Huyu anataka kumuaminisha kwamba walikutana na Abdul ndani ya siku moja wakazoeana siku hiyohiyo urafiki ukaanza mpaka wanatembea pamoja mpaka kwa Lissu hamna kuna kitu hakipo.sawa
Lissu anaidai Serikali, tufanye Abdul ni sehemu ya Serikali, kwa hiyo Serikali ilienda nyumbani kwa Lissu kuchukua documents ili imlipe pesa yake? Bora ungenyamaza tu!!
Abduul ni kiongozi wa hii serikalini au ni kibwengo wa mama yake kuhongo kwa niaba ya kuuwa vyama vya siasa? Kwanini isifuatwe sheria za nchi? Kwenye MWENYEZI MUNGU yupo muda utaongea
Udhaifu: Ni approach nzuri kutaka Lissu alipwe malipo yake kupitia kwa Abduli? Kama unataka lisu apate hela zake ili na wewe ulipwe tumia approach nzuri. Na sio kupitia kwa mtu kwa figure ambayo ambayo haipo kwenye uongozi wowote wa Taifa. Kuna ukakasi hapo
Sasa kama issue ya Abdul na Lissu ni malipo na documents zilimfikia Raisi maybe au Mwigulu je Alilipwa hizo Pesa. Kwanza kuanza kumsifu Abdul ni Muungwana kwa kwenda kwa Lissu kumlipa deni mzee?!! Hapo Wenje umejivuruga sana bora ungeendelea kukaa kimya. Kama kweli ww unamdai Lissu basi unakidai chama na chama mwenyekiti wake ni Mbowe basi malizana na Mbowe.
Ndug yangu wenje Chadema ni chama wantanzania,mlituaminisha kwenye haki,je unapojikanyaka na majb,tunakueleweje, kama kiongozi makini na unadai kuwa uvumilivu ni jambo muhimu,kwann ww ujaonesha uvumilivu huo,je,Lisu amelipwa ela zake Kwa Sasa?Na kama halipwa ww unamsifiaje Abdull kuwa ni mtu muungwana?
Ndio maana tunasema CHADEMA ni chama cha wapiga dili tu sasa huyu Wenje anakiri bila aibu kwamba ni sahihi kumtumia mtoto wa Rais kufanya mambo yao ya kibiashara yaende 😂 Sasa kesho na kesho kutwa wakipewa Nchi watu kama hawa hiyo HAZINA yetu itasalimikaje!?
Utumishi wa umma ni kujitoa ndio maana chombo cha umma kinapokuwa hakina uwezo mzuri wa kiuchumi watu hujitolea au kupata ujira mdogo. Ukiona mtu anategeneza umiliki wa chombo cha umma huyo hakuwa na lengo la kupambania haki ila ulaji
Bora ungenyamaza wenge ukaomba radhi kuliko hicho umefanya kujibu hovyo hovyo na kuongea upuuz huyo ni makamu wako wa chama pia wew ni papeti wa chama Cha CCM. Nimekusikitikia sana sana ndg yangu
Yani wenje kumbe nae tahiraaa Yani anaongeaa kabisaa kukutana na dully ni bonge moja la exposure dah aisee😂😂😂😂😂😂 afu anakwambia ana masters dah pumbavuuu kabisaa huyu jamaaa
Kama Kuna hoja kuwa Abdul Ni nani Katika serikali hadi asaidie malipo ya Tundu, Sasa Ni nani hata amuhonge Tundu Na Wajumbe wa CHADEMA, na kwa niaba ya nani. Ina maana kama ana uwezo wa kuhonga watu, Basi ana uwezo pia kumsaidia Tundu alipwe. Kama Wenje alivyoona.
Sina uhakika kama mtoto wa Rais ni sehemu ya uongozi wa serekali mpaka ashughulikie madai ya watu wanaoidai serekali ina maana hii nchi ina utawala wa kisulitani?
