Nafurai kuskia ivo hata nami pia naishi katika familia ya Imani ya kiyaudi ila tunamujuwa mungu kwa jina la YHWH aoi Yahweh, ila nashangaa kuona munajuwa Siri nyingi nakutwambia ila hamujawai ku teambia jina kamili la yesu, maana yesu Ni jina la ki swaili, na yeye yesu hakuwa muswaili, sisi wa Imani ya kiyaudi tunamujuwa kwa jina la yehoshwah hamashia ambae munamuita kwa jina la yesu masia, naomba ufanye uchunguzi kwajili ya ilo Jambo, na kuwaambia taifa kweli ambayo ilifichwa katika jina kamili takatifu lake mwokozi wa ulimwengu , na Ni kwa Nini ma jina yote matakatifu yake muumba haya andikwi yote katika biblia, ikiwa Ni kupitia majina hayo yake muumba ndimo munapatikana maarifa takatifu ya namna zote
Bro umeongea mule mule mm nipo Israel pesa za kumwaga na ukifanya kazi uku ukilud home ukifeli ni ww mwenyewe Na wanapesa kinoma ukiona homeless ujue mtu wa nchi nyingine
Hawa Mayahudi ikiwa Riba imeharamishwa kwenye vitabu vyao mbona World bank ndo iliyoshikilia Madeni ya Riba kutoka nchi mbalimbali ikiwemo na Tz na kila siku nchi zinanyenyekea kusamehewa
Tuache ujinga wayahudi hawakuwai kuwa weusi, tusiwe watu wa kutafuta mchawi nani siku zote, tuangalie wap tulipo na nin tufanye ili tufanikiwe kama mataifa mengine
Someni Talmud, vitabu vyao vya dini. Hawamwamini Mungu wa Abrahamu, hawamwamini Yesu na mitume wake, hawapendi wakristu. Hawa tunawaita leo, wengi wao ni converts sio wayahudi wa biblia. Alafu hapo kwa utajiri, mabenki kubwa ya dunia ilianzishwa na familia ya Rothschilds. Hawa watu ndio wali finance slave trade na vita katika Uropa. Someni historia ya hawa watu.
Taurati gani hiyo zilizoparaganywa Wayahudi waliziuza aya za Mungu kwa Thamani ndogo n Taurat y Sasa co Taurat y Zamani,Soma Qur-ani inasema Wayahudi walikuw ni kizazi kilichofadhilishwa kuliko viumbe wote lkn Walilaaniwa kwa sababu y kuchupa kwao mipaka ktk maasi,walikuwa wanakula vya haramu ,wanauwa Mitume wao bila y haki n hawa wetiliwa chuki n uadui kati yao mpaka cku y kiyama kila wanapojitahid kufanya uharibifu n ufisad ktk nchi Allah anauzima moto
HAWA NI MATAJIRI KWA SABABU NI MAFREEMASON WAKUBWA. NA HAWA WAYAUDI SIO WAYAHUDI WA KWENYE BIBLIA SOMA HISTORIA VIZURI UTAELEWA HAWA WAYAUDI WA SAIZI NI TAIFA LA SHETANI. NA NDIO LINAOENDA KUTAWALA DUNIA BAADA YA MAREKANI KWAHIYO JIONGEZE SANA WAFATILIE VIZURI HAWA WATU NI USHETAN MTUPU
Din ya kiyahudi ndiyo ipoje si wanatumia Biblia? Sasa utasemaje wapo tofauti na Wakristo na inakuwaje mseme wanafuata torati aliyoileta Musa ikiwa siyo wa Kristo?
@@planetanimals9547 Yesu kitabu chenyu kitabu Cha waarabu.. wakristo na wayahudi wanatumia Torati na makafiri wa arabu wametajwa sana kwenye Torati kama makafiri we mwafrika na huyo Mohammed wako aliyeoa kitoto Cha miaka sita inajifanya hapa wajua sio... Shenzi
@@samutykuntathebantu8402 sema ufundishwe uislam dini yaki usiropoke tu kitabu chenu kinabadilika kila karne na asili yaluga yake haipo mana nyinyi mumefasiri kutoka bibilia ya kiingereza wala huyo yesu hakua muingereza napia nyinyi mnajipendekeza tu kwahao mayahudi manawao hawamuabudu yesu
@@samutykuntathebantu8402 eti mnamuabudu mungu mkifanya umalaya tu makanisani hamna lolote njoo msikiti uone watu wanavoabudu kwa heshima na adabu na unyenyekevu
Dini na teknolojia zote duniani vime anzia kwao wali gundua ndiyo utajiri we nyewe
Mim naitwa Justin Shad SASA twende kazi
From Uganda 🇺🇬🇺🇬 to Tanzania Justin she'd 🥰♥️
Hizi ni hoja nyepesi sana kiongozi,fanya utafiti tena.
