MFALME ZUMARIDI - ''MIMI SIO MUNGU - YUPO NDANI YANGU - WAANDISHI MUNANIWEKEA NYOKA SIO VIZURI''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 май 2024
  • MFALME ZUMARIDI - ''MIMI SIO MUNGU - YUPO NDANI YANGU - WAANDISHI MUNANIWEKEA NYOKA SIO VIZURI''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 108

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 27 дней назад +5

    Nimetamanj ku comment ila sitaki kumkufuru Mungu wangu Mungu wa Ibrahim na Isack

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 24 дня назад

      Mi na moment maana nakumbuka yeye alisema anakwebda mbinguni mara nyingi , nimekubali huyu dada ni kichaa siyo mzima kicwani.

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 28 дней назад +2

    Yaani ungelikuwa kwenye nchii nyengine ukijisifia ujinga na kumshirikisha Mungu ungelitiwa ndani

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 27 дней назад +4

    Mkorogo oyeeee 👍

  • @user-my4gd9px7s
    @user-my4gd9px7s 26 дней назад +1

    Kumbe sasa hivi hajiiti Mungu, safi sana, hilo baso ni pigonla kwanza tusuburi next.

  • @user-hh7df4mq1j
    @user-hh7df4mq1j 27 дней назад +4

    Hao wanao abudu kwake akiri zao ziko vizurii kweli mm nayaona kama mazombie

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 28 дней назад +4

    Dishi bado halijakaa bado halijakaa sawaaa

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 28 дней назад +7

    Unaweza ukawana waumini ef tano lakini hata watatu walio andikwa kwenye kitabu Cha uzima hawapo,itakusaidia Nini,miujiza sio tiketi ya kwenda Mbinguni,,

    • @user-eb9ni9sb3n
      @user-eb9ni9sb3n 27 дней назад

      Utajuwaje kama tiketi ya mbinguni Hana? Wewe ni Mungu mpaka umuhukumu wewe unajihesabia haki wewe kama nani?usihukumu usije ukahukumiwa

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 27 дней назад

      @@user-eb9ni9sb3n hakuna hukumu ya kumuhukumu Nabii wa kuzimu anaye kokota maelfu kwenda jehnm,,kwaiyo uko radhi Mtu mmoja asihukumiwe,ila aongoze maelfu kuzimu,wao mnao watetea wenzenu hawacheki na nyie,kaa kiroho ndugu tupo siku za mwisho una mtazama Mtu kimwili au unaridhika na maneno yake pole we

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 27 дней назад +1

    Naomba kuuliza hizi online tv mnampa air time za nini??

  • @user-vt4vd5rh8u
    @user-vt4vd5rh8u 27 дней назад +2

    Mpinga kristo huyu walioko rohoni watakua wamemjua cku za mwisho hizi. Ila wkumbuke Mungu haziwakuwagi.mtu mwenye Yesu hayuko ivi

  • @GIDIONIYEREMIA
    @GIDIONIYEREMIA 28 дней назад +5

    We mama usipo Kua makini utayeyuka ghafla

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 27 дней назад

      Umeonaee

    • @user-eb9ni9sb3n
      @user-eb9ni9sb3n 27 дней назад +1

      Ayeyuke nani wa kumyeyusha Mungu anayeyukaga?utayeyuka wewe huyo ni Mungu

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 27 дней назад

      Kweli

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 27 дней назад

      🤣🤣🤣🤣☝️​@@user-eb9ni9sb3n

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 23 дня назад

      ​@@user-eb9ni9sb3nmungu mwehu au mungu gani mbona mnatania mungu wehu nyie.

  • @deadcrush
    @deadcrush 27 дней назад

    Mungu kakimbia.

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 27 дней назад +2

    "Yesu kambeba Mungu" uislam raha saana straight forward no contradictions!

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 26 дней назад +3

      Uislam na shetani ni uji na mgonjwa

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 28 дней назад

    Umependeza mfalme

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 28 дней назад +5

    Muwakilish wa shetan

  • @annamussa185
    @annamussa185 27 дней назад +3

    Sawa Eunice wa kisukuma

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 28 дней назад +4

    Hili dada shetani😢 eish dunia hii

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 27 дней назад +1

    Kheee!Yeye ni mwamba,King Zumaridi.........😂😂. I thought I've seen n heard it all
    Kila nikimuona nakumbuka ile sura ya Millard very serious "Jua!!??Usiku!!?🤣🤣

  • @LucasKaik-xt8qe
    @LucasKaik-xt8qe 26 дней назад

    Mwehu kweli wew, umemtaja mbarikiwa et amenyamanzishwa au humsikilizagi siku hizi hajapoa hata kidogo.

