Chadema chama imara sana....Mungu ibariki chadema ,,Mungu ibariki Tanzania.............hadi leo nimekomaa kiakili kwenye siasa kwa sababu ya Chadema.......
Wewe ni kiongozi mzuri ,mzalendo wa kweli.Ni rasilimali kubwa sana kwa future ya Taifa letu. Hakika wewe ni Godbless . Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
Hongera Lema kwa mtazamo wako sahihi wa kuangalia vyama kuwa na wajibu wa kujali "values" njema na "culture" nzuri kama mambo muhimu kurithisha vizazi vijavyo! Unazo hoja nzuri sana!
Ndugu yangu Lema umenifuraisha vivyo kwa kuelezea vyema sana jinsi nchini kwetu ukweli unavyoogopwa na badala yake uongo na fitna unavyokumbatiwa na viongozi wengi walio wengi. kwa bahati mbaya sana waongo na wazushi ndio wanaoonekana kuwa ndio werevu na wenye ushawishi. Hii ndio saratani inayoangamiza ustawi na maendeleo ya nchi hii na wananchi wake. Ubarikiwe Lema
Haya ni maneno ya Mtanzania anae ipenda Tanzania kwa moyo wake wote yamenitoa machozi kwa yanamfaa kila aliye sikiliza lazima yamempa kitu. Jamaani Lema nakupenda sana hasa unavyompenda Mungu katika maisha yako. Hotuba yako imeshiba mnomno umefundisha haswaa ASANTEEEEEE
Mh. Lema asante sana kwa kutufumbua macho kumbe hiki chama kilikuwa kimesha kufa kimya kimya!!! laaa aisee, eee Mungu sikiliza maombi yangu nakuomba umjalie mh. Lisu awe mwenyekiti ili haya mambo yaweze kuisha nakuomba Mungu umuumbue huyu Nkulunzinza wa Tz asiweze kupita kabisa naomba umuinue Lisu.
Hallelujah kuwa mkweli ni wokovu kwa Taifa. Hivi vitu vya kuishi na ukweli inatakiwa viwepo makanisani viwasaidie wachungaji matapeli na wasio na wito wa ki Mungu wakae pembeni,, sio mbowe tu hata makanisani kuna viongozi wakuu wamepotea sana,, wanaweka wazee wa kanisa wasio na sauti ya kumkosoa mchungaji wao hata anapolifanya kanisa saccos binafsi na familia yake.
UBARIKIWE LEMA TULIWAHI KUONANA WAKATI FULANI MACHAME KWENYE MSIBA WA MZEE LEMA NAKUKUBALI SANA UKO VIZURI SANA UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI SANA MBOWE NAMPENDA NA KUMUHESHIMU ILA KWA SASA AKIACHE CHAMA KWENYE MIKONO YA LISU NI MIKONO SALAMA
Sijawahi Kifuatilia Mwanasiasa Bila Kuchoka Kama Hotuba Hii Ya Lema Leo, Ameongea Vizuri Sana Na Kama Wajumbe Watakuwa Wamemsikia Vizuri Basi Mbowe Bora Aachie Ili Aondoke Kwa Heshima Kuliko Kuabika Kwenye Sanduku La Kura
Mbowe kumbe ndivyo ulivyo daaah kila kitu kina mwisho kabisa mwisho wako ndio huo aise njia ya muongo ni fupi Hiì rush rushwaa umeanza kupokea lini kwa hao ccm
Jamani kama wanasiasa hala hala napata wasiwasi na mabadiliko yenu na sera zenu musije mukawapigisha mikia au bakora wenzenu katika harakati zenu za siasa! Jamani jamani
Uchaguzi huu mwenendo wake kuna cha kujifunza wana ccm.viongozi wa chadema wamekuwa wawazi kabisa pia vyombo vya habari vimekuwa huru kuendesha mahojiano na watanzania tunafatilia mahojiano na makongomano hii sasa ndio siasa tunayoitaji watanzania.