Jamanii utuletee story ya Edward modrake jamaa aliezaliwa na sura mbili🙏
Huenda na mimi nina damu ya wayahudi sikati tamaa mapema kabisa halafu huwa namtanguliza Mungu kwenye shughuli zangu
umeonae yan wewe kama mimi
Kuna kitu nimejifunza hapa, asante sana
Watching from Kenya
Napenda hii show hata kuliko news
Hakika kazi ndio inasaidia saana teena ukimfundisha toka akiwa mtoto
Nice story waiting for part 2
Israel ni wabarikiwa, watokapo na waingipo
Kwa hiyo tunaishi na mungu mbaguzi au sio?
Hawa watu sio matajiri wowote upande waakili hawana Akili hata kidogo wasingeua watoto wadogo. Hata simba hatafuni mtoto. Sifahzo zote ni za kinafiki.
Tofautisha kati kati ya wayahudi na zayonist
Wanaouwa watu ni zayonist na sio wayahudi
Makini sana kwani nimepata elimu muhimu ambayo sijawahi ifahamu.
Hawahitaji heshima yoyote kwenye uso wa dunia
nimependa sanaaa hiiii 💪jastini she'd
na appreciate sana kazi zako brother.
Ufanye uchunguzi kwajili ya ilo Jambo tafadhali na kuwaambia taifa Jambo ambalo utakalo ligundua, shukrani
Nafurai kuskia ivo hata nami pia naishi katika familia ya Imani ya kiyaudi ila tunamujuwa mungu kwa jina la YHWH aoi Yahweh, ila nashangaa kuona munajuwa Siri nyingi nakutwambia ila hamujawai ku teambia jina kamili la yesu, maana yesu Ni jina la ki swaili, na yeye yesu hakuwa muswaili, sisi wa Imani ya kiyaudi tunamujuwa kwa jina la yehoshwah hamashia ambae munamuita kwa jina la yesu masia, naomba ufanye uchunguzi kwajili ya ilo Jambo, na kuwaambia taifa kweli ambayo ilifichwa katika jina kamili takatifu lake mwokozi wa ulimwengu , na Ni kwa Nini ma jina yote matakatifu yake muumba haya andikwi yote katika biblia, ikiwa Ni kupitia majina hayo yake muumba ndimo munapatikana maarifa takatifu ya namna zote
Asante sana ndungu yangu
Bro umeongea mule mule mm nipo Israel pesa za kumwaga na ukifanya kazi uku ukilud home ukifeli ni ww mwenyewe
Na wanapesa kinoma ukiona homeless ujue mtu wa nchi nyingine
Upo Israel mji gani?
Netanya
Eilat
Kwann wayahudi matajiri jibu ni moja tu Mungu aliwabariki toka mwanzo hayo mengine mbwembwe tu..If God say Yes nobody can say No
Kaka umemaliza
Kweli kabisa nawapenda Hawa jamaa sana
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani. Pili wanaakili sababu ya mifumo yao ya malezi watoto tangu wadogo awakufindiswi kushindwa
napia usisahau ndio wabarikiiwa hao wana agano na Mungu wao
Ushaambiwa ni MUNGU, na ww unatuletea ya uchawi. Acha wivu. Ww
Uchawi sio shda n jinsi wanavoutumia.. Dunian dhamb n nyng tu
Mtu yeyote aliyefanikiwa na kubarikiwa na Mungu huitwa mchawi
Bonge la kazi bro
Thanks brother!
Asante justine
YAHWEH bless you
Hata wamerecan wengi ni wayahudi
nakweli
Duh uongo dhahiri dhahiri marekani waafrika ndio wengi
Nawakubali sana
Hawa Mayahudi ikiwa Riba imeharamishwa kwenye vitabu vyao mbona World bank ndo iliyoshikilia Madeni ya Riba kutoka nchi mbalimbali ikiwemo na Tz na kila siku nchi zinanyenyekea kusamehewa
World Bank siyo ya Wayahudi,ni ya wazungu.
