BALAA ZITO! WENJE AKIRI KUMPELEKA MTOTO WA RAIS SAMIA NYUMBANI KWA LISSU, SAKATA LA PESA NCHAFU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE RUclips Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии • 63

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso Час назад +2

    Kwamba walikutana kwenye sherehe,na ghafla wakabadilishana namba,mara akampigia Lissu na ,haraka madeni ya Lissu yakawa Agenda.
    Kulikoni wenye akili mliosoma Cuba ,mna ona kitu gani hapa.
    😮😮

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 8 часов назад +3

    Kama chadema unawatu wa aina hii na ndio wanagombea Uongozi wa Makamu hapa mnauwa Chama kwa sababu huyu wenje anaonekana wazi kuwa ni akili ndogo sana.

  • @khassimmwarabu3215
    @khassimmwarabu3215 Час назад

    Big up Kwa watangazaji🎉

  • @elimishanyamoga6797
    @elimishanyamoga6797 6 часов назад +2

    Wewe mwizi nenda huko kwa mwenzako ABDUL

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 6 часов назад +2

    UNAONEKANA UNA CHUKI BINAFSI UNARETA UFUNDI WA KUONGEA HAPO UNAMZOZO NA LISU WEWE SIO BURE KICHWA HASARA PORE SANA

  • @NyolobiNkalango-ve8ns
    @NyolobiNkalango-ve8ns 43 минуты назад +1

    Unamtuhu kwamba Lisu amekuwa akituhumu watu kwa kuwasingizia,nawewe unasema kwamba Lisu unamdai kiasi cha fedha ambazo hazina uthibitisho,unajiondoaje Sasa kenyekundi la watu wanaoshutumu wenzao kwa kusingizia?maana kama ungekuwa na ukweli na hayomadai ungetumia taratibu zinazokubalika hasa baada ya wewe kuhusishwa na tuhuma za rushwa badala yake unatangaza kwenye vyombo vya habali,usizani kuwa unawaeleza watoto wadogo hoja yako haina mashiko nahaiwezi kuleta ushawishi wowote.

  • @Gwanchele
    @Gwanchele 2 часа назад +1

    Huyu si mwadilifu hafai sikutambua hili awali katika mahojiano haya inaonyesha pia Hana kifua Cha kuhifadhi mambo amejiaibisha wala sio kujisafisha huko😢

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s 8 часов назад +2

    Hela za Abduli zitakuzuru. Halafu mnataka uongozi sindio mtatuuza kabisa. Hii tabia ya kusema naomba ushahidi itawagarimu sana. Aseme kwa Lisu alienda kufuata nini. Nilikuwa namwamini sana Wenje lakini sasa hivi nampa 0-0. Baadala ajibu swali analeta stori.

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 31 минуту назад

      Iv Nyie mbona waga hamsom alama za nyakat? Ndio Yale ya lowasa Kila siku mnaluka et Luwasa chadema🤔

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 часа назад +1

    Wewe tuambie ulimpeleka kwa length gani, hiyo ndio mada, na hiyo imekufanya hufai wewe ni Mamluki hataro sana ndani ya chama

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 6 часов назад +1

    WENJE NIMEKUHESHIMU MDA MREFU KUMBE WEWE NI TAKATAKA TU WATU KAMA NYIE MNASABABISHA WATU WAKATE TAMAA JINGA SANA WE MTU

  • @RUTACHCHURCH
    @RUTACHCHURCH Час назад

    Wenje wenje wewe na Abduli haya mlipanga kabla mwanangu,tusidanganyane,Abduli ni nani kwako, KWA Lissu,KWA serikali, je?kuwa mtoto wa rais inatosha?swali lako KWA Abduli why serikali ya mama yako haitaki kumlipa Lissu,je?imetosha kuwa chanzo Cha yote haya?wewe ni mwongo KWA kweli,na Lissu asingekuwa mwazi hata wewe usingejitokeza hadharani, 17:56

