Why do we even feel the need to compare East African Music? Africa is on the rise. We should stop comparing music in Africa and support each other. Each country is uniquely rich. Talk of Nigeria, say Tanzania, say Uganda, not forgetting Kenya. Each country has it's unique niche. The sooner we appreciate that the better. More money for all of us. No country independently stands tall! Kenya needs Tanzania just as badly as Tanzania needs Kenya. Talk of United States of Africa. I challenge all of you to Stop comparing and Start promoting. We are just as highly populated as the Western Nations. If we could be our own fans, then the world will listen to us! Take the Challenge!
Watanzania gonga like ama andika hapa. Pround Tanzanians mark register by liking or commenting here to support our boy Darassa for taking Bongo/Tanzania music to another level
Hii ni moja ya flavor za nyashinski mwanangu kama kuna jinsi inaeza tokea mkafanya kitu.Trust me utanifrahisha mm kama shabiki na mashabiki wengine pia.@Darassa
Nimeipenda vedio na nyimbo kali sana,ila ziadi nimeipenda coz imafanyika Stone Town Zanzibar,All the way from Zanzibar tunakusupport darassa..thank you Darassa kwa kutangaza locations za zanzibar...Wa le wa zanzibari wenzangu like na comments hii kwa support..
WATOTO wa arusha tumekuja bongo kutafta wala sio kuhuza sura tunaliamsha dude aswa .... na kila idara utayo mkuta mtot wa chuga lazma dude liamke ,,,.... alafu zima yetu watot wa arusha tukiwa tumekutana tuna show love sana na atutengani ivyoooooooooo........... weusi kwanza ndo waje wabana pua .................. na dude lina lina somea shemrabed lazma nipande bas wenda chuga
So glad to see a video shot in Zanzibar. Yani it seems like Darassa is the only one who still loves Tanzania enough to film all his videos there and Zanzibar. Much respect to him for that. Tanzanian locations, Tanzanian people, Tanzanian videos. There is hope!
Yaani namkubali huyu jamaa kwa sana tu, hana maringo ya pesa nane na mistari yake imeenda shule. Kila mstari una mafunzo na sio maneno ya kwenye kanga. Big up tu sana...truly inspirational
Darassa darassa kibokooooo narudia hiii nyimbooo kama mara kumi kwa siku hahaaaa ukipandisha mapepooo..... sisi tuko siriasi we unatuektia...... hasara rohooo pesa makaratasi.... uuuuuuuuwiiiii
Love this tune., though I don't understand what he's singing about I really enjoyed listening to it. Good job Tanzania 🇹🇿 I'm from Liberia 🇱🇷 by the way. African one love ❤️✊🏾✊🏿#onrepeat
darasa, kwenye uandishi Mzee umebadilika sana. uko una utofauti wako wa aina ya kiswahili unachokitumia. by the way hii ngoma naiona level za mbali sana Mzee baba
Its not about Darassa bieng Tanzanian or from any other east african country for that matter. I love his style and music I dont care where he is from. We are all one. AFRICA!
Ama kweli wewe ni darasa umeisoma na ukapita mtihani Mwe,mwe,mwe,mwe.😍😍 Vituvingine vikienda havirudi rivasi kama samaki 😂😂hiyo kali mistari ya maana ngoma kali uko poa mtuzima darasa.
BREAKING NEWS!!! Darassa is accused of murder, I have sympathy for this guy, I didn`t know if that was true, I thought it was rumours, but when I heard this song then I proved it is true Darassa murdered the beat and everything in this great song, so the accusation of murder is true, 254 mpo????????!! lets support this humble guy
i am frm #Uganda and i feel #Tanzania is ruling the #EastAfrica music industry.......i feel yo music deep down in mi heart .though i dnt understanda #swahili...