Kumbuka aruhusiwi kuchukua riba kwa ndugu na siyo mtu mwingine ata wakimiliki imf sawa
Riba hairuhusiw wao Kwa wao Kwa wengne kwao ni sawa Kwa mujibu wa torat
Hawa Mayahudi waliharamishiw baadhi y vyakula kwa sababu y kuchupa kwao mipaka n ulaji wao vya haramu pia walilaaniwa n Manabii n Allah
Ni kweli Mayahudi wameenemeshwa sana. Rejea Quran: 44 (30-33) & 45:16
ni kweli lkn pia ndio wengi wao waliopinga Amri za Mungu na kuwakataa Manabii na wengine kuwaua hadi Mungu akawakisirikia
Rejea ufafanuzi wa Qur: 1:7
Hawa jamaa noma sana
Naomba story ya future
Wayahudi walikiwa watu weusi swali langu ni moja ningependelea kujuwa wapi wayahudi weusi walikwenda
Katika watu wenye hakiri hakika na wewe umo. Wayahudi wote ni weusi sema tulinyang'anyo historia yetu tu.
@@wilsonmsenga6447 Kwa huu utumbo WA kiafrica useme wayahudi ni wafrica
Kwa huu utumbo WA kiafrica useme wayahudi ni weusi akili kisoda
Tuache ujinga wayahudi hawakuwai kuwa weusi, tusiwe watu wa kutafuta mchawi nani siku zote, tuangalie wap tulipo na nin tufanye ili tufanikiwe kama mataifa mengine
Nko hapa njoo tuonane
Rete story ya jeffree star kaka
Nmemwona zakayo 🤣🤣🤣🤣
Hahaaa
Mnaopinga pandeni ndege mkawasaidie hao makafili wenzenu wapalestina .
Wayahudi always wana jambo lao
woow nice content ❤❤.
can you please talk about 'CHER'
Amen
Someni Talmud, vitabu vyao vya dini. Hawamwamini Mungu wa Abrahamu, hawamwamini Yesu na mitume wake, hawapendi wakristu. Hawa tunawaita leo, wengi wao ni converts sio wayahudi wa biblia. Alafu hapo kwa utajiri, mabenki kubwa ya dunia ilianzishwa na familia ya Rothschilds. Hawa watu ndio wali finance slave trade na vita katika Uropa. Someni historia ya hawa watu.
Siyo kweli....hayo Ni maneno ya ushabiki wa chuki tu dhidi ya wayahudi.
Cyo vbaya kukubali kuwa torat ndio Sheria na Sheria ndio kweli,ukipingana na kweli nisawa na kukataa Nuru ukachagua Giza,
Taurati gani hiyo zilizoparaganywa Wayahudi waliziuza aya za Mungu kwa Thamani ndogo n Taurat y Sasa co Taurat y Zamani,Soma Qur-ani inasema Wayahudi walikuw ni kizazi kilichofadhilishwa kuliko viumbe wote lkn Walilaaniwa kwa sababu y kuchupa kwao mipaka ktk maasi,walikuwa wanakula vya haramu ,wanauwa Mitume wao bila y haki n hawa wetiliwa chuki n uadui kati yao mpaka cku y kiyama kila wanapojitahid kufanya uharibifu n ufisad ktk nchi Allah anauzima moto
Tusaidie history ya Adam na Hawa
Aisee hii
Tuletee story ya dalai lama na jinsi anavyochaguliwa
Wayahudi wa mchongo!
Hakuna mungu ndio wanaongoza kwanye freemason mungu hawako nae tena hao walisha kataa wapo kidunia tu
Roho inakuuma sna ndgu shida ni nni?
Cyo kweli
Kajiunge freemason na wewe uwe kama hivyo
Im appreciate to jews
NIMEONA VIDEO ZAKO NYINGI NAOMBA UTULETEE VIDEO KUHUSU NIDHAMU YA FEDHA
Kuna story fulani uliitoaga kuhusu kuhusu sauti za kimungu kwamba zikiondoka haziwexi kurudi tena nafikili unakumbuka story hiyo ...
Naomba video ya kijana aliebuni magari ya ford
Kazarian nikina nani
Asante
Ndugu yangu!Wayahudi ni watu weusi, hivi leo wanaitwa WABANTU,hao waishio nchi iitwayo"Israeli"wanaitwa "Ashkenazi Jews".
To a ushahidi kuwa wayahudi ni watu weusi..
Kivipi hapo mkuuu!!! Nipe document nikasome
HAWA NI MATAJIRI KWA SABABU NI MAFREEMASON WAKUBWA. NA HAWA WAYAUDI SIO WAYAHUDI WA KWENYE BIBLIA SOMA HISTORIA VIZURI UTAELEWA HAWA WAYAUDI WA SAIZI NI TAIFA LA SHETANI. NA NDIO LINAOENDA KUTAWALA DUNIA BAADA YA MAREKANI KWAHIYO JIONGEZE SANA WAFATILIE VIZURI HAWA WATU NI USHETAN MTUPU
Hawa wayahudi no wamchongo hakuna muyahudi mzungu wewe
We mbwa hayo mawazo yako futa na akili zako za lapili B
Ndio hao hao tu
Wayahudi wamewaiga wakinga
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
IKIWA NIMABILIONEA WAKIYAHUDI WALIOKO MAREKANI WANAJULIKANA MABILIONEA WA MAREKANI SIO MABILIONEA WAKIYAHUDI
Nazani Leo umeamua kusifia mayahudi na wachristo poa co mbaya.
