Kazi safi sana. Kumbe male voices can blend so well; ishara kwamba, umoja ni nguvu!!!😊Namuona pale mkuu Patiu na Jose. Rajo tunasubiria kazi nyingine kama hii🤠🤠. God bless you all!🙏🙏
Asante sana Kaka Ray kwa wimbo huu mzuri tunamrudishia Mwenyezi Mungu sifa na utukufu wake kwa ubunifu mkubwa katika uzalishaji wako wa nyimbo mbalimbali sanjari na video zinazotengenezwa katika ubora mkubwa na wa hali ya juu.
Jamani Ray Ufunguo na Lawrence Kameja mnanuvutia sana natamani Nije kuwa kama ninyi kudedicate muda mwingi kwenye muziki wa kikatoliki hongereni shida nyimbo nzuri nyingi Huwa ni fupi natamani nishiriki utengenezaji wa wimbo hata mmoja nione reality
Siku nikipata mchumba 😊nasiku ya ndoa yangu utanitungia wimbo maana naikubali kazi yako niliipitia nyimbo ya "karamu ya Bwana Yesu " waoooooooh nimeifurahia
Organist Mungu anakuona! Nimeachwa peke yangu sebureni kwa utamu wa hiki kinanda. Wote wamekwenda kulala !!! 😄😄🙏Keep it up brother. Mungu awabariki sana.
How about you guys sing another song for the glory of God by the way kwenye hizi Sauti Kuna kitu naitafuta so Imbeni nyengine please... Hongereni Sana kwa combination ya Sauti taam
Kaaaai Sasa kwann hii song ni fupi ivi ...si mngeimba ten stanzas ongezeeni banah...sitosheki jameni wuuuueeeh when I grow up I want to sing with you ...
Jamani jamanii 🥰,,Soo nice ,,, congratulations 👏,,mziki umetulia ,,,keep it up,, mmeupiga mwingi,,,nimebarikiwa Sana, kazi yenu ni njema ,,,Mwenyezi Mungu aendelee kupandisha kwa viwango vingine,,,,,am waiting for the next post😅😅😅,,,
Uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa Ndiwe genge langu na ngome yangu Kwa akili ya jina lako uniongoze unichunge Mikononi mwako naiweka roho yangu Nimekukimbilia Bwana nisiaibike milele
Thank you Rajo Productions. Ray, may God Bless you twice the way your work Blesses my heart and takes me closer to Jesus. Blessings n much love from 254🇰🇪
Am out of words,this is really great sweet voices,Angelic dance,reflection words,may God bless you,continue annoiting your voices,continue uplifting you,see through,👏🤝😊😁💞💝😘💓🥰💕💗🌹😍keep 🔥burning🤲🤲🤲
Hongera sana kwa wimbo mzuri Mwenyezi Mungu akuimarishe na awaimarishe nyote daima.
Asanteni sana Radio Maria Tanzania. Mzidi kubarikiwa katika kazi yenu pia.
P mmT
@@rajoprobaraka daima❤
I love the song kudos, may God bless you
Kazi safi sana. Kumbe male voices can blend so well; ishara kwamba, umoja ni nguvu!!!😊Namuona pale mkuu Patiu na Jose. Rajo tunasubiria kazi nyingine kama hii🤠🤠.
God bless you all!🙏🙏
Asante sana Anastacia, tuendelee kumtukuza Mungu. Ubarikiwe.
Nilipoanza ,nilijiuliza nitaweza aje, kumbe ni wewe Mungu unaniongoza🎤🎤🎤🎤🎤🎤
@@franciskironjo9369 yaani wewe😅😅😅😅😅
Kwakweli mubarikiwe kwa uimbaji huu, Daima Mungu awaongoze katika safari yenu ya utume wa kumuimbia
Amen. Ubarikiwe pia
Uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa..ndiwe genge langu na ngome yangu😊mbarikiweeeee muishi milele
Barikiwa sana Neema
Uwe kwangu mwamba wa nguvu uniongoze unichunge mbarikiwe sana
Thank you Maria
Wimbo mzuri waimbaji wazuri zaidi🙈 jamani niombeeni nipo kwenye mafunzo ya sauti 💓🙏🙏😂💖💞💕
I keep playing thus music in my car as I go to and from work. Isn't it beautiful?
