Wimbo mzuri sana hata sisi vijana wa leo 2023 nina 34yrs lkn unazipenda sana kama kwamba zimepigwa 2022 hapoMungu awarudishie katika familia zao walioshiriki kwa nyimbo hizo zote kati
Jamani wimbo mzuri Sana huu. Utafikiri umetungwa Jana Nakuombea maisha marefu mzee zahir!. Sikia ala zake zinabembeleza mno! Mwenyezi Mungu awalaze pema peponi wote waliotangulia mbele za haki walioshiriki kuimba wimbo huu!
Mungu azidi kumpa uzima mzee Zahir Zorro,ni mmoja wa wanamuziki mahiri sana tz,huu wimbo ulitoka tar.1/07/1977 Na ndio ulikuwa utunzi wake wa kwanza yaani utafikiri umetungwa jana Kuanzia uimbaji na vyombo,ilo solo gitaa 🎸na saxphone🎷midomo ya bata ndio inanimaliza kabisa,kwamba naweza kurudia hata mara 10 kwa siku , Baada ya kumuona mzee Zorro Wasafi TV,wiki kadhaa nyuma Nikacheza nyimbo zake zote Shujaa aliyegeuza bunduki kuwa gitaa Long life mzee
Kwa zaidi ya miaka 40 nimekuwa nasikiliza wimbo huu. Big up mzee mwenzangu sasa
Wimbo mzuri sana hata sisi vijana wa leo 2023 nina 34yrs lkn unazipenda sana kama kwamba zimepigwa 2022 hapoMungu awarudishie katika familia zao walioshiriki kwa nyimbo hizo zote kati
Jamani wimbo mzuri Sana huu. Utafikiri umetungwa Jana Nakuombea maisha marefu mzee zahir!. Sikia ala zake zinabembeleza mno! Mwenyezi Mungu awalaze pema peponi wote waliotangulia mbele za haki walioshiriki kuimba wimbo huu!
@King Malcolm sure!
Wallah unaweza kulia kwa hisia jamani hizi nyimbo aaaah
@@rahmaawadh6828 Haswaa!
Ni kweli zailly Ally na kimulimuli yake ilikuwa kazi kweli kweli wakati ule kule mafinga na iringa
Kiboko Zahiri Ally niliupiga wimbo huu katika hafla ya harusi yangu 32 yrs ago! What a great music!
Hili Sax sio la mchezo, Solo nalo la dunia ingine, hizi nyimbo zilikwua zinapangwa zinapangika
Nakumbuka j.k.t mafinga changalawe mufindi iringa zahil Ally Zoro nakumbuka rafikiangu deogratias kiduduye pamoja na zyagi mmanywa jamani siku Hazigandi
Wimbo wa mwanzoni mwanzoni kabisa mwa career ya bwana Zahir Ally. Kazi nzuri, nzuri sana!
Zahir unaliza watu wewe hizo nyimbo zako
Unanikumbusha kaka zangu walikuwa wakirudi kutoka Sekondari Mpwapwa na Tabora boys walikuwa wanamnyang'anya baba redio wanalala nayo geto kwao
Big up sn zahir ally zollo mkongwe wa muziki hapa tz,wimbo huu huwa unanikumbusha kwetu wassa(ir) 1984 r.i.p. babu yangu Temaunge alikua anaupenda sn.
Wimbo ukitamba SANA RTD ENZI HIZO...VIJANA WENGI WALIUKARIRI JINSI ULIVYOKUWA UKICHEZWA.SANA.
Tunaomba nyimbo Kali kam Hz muwe mnatupatia zinaondoa stres
Mungu azidi kumpa uzima mzee Zahir Zorro,ni mmoja wa wanamuziki mahiri sana tz,huu wimbo ulitoka tar.1/07/1977
Na ndio ulikuwa utunzi wake wa kwanza yaani utafikiri umetungwa jana
Kuanzia uimbaji na vyombo,ilo solo gitaa 🎸na saxphone🎷midomo ya bata ndio inanimaliza kabisa,kwamba naweza kurudia hata mara 10 kwa siku ,
Baada ya kumuona mzee Zorro
Wasafi TV,wiki kadhaa nyuma
Nikacheza nyimbo zake zote
Shujaa aliyegeuza bunduki kuwa gitaa
Long life mzee
Ndugu yangu kweli unatunza kumbukumbu sisi 77 tulikuwa na Miata 8 mungu akubariki Kwa kutunza kumbukumbu
@@mwisheheselemani3339 pamoja sana kaka...mwanajeshi aliyegeuza bunduki kuwa gitaa....hahahaaaaa
Kitu mapenzi bwana hata kama hauna pesa Bora mapenzi utafurahi sana moyo ni
Young Ali Zahir Zorro, sasa watoto wake wanaimba miziki kama baba yao!
Mzee Zoro unajua aisee
Moja kati ya nyimbo Bora mnoo kuwahi kuimbwa
old still gold forever
Mambo yetu ayo jaman
Kitu mapenzi kweli hakitaki dharau....Zahir aly Zorro! Great musician. ta!
Mtaalam huyo
Where are the new Talented people in music
Yaani najisikia laha utafiliki ni nyimbo mpya
Kweli kabisa da wanapoangusha apo wananikuna kabisaa
Wimbo huu naupenda sana. unanikumbusha nikiwa msichana mdogo huko kwetu Eldoro Taveta.
Hahahaa,burudika dada
Hahahaaa,burudika dada
Hahahaha! Kwa sasa ni mama
@@lukamwamahonje3310 sasa mimi ni bibi wa wajukuu 6. Miaka hiyo ya 70 hadi leo? Ni neema tu za mungu.
Wimbo huu una nikumbusha mbali
Nakumbuka wimbo huu nilipokuwa katika shule ya msingi mwaka 1985. Dunia ya wakati huo ilikuwa safi. Hakukuwa na Coronavirus
Nakumbuka Ifunda tech
Safi Sara nyimbo zakunifurahisha moyo wangu
Kaka nakukubali, huyo ndo Zahir Ali Zoro!!, sasa tupatie ule wimbo wake Kabwe, nautafuta kweli!!
Elias Maluba
Eddie Nassor
mhhh haya si masihara kazi nzuri
Kweli muziki Ni zamani
Kabwe na nyimbo moja jana jioni tumaliza sherehe ya arusi
Hii nyimbo ni hatari aana
hakika nakumbuka udogoni nyumbani kwetu hakika utadumu music wa wakat huo
GREAT JOB
From pemba
Good song big up
Hiv hawa wapiga vyombo bado wapo
Kitu love
Nipe wimbo zainabu
Nipe wimbo wa zainabu
inackitisha watu wolopiga mziki wenye kufahamika km huu wengi mackini
Mkowapi wajukuu enzi izo balaa
Mapenzi pesa
kabwe upowapi Edd?
1:01