Ingekua ni waisilamu yaani wengine hawana meno saizi wengine washagaiwa kesi yaugaidi InshAallah mungu endelea kuinusuru dini yako na tunusuru ss wajawako utongoze kwayale yaliomema na utunusuru kwayale yaliomaovu utujaalie mwisho mwema ss na wazazi wetu na vizazi vyetu 😭 amina 🙏
Umesema kweli: zungumza ukweli japokuwa ukweli unauma katika nchi hii uislamu ndio dini pekee inayotazamwa kishingo upande na serikali kwa utawala wowote ule uwe wa kikrito au kiislamu shida viongozi unafki mwingi kama hawata kufa vile mungu tunusuru na mapito ya dunia Amen!!
duh kunawakati mimi natafakari sana na kuona mungu bado ana tupenda sana kwani tunafanya kufuru zaidi ya makufuru mungu anatuangalia tu. lakini enzi za miaka ile ya nabi nuhu, ilikuwa ukifanya kufuru namungu anakufirisha hapahapa duniani, lakini zamahizi tunamkufuru mungu sana ila tuzidi kuwa karibu sana na maombi ya mwezi mungu kwani dunia ya sasa mmh
Tz kuna mambo kila moja msanii siku hizi dill acha maajabu kweli ssijahi nch yeyote wanafanya hivi tuna huru kweli kweli mzidi kuomba amani tumebarikiwa tz tuilide amani yetu watu wanafanya kufu na polisi wanachiwa kweli hawa watakiwa vibao wapipwae kwa kweli wasichezee jeshi la polisi
Zembwela unataka watu wapigwe hata kama hawawapigi na kuwashambulia polisi. Polisi hawakuwa kwenye hatari yoyote na hayo maneno yako yanachochea uhalifu wa polisi Ambayo imekubuhu kila kona nchini. Tumia vizuri nafasi ya chombo chako brother.
SAHIHISHO!! Ndugu tambua wale jamaa wasingezuiwa na yule mwenzao wangewafanyia polisi kitu cha hovyo sana, angalia vizuri zile video namna walivyomuingia yule polisi na kumgalagaza chini je wasingezuiwa na yule wenzao walikuwa wanaenda kumfanya nini? Sio kila sehemu tunatetea tu ujinga!! Yule mwanamama anafanya biashara ya kuuza binadamu, amezuia mahakama isifanye kazi yake kwa kumficha mtuhumiwa ndani ya jengo lake na hata hili tukio la mazombi wake feki waliojifanya kupandisha majini ya vinyamkela wale wafuasi wake walikuwa wanawazuia polisi wasifanye majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa aliyefichwa ndani ya lile jengo na yule mwanamama, pia mwanamama huyo ananyanyasa hadi majirani zake akidai serikali ipo kwenye kiganja chake, na mbaya zaidi anakufuru waziwazi kwa kumdhalilisha Mungu kwa kijiita yeye ni mungu, je kwa hili wewe unakubaliana nae yeye ni mungu na hao watu wanaomuabudu hapo huku wakiidhihaki dini ya kikristu kwa kujinadi wao ni wakristu na wanachokifanya ndio ukristu kwa hali hii je wewe unaona wapo sahihi?!
Askari hongereni kwa hapo maana mgetumia nguvu ingekuwa vibaya kwa Serikali na huyo mwanamke ndivyo alivyotaka baada ya kuona uungu wake umeumbuka, inaonyesha anawafunza kufanya vitu kama si kwa polisi tu lkn hats kuwatishia wenzao wsnaonyesha kuto ridhika na shughuli zao. Pia polisi hawskutarajia kuwa watakuwa out numbered kiasi hicho.
Yaani ingekua msikitini wangeambiwa ni magaidi na msikiti ungeoigwa mawe hata uchambuaji hapo studio ingekua kali Sana ila hii kwa kuwa ni ndugu basi hata uchambuzi umekua lainiiii
Eti acha udini pengine ulikua hujazaliwa mwaka huo waislam wakipigwa mabomu msikitini usingesema udini udini waliufanya polisi na udini wanaendeleza polisi kwa kuwa walio wapiga polisi ni wakristo wenzao ingekua ni waislam wangechakazwa na kuuwawa kama mwemvechai mwislam analengwa na AK 47 kama mnyama
Hawa polisi ingekuwa enzi za Magufuli wangekuwa na hoja ya kujibu ya kwamba kwa nini hawa watu waliwafanyia vituko hivyo na mkawaangalia tu bila ya kuwashughulikia?🤣🤣🤣
Wafungwe hao mazombi wote na mama Yao zumaridi yn ckuhiyo wangeenda kukamatwa na wanajeshi wakawafanyia hivyo yn sahz wangebaki Stori mapolisi niwapole cjui
Ingekua ni waisilamu yaani wengine hawana meno saizi wengine washagaiwa kesi yaugaidi InshAallah mungu endelea kuinusuru dini yako na tunusuru ss wajawako utongoze kwayale yaliomema na utunusuru kwayale yaliomaovu utujaalie mwisho mwema ss na wazazi wetu na vizazi vyetu 😭 amina 🙏
@Zaidi Issa. Hakuna cha mkristo au Mwislam, kuna Waafrica ambao bado hawajaamka toka kwenye ndoto za utumwa.
