnjuma8802
    @johnjuma8802 4 года назад +1

    From 254 Kenya namkubali sana huyu msanii.So creative and outstanding

  • @ramadhaninyamranga5002
    @ramadhaninyamranga5002 6 лет назад +19

    Daah rudisha akili ulipo azima,. Darasa noma

  • @bigilimanakasase9167
    @bigilimanakasase9167 6 лет назад +333

    Tokea nianze kucomment sijawah kupewa like naomben bas like

    • @SteveMK
      @SteveMK 6 лет назад +5

      Ungeomba kitu cha msingi... like tu zitasaidia nn? Tujiongezee jamn..

    • @bigilimanakasase9167
      @bigilimanakasase9167 6 лет назад +3

      @@SteveMK et eeeh

    • @na0m1fes51
      @na0m1fes51 6 лет назад +2

      @Malaika Grafix hahahahahahahahahahhaahha kweli kabisaa

    • @bigilimanakasase9167
      @bigilimanakasase9167 6 лет назад +1

      @@na0m1fes51 ase

    • @ramadhankusaga682
      @ramadhankusaga682 6 лет назад +2

      unga unga mitambo mm np hewani huwezi shindanisha milima
      Dicko limeingia Mmasai achia njia achia njia

  • @kenbaroofficial
    @kenbaroofficial 6 лет назад

    Jamaa ana majibu gunia Zima.
    Ingawa nahisi producer hajampea effect yakutosha yaani bado hajaelewa sauti ya huyu braza na jinsi yakumix vocals zake..this is too raw

  • @tunguizengo313
    @tunguizengo313 6 лет назад +21

    huo uchizi umekuanza lini ukaacha viwanja ukacheze relini 👊👊👊👊

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 6 лет назад +31

    huyu ndo darassa bwana embu gonga like kama umeielewa ngoma.

  • @abellahishengoma6105
    @abellahishengoma6105 6 лет назад +2

    yan huyu jamaa Noma Sanaaa we achia njia tu watu wapite

  • @balbinasatrun2498
    @balbinasatrun2498 6 лет назад +21

    Wachaga tuachiwe njia twende tukahesabiwe. Achia njia. Kama wachaga mpo hapa achia like😍😍

  • @yonakiza1471
    @yonakiza1471 6 лет назад +7

    Fundi sana broo,,kuelewa mistari unapaswa kusikiliza zaidi ya mara 10

  • @ibrahimkaposo7852
    @ibrahimkaposo7852 6 лет назад

    daaah sio poah kabisa mwanangu darasa big up pa1 sana nimefurah kinomanoma Mzeeh nakukubali kinomanoma

  • @poolboypoolboymanstrong8570
    @poolboypoolboymanstrong8570 6 лет назад +10

    ah tulikumiss kaka welcome mkuu kwenye mbuga yako ....one love kaka

  • @mathewkithioma2374
    @mathewkithioma2374 6 лет назад +15

    Darassa Matata!!!!!! Kenya tupo!

  • @deogratiusherrera2130
    @deogratiusherrera2130 6 лет назад +6

    achia njia mwenye njia kaja👊

  • @michaelkichaka7596
    @michaelkichaka7596 6 лет назад +29

    Hata nikutumia mb halali kabisa One love darasa Big Up My brother

  • @barakabahati4315
    @barakabahati4315 6 лет назад +80

    mbona mimi sipewi like

  • @ezechielblezi8515
    @ezechielblezi8515 6 лет назад +1

    Daaah hili gengee limepata wapiga story huyu jamaa ni talented 255 oyiiii

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 6 лет назад +35

    hahahaha uyu jamaaaa fire,,,, anastyle yake unique sana,,, salute kwako #darasa ,,,, we unga unga mitambo Niko hewan

  • @maumgaza2414
    @maumgaza2414 6 лет назад +6

    ACHA KUCHIMBA WATU CHIMBA MADINI, UNAACHA VIWANJA UNACHEZA RELINI. dARASA LIMEELEWEKAAA

  • @josephineandeso6235
    @josephineandeso6235 6 лет назад

    0:49nikafikiria kuna Ads ilikuwa inaanza kumbe ni wimbo umechange 😁😁😁😁💯💯💯💯💯💯✔✔✔✔✔✔✔✔✔👌 penda wewe sana Darasa

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 6 лет назад +22

    achakuchimbachimba watu chimba madin 😂😂😂😂 brother umeniteka wallah dah

  • @sonson9282
    @sonson9282 6 лет назад +7

    oyooooooooooo darasa achia na nyingine tena hahahhhhhahahahahhh

  • @richardlizomba3142
    @richardlizomba3142 6 лет назад

    umetishaaaaaa mpaka unanikeraaaaaaa......... rudisha akili ulipo hazima huwezi kukutanisha milimaaaa... nishidaaaaaaaaaaaaa..