Acha wivu. Ulitaka wasifiwe wa nani
Ok ila naswali mbon maskofu wanavaaga ivi vikofia wkt ni wakristo
Hv bro,unawajua wayahudi?
Twende kaziiii Cuzo💃
Good good 👍
Good Job.
God bless Israel
Jamaa aliyezaliwa na sura mbili tunaomba mzee baba
Wayahudi ni magaidi
Hapana, wanaangaliaga zaid maisha Yao, lakini uliingia kwenye anga zao ndio utaijua dunia
Leave them alone
Acha ujinga waarabu sio magaidi
SAWA LKN MAYAHUDI NIWATU WAKOROFI SANA DUNIANI NALICHA YAHAYO HAKUNA BIDHAA DUNIANI MADE IN ISRAEL! WHY?
Je ni kwanini?
Wamelaaniwa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Kazi safi
Usipotoshe watu Justin shed
Unapaswa kuingia hata mtandaoni siyo unabisha bila fact
1st one
Hao ndo walkuwa wanamsubili masihi afu alipokuja wakamkataa ,hahahahahhahaha nabii hakubariki kwao
Din ya kiyahudi ndiyo ipoje si wanatumia Biblia? Sasa utasemaje wapo tofauti na Wakristo na inakuwaje mseme wanafuata torati aliyoileta Musa ikiwa siyo wa Kristo?
Dini ya kiyaudi (judaïst) wao hawaamn katika kristo na hawaamin kwamb aliekuja n masia wanatumia agano la kale Wao sio wakristo wao n wayhud
Wayahudi hawamuamini yesu kabisa na wao wako tofauti kabisa na ukristo mungu wao
wayahudi sio wakiristo
Wayahudi si wa kristo. Kitabu Chao taurati
Wayahudi sio wakristo,wanadini yao tofauti na ukristo,kama sijakosea inaitwa orhodox
Big up bro 💪🏿
Barucha Sheba ata Adonai
Kuna utofauti wa wayahud na wakristo
Wayahudi wanafata taurati tu
@@pilimusa3217 yaan agano la kale
Kweli kabisa
Tubadirishe mifumo ya elimu yetuu
Upo Sahihi ila kwa uboya wa viongozi wetu dah
Wayahudi ni dini au ni watu?
Wayahud ni kama wachaga
Wachaga gn au wale majambazi wapora pesa za watu majumba ya watu na kughushi nyaraka za nyumba za wanyonge na kuwadhulumu..!
Acha hizo dogo myahudi level za Dunia
Myahudi wa kweli ni mwafrika acha kupotosha watu. Israel ya sasa wanaoish ndani yake ni jamii nyngne za wazungu
True
Au umeloogwa
?!??
Ni kweli
Sasa kwa nini Mwafrika aliondoka hapo na hajarudi tena?
NIWATU WALIOPITIWA NAWAKATI
Haha wewe ni kafiri wa kissalamu watu roho chafu kama Mohammed na nguruwe
@@samutykuntathebantu8402 makafiri ninyinyi wapi ktk kitabu chenu tumeitwa makafiri lkn nyinyi mumeitwa makafiri ktk kitabu chetu
@@planetanimals9547 Yesu kitabu chenyu kitabu Cha waarabu.. wakristo na wayahudi wanatumia Torati na makafiri wa arabu wametajwa sana kwenye Torati kama makafiri we mwafrika na huyo Mohammed wako aliyeoa kitoto Cha miaka sita inajifanya hapa wajua sio... Shenzi
@@samutykuntathebantu8402 sema ufundishwe uislam dini yaki usiropoke tu kitabu chenu kinabadilika kila karne na asili yaluga yake haipo mana nyinyi mumefasiri kutoka bibilia ya kiingereza wala huyo yesu hakua muingereza napia nyinyi mnajipendekeza tu kwahao mayahudi manawao hawamuabudu yesu
@@samutykuntathebantu8402 eti mnamuabudu mungu mkifanya umalaya tu makanisani hamna lolote njoo msikiti uone watu wanavoabudu kwa heshima na adabu na unyenyekevu
Naombautajili
Utajili ,,dhaaa
1st one
Aisee hii
Anaesema wayahudi walikuwa weusi hajui mtu mweusi alikuwepo tangu zamani alijulikana kama mkushi