Kweli wenje hata saikoji unapoongea inaoneshe ww ulikuwa dadali,Akili ya lisu ni akili ya kipekee ndo maana mlipokutana na huyo Abdullah mkaongea na lisu kwenye cm na kawaambia mje nyumbani,aliwatega tuu Ili akujuwe ww na uaminifu wako kwenye chama.kwanin ww hukutaka kumhimiza lisu,yeye asimimanie haki na sheria?Ili na ww hayo madai Yako ulikuwa unamdai upate halali.
Watu wa Mwanza wanalia kwa dhulma uliyowafanyia aseee maana walikuona wa maana wakakupa ubunge kwa uaminifu mkubwa sana kumbe huku watu wengi tu wakiwa wamekufa na kujeruhiwa kutokana na uchaguzi wako na kupelekea majeraha makubwa na wewe unaleta usenge kwenye mambo ya msingi aseeee fala wewe
Kitendo chako wewe cha kuwa kiunganishi kati ya Lisu na huyo mtoa rushwa ndicho kinakugharimu! Hata hivyo huyo mtoa rushwa hana wadhifa wowote kiasi kwamba angeweza kuwalipa deni lenu hilo!
Huyu jamaaaa daaah anaulizwa maswali anazunguka tu,nimechoka sana,no research no right to speak,,LISSU alisema yeye sio chawa ,sasa cjui huyu jamaaaa chawa wa nan???? Aibu anajikanyaga sana
This is among the best interview, mmembananisha vya kutosha
Huyu anataka kumuaminisha kwamba walikutana na Abdul ndani ya siku moja wakazoeana siku hiyohiyo urafiki ukaanza mpaka wanatembea pamoja mpaka kwa Lissu hamna kuna kitu hakipo.sawa
Kuna dalili za kutosha kwamba CCM inaendesha kundi ndani ya Chadema ambalo walau Wenje ni mhusika mmoja wao
Lissu anaidai Serikali, tufanye Abdul ni sehemu ya Serikali, kwa hiyo Serikali ilienda nyumbani kwa Lissu kuchukua documents ili imlipe pesa yake? Bora ungenyamaza tu!!
Swali Zuri Sana Kijana,Abdul Ni Nani? Hahaa anazunguka Mbuyu👏💪👏
Mtu anaegombea umakamu mwenyekiti Ana urafiki na mawasiliano na Abdul inafikirisha
Ni hatariiiii
Abduul ni kiongozi wa hii serikalini au ni kibwengo wa mama yake kuhongo kwa niaba ya kuuwa vyama vya siasa? Kwanini isifuatwe sheria za nchi? Kwenye MWENYEZI MUNGU yupo muda utaongea
Udhaifu: Ni approach nzuri kutaka Lissu alipwe malipo yake kupitia kwa Abduli? Kama unataka lisu apate hela zake ili na wewe ulipwe tumia approach nzuri. Na sio kupitia kwa mtu kwa figure ambayo ambayo haipo kwenye uongozi wowote wa Taifa. Kuna ukakasi hapo
Ukiweka ushabiki pembeni kuna ukweli Wenje anauzungumza ila kwa sasa hawezi kueleweka ila mbeleni ataeleweka tu
Abdul anacheo gani serikalini
Wenje acha uongo ongea ukweli wewe ni dalali kweli hata ongea yako tu inaonekana kuwa mlienda kutoa rushwa na Abdul
Huoni anavyokwepa majibu 😂😂😂😂😂
Sasa kama issue ya Abdul na Lissu ni malipo na documents zilimfikia Raisi maybe au Mwigulu je Alilipwa hizo Pesa. Kwanza kuanza kumsifu Abdul ni Muungwana kwa kwenda kwa Lissu kumlipa deni mzee?!!
Hapo Wenje umejivuruga sana bora ungeendelea kukaa kimya. Kama kweli ww unamdai Lissu basi unakidai chama na chama mwenyekiti wake ni Mbowe basi malizana na Mbowe.
Ndug yangu wenje Chadema ni chama wantanzania,mlituaminisha kwenye haki,je unapojikanyaka na majb,tunakueleweje, kama kiongozi makini na unadai kuwa uvumilivu ni jambo muhimu,kwann ww ujaonesha uvumilivu huo,je,Lisu amelipwa ela zake Kwa Sasa?Na kama halipwa ww unamsifiaje Abdull kuwa ni mtu muungwana?