  • @bravomwazyunga4641
    @bravomwazyunga4641 6 лет назад +17

    huyu mwamba hachoshi kabisaa inshort ni konkiii

  • @suleimansaid595
    @suleimansaid595 6 лет назад +22

    Acha kuchimba watu. Chimba madini. Kali sana broo #darasa. Like wadau kama umeielewa Ngoma

  • @shabanisiku8827
    @shabanisiku8827 6 лет назад

    Darassa tume ngojea sana asante sana kazi safi hiyo lazima wata #ACHIA_NJIA ? Much love from DRC

  • @djkhaledwethebest8551
    @djkhaledwethebest8551 6 лет назад +83

    dah nimecoment sana sipat like naombeni basi

  • @princeashery4869
    @princeashery4869 6 лет назад +123

    Like kwa darasa sijawai pata like mimi

  • @joyamsy8925
    @joyamsy8925 6 лет назад +2

    fire nakukubariiiii,,,,,,achia njia gonga like kama yote oyooooo

  • @BurudaniOfficialTz
    @BurudaniOfficialTz 6 лет назад +24

    Yani hii ngoma unavyozidi kuisikiliza ndivyo inavyozidi kuingia kwenye main veins 😍😍😍

  • @chrisnditi1805
    @chrisnditi1805 6 лет назад +52

    Kama unapenda DARASA a perform fiester final Dar like kama zoteee hapa

  • @MilcahMisoi
    @MilcahMisoi Год назад +1

    Love your songs sir may the lord continue blessing you... From kenya

  • @dakeeog585
    @dakeeog585 6 лет назад +7

    nimesikiliza ii ngoma zaidi ya mara 20 toka itoke lakin najiona kama naidhurumu nafsi kubadilisha ngoma ....Basi ngoja tuachie njia mzee dingi uchafue anga

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI 6 лет назад +8

    The intro should also be a hit song! Make it happen already!

  • @mwamedijumajumamwamedi1900
    @mwamedijumajumamwamedi1900 6 лет назад +1

    Uliwaza nn kuacha viwanja ukaja Kucheza relin Kama umeikubali hii song acha like apa

  • @zainabuzainabu3615
    @zainabuzainabu3615 6 лет назад +7

    Darassa.... Hahah.. Umetisha bro napenda song zako hazinaga matusi... R chuga pamoja sana.

  • @LionafriQRadio
    @LionafriQRadio 3 года назад +10

    Beat on point, lyrics well crafted and dancers keeping 'em eyes busy!

  • @yusuphjre.v45
    @yusuphjre.v45 6 лет назад

    Mmmmh kajamaaa kamerudi. Motooooo ngoja nimpigie diamond tujipangeee sioo kwa haliii tutaachiaa njiaaa

  • @used2beused
    @used2beused 6 лет назад +6

    Good audio production +good video+best singer =track of the year.

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 6 лет назад +8

    Wanaopenda Kijana wetu twundeni pamoja gonga

  • @evodianyongole1957
    @evodianyongole1957 6 лет назад

    waoooow had nimetokwa na machoz ya furaha kumuona tena darassa, maana watu walivumisha mara ooh sjui amekuwa teja, kiko wapi sasa!! big up darassa wambie waachie njia

  • @aliciauwimana980
    @aliciauwimana980 6 лет назад +4

    Eti macho juu macho juu chini kitu bas Mkubwaaaaaa

  • @bravoothegreat3115
    @bravoothegreat3115 6 лет назад +7

    daah jamaa mnyamwezi sana salute bro

  • @rash.b_for_lifeb4543
    @rash.b_for_lifeb4543 6 лет назад +1

    Sikuizi wewe darasa umekua mkali kwenye hip hop sana kaka achia njia ni ngoma kina message sana

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 6 лет назад +8

    hapa ndoutajua kwanini aliitwa darasa maana anawafundisha watu adabu bhana dah 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mohamedally342
    @mohamedally342 6 лет назад +5

    Dah, Kama wewe ulikua unamsubiria huyu mtu kama mimi tupa like yako hapa

  • @ismailhanya2679
    @ismailhanya2679 6 лет назад

    Namaliza mwaka kwa Uzuuuurii!najua next year Wanaachia njia mambwiga wooote

  • @jrhezron3339
    @jrhezron3339 6 лет назад +15

    "Usipo elewa somo watu wanakupiku.."👏😊

  • @semiramicwilliam5483
    @semiramicwilliam5483 6 лет назад +31

    Nilitaman kukuona tn drs ngma kili km na we n xhabk wa drs gonga like zako apo

  • @octavianabdeleheman6034
    @octavianabdeleheman6034 6 лет назад +2

    Nakubali darasa.... Km unampenda darasa gonga like hapa

  • @baransagirije
    @baransagirije 6 лет назад +48

    Kama unafurahia kurudi kwa #DARASSA ndani ya #GAME gonga like kama zooote na #Uachienjia 🔥🔥🔥

  • @ashurathabiti1046
    @ashurathabiti1046 6 лет назад +18

    Woyooooo nyimbo nzuri tunasema ivi achieni njia💃💃

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 4 года назад +1

    Wallah wasani wote wangekuwa wanafanya music kama Darassa bila kiki ingekuwa poa san penda saana Darassa

  • @antonykinuthia591
    @antonykinuthia591 3 года назад +3

    Tanzanian giant, none of his songs are bad! Huyu ni King lion