LEMA NIMEKUSIKIA NA HIKI NDICHO NILICHOKUA NASHAWISHI UKWELI UONGELEWE ILI MICHANGO YENYE UHAI IPATIKANE SIKUPI ASILIMIA MIA WEWE NI BINAADAMU PIA UNAWEZA KUA NA UTASHI PIA UMEJITAHIDI AKILI YANGU IMEFUNUKA KWA KIASI FULANI
Lema ulichoongea ni kweli majimbo mengi hayana office za chama na hili linachangia majimbo mengi yanachukuliwa na ccm Mimi naona lisu apewe nafasi ili akipige jeki chama
We ni mkweli na mzalendo chama kitapata Zaid ya wanachama million kumi Kama mkimchagua lisu Ila akichaguliwa mbooo ata wanachama alfu moja wakwel wenye uchungu na nchi hii awatakuwepo chadema
Nifurah sana lema ubarikiwe sana baba mboe kaa pembeni mpishe lisu muogope mungu
Chadema chama imara sana....Mungu ibariki chadema ,,Mungu ibariki Tanzania.............hadi leo nimekomaa kiakili kwenye siasa kwa sababu ya Chadema.......
Ameenda against ukabila ❤❤❤❤❤❤❤ one of the best ❤❤❤❤❤❤
Hongera mtumishi Lema,
Mungu akubariki KWA spicy nzuri mno mno....
Asante KWA uzalendo wako, si jambo dogo hilo,, umejitoa kweli kweli ..
Wewe ni kiongozi mzuri ,mzalendo wa kweli.Ni rasilimali kubwa sana kwa future ya Taifa letu. Hakika wewe ni Godbless . Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu aliye hai
Hongera Lema kwa mtazamo wako sahihi wa kuangalia vyama kuwa na wajibu wa kujali "values" njema na "culture" nzuri kama mambo muhimu kurithisha vizazi vijavyo! Unazo hoja nzuri sana!
Hongera Sanaa kwa hotuba kubwa sana ya kiutu uzima umebarikiwa ku Homilia wewe ni mwalimu wa Hotuba nzuri.
Safi sana Lema..Conflict of interest imewakamata vzr mwalim na Kigaila.
UPO VIZURI SANA LEMA
Mhe Lema Mungu azidi kukulinda kwa kusema ukweli Ubarikiwe sana sana❤
Mungu akubaliki lema
Kaka uwaga na kuelewa nilitamani uwe karibu wa chama ,lissu ,Heche ,lema 👍
Kaka unaweza sana uko poa good idea
Mungu akubariki sana Kaka Lema
Mmsema kweli mpenzi wa Mungu. Unafaa kuwa mwanachama wa CCM fuata nyayo za Msigwa Mh. Lema.
Ur very genius brother!Mimi ni CCM lakini kwahili uko very direct
Mbowe apumzike Kwa Maslahi ya Chama na Watanzania ✌️
Ndugu yangu Lema umenifuraisha vivyo kwa kuelezea vyema sana jinsi nchini kwetu ukweli unavyoogopwa na badala yake uongo na fitna unavyokumbatiwa na viongozi wengi walio wengi. kwa bahati mbaya sana waongo na wazushi ndio wanaoonekana kuwa ndio werevu na wenye ushawishi. Hii ndio saratani inayoangamiza ustawi na maendeleo ya nchi hii na wananchi wake.
Ubarikiwe Lema
Umeandika historia kubwa katika siasa za nchi
Lema upon sahihi sana.
Safiiii lema tunampenda mbowe lakini kwa wakati huu sisi tunaitaji lissu awe mwenyekiti
Katibu wa chama , lema ,mwenyekiti lisu , Heche mw ,/ mwenza ,chadema salama ,mnyika ni bubu ,
Nimeipenda;
Ukiona mtu anatoa pesa kwenye kazi isiyo na mshahara, ujue kuna mahali atachukua mshahara
WOOOOOOW LEMA❤❤❤❤❤❤❤❤
'May God bless you' This is my prayer for you bro👍🏿
Haya ni maneno ya Mtanzania anae ipenda Tanzania kwa moyo wake wote yamenitoa machozi kwa yanamfaa kila aliye sikiliza lazima yamempa kitu.