  • @athonychilumba2402
    @athonychilumba2402 11 минут назад

    Infact nimefuatilia maelezo ya Wenje juu ya rushwa ndani ya Chadema na yeye na Tundu Lisu kwakweli ni vema kuheshimu mawazo ya mtu lakini kwa mawazo haya ya Wenje yanafikirisha,pengine ata usomi wa namna hii sijui tunafundisha nini watoto wetu na vijana wetu.Haya twendeni pengine mwanga ukapatikana.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 часа назад +1

    Hapo kuna jambo wenje analificha

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 часов назад +1

    ASANTE MWAANDISHI....HUYO ABDULI NI NANI MPAKA AENDE KWA LISSU

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 8 часов назад +1

    Aibuuu. Kwa hiyo Lissu alipo zikataa manake yeye ndiye akazilamba 😢😢

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 5 часов назад +1

    Kwanini wewe ulimuuliza mtoto wa Rais. Kwani yeye ni nani????? Mambo ya kiselekari yamuhusu nini Abdul???? Mpaka umpigie simu makamo mwenyekiti wa chama???? Unanuka rushwa wewe , mpiga dili 😮

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 7 часов назад +1

    Nasimama na Lisu na Mama Samia

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 35 минут назад

    Wew wenye unaitukana Ccm? Bas iz siasa Wenje wew ni chama gan mbona nakuona kama pandikiz zur tu🤔🤔

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 8 часов назад +2

    Mbona kama wewe ndio unamchafua Abdul?

  • @gabrielmugabo816
    @gabrielmugabo816 55 минут назад

    Kiti hakikalini,hii inaonesha kuwa Tundu Lisu kasema ukweli

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 41 минуту назад

    Mkiendelea kumfuata na kumchafua atahsmia ACT😂😂😂

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 7 часов назад +1

    lissu safi sana

  • @VadestoMgohele
    @VadestoMgohele 4 часа назад +1

    Wewe ni mnafiki hueleweki ungepumzika tuu tunawaamini kumbe hamfai

  • @KheiriBafadhili
    @KheiriBafadhili Час назад

    Wekeni tofauti muangarie mbere hata mbowe hameona hilo kumbukeni mnaitetea nchi na sio matumbo yenu jifunzeni sana yanayo

  • @KulijeNovart
    @KulijeNovart 45 минут назад

    Chama hakina 10 thousand dollars!!!

  • @fabiankigenda2498
    @fabiankigenda2498 Час назад

    kwa uelewa wangu huwezi kupewa hizo gari bila supporting documents ndo maana ya hizo document za mnada..ĥata ukimpatia gari mwanao lazima ziwepo supporting documents kama za mauziano

  • @danieldede7176
    @danieldede7176 36 минут назад

    Wenje hatukuamini kwanza kabila Hilo haliaminiki kabisa mpaka hapo jibu tunalo.

  • @djurio
    @djurio 8 часов назад +2

    Ukiwa mkweli sana huwezi ukaeleweka. Lissu ni mkweli sana ndo maana tuliozoea uongo hatumwelewi.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 2 часа назад

      Lissu kanyoka bwana na ndio maana alitoka hadharani akasema

  • @benedictomabula7577
    @benedictomabula7577 8 часов назад +2

    Ulimpeleka Abdul kwa madhumuni gani?

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 Час назад

      Ulikuwa ni mpango wa wasiompenda LISSU hapo CHADEMA , achukue pesa za Abdul Ili wamsakame kila siku kwamba alihongwa , hebu fikiria angezichukua , Sasa hivi Lissu angesemwa namna gani ?
      Lakini Mungu alimuepusha na Kashfa hii .

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 8 часов назад +1

    Tuhuma hufanyiwa kazi.

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 53 минуты назад

    WEWE NI MSARTI

  • @Dhulqarnain-qc6gz
    @Dhulqarnain-qc6gz 41 минуту назад

    CHADEMA ni chama dhaifu sana. Watu wana njaa ya hatari.

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 16 минут назад

    Ujue nilicho gundua Mh Lisu baadhi ya viongoz wenzake hawaamin kwa sababu ya undumila kuwil😂😂😂

  • @MariamAlly-j2g
    @MariamAlly-j2g 15 минут назад

    Bd kizungumkuti huyo mtt wa mamaetu hana wadhifa wwt selekalini vipi asimamie malipo yanayotakiwa kulipwa na serikali?