Comments ni nyingi nmeshindwa kumaliza ila nmejitaid kuzisoma nme enjoy. Mimi Abdul kazi iendelee.🎉
Uchaguzi hu Umetufumbua Mengi Tumejua Langi Halisi za Watu wengi Chadema pale wanafanya biashala
Wenje hata umchafue vipi lisu tunamtaka awe mwenyekiti wachama halafu punguza uchawa
Ndio maana tunasema CHADEMA ni chama cha wapiga dili tu sasa huyu Wenje anakiri bila aibu kwamba ni sahihi kumtumia mtoto wa Rais kufanya mambo yao ya kibiashara yaende 😂 Sasa kesho na kesho kutwa wakipewa Nchi watu kama hawa hiyo HAZINA yetu itasalimikaje!?
Kwani kwa Sasa imesalimika?
Utumishi wa umma ni kujitoa ndio maana chombo cha umma kinapokuwa hakina uwezo mzuri wa kiuchumi watu hujitolea au kupata ujira mdogo. Ukiona mtu anategeneza umiliki wa chombo cha umma huyo hakuwa na lengo la kupambania haki ila ulaji
Wenje umedhihirisha umbumbumbu wako hadharani, what a shame 😅
Nimekuelewa Vizuri
Aisee Wenje daaa!
Anguko la CHADEMA limefika sasa, Lisu bora aachane na hawa vibaka akina Wenje aanzishe chama chake tu
LISSU alieleza kuwa alimpatia Abdul barua na nyaraka za madai.
Yes
Tuhuma za Lissu zinashahibiana na za Msigwa, Lissu alisema zijibiwe, hazijawahi kujibiwa.
Bora ungenyamaza wenge ukaomba radhi kuliko hicho umefanya kujibu hovyo hovyo na kuongea upuuz huyo ni makamu wako wa chama pia wew ni papeti wa chama Cha CCM.
Nimekusikitikia sana sana ndg yangu
Mm nimeelewa xx kama abduli alikuwa hana Nia ya kuhonga mbona hakulipwa xx
Abdul alitenda wema je?alimlipa?
Chadema mnazingua bwana acha kuzunguka zunguka ,wewe ni kambi ya nkulunzinza mbowe
Huyu amekula hela ya Abdul. Anazunguka tu mbuyu
Mhhh😢
Abdul ni nani jibu hilo mbona kachemka😁😁😁
Yaani wenje anajidharirisha kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanae wakimwona wanajisikiaje
Yani wenje kumbe nae tahiraaa Yani anaongeaa kabisaa kukutana na dully ni bonge moja la exposure dah aisee😂😂😂😂😂😂 afu anakwambia ana masters dah pumbavuuu kabisaa huyu jamaaa
Wacha nicheke yaani!!
Wewe mbona umekaa kimya mpka Leo unatoa maelezo
😂😂😂😂😂😂
Hawa wote wanafanya biashara na serikali so this are political brokers wacheni kudanganya watanzania mama 20 tena
Wenje katisha mjadala wewe unajichora!
😂😂 huyu wenje muhuni
😂😂😂😂😂 ni msechu xn
Miaka imeenda kaka Wenje amezeeka😅
shame very shame wacha lissu is very very bright lissu ni mkweli mungu wangu leo aibuu kubwa sana
Mahojiano haya yametupa picha halisi kwamba serikali tayari imeweka mkono ndani ya chadema.
Msigwa si yule pale ushahidi tosha ulitaka aseme kitu gani wakati viko wazi na jamaa kasepa
😂😂😂😂😂😂
Kama Kuna hoja kuwa Abdul Ni nani Katika serikali hadi asaidie malipo ya Tundu, Sasa Ni nani hata amuhonge Tundu Na Wajumbe wa CHADEMA, na kwa niaba ya nani. Ina maana kama ana uwezo wa kuhonga watu, Basi ana uwezo pia kumsaidia Tundu alipwe. Kama Wenje alivyoona.