Wimbo mzuri umeimbwa na waimbaji wazuri Baraka ziwe juu yenu wapendwa
Asante sana Gregory. Ubarikiwe
Asante sana Kaka Ray kwa wimbo huu mzuri tunamrudishia Mwenyezi Mungu sifa na utukufu wake kwa ubunifu mkubwa katika uzalishaji wako wa nyimbo mbalimbali sanjari na video zinazotengenezwa katika ubora mkubwa na wa hali ya juu.
Asante sana. Mungu akubariki sana
Huyu mzee syote atakuja kuniua....umaridadi wake 💖....unyama unyama, hongereni sana
Shukrani sana
Always in love with Babu Syote's compositions. Mmeutendea haki, Marafiki
Shukrani sana Nestory.
Hongera sana👏 ..muziki Mtakatifu🙏
Thank you so much
So sweet ,, fantastic 🙏🙏🙏🤝🤝... Kwa unyenyekevu mkubwa naomba muurudie na kuurefusha zaidi.
Mungu awazidishi baraka tele.
Very correct I play it over &over 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Wimbo mtamu sanaa 🔥. Baraka ziwamiminie 🙏🏻
Aminaaaaa sanaaaa mungu awabariki wapendwa❤️❤️
Asante sana na ubarikiwe sana
@@rajopro aminaaaaa
Ray Ufunguo kama kawaida
Barikiwa sana
@@rajopro nawe pia
Samahan naomba nipate mawasiliano ya rajo production,,,,kazi nzuri
+255758988827. Whatsap only
Such a powerful song !!!it's blessing the soul in a Mighty way .
May Gods'name be praised all times
Kwa kweli mbarikiwe Sana kwa uimbaji
Mmeimba vizuri sana
Shukrani sana Romanus
Hakika hongera Ray na wenzako nataman nikutane na wewe
I always stop my works for your glorious praise
Thank you Emmanuel. Ubarikiwe sana
Anything from Rajo production is never a miss
Thank you Rebecca
Rajo productions, hongerini Kwa KAZI nzuri,,naombeni mawasiliano yenu,pls
Hakika,wimbo huu unarejesha imani pasipo matumaini...shukrani sana ndugu zetu. 💯💯❤❤🎹🎹🎼🎼🎼🎼
Jamani Ray Ufunguo na Lawrence Kameja mnanuvutia sana natamani Nije kuwa kama ninyi kudedicate muda mwingi kwenye muziki wa kikatoliki hongereni shida nyimbo nzuri nyingi Huwa ni fupi natamani nishiriki utengenezaji wa wimbo hata mmoja nione reality
Safi sana tena sana 🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰👌👌👌
Kiukwel kaka Rawlance hujawahi kuimba wimbo mbaya duuuh unanibariki sana na timu Yako nzima... Concratration🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana heko!
Ray kila unapoimba wanibariki unanitia moyo wa kupenda wito wa imbaji
Habari yako Samuel. Tunashukuru kwa pongezi. Ubarikiwe sana
@@rajopro Amina
Waaaaw,I love the song it's of another level.Heko kwa kazi safi mnaotufanyia kanisa lote kwa ujumla.
Barikiweni sana🙏
Shukrani sana Veronicah
Mungu awabariki kwa uinjilishaji
Shukrani sana
Melchior Basil Syote rich legacy lives on. Be Blessed!
Kazi tamu ya rajo Kama kawa🔥..mambo yote syote, congratulations all for this good work.