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 8 часов назад +1

    Why you involves in that matter?,what was your motives Wenje?

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu Час назад

    Huyu hafai kua kiongoz

  • @ShukuMshando-uc4qf
    @ShukuMshando-uc4qf Час назад

    2025 mama atashinda kwa kishindo....kwa maelezo hayo...tumejua chadema ni wapiga dili....

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 Час назад

    Uyu nimuuni kwali

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 часов назад +1

    Sijamweelewa Wenje

  • @BenjaminKabebo
    @BenjaminKabebo 8 часов назад +1

    Mnajipasua mwenyewe alafu kesho mnawatuhumu fifie

  • @NovatMarco
    @NovatMarco Час назад

    Wala hufai kuwa makamu wachama unataka uwe wakala wa ccm kuzofisha chama

  • @gwakisaphilipo2445
    @gwakisaphilipo2445 Час назад

    43:29

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 Час назад

    Haka kajamaa kapumbafu kweli, nimeona hakuna kitu kabisa

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 8 часов назад +1

    😂😂😂 jibu lefu kama barabara

  • @mosesimsalaba
    @mosesimsalaba Час назад

    Tumegawiwa pikpiki nzuri sana sisi nyie mnatka kugawana hela?

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 20 минут назад

    Kaka wenje Mastaz na uongoz ni vitu tofaut unaweza kuwa msom lakin mambo yako maudha udha iv unajua wew ulikataa uongoz wa magufur kwa nguvu zote? Na cha chadema ulipo kwenda bado unawasumbua Ccm haupo iv wew nia yako ni kuleta maendeleo Tz au una mipango mingine?

  • @johnmaumba9110
    @johnmaumba9110 8 часов назад +1

    Yaani CHADEMA Kwa sasa mnapoteza mvuto kabisaaa

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 Час назад

      Lissu kawavuruga hawa viongizi wengine wanahongwa na CCM , alafu wanataka waonekane wapinzani .

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 8 часов назад +1

    Toka hufai

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Час назад

    Hili kwel nyumbu namba mmoja hafai hata ubaloz huyu

  • @NovatMarco
    @NovatMarco Час назад

    Wewe umetumikatu kumuhonga ila kimesanuka tu

  • @danielmashamba3410
    @danielmashamba3410 8 часов назад +1

    Hili ni pumba kabisa

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 Час назад

    Aiseee ndio kuchafuana huku sasa,chadema mnaenda kusambalatika kijinga sana

  • @YonaRajabu
    @YonaRajabu Час назад

    Huyu mlaku

  • @rutashobyanovath1116
    @rutashobyanovath1116 8 часов назад +1

    Mi kuna sehemu sijaelewa hivi uyo Abdul ni nani kwenye serikali?
    Kiasi kwamba mpaka umemkokota kumpeleka kwa Lissu?,Bado kuna maswali ya kujiuliza

    • @ruwaidamabrouk1797
      @ruwaidamabrouk1797 7 часов назад +1

      Ni Mtoto wa Rais Mama samia

    • @JumbeOjaso
      @JumbeOjaso 2 часа назад

      So what, anamadaraka gani serekalini hata kuhusika na madeni yake.
      ​@@ruwaidamabrouk1797

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 Час назад +1

      Huku ulikuwa ni mpango wa kumwingiza Lissu kwenye mtego , angechukua hizo pesa , unadhani ingekuaje kipindi hiki anagombea Uenyekiti ??
      Viongizi wa juu wa CHADEMA hawampendi Lissu .

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 9 часов назад +1

    Wewe Wenje;Kweli Unazo Za Kutosha??????Unakitakia Mema Chadema????Unataka Kutuonyesha Kwamba Wewe Unazo??????? Biashara Gani Unafanya Wewe?????? Ni Kichaaa Tu Wakati Kama Huuu Anaweza Kujitokeza Hadharani Na Kusema Uliyoyasema Loooooh Msomi Gani Wa Kuchochea Mambo Badala Ya Kurekebisha Mambo.!!!!!’n