Sana my
Amini
Umesema kweli: zungumza ukweli japokuwa ukweli unauma katika nchi hii uislamu ndio dini pekee inayotazamwa kishingo upande na serikali kwa utawala wowote ule uwe wa kikrito au kiislamu shida viongozi unafki mwingi kama hawata kufa vile mungu tunusuru na mapito ya dunia Amen!!
@@kennywilliam2466 jitafakari kwanini mnatazamwa kwa Shingo Upande? Jirekebisheni ili mtazamwe kwa shingo yote.
duh kunawakati mimi natafakari sana na kuona mungu bado ana tupenda sana kwani tunafanya kufuru zaidi ya makufuru mungu anatuangalia tu. lakini enzi za miaka ile ya nabi nuhu, ilikuwa ukifanya kufuru namungu anakufirisha hapahapa duniani, lakini zamahizi tunamkufuru mungu sana ila tuzidi kuwa karibu sana na maombi ya mwezi mungu kwani dunia ya sasa mmh
Jaman naomba kuuliza ivi hii nimove gan maana kitambo ndo nili tazama
Nampendaga zebwela jamani 🤣wangepata police vichaa wangechezea kichapo
Yule baba police mwenye shirt la blue habar anayo alikalishwa mpaka chin😀😀😀 ubonge ulimwisha akajikuta mwembamba kama zungu😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😀😀😀😀😀😀. Katika wote, kanichekesha huyo alivyoangushwa chini.
Tz kuna mambo kila moja msanii siku hizi dill acha maajabu kweli ssijahi nch yeyote wanafanya hivi tuna huru kweli kweli mzidi kuomba amani tumebarikiwa tz tuilide amani yetu watu wanafanya kufu na polisi wanachiwa kweli hawa watakiwa vibao wapipwae kwa kweli wasichezee jeshi la polisi
Zembwela unataka watu wapigwe hata kama hawawapigi na kuwashambulia polisi.
Polisi hawakuwa kwenye hatari yoyote na hayo maneno yako yanachochea uhalifu wa polisi Ambayo imekubuhu kila kona nchini.
Tumia vizuri nafasi ya chombo chako brother.
Huyo anajipendekeza tu kwa polisi
SAHIHISHO!!
Ndugu tambua wale jamaa wasingezuiwa na yule mwenzao wangewafanyia polisi kitu cha hovyo sana, angalia vizuri zile video namna walivyomuingia yule polisi na kumgalagaza chini je wasingezuiwa na yule wenzao walikuwa wanaenda kumfanya nini? Sio kila sehemu tunatetea tu ujinga!! Yule mwanamama anafanya biashara ya kuuza binadamu, amezuia mahakama isifanye kazi yake kwa kumficha mtuhumiwa ndani ya jengo lake na hata hili tukio la mazombi wake feki waliojifanya kupandisha majini ya vinyamkela wale wafuasi wake walikuwa wanawazuia polisi wasifanye majukumu yao ya kumkamata mtuhumiwa aliyefichwa ndani ya lile jengo na yule mwanamama, pia mwanamama huyo ananyanyasa hadi majirani zake akidai serikali ipo kwenye kiganja chake, na mbaya zaidi anakufuru waziwazi kwa kumdhalilisha Mungu kwa kijiita yeye ni mungu, je kwa hili wewe unakubaliana nae yeye ni mungu na hao watu wanaomuabudu hapo huku wakiidhihaki dini ya kikristu kwa kujinadi wao ni wakristu na wanachokifanya ndio ukristu kwa hali hii je wewe unaona wapo sahihi?!
Imani nyingine ni kama kuwa motoni kabisa
😂😂😂
Wallah nimecheka 😀
Big up Zembwela🔥
Upo sahihi
Ingekua ni waislamu wamefanya ivy kwanza wangeitwa magaidi pili ao watu wangeitwa mapepo Tatu mabomu ya machozi yangehitajika nk.