Thank you so much
Siku nikipata mchumba 😊nasiku ya ndoa yangu utanitungia wimbo maana naikubali kazi yako niliipitia nyimbo ya "karamu ya Bwana Yesu " waoooooooh nimeifurahia
Shukrani sana Epifania. Nakuombea kila lililo jema
Naomba namba zako kuna kazi nataka tufanye
Please naomba namba zako
So beautifully sung! Hongera Rajo production
Thank you Fiona
Kazi safi Rajo production. Mungu azidi kuwabariki.
Amina. asane sana Sylvia
Wimbo mtamu sana. Hongera sana kwa mtunzi na waimbaji akiwemo Ray Ufunguo.
🙏🙏🙏🙏 Mungu awabariki sana
Amina, ubarikiwe pia Julita
@@rajopro Amina 🙏🙏🙏
Wimbo mzuri... mungu awabariki ❤️❤️@rajo production
Organist Mungu anakuona! Nimeachwa peke yangu sebureni kwa utamu wa hiki kinanda. Wote wamekwenda kulala !!! 😄😄🙏Keep it up brother. Mungu awabariki sana.
A very nice song,all the way from my heart,mungu awe nanyi milele❤
Nimeraukia kuusikiliza wimbo huu. Na ninaupenda sana
Ubarikiwe sana
My favorite production...God bless you all and God bless the composer 🙏
Amen, be blessed
I'm addicted to this song I have to repeat it everytime it's just awesome 👍
Wimbo mzuri sana, Mungu wetu aendelee kuwahimarisha na kuwainua zaidi katika utume huu.
I can't stop listening to this song. May God bless you my people. I love this song so much
Amina nimebarikiwa mno kupitia wimbo huu ❤️🙏🏿
Nimekukimbilia nisiaibike milele,Amina
Showing it’s culture at it’s very best. Cheers.
Barikiwa zaidi
Ray,
That was a great melody...very sweet and soothing the soul.
Hongera pamoja..na wenzako.
Mungu asifiwe.
Mungu akubariki sana
Jamani, wimbo ni mzr sana, sauti nzr mno na maneno yake ni faraja kubwa. Hongereni sana
Hongera sana mtunzi wa wimbo Melchior, wimbo unainjilisha na ni faraja kubwa sana, sauti nzr mno, duh sijui niseme nini zaidi
THE BEST ORGANISTS
Hongereni sana kwa.kumtukuza Mungu kwa wimbo wenye maneno mazuri.
A wonderful song, with powerful lyrics, lovely male voices and overall a good production
Thank you Susan
How about you guys sing another song for the glory of God by the way kwenye hizi Sauti Kuna kitu naitafuta so Imbeni nyengine please... Hongereni Sana kwa combination ya Sauti taam
Hongereni sana kwa kutubarik kwanyimbo nzur
Kaaaai Sasa kwann hii song ni fupi ivi ...si mngeimba ten stanzas ongezeeni banah...sitosheki jameni wuuuueeeh when I grow up I want to sing with you ...
Amina SANAAA 🥳🥳 Groly to God🙏
Amen.
Hongera sana kwa wimbo huu mpya unaopendeza
Incredible work👏
Thank you Mercie. ubarikiwe
Wimbo mzuri sana japo ni mfupi mngeongeza ata bet tatu maana ni wimbo mtamu sana
I wish it was longer 👌👌
Very inspiring Psalm👍
God bless you 🙏
The song is powerful. The Lord is my rock and my fortress.
Imagine the combination of these gentlemen 😂🤣😂🤣😂anyway mbarikiwe Wana WA Mungu
Thank you Friend
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana
Amen, ubarikiwe sana
Nimebarikiwa na wimbo huu Mungu akuinue zaidi
Wow jameni wimbo mtamu hivi lakini ni mfupi, nairudia tena na tena nikijaribu kuirefusha
Pole sana Sue, but huo wimbo umekuwa composed hivyo.