wee! Darassa kweli unachambua mistari kama karanga.. endeleeni kutunga nyimbo za mdundo mkali na kutupa namna ya kutoa stress za Kila siku. kutoka mshabiki mwana wa Kenya Mburi
Dope track. love the lyrics . you have a way with words , make kiswahili sound cool and authentic its like listening to poetry . looking forward to more music tracks from you. big ups straight OUTTA 254 NRB
2024 stand up together from Burundi to Tzt
I don't understand why Darassa is so underrated, Mr burudani kwenye ubora wake❤❤❤❤
Manze,he is so underrated but deserves better
Hala Zanzibar karibuni sana kwa location nzuri nzuri sio munajipeleka south Africa tu
Said Riphat nilikuwa nahisi nasema hapa nimepita juzi kumbe kweli wallah haina haja ya south
Said Riphat truuuuue babaaaa
Said Riphat said kwan hii location ya video ni Zanzibar?
location kali
Hassan Omar, hiyo ni Mji Mkongwe (Stone Town) Zanzibar
Why do we even feel the need to compare East African Music? Africa is on the rise. We should stop comparing music in Africa and support each other. Each country is uniquely rich. Talk of Nigeria, say Tanzania, say Uganda, not forgetting Kenya. Each country has it's unique niche. The sooner we appreciate that the better. More money for all of us. No country independently stands tall! Kenya needs Tanzania just as badly as Tanzania needs Kenya. Talk of United States of Africa. I challenge all of you to Stop comparing and Start promoting. We are just as highly populated as the Western Nations. If we could be our own fans, then the world will listen to us! Take the Challenge!
Big fan of Darassa from Kenya, I cant imagine the kind of music he will compose if he does a collabo with Nyashinski
Me too from kenya
@@mikesoin 0k
@@mikesoin 0k
@@mikesoin you
Damn true
Darssa umetoa ngoma kali sana ambae anakosoa hii ngoma akili yake ni ndogo kama kuku ''''''big up #darassa #hasara roho
Two things: this man is very handsome.
Second thing: his verses are so, so well done. Hes a real Swahili rapper. I respect that.
Very handsome 🤩 indeed ❤️ much love from 🇰🇪❤️
true story💯💯
Ako fiti habahatishi
Apo kweny u hendsam nakubaliii 👍❤️❤️🙌🙌🙌🙌
I'm Kenyan & I absolutely love Tanzanian Swahili. The way they speak the language is beautiful to me.
Oyoooo umenena Asante sana
Erk
@@annamichael3479
@@annamichael3479
sweet
MAN MAN MAN Your lyrics always kill me! Haya nimetii mwenzangu, kiswahili na misemo pekee yake uwa yanikaba kukaba!!! Mad respect!
People rarely do talk of Darassa but in fact this guy has his own world when it comes to good music. I'm not bound to say he's underrated.
Darasa is lyrically rich and the energy he poses makes everything explode.From Kenya . I suspect Darasa gets much love from Kenya than his homeland.
2024 Kenyans hand up!!!!!❤
Umetishaaaaa sanaaa
Wenye rohoo mbayaa watasemaaaa tuu et ngomaa co kaliiiii
Ngomaaa kaliii sanaaaaa
👊👊👊👊👊👊
Can't believe 6yrs have passed since this banger hit the airwaves. 🇺🇬 🇺🇬 Ug representing much love Darassa😊
This is absolutely beautiful lyrics..Tanzanians make swahili sound so beautiful
Kali Sana tunapitilia mara kadhaa sisi kama wana 254
Iam from 254 and i support 255 music...Another hit....
254 Lets show love by give this Guy 1M likes to show...
Watanzania gonga like ama andika hapa. Pround Tanzanians mark register by liking or commenting here to support our boy Darassa for taking Bongo/Tanzania music to another level
Rapha Mganga wenye mapepo tunakemea heee
wakija kama upepo watapepea -:)
uko.poa
Rapha Mganga. wawooo tanzania i love you guys. ooh my gosh i love you
Rapha Mganga mbn watanzania tu bruh,
Hii ni moja ya flavor za nyashinski mwanangu kama kuna jinsi inaeza tokea mkafanya kitu.Trust me utanifrahisha mm kama shabiki na mashabiki wengine pia.@Darassa
I am from Korea and I don't understand this language, but this song killed it.