Jamaani Lema nakupenda sana hasa unavyompenda Mungu katika maisha yako.
Hotuba yako imeshiba mnomno umefundisha haswaa
ASANTEEEEEE
ntafute
Mh; Lema ni Mtumishi wa Mungu wa kweli
Uko sahihi lema😊
Ukomavu wasiasa na mtazamo chanya ktka siasa lema uko vinzuri sana mkuu
Jamaa anaongea vizuri sana ila joto kali sana sijui hio suti😅😅😅
😂😂😂
Safi sna Leme umekuwa mkweli kuliko
Uko sawa lema
Mwenyekiti ni shetan kamili kwa chandema 100%
Mimi nilijua usipo msapoti Lisu basi nisingeamini Kila unachosema ila Kwa kuwa umefanya hivyo lazima nitakuwa nakusikiliza.
Bro, you nailed it big up
G LeMa umetoa hotuba ya kiwango acha Mbowe anataka ushahidi Gani Kwa Lisu walienda kwenye harusi
Huyu anajua sana
Lema unahakili sana daahh😢😢
Safi sana 🙏
Mh. Lema asante sana kwa kutufumbua macho kumbe hiki chama kilikuwa kimesha kufa kimya kimya!!! laaa aisee, eee Mungu sikiliza maombi yangu nakuomba umjalie mh. Lisu awe mwenyekiti ili haya mambo yaweze kuisha nakuomba Mungu umuumbue huyu Nkulunzinza wa Tz asiweze kupita kabisa naomba umuinue Lisu.
🎉bravo bravo lema
Hallelujah kuwa mkweli ni wokovu kwa Taifa. Hivi vitu vya kuishi na ukweli inatakiwa viwepo makanisani viwasaidie wachungaji matapeli na wasio na wito wa ki Mungu wakae pembeni,, sio mbowe tu hata makanisani kuna viongozi wakuu wamepotea sana,, wanaweka wazee wa kanisa wasio na sauti ya kumkosoa mchungaji wao hata anapolifanya kanisa saccos binafsi na familia yake.
Mbowe mpendwa wangu jihuzuru TU
Huyo ndio utumishi wa Mungu
Uyu jamaa ni jiniasi mzeeee duuuuu atari
UBARIKIWE LEMA TULIWAHI KUONANA WAKATI FULANI MACHAME KWENYE MSIBA WA MZEE LEMA NAKUKUBALI SANA UKO VIZURI SANA UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI SANA MBOWE NAMPENDA NA KUMUHESHIMU ILA KWA SASA AKIACHE CHAMA KWENYE MIKONO YA LISU NI MIKONO SALAMA
Sijawahi Kifuatilia Mwanasiasa Bila Kuchoka Kama Hotuba Hii Ya Lema Leo, Ameongea Vizuri Sana Na Kama Wajumbe Watakuwa Wamemsikia Vizuri Basi Mbowe Bora Aachie Ili Aondoke Kwa Heshima Kuliko Kuabika Kwenye Sanduku La Kura
Lema ishi miaka mingi brother
Umefanya yaliomema zaidi kwa mustakabali wa Taifa letu
Wee jamaa ni kiongozi na ni mzalendo wa kweli.
Eti unahatarisha maisha kisa ubunge, kwa kweli ni kuzalilishana
Chukua maua yako mkuu🌹🌹🌹🌹🎉
Really Lema truth man heshima sana baba
Excellent
Mungu akutangulie na akulinde.🙏🙏
Mwamba huyu hapa
Ushahidi upo Mwenyekiti Mbowe anawaita Wajumbe kwa ahadi wakimpingia kura atawashika mkono
Saaafi
Saluti sana lema huo ndo ukoma wa siasa twende na lisu tuache masiala.