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 24 дня назад

    Ameacha kujiita mungu chini ya jua

  • @EvelinQueen
    @EvelinQueen 23 дня назад

    Ee Mungu tupe kuyatambua majira na nyakati maana haya yote Yesu alisema sas mda ndo huu Yesu yukarib kurudi

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 27 дней назад +1

    Ninaowahurumia ni hayo mazombie yake Hapo nyuma

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 24 дня назад

    Jaman tujihadhal shetan yupo kazin hakuna mungu hapo

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 28 дней назад +1

    ''BANGI ZA CHOONI''

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 28 дней назад

    Mungu akulaani ww mama Acha kucheza na Mungu nyani ww usio ogopa yaani mnacheza na Mungu bila khofu anaweza kukugeuza nyani shenzi mkubwa

    • @justinruben1967
      @justinruben1967 26 дней назад

      Pole ww usiejua unayemtukana ipo siku utajua

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 28 дней назад

    Mungu anakutakianini sheitani moja akuiingie kivipi kwa Ibadan gani ulio nayo hata akushuhulikie pekee yko ww nyama tubu

  • @Isabella-ww8ks
    @Isabella-ww8ks 27 дней назад

    Watu wangu wanaangamia kwakukosa maalifa😢

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 26 дней назад

    DADA D LEO UMEROPOKA VIZURI....

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 27 дней назад +1

    Nilikuwaga na fikiri ndo mama mzazi wa gigi many juu ni copy right

    • @amosibilingi4299
      @amosibilingi4299 24 дня назад

      Ila kweli jmn mbona kama vile, dah! Kweli dunian tuko double double

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 26 дней назад

    Shetani yuko ndani yako, iwe mwanzo na mwisho leo kumtaja Mbarikiwa kwenye DOMO lako hilo mbavûuuuweee

  • @hawaramadhani6954
    @hawaramadhani6954 15 дней назад

    Hadi chumbani milad kaingia 😂😂😂 hajananihiliyuu Jmn maana anapenda vitoto huyu Dada

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 28 дней назад

    Sasa unajisifia mwenyewe

  • @jaderkyser9389
    @jaderkyser9389 27 дней назад

    Kumbe Millard Ayo alifika Chumbani kwa Mfalme Zunarid na Hatujui😂

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 27 дней назад

    😂 Sasa ngoja Mbarikiwa akusikie😂😂😂😂

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 28 дней назад +1

    Huyu mama akili zake anazijua mwenyewe cheki na alivyo jipodoa ka robot unice

    • @EmmyNamoyo
      @EmmyNamoyo 28 дней назад

      😂😂😂😂😂 wewe ati robot eunice 😂😂😂😂 umenichekesha

    • @rhobywerema6996
      @rhobywerema6996 27 дней назад

      😂😂

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 27 дней назад

      😅😅😅😂

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 27 дней назад

    Ili limama nilitajiri kweli,kweli,tena lisukuma.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 27 дней назад +1

    Mie nae niko busy tu kuangalia brazia ya Mfalme hapo kifuani.😝

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 28 дней назад

    Huyu mlugaluga nae ana afya ya akili😂😂😂😂😂😂😂

  • @hamadwazir2733
    @hamadwazir2733 27 дней назад

    Kumbe unajua kama kuna mungu ww ni nan sas unakufuru

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 28 дней назад +1

    Wewe mweu zumaridi piga ela zako tu mwamba wapi wewe

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 28 дней назад +1

    Kumbe Bado yupo😂😂😂

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 26 дней назад

    Haya miladi ayo unaitwa huku😅

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 27 дней назад

    Anahashuo

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 25 дней назад

    Dada njoo geto uje ufue nguo zangu alafu nikupake mafuta ya upako maana wew ni ,,,,,

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 27 дней назад

    Huyo bodigad wa nyuma anavoitikia sasa😂😂

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 23 дня назад

    Kinachonishangaza jamn naona anawaumini watu wazima kabisa wenye akilitimamu .inawezekananje uyu mwehu anafanya iv .mala kanumba amgufufue mala mbinguni magolafa alafu mazee yana kaa yanamsikiliza uyu mwezi mchanga uyu ...

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 27 дней назад

    Hivi waandishi siwalishakatazwa kumhoji huyo mama.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 27 дней назад +1

    Shetwani huyo yupokazini

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 26 дней назад

    Eti , mbarikiwa ,kaufyata, mbarikiwa sio , type yako wewe 😊

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 27 дней назад +1

    Zama za mwisho huyu ni Dada yake Masih Dajjal,Sasa kazi kwenu Wafuasi kunawa au kutokunawa, Ukimfuata Motooo utakula kwako,😮😮

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 27 дней назад

    Huyu ni mtu kama yule mtu wanaomwamini akina flani. Lakini wanavyomtukana kama wao hawalijui kaburi lake jamaa yao.