KALIPWA?
Wenje nilikua nakuheshim sana ila nimegundua kua hapa Duniani usimwamini usiemjua
Wenje, Wenje, kwani Abdul ni nani katika swala la kulipwa pesa za Lissu?
Kusikiliza maelezo ya wenje ,huyu jamaa ni mpigaji ,kupitia yeye viongozi wengi wa Chadema wakula hiyo hela,isipokuwa LISU
Ww mwongo mno mtoto wa Raisi anahusikaje na madai ya serikali
Upumbavu mtupu
Kwa utaratibu mbovu wa nchi yetu, mtoto wa raisi Ana ushawishi mkubwa sana sana sana serikalini, kikatiba si mtu yoyote kabisa.
Wenje anajiona ana akili kuliko watu wote, anajifanya hajali lolote na hii ni tabia ya wapigaji
Ni muhuni huyu alimpeleka kweli Abdul kwa TAL
Wenje hutoboi. Tundu Lissu mulimwamini kugombea urais kuongoza watu mil 60 , Leo useme hafai?
Sina uhakika kama mtoto wa Rais ni sehemu ya uongozi wa serekali mpaka ashughulikie madai ya watu wanaoidai serekali ina maana hii nchi ina utawala wa kisulitani?
Nyinyi Wenje na Lissu na Mbowe mnakiua chama wapumbfu nyie.
Kwanza hukupaswa kujibu hayo.
Mbowe anaesaidia chama, tajiri mkubwa ila hakuweza kuwa na uwezo wa kulipandola elfu10
Mbowe kagombea pekeake mara kadhaa. Kumbe Wenje ndio anataka Mbowe agombee!!!
Kweli wenje hata saikoji unapoongea inaoneshe ww ulikuwa dadali,Akili ya lisu ni akili ya kipekee ndo maana mlipokutana na huyo Abdullah mkaongea na lisu kwenye cm na kawaambia mje nyumbani,aliwatega tuu Ili akujuwe ww na uaminifu wako kwenye chama.kwanin ww hukutaka kumhimiza lisu,yeye asimimanie haki na sheria?Ili na ww hayo madai Yako ulikuwa unamdai upate halali.
Yaani kweli kabisa unaona kabisa mwamba anaongopa mchana kweupe😂😂😂e
Ninavyoona chadema inataka kiongozi mpya atakayesafisha hicho chama maana hata huyu wenje hana sifa ya kuwa kiongozi
Abduli ninani kwenye serikali???
Sasa uyo abdul ni nani kwenye hii serikali wapiga dili hawa😂😂
ABDUL NI MTOTO WA RAIS
HIVYO ELEWENI YA KUWA MTOTO WA RAIS NAE NI RAIS
HIVYO ANA UWEZO WA KUKUSAIDIA JAMBO LOLOTE NDANI YA NCHI HIIIIIII
Watu wa Mwanza wanalia kwa dhulma uliyowafanyia aseee maana walikuona wa maana wakakupa ubunge kwa uaminifu mkubwa sana kumbe huku watu wengi tu wakiwa wamekufa na kujeruhiwa kutokana na uchaguzi wako na kupelekea majeraha makubwa na wewe unaleta usenge kwenye mambo ya msingi aseeee fala wewe
ITS NOT ABOUT WENJE NOR DULLAR NOR LISU NOR CCM NOR CHADEMA BUT IT IS A SCANDLE
Hakuna kitu hapao umeshahongwa wewe. Hata useme nini tunamwamini Lissu sio wewe. Wewe ndio ulimpeleka Abduli ķwake. Acha uongo wako.
Wenje anajichanganya sana kwanza HAJAKANUSHA kwamba hajachukua pesa za abduli
Sasa haya mambo.ilibidi mkae kama chama muweke kikao cha ndani muyamalize maana mnawapa chance wapinzani.
Hawa ni mmoja wa wapinzani,kwani huyu dulu ana kazi Gani serikalini?
