Hongereni sana wana wa Mungu kwa kazi Nzuri. Mungu wetu atukirimie kushinda Vishawishi tuimbe hata Mioyoni mwetu na mwisho sisi na wale wanaosikiliza nyimbo zetu tufike kwake.
Holy Trinity mpo juu hongereni sana. Pia waimbaji mmenikuna kwa sauti nzuri mnoo. Huyu aliyepiga kinanda namfananisha upigaji wake kama was Engineer Fridolinus Mushobozi
❤ tukirimie baraka zako Mungu❤❤
Mungu amewabariki Watanzania wakatoliki yaani hii nyimbo si choki kuzikiza,,,, Mola awabariki sana
Kazi mzuri sana wana wa mto wa mbu
🎉🎉🎉❤❤❤❤wimbo mzuri Sana
Wimbo mtamu. Mungu tukirimie. Sauti nzuri Hongereni. Mungu azidi kuwaonekania. Mbarikiwe sana
God is gold all de best nawapenda
Unikirimie na mimi Ee Bwana
Huu wimbo unatupa utulivu wa aina yake..utukirimie...Baraka zako tuzidishie.tukirimie Bwana
Ht mko vizuri bila kuwasahau wana wa MTO wa mbu
Big up
Mko sawa kabida muenfdelee hivyo hivyo mbalikiwe
Wimbo mzuri na wenye mashiko.Hongera wanakwaya wenzangu tuzidi kumwimbia Mungu kwa sauti nyororo na za kuvutia atukirimie baraka tele.
Nawashukuruni saaana waimbaji nabarikiwa sana na wimbo huu mzuuri. Mwenyezi Mungu awabariki Nyooote!!!
Hongereni sana wana wa Mungu kwa kazi Nzuri.
Mungu wetu atukirimie kushinda Vishawishi tuimbe hata Mioyoni mwetu na mwisho sisi na wale wanaosikiliza nyimbo zetu tufike kwake.
Hongereni kwa kazi nzuri na uimbaji mzuri Mungu azidi kuwa nanyi katika kazi ya utume huu adhimu
Tukirimie Bwana ....neema zako tushushie
Sauti nzuri na mpangilio mwema. Mungu atukirimie neema zake
nami pia napnda hiyo
Kwaya.naipenda
Hallelujah atukuzwe kristo bwana wetu
tumwimbie Bwana wanashikwakata Mungu awabariki muendelee na utume wa uimbaji
Kristo!
Ninachofurahia ni kusikika vizuri kwa maneno ...
Sauti zimepangika vema sana..... Mungu azidi kuwakirimia katika uimbaji wenu kwake
wape mwongozo bwana
Hakika Mungu na atukirimie...hongereni kwaya ya mt Joseph mfanyakazi mmefanya Nazi nzuri
Glory
Natokea kenya. Mwimbo mzuri.shda neno tukirimie sijaielewa
Mungu utukirimie barakaaaaa.....
Hakika ni ujumbe murua,asanteni Wanakwaya
Mola awabariki na awazidishie baraka kwa kazi yenu njema .
Kazi kamilifu...wosia mtimilifu.Barikiweni wapendwa.
Tukirimie bwana
Tunabarikiwasana
My best in li:e
Good song with good dancing style
Hongerani sana ninapend sana kusikiliza music mtakatifu
Barikiwa Sana waimbaji kwa sauti nzuri karibuni kondoa
Nyimbo nzuli kweli kabisa nungu awazidishie iwinjilishaji mwema
kebby mulilo say thank you for the song
Hongera zenu wanakwaya
Wimbo mzuri
Asnt sana tumsifu Mungu milele
Safi sana, kazi nzuri Holy Trinity Studios. Baraka Mashibe, utunzi mzuri sana. Endeleeni kufanya kazi nzuri kila wakati.
Wimbo mzuri sana. Umenibariki.
Naam Kazi Mzuri Sana hiii,Safi Baraka
Très édifiant.
Hakika tunabalikiwa
Asanteni sana kwa sauti zenu nzuri. Mungu awabariki.
Kazi nzuri Mbarikiwe Sana
Kazi nzuri sana wana mto wa mbu. Mungu awabariki sana. Wapi nguli wangu Erick Masumbuko? Nguli wako nimeielewa kazi hongereni sana.
utukirimie sisi watoto wako na utukirimie kanisa letu katholiki ili neno LA mwenyezi mungu ixidi kuenea note pia watunzi wetu
Nmebarikiwa xana
after three 3 years am watching again. Good song
Atukuzwe Mungu kwa kazi yenu nzuri
Kweliii kabisa utukirimie
hongeren sana nimeipenda mno
Holy Trinity mpo juu hongereni sana. Pia waimbaji mmenikuna kwa sauti nzuri mnoo. Huyu aliyepiga kinanda namfananisha upigaji wake kama was Engineer Fridolinus Mushobozi
Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Wanakwaya mbarikiwe sana mna sauti nzuri sana
KAZI NZURI HONGERENI SANA
Mbarikiwe
Safi sana
Hongereni kwa wimbo mzuri.
Hongereni Sana,Mungu awaongezee kibaji,na mtunzi wenu yupo vizuri bila kuwa sahau holy trinity mko juu sanaaa.
hongereni wimbo mzurii
Hongeren sana nafurah kumwona out first Born Angela Kassi Mungu amjalie afy aimbe katika roho na kweli
Nafulahi kusikianyimbo za kikatoriki
Kakitendea kazi kinanda.
Naomba kupata full album.
Balikiwa
Aminaaa
Wimbo mzuri ila mchanganya picha kachemka
Swaaaaafiiiiiii
Njimbo ni nzuri na tamu
Mungu atuzidishie baraka
hongeren wimbo safi naomba copy yake tafadhal
Thanks waimbajii
😍😍😍
Wapi mwalim Alex kabogo jamani
Raha tupu
Mwaakasege
Safi sana napenda
Hakika mashibe ni mwamba atakuwa mkasa mtalajiwa
Poa
Hongereni kwa wimbo mzuri.