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 27 дней назад +1

    Muwakilishi wa shenanigans.. nakuchukia mbaya siku zako zaja...devil ww

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 28 дней назад +1

    Wee mwehu na wehu wenzio unaukweli gani shetani mkubwa subiri tu siku zako kwa muumba zinahesabika

    • @user-eb9ni9sb3n
      @user-eb9ni9sb3n 27 дней назад

      Kati yeye nawewe nani mwehu?huna unachokijuwa ndiyo maana unaropoka Linda kinywa chako kitakugharimu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 27 дней назад

    Anaongea mpaka koo linanikauka mimi

  • @reginaldshirima5646
    @reginaldshirima5646 27 дней назад

    Mwili wako utaliwa na ndege wa angani na wanyama wa porini

  • @vom84
    @vom84 27 дней назад

    Mmmh mbona huyu hafanani na yule wa gerezani? Au ni mwingine

  • @jkuser7593
    @jkuser7593 26 дней назад

    Akili imekukaa sasa ulijitamba wewe Mungu leo umebadili msemo woiii acha ujinga wako

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 27 дней назад

    Huyu ni Amber Ruty aliechangamka

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 День назад

    wewe usimtumie Mungu kwa biashara zako

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 26 дней назад

    Milladi alikula hilo zigo.

  • @user-eo3xr2ld3g
    @user-eo3xr2ld3g 27 дней назад

    Mpuzi mkubwa ww utakufa vibaya

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 27 дней назад

    Watu wamejaa na pesa unazidi kupiga si umalizie tu

  • @nancyenock5601
    @nancyenock5601 27 дней назад

    Kama Giggy kiasi fulani

  • @Kautharkabanga
    @Kautharkabanga 27 дней назад

    Huyo shetani katokea wapi tena

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 27 дней назад

    Anahitaji wenye akili wa mshauri

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 27 дней назад

    Watu mnashida. Mnafanya hukumu ni kazi yenu?
    Sisi wenyewe tuna midhambi yakufa mtu. Kama yeye anajitambua ana Mungu ndani yake shida yetu ni nini haswa. Mwacheni aendelee na mambo yake sisi wote tutakitana na Mungu siku ya hukumu.

  • @teddylyimo5897
    @teddylyimo5897 27 дней назад

    We mchawi tuu huna kitu shetanii mkubwa ww

  • @user-eb9ni9sb3n
    @user-eb9ni9sb3n 27 дней назад +1

    Ipo siku mtajuwa kuwa Zumaridi ninani nyinyi mnaishia kutukana mwenzenu anazidi kupaaa nyinyi mnayetukana mnjulikana nanani?mwenzenu dunia nzima wanamtambuwa nyinyi hata balozi wako wa mtaa hakujui acheni chuki zisizo na msingi Zumaridi ni Mungu mkatae mkubali haibadiliki

    • @jkuser7593
      @jkuser7593 26 дней назад

      😂😂😂 pole yako mweee

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 15 дней назад

      Mungu anakunya chooni,anapelekwa gerezani,anafanya mapenzi Jmn hizo hisia za nini kajiwekea😮😮

  • @user-ub1yx5vc8b
    @user-ub1yx5vc8b 28 дней назад

    Kila anayemfuata huyu shetani ni zizu

  • @user-hg5wr2mc7k
    @user-hg5wr2mc7k 27 дней назад

    Haka kashetani kananiuma sana

  • @KasemaTV
    @KasemaTV 27 дней назад

    wewe ndiwe masihi wa kizazi hiki wakubali wakatae ndivyo ilivyo

  • @mulolemary1317
    @mulolemary1317 27 дней назад

    Tafuta pesa za kula na make up achana na shirk

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 27 дней назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @drsilo
    @drsilo 27 дней назад

    Ukiristo una shida kweli alimradi hamdi dini kila mmoj ana mambo yake😂
    Ila karibuni ktk din ya haki kitabu kimoj tu ni QURAN

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 27 дней назад

      Nani amemwambia huyo mkristo?? Kwenu huko Kuna mbingu zenye wanawake na mapombe Mambo ya kidunia kabisa, hatutaki kabisa.

    • @hawaramadhani6954
      @hawaramadhani6954 15 дней назад

      ​@@charlesmwasi7646kasome vzr hizo pombe hujaelewa kaka

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 27 дней назад

    Ninaowahurumia ni hayo mazombie yake Hapo nyuma

  • @majaliwaandulile8379
    @majaliwaandulile8379 26 дней назад

    Huyo dada wa nyuma kafanana na mfanyakazi wa ahime wa Kendra

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 27 дней назад

    Global kwanini mnamuhoji huyo kwani nanini kawatuma nimekuwa nimeshakwisha msahau huyo iblis myacheni huo Mungu yupo daima kitamrambaga tu