@@rajopro ni dhambi kuurefusha kidogo? Maana jinsi mlivyoiimba hiyo zaburi ya 31, mtu atamani kuendelea kusikiliza zaidi
Wow... amazing...you the best rajo... congrats Ray
Thank you Emmaculate
Wimbo wa kuleta nguvu 🤓🤓🙏🙏🙏
Ubarikiwe
@@rajopro 😇😇🙏🙏🏻
AMAZING STUFF.🥰🥰🥰
Thank you
Very touching, feeling in another world. More love from me +254
Hongera sana, naona Jose na Lazaro👏
Pauline, maseno
This is my prayer every other morning.
Asante sana kwa tafakari nzuri. Mungu awabariki sana kwa kazi yenu
Asante sana Prisca
Woow!!nice one!! instruments on top
Be blessed Princess
Jamani jamanii 🥰,,Soo nice ,,, congratulations 👏,,mziki umetulia ,,,keep it up,, mmeupiga mwingi,,,nimebarikiwa Sana, kazi yenu ni njema ,,,Mwenyezi Mungu aendelee kupandisha kwa viwango vingine,,,,,am waiting for the next post😅😅😅,,,
Mungu awatie nguvu muendeleze kipaji hicho cha uimbaji mzuri wenye utukufu ndani yake
Am always thrilled with your songs Ray.
Naomba ukanitungie wimbo mmjoja jamani.
Aya ya leo Jumamosi 26th August 2023 unasema "Zaburi 31:2 - Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa"
Hongereni sana. Though too short ila nimebarikiwa sana. Keep it up
Asante sana Bernadetha
Each time I listen to Rajo Production I feel at home ,I feel like returning back to Cameroon 🇨🇲 my country ,May God continue to enrich this choir ❤❤❤❤
Amazing kama kawaida🙌🏽🥰
Shukrani sana. Uzidi kubarikiwa
RAJO Production mbarikiwe sana Kwa matoleo yenu ya Hali ya juu sanaaa🙏
Shukrani sana Joseph. Ubarikiwe sana
Uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu
Kwa akili ya jina lako uniongoze unichunge
Mikononi mwako naiweka roho yangu
Nimekukimbilia Bwana nisiaibike milele
Hongeraa sana kwa kutuinjilisha msikate tamaa ongeza bidii ktk mafaniko yenu
Nimekumbilia wewe Bwana ndiwe mwamba wangu na Ngome yangu
Shukrani sana Cecilia
Aminaaàaa
what a master piece Rajo and friends
Thank you David
Kazi nzuri kaka mungu awangazie mwanga wake na wabariki mzidi kumwimbia kwa zaburi
Veery sweet💯💜
Thank you Jackie
I pray that God keep Kimenya safe health and protect him to spread the word of God we are blessed and be blessed all the stuff
Be blessed Judy
@@rajopro Mungu awazidishie Neema na Baraka tele
Thank you Rajo Productions. Ray, may God Bless you twice the way your work Blesses my heart and takes me closer to Jesus. Blessings n much love from 254🇰🇪
Thank you Angie. May God bless you
We love you guys ❤❤❤😊🇿🇲🇿🇲🇿🇲🌹
The power of annoiting is real,your work is annoited
Ubarikiwe sana.
Am out of words,this is really great sweet voices,Angelic dance,reflection words,may God bless you,continue annoiting your voices,continue uplifting you,see through,👏🤝😊😁💞💝😘💓🥰💕💗🌹😍keep 🔥burning🤲🤲🤲
Mbarikiwe sana Sichoki kuisikiliza..
Thank you Edgar
HALELUYA AMINA JINA LA MUNGU LISHANGILIWE MILELE
Amen
Our Creator is proud of guys. Hongereni sana!
Thank you so much
Kazi makini Sana💯💯💯
Barikiwa sana
Any song from Rajo production is always👌👌👌
Rajo I really appreciate your works 😊😊. Keep it up always I used to pray for you be blessed 🙏🙏