Umesema kweli mwaya waislam wangeitwa magaidi lakini hao wameachw a
Kabisa, lakini kwa hawa ni kimyaaaa
Kabisa ,ingekuwa waislam ungeshaskiya ni dini ya mashetani ,then ni magaid
Sasa hapo wale jamaa wangekuwa wafuasi wa chadema mbona wangefanywa mboga, ila zumaridi na yule nabii mwingine wa dodoma mbona walewale tu
Mbona unabinuka kweye kochi badala ya kubinukia chini?
Wap master mawazo ndani y kb 1
Kesi ya Mbowe imesaidia kweli now kila Mtu anajua PGO
Hatareeeee Zembwela kweli wewe una kipaji umetoa mfano kwa vitendo
Kwahiyo ulitaka wapigwe risasi nivilungu tu vingewatosha kuuwa mtu hata wewe ungesikitika tushukulu hayakutokea hayo
Siyo mbwe mbwe no Bali wale
wanaitwa MISUKULE BALID
Ambayo imepumbazwa Kiakil
Wangekuwa waislamu full mabomu ya machozi lakini kwakuwa hao wenzao mambo yameenda bardii
Waislam hawafanyi ujinga kama ule
Naam swdakta kabisa Mana wao ni wtto kambo hivi ndio ilivyo
Walitakiwa wachezee kichapo cha nguvu,ule u vampire ungeisha
😂😂😂😂😂😂🙌😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 nimecheka kwasauti yaan hata kabla sijafungua hii video jamani uwiiii 😂😂😂
Unatisha Sana
MIMI PALE NINGENG'OA MTU JINO
😁😁😁😁
Askari hongereni kwa hapo maana mgetumia nguvu ingekuwa vibaya kwa Serikali na huyo mwanamke ndivyo alivyotaka baada ya kuona uungu wake umeumbuka, inaonyesha anawafunza kufanya vitu kama si kwa polisi tu lkn hats kuwatishia wenzao wsnaonyesha kuto ridhika na shughuli zao. Pia polisi hawskutarajia kuwa watakuwa out numbered kiasi hicho.
Wako sawa hao police 🚓 sema binadamu hatujui njema wala mbaya angeumia mtu shida pia maneno mengi police waonevu jamani🤨
Zembwela mungu akuweke nakupenda sana 😢🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zembwela na ww ulikuwa mmoja ya wale mazombi nini wafanya kama wao vile 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hao walikua askari kanzu hawakua wa mama mkanye mwanao mbona wangetulia tu😂😂
Wakipingwa raia shida wakiachwa skr kanzi tz🙆
Police walio fika apo walikuw wapole sana kichapo kik fika apo wange pona uchizi wao
Bro Zembwela, ungekuwa ww ndo afande pale ungefanya lipi hapo, au ungefanya kama vile ulipokuwa M/kiti wa serikali za mtaa enzi zile keleee!!😁😁😁
😀😃😃😃😄 kazi ipo
Waaambieni waje Arusha Ili 2wape kichapo na hayo mapepo yao
Weeee! Ilibidi kila askari aombe sala yake ya mwisho,wangefungua mdomo wangeuwawa pale2_.Mimi ningekutwa Bungando kwa kuzimia.
Zebwela ni shida 🤣🥰🥰🥰
😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂uwiiiii nyie wakaka wawasafi akili hamnaaaaaa
Hehee Wangepata police wakenya ndio wangejua u zombie n nn
Daa nimecheka mno jamani zembwela mungu awatunze
Nimejikuta nachek 🤣😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
Nilitamani niwe polisi hao wanaojifanya mazobi niwape risasi za matako wakawe mazombi vizuri huko makaburini.
Hahahahaaà!