Much love from kenya "kama unataka kiki kwa pikipiki"....nomareee👌
Bonge la wimbo hapo Darassa .. Twangoja collabo Kati yako Na Khaligraph Jones.. Usijaribu Willy Paul Tafadhali
Hahahaha ati hasijaribu khaligraphy
Haha😆😆Willy ataharibu maneno
@@puritymaina7183 🤣🤣
huyu msee hatari 254😍😍😍😍mark register
Salome Joseph Tuko ndaniiii
Becky Beto yeah! Vitu vingine vikienda havirudi reverse Kama Samaki ...
sanasana
Ukija kama upepo utapepea Ukijifanya unamapepo tunakemea👌🏿
The lyrical prowess puts Darasa in his own level.
hasara roho inachopenda tunasemanga peas makaratasi😋kushoto kulia juu chini kamatia...best artist so far. in love with his goody
Mambo jane
Nimeipenda vedio na nyimbo kali sana,ila ziadi nimeipenda coz imafanyika Stone Town Zanzibar,All the way from Zanzibar tunakusupport darassa..thank you Darassa kwa kutangaza locations za zanzibar...Wa le wa zanzibari wenzangu like na comments hii kwa support..
hahahaha what are you doing here hahaha
Saeed Mohammed Bagamoyo
naomba like kama umekubal
Napenda sana scenarios za Zenj,mnikaribishe basi one day hhhhh
Www Am Somali but ilike darasa vidio 😍😍😍
D Munaas somali wa wapi munas...want to know you more if you don't mind?
Abdul Basheer muulize gwajima huwa haniangushagi kabisa
WATOTO wa arusha tumekuja bongo kutafta wala sio kuhuza sura tunaliamsha dude aswa .... na kila idara utayo mkuta mtot wa chuga lazma dude liamke ,,,.... alafu zima yetu watot wa arusha tukiwa tumekutana tuna show love sana na atutengani ivyoooooooooo........... weusi kwanza ndo waje wabana pua .................. na dude lina lina somea shemrabed lazma nipande bas wenda chuga
So glad to see a video shot in Zanzibar. Yani it seems like Darassa is the only one who still loves Tanzania enough to film all his videos there and Zanzibar. Much respect to him for that. Tanzanian locations, Tanzanian people, Tanzanian videos. There is hope!
"Nyimbo mbayaa, beat zile zile jamaa alibahatisha" haya ni maneno aliokuwa anasema mdogo wangu. Nimempiga kofi sasa hivi analia, sitakagi ujinga mimi.
Alexander Millinga we naweee
"Si tuko serious we unatuektia? Eeeh?! Hehehe King Darasa
2024 nani tena😂🎉🎉
😂😂😂
Yaani namkubali huyu jamaa kwa sana tu, hana maringo ya pesa nane na mistari yake imeenda shule. Kila mstari una mafunzo na sio maneno ya kwenye kanga. Big up tu sana...truly inspirational
Darassa darassa kibokooooo narudia hiii nyimbooo kama mara kumi kwa siku hahaaaa ukipandisha mapepooo..... sisi tuko siriasi we unatuektia...... hasara rohooo pesa makaratasi.... uuuuuuuuwiiiii
kama nimemuewaa iv....incredible job...dope vidio ...Alaf mazingira ya vidio ni ya kitanzania
dunia iwekeee tutoo za wachukiajiiii
darasss always hit I don't understand what u say but big fan for u I'm from Somalia but I like ur song keep Going MA fvt singer African hit 🔥 🔥 😇🙏
qayz Haji welcome bro
qayz Haji hhhh u don't understand what he is saying yaah .
qayz Haji
waa lagu badanyahay
Fardowsa Abdi thanks hno
Nimcaan Ali sw mha Kani Waa hit wlhi 🔥
Bonge la ngoma kamanda,bampa to bampa keep running forward Class!!!