Kamati kuu mlivyokaa kikao mkaanza kurecodiana vp mlimalizaje suala la pesa za Abdul? baada ya mashitaka yaliyosomwa na Kigaila?
😂😂😂😂😂😂😂
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti angefaa Heche na sio huyu mhuni.
Kitendo chako wewe cha kuwa kiunganishi kati ya Lisu na huyo mtoa rushwa ndicho kinakugharimu! Hata hivyo huyo mtoa rushwa hana wadhifa wowote kiasi kwamba angeweza kuwalipa deni lenu hilo!
Abduli ni nani ktk utmishi wa umma hata awe na uwezo wa kumlipa LISU?
Je ushawahi fanya biashara na serikali
Huyu jamaaaa daaah anaulizwa maswali anazunguka tu,nimechoka sana,no research no right to speak,,LISSU alisema yeye sio chawa ,sasa cjui huyu jamaaaa chawa wa nan???? Aibu anajikanyaga sana
Hili jamaa bwege can ndio linakula Kodi zetu
Comments zinanifanya nijiulize uwezo wetu wa kutafakari na kung'amua hoja😅😅😅😅
Huyu wenje alishawahu kutaka kuuza hata ubunge wake huyu. Kama si wapiga kura kumkalia kooni
Lissu hana nia njema na Chadema
Wewe Pimbi kweli. Humjui Lissu au ndo umeanza kumuona kwenye RUclips majuzi.😂
Labda wewe ndo unaua chama kwa kumuunga mkono mbowe
@@songombingo108 sio pimbi ni pono
Jambazi na bonge la dalali heche ht kwa maelezo yake
Acha kubwabwaga,wewe LISSU humuwez akili kubwa hyo,
Mh Wanje acha mambo hayo noway wewe abdully hafanyi kazi serikalini wewe acha zako
Lisu awe kama Dr silaa alikua haongei bila dataa
Hiki chama kitaparanganika, yaani sasa mnaraluana ninyi kwa ninyi badala ya kupambana na CCM.
Nazani umefika wakati wakuwa na tume huru kwaajili ya chaguzi za vyama
Stomatch Politics wenje
Aisee kweli kwa elimu yako wewe ni wa kudai stahiki za Lissu kwa Abdul?
Jitakase pengine utatakasika ila ujue ukimkosoa lisu unajikosoa mwenyewee uongo hauwezi kukaa na ukwelii.💪
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hapana mh wenje jibu swali jibu hoja leo ndiyo leo wewe acha zako dalali ulimkopesha bei gani wacha bwana
Muhuni Kama muhuni wengine
Lisu kaaema kamwambie Mamayako anilipe pesa zangu? Abdul akasema una karatasi zozote za kuonesha madai yako? Akampa
Huyu alimpeleka Abdul Kwa lisu
Wenje unakijua unachongea?
Tuwalete kwenye mdahalo pamoja na TUndu
Hata king msukuma alisema mapema kabisa kwamba msigwa kashakula muamala na hatimaye yakaja kujidhihirisha sasa uongo wa lisu uko wapi?
Na Msigwa ndio rafiki wa Lissu...
Ni rahisi kutetea Ukweli.Ndiyo maana majibu ya Wenje hababaiki.
😂😂😂😂😂😂 kweli eeeee😂😂😂😂😂😂
Hata Lipumba alikataa hivyo hivyo baadae chama kimekufa
Hufai kabisa kabisa kwenye hufai
Kumbe siasa ni uongo uongo?
ndio maana amechagua siasa?
Jaman ebu endeleeni kujenga chama acheni kuongea ni kunufaisha maadui .
Wame Komaa Mama Yako Ndo Haja komaa
Hiki kijamaa wenje ni kitapeli tapeli kabisa kijinga kwel khaaa
Huyu ni muhuni sana kala zake na Msigwa
Hongo ili muwe mamluki wa gvt.
Kwenye shereheee
Na unaendesha mpk nisan ya abdul
mnatushosha kwenye mitaa kutafuta kura kumbe nyie ni wapi dili tu?
Huyu kaulizwa abduli ni nani??anaanza kujichanganya