😃😃😃😃😃
🤣 🤣 🤣 Mchungaji gani anamiliki mazombi
Hii nchi ni ngumu sana asee😒
Uwiii et wangekuja polisi wa Mara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 my ribs
Haki huku tarime ingetokea vile tungetandika zile zombi mla yani ujue mmi ningezikata kweli nione kama hakuna damu
Wamgekuwa wislamu hapo mtu angekula chuma na tungeambiwa gaidi lilitaka kupola silaha kwa askar
Mpumbavu wewe unawaza udini kila mda una akili
Wepomole mifano tunayo kama shekhe ponda alikula ya bega akitoka msikitini sasa endelea na uzwazwa wako
@@thefutureisnow3586 wepomole mifano tunayo kama shekhe ponda alikula ya bega akitoka msikitini sasa endelea na uzwazwa wako
@@thefutureisnow3586 na ww mpumbavo sana ,
Swadaqta kabisa ,ingekuwa waislamu wangeshaitwa magaid
Askali aliona chamoto
Mwembe Chai mnakumbuka msikiti kupigwa mabomu na Je polisi gani alitishiwa uhai polisi Ana AK 47 mwislam Ana jiwe
Yaani ingekua msikitini wangeambiwa ni magaidi na msikiti ungeoigwa mawe hata uchambuaji hapo studio ingekua kali Sana ila hii kwa kuwa ni ndugu basi hata uchambuzi umekua lainiiii
Fikra zako ni zina udini? Jibu tafadhali
Acha udini wakristo nawaislam sisi nikitu kimoja,na Mungu nimmoja wetu sote
Eti acha udini pengine ulikua hujazaliwa mwaka huo waislam wakipigwa mabomu msikitini usingesema udini udini waliufanya polisi na udini wanaendeleza polisi kwa kuwa walio wapiga polisi ni wakristo wenzao ingekua ni waislam wangechakazwa na kuuwawa kama mwemvechai mwislam analengwa na AK 47 kama mnyama
Swadaqta kabisa kaka
@@magrethgeorge9253 KWELI LAKINI ULIWAHI KUSKIA WA KRISTO KUPIGWA RISASI WAKIWA KANISANI????
😂😂😂😂nimechek bil kupenda
Kuna askar amepigwa
Zembwela unatisha
Hawa polisi ingekuwa enzi za Magufuli wangekuwa na hoja ya kujibu ya kwamba kwa nini hawa watu waliwafanyia vituko hivyo na mkawaangalia tu bila ya kuwashughulikia?🤣🤣🤣
Wafungwe hao mazombi wote na mama Yao zumaridi yn ckuhiyo wangeenda kukamatwa na wanajeshi wakawafanyia hivyo yn sahz wangebaki Stori mapolisi niwapole cjui
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nyie. Shetwan shindwa
😂😂😂😂😂mbavu zangu jmn zembwela utaniuwa kwakucheka
Mafunzo ya police ni kutia akili sio Nguvu. Vyuoni ufunzwa matusi na maneno yote machafu hata usiyoyajua Ili ukitukanwa hayakusumbui Ili upanic
mmekosa ya kuongea
Aiseeee mmenichangamshia siku baada ya ukali wa siku ya leo 😂🤣
Ni mwiko kumsogelea polisi
Zembwela ingia kwenye comedy unafaa kabisa kaka 🤣🤣🤣👇👇
ruclips.net/video/5N00cvt7aoo/видео.html
Aingie Mara ngap??katokea huko au umesahau max na zembwela,?au ulikua bado bwanamdogo😂ila max alishakufaga
Kweli kabisa ingekua ni waislam wale pasingetosha mabom ya machozi na vituo vingejaa
Kwani huyo zumaridi alikuwa mkristo au!!? Maaana mimi naona Yesu mwenyewe hamkubali anajiita Yeye Mungu kwa hio hakuwa mkristo
🤣🤣🤣🤣🤣zembwela da nishida
Kwaya muta mbey
Hehehehehe
Zembwela ,🤣🤣🤣🤣🤣yn kama ulikuwepo yn wangekuwa police wa dar ingekuwa washavunjwa miguu,yn ni Putin
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aaaah ....... Aaaaaah nini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaani nimecheka kishenzi
Polisi hutumia nguvu kwa waislam hawana silaha ila mabomu kama wapo Israel au Ukraine
Wale ni mandondocha wanafugwa na mfalme hapo vyombo vya habari vinaongea kimzaha wakati ni issue seriously
@@jumaahbinjumaah8552 HAWO NDIO KABISA WANAFAA KUPIGWA RISASI TUONE UNDONDOCHA WAO.
Haha Zembwelq umenichekesha
Mambo 10 kuhusu Zumaridi ruclips.net/video/phDsv3Tg2j0/видео.html
🤣🤣🤣🙌
Haha Zembwelq umenichekesha haha
😂😂😂😂😂😀
😂😂😂🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 mazombi
😂😂😂😂
DAWA ZA KUKUPA MVUTO MKUBWA
m.ruclips.net/video/hon5Qs2D0zM/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
😂😂🤣
Mbwembwe au miskule yake anaifuga mbona mnalainisha maneno?
🤣😂🤣😂
Tanzania drama za makanisa
Hhhh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Haha
Bonyeza link hii. Kisha subscribe na share video hii.
ruclips.net/video/4NJlyOmIlk4/видео.html
Haha Zembwelq umenichekesha
😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