Love this tune., though I don't understand what he's singing about I really enjoyed listening to it. Good job Tanzania 🇹🇿 I'm from Liberia 🇱🇷 by the way. African one love ❤️✊🏾✊🏿#onrepeat
Darassa wewe ndiyo mwalimu. Fundisha wasani kutoa nyimbo tamu. Big ups
mase uko juuu ,,,,,nakupenda kwa sana ,,watching from America
This guy is under rated,he's so talented,Tanzanians u gotta do something
Asara roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩💓💓💓 2023 tuko
Aha! Kweli, kweli! Napenda mistari hii yenye maneno teule! Darasa endelea kuwaeleze binadamu ...........hongera sana
ngoma za darasa akika sio mchezo stahili mpya kila siku 🇹🇿🇺🇸🇻🇺🇾🇪🇻🇪🇪🇭🇲🇲🇲🇿🇲🇦🇲🇽🇨🇩🇨🇬🇧🇷🇧🇫🇨🇦
Video 10/10.....Audio 6/10.......Kuachilia hit after hit sio kazi rahisi
""Ukija na Upepeo tunapepea , ukija na mapepo tunakemea,"" LOL !! Big Up Bro, I love your Songs , Love your Lyrics , Much love from Germany .
R.I.P Diamond/alikiba... mad respect to Darassa 254 we love you, east africa,west africa n internationally u are the rockstar yaani wee ndiye kusema
wozzzaah chumaYaoooo Darassa mzee wa kaziii tyuuu... migoma kama #muziki #utanitoa roho ni balaaaa ukiweka na hili ndo hatariii kabisaaaa
duuuh jamani huyu mtu tumwache ukovizurii kaka big up bro!👍👍ngoma zako kali mnooooo!!wanyooshe hao wabana sauti!!
254 tuko locked.ndani ndaani ndaani...big up darasa.on point kama kawaida
Swahili to the world....
Swahili music to the world.....
Still enjoying yo music broo @darasa
Show love
May2019
darasa, kwenye uandishi Mzee umebadilika sana. uko una utofauti wako wa aina ya kiswahili unachokitumia. by the way hii ngoma naiona level za mbali sana Mzee baba
Its not about Darassa bieng Tanzanian or from any other east african country for that matter. I love his style and music I dont care where he is from. We are all one. AFRICA!
Ujanja wa nyani mjini unaingia king aisee… meli inaelea feli inazama shilingi
4 years later & this song still hits differently!
cant get enough of this hit 🥰💯 2022 one love from ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
I can't get enough of this song.....Replay...replay ...replay!
Darassa nakukubali sana aisee .yaan sikuwaza baada ya ngoma ya muziki nikajua lazima utatoa ngoma kali kama kawaida yako.endelea kufunika mzee
who is watching in 2024 ? 😊👌👌👌👌❤❤❤
Here i am
Am here.🎉
Vitu vingine vikienda havirudi reverse kama samaki
Hahahahahha
Niko hapa ❤❤❤
All the the way from 255 yo fire 🔥 hii nyimbo hataree sana 254 endeleeni tu na komedi za churchill na omondi mziki tuachieni TZ
Jusqu'à 2021,je continue à vous suivre.Nous vous suivons depuis la République Démocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
noma sana!! this guy is super talented!! watu wa 254 who else thinks a Darassa and Jack Jack project would RIP hizi vitu za nigeria ?
back again in 2022 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mazeeh Ngomma inakill vinoma yaani,
Moralli brow endelea ivo Shana, na ukumbuke wasanii wale wangali wachanga uwainue ili pia utabarikiwa Shana tena Shana. Lovely songs brother big-up
I love this song... Swahili Shakespeare 🇰🇪🇰🇪🇰🇪☝️🔥🦅
Loving this song, just replaying it..... Darassa..... good one.... Kenyans in the house....
Ama kweli wewe ni darasa umeisoma na ukapita mtihani
Mwe,mwe,mwe,mwe.😍😍
Vituvingine vikienda havirudi rivasi kama samaki 😂😂hiyo kali mistari ya maana ngoma kali uko poa mtuzima darasa.
Mengine ni madanzi na sura ya machungwa utajua vipi
Darassa nyimbozako... Daaah nazipendaa kinomaaa yani sm yangu kunanyimbo zako zoteee love you .. Izi ndo nyimbo za kibabe
Big up Darassa ...The Music you created yesterday is still relevant today.