A good dancer knows when to leave the stage
Mimi ni CCM lakini baada ya kukusikiliza nafikiria nifanyeje kwa sasa
😂😂
Lema ni Makonda mtupu 😂😂😂 tofauti ni vyama tu
Hapo kwenye mtumishi wa bwana 😂😂😂
Nikwel kukiwa na mizengo anzishen chama au muamie chama kungine sis tutawfuata huko Kwan nchi bila upinzan was kwel wananch atupat wakuizindua serikal
Ila mbowe ni mbinafsi 😂
Uyu nyumbu kwa maneno ayo ameongea point sana ila kwakua ugomvi wa panzi ni furaha kwa kunguru endeleeni kuminyana.
Mbowe kumbe ndivyo ulivyo daaah kila kitu kina mwisho kabisa mwisho wako ndio huo aise njia ya muongo ni fupi
Hiì rush rushwaa umeanza kupokea lini kwa hao ccm
Lema wewe Ni mzalendo wakweri naunatumia busara,huo ndo ukwer,mbowe apumzike
Jamani kama wanasiasa hala hala napata wasiwasi na mabadiliko yenu na sera zenu musije mukawapigisha mikia au bakora wenzenu katika harakati zenu za siasa! Jamani jamani
😂ushauri wa bure wenye hekima na busara tele
Wewe ni mwanaume
Ata m nikashaangaa wasafi na siasa wap na wap 😂😂
Mh Mbowe tunakuomba upumzike kwa amani
Tuko pamoja
Uchaguzi huu mwenendo wake kuna cha kujifunza wana ccm.viongozi wa chadema wamekuwa wawazi kabisa pia vyombo vya habari vimekuwa huru kuendesha mahojiano na watanzania tunafatilia mahojiano na makongomano hii sasa ndio siasa tunayoitaji watanzania.
You can preach bro😅
❤❤
Mimi sio chadema ila hotuba uliyoitoa imenigusa
Mimi nipo CCM Ombilangu tuleteen lisu tufanye SIASA
Talented leader
Asikiaye na Afahamu wakati uliokubalika ndo huu sasa
Mwamba kabisaa ambaye hajakuelewa peleka milembe kabisaa
Sisi ni wasikilizaji….
Hizi hotuba kwanini huwa zinakatika katika!!
Ahh ! Umeyapanga dogo. Uko vizuri .
Mbowe akishinda ujuee Polish wamehujumu uchaguzi wa tundu lissu
LEMA NIMEKUSIKIA NA HIKI NDICHO NILICHOKUA NASHAWISHI UKWELI UONGELEWE ILI MICHANGO YENYE UHAI IPATIKANE SIKUPI ASILIMIA MIA WEWE NI BINAADAMU PIA UNAWEZA KUA NA UTASHI PIA UMEJITAHIDI AKILI YANGU IMEFUNUKA KWA KIASI FULANI
Huyu jamaa kumbe anaakili duuh
Ww ni mtu na nusu na kuombea uwe karibu mkuu na mwenyekiti baada ya Lissu akili kubwa mno umeweka mamb sawa
Hukupaswa kuwa mchaga aisee ilitakiwa uwe mkurya lema
Lisu ,hoyee
Eti bana! Mbona kweli kwenye uchaguzi mlikuwa hamuitwi?
Nisahihi lema mbowe pumzika inatosha
Maneno magum na mazuri ambaye hajakuelewa ana matatizo ya akili
Lema ulichoongea ni kweli majimbo mengi hayana office za chama na hili linachangia majimbo mengi yanachukuliwa na ccm Mimi naona lisu apewe nafasi ili akipige jeki chama
Duuh
Lema ni mkweli
Mmmh
We ni mkweli na mzalendo chama kitapata Zaid ya wanachama million kumi Kama mkimchagua lisu Ila akichaguliwa mbooo ata wanachama alfu moja wakwel wenye uchungu na nchi hii awatakuwepo chadema