TAHARUKI MOROGORO: WAMACHINGA WALIOVUNJIWA VIBANDA VYAO WAZUA "TUMEONDOLEWA KIBABE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @SalahSalum
    @SalahSalum 2 часа назад +1

    Nimewaelewa wamachinga kua sehem walipoambiwa waende ni hakuna Biashara ,hivo serikali imewaondea sana , rip magufuli forever

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 13 часов назад +1

    Mitano tena 😄😄😄😄😄😄

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 9 часов назад +1

    LINI MACHINGA WAKAKUBALI KAMA WAMEKOSEA????

  • @rahimchardluck
    @rahimchardluck 15 часов назад +1

    wananchi hata tupewe nafasi ngapi zakutafakari huwa hatuoni..ila tukifukuzwa ndioo tunaona serikali inakosea

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 14 часов назад +1

    Jamani c mlipewa taarifa ,tatizo watanzania jeuri tu

  • @gililwise
    @gililwise 12 часов назад +1

    Tiini sheria bila shuruti

  • @farajiyasinngonyani5964
    @farajiyasinngonyani5964 11 часов назад

    Safii

  • @ArtworkArtwork-t8p
    @ArtworkArtwork-t8p 14 часов назад +1

    Baadhi ya machinga wanakera sana huku chanika dar wameweka meza barabarani kabisa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 14 часов назад +1

    Hata mbande uku wameweka barabarani ukiwaaambia sogeeni ni ugomvi

  • @bongo39
    @bongo39 4 часа назад

    Wanavunja sheria halafu wanasema wanaonewa tufafanye kazi gani ndio kilio chetu kikubwa tubadilike watanzania tutii sheria bike shuruti

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 часов назад

    Nje y mji huko nan atawafuta

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 часов назад

    Tanganzo au kutesa raia

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso 4 часа назад

    😂ccm oyee?

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 14 часов назад

    Mjanja awai hapo

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 14 часов назад

    Bado si mnaiona CCM ya mana kwenu na bado

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 13 часов назад

    waiii nyie na uyo abood atasonga mbele ata maramoja

  • @ASATanzania-y9u
    @ASATanzania-y9u 15 часов назад +1

    Hii ndo Tanzania 😢 tunayoisema tuna Raisi 😂😂😂

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 4 часа назад

      Wamewajengea sehemu nyingine ya kufanyia biashara,hawataki kwenda,wamepewa mda waondoke wenyewe hapo bado wakaidi
      Sasa ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya Nini🤔🤔🤫🤫