Outstanding Swahili rap, fantastic video, compelling hits. This song is absolutely amazing.
BREAKING NEWS!!! Darassa is accused of murder, I have sympathy for this guy, I didn`t know if that was true, I thought it was rumours, but when I heard this song then I proved it is true Darassa murdered the beat and everything in this great song, so the accusation of murder is true, 254 mpo????????!! lets support this humble guy
tuko ndaaani ndaaani ndaaani
hahahahahahh reallly lol
Joanne huamini....hehe
Celestine.....ndaaani ndaani ndaaani
koech anthony like it
Praying someone may heavily support you fully, to get your talent revealed wholly to the world, you are international.
I will never get tired of this song 😢😢😊❤❤❤❤❤❤❤
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi🤪💪
2022 and Darassa is still 🔥🔥🔥
unataka kucheza na ushike firimbi....
big faaaan from Kenya
still listening till date
Darassa♨💯
Na kuna watu wa Hivi eti
Yaani kila kitu anajitia kujua yeye
Namba 1 yeye, 2 yeye, 3 yumo 😏😏😏😂😂😂
i am frm #Uganda and i feel #Tanzania is ruling the #EastAfrica music industry.......i feel yo music deep down in mi heart .though i dnt understanda #swahili...
Am Sorry,Kenya is ruling east Africa
Which Kenya?you are mad!
@@StreetLifeCareOrg there's only one Kenya unless you have a girlfriend called Kenya....
Kenyans can't sing
this guy ni moto wa gesi this is even hotter than muziki wengine ni madalanzi na sura ya machungwa utajuwa vipi ...heko baba!!!!
binadamu angekuwa denja vuu!!!! hatari fire. ded mwana issaya kabaisa......
Kama kweli umependa kama mm hii ngoma weka LIKE YAKO APA ILI TWENDE SAWA
Michano Michano mimi sijapenda coz bit limechukuliwa kama lilivo tena nyimbo ya nyumban hapa nyimbo ya dogo sola na neyba leo
hatar ngoma ipo nzur
diamond
Michano Michano bgup Darasa
Michano Michano
DARASA IS ON FIRE.! WE JAMAA UNAJUA HAD UNAKERA HAHAHA BIG UP, BE BLESSED.
Am soo madly in love with this song❤️
Wow..who is in 2021 ,,,TBT listening to this
wee! Darassa kweli unachambua mistari kama karanga.. endeleeni kutunga nyimbo za mdundo mkali na kutupa namna ya kutoa stress za Kila siku.
kutoka
mshabiki mwana wa Kenya Mburi
This dude never disappoints!
I feel like giving him a Grammy... respect
Ngoma imesimama vizuri mnooo........hatari sana
#DUNIA_IWEKE_TUZO_ZA_WACHUKIAJI
Tanzania tuko juu kimziki. Class killed all.
darassa baba yao mpaka una pagawisha nchi nzima bana. salute. mzuki na hasara roho zime ni nice keep it up bro.
Mzigo wa abiria, Dereva na Gear, sana weeh Darasaa
💖💖👌
Dope track. love the lyrics . you have a way with words , make kiswahili sound cool and authentic its like listening to poetry . looking forward to more music tracks from you. big ups straight OUTTA 254 NRB
yaani nyimbo zako nazipenda kwa sababu zote lazima ziwe na wakati 😍😘😘. .
saf babaaa👏👏big up👊
...vitu vingine vikienda havirudi rivazi kama samaki.. tukaze mwendo twende na wakati 😎🇰🇪
darassa haki unajua kaka may God bless u aki vile..... wewe ni fire
Noma sana nimekuwa rada apa nikicheki tangu asubuhi,
representing Kenya, Hit Like alafu ucheki pale kwa channel yangu ucheki mixtape kali sana
Big Ug from Guiné-Bissau and Portugal. África Music is Queen and King
nomareeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kama uko na mapepo tunayakemea👌👌👌👌
😃😃nice song
Maggie Hellen duh! noma sanaaaaaaa!!!
Mbona najikuta nikirudia rudia hii wimbo.......