Zilipendwa RTD - Kila munu ave na kwao (Original Version)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 окт 2024
  • Zilipendwa RTD - Kila munu ave na kwao (Original Version)

Комментарии • 59

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 10 месяцев назад +30

    "Kila munu ave na kwao Namba I, II & III". Tongolanga aliimba nyimbo hizo kuwaasa vijana wa Kusini (Machinga) waliokuwa wanakimbilia Dar es Salaam kutafuta maisha miaka ya 80's mwishoni na 90's walikuwa wahakumbuki kurudi nyumbani wala salamu kwa wazazi wanapofika mjini.
    Wimbo unaa na Kila muvu ave na kwao (Kila mtu ana nyumbani kwao kwa wazazi wake)......Kila mtu anafurahia siku anaporudi nyumbani kwao hususani akikumbuka ndugu na jamaa aliopotezana nao kitambo anakuwa na furaha isiyo ya kifani. Nimepokea barua imetoka nyumbani na baada ya kuisoma ameogopa sana kwa makosa aliyofanya "malalamiko ya wazazi na ndugu" wanasikitika kuwa hajaenda nyumbani siku nyingi.........Baada ya kusoma anatoa salamu kwa wazazi na ndugu wote wasiwe na wasiwasi anarejeaa nyumbani.......Salamu anazitoa kwa watu wotewa nyumbani sio muda anarejea.....Hapo amewataja ndugu zake waliopo Mtwara, Masasi, Newala, Mahuta, Namahonga na nyumbani kwao Mchichira.....................May his soul rest in perfect peace ameen

    • @fredmutah319
      @fredmutah319 6 месяцев назад +4

      Thanks for this long time hit

    • @obillaezra6205
      @obillaezra6205 3 месяца назад +2

      Tongolanga atakumbukwa kwa Nyimbo hii isiyoweza kuchuja hata ikae Miaka 500

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Месяц назад +2

      Unanikumbusha maisha yangu kikazi Mtwata na Lindi nilipenda sana nyimbo za Togolani😢

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻

      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

    • @MakusaroTesha
      @MakusaroTesha 23 дня назад

      Ahsante sana kwa tafsiri Bro. Siku nyingi niliusikia huu wimbo na ingawaje "kila munu ave na kwao" inaweza kueleweka, niliwaza ujumbe ni upi haswa 🙏✌️❤️🇹🇿

  • @abdallahmwanga5792
    @abdallahmwanga5792 4 месяца назад +13

    Ambao tuna hisia na huu wimbo,hadi sasa 2024 naomba tujuane kwa kugonga like hapa......🎉❤

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 8 месяцев назад +4

    Nakumbuka maisha flani ya tembelea kucha tusizalau watoto hujui alichopangiwa na mungu

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 месяца назад +2

    Daaaaaah,nakumbuka enzi hizo nyumbani ntwara.Jamani maisha yalikuwa mazuri napia palikuwa na watu wenye utu napia hofu ya MWENYEZI MUNGU.

  • @BinMaja
    @BinMaja Год назад +9

    huu Wimbo unanitoa machozi sna nakumbuka maisha ya amani sna

  • @jonijomk3107
    @jonijomk3107 Месяц назад +3

    nyie
    me sio mmakonde lkn huu wimbo nina istoria nao,
    nakumbuka nilikua nakula mabanzi na mzee wangu kila siku akirudi ananikuta nammalizia baterry zake kwenye radio kwakusikiliza tape ya huu wimbo nilikua naurudia hata masaa mawili nausikiliza huku nalia😢
    hata ninacholilia sikijuwi,
    niliaza kuipenda melody baadae nikaskia mzee mmoja wakimakonde anamtamfsilia mzee mwenzake maana ya huu wimbo aisee
    yule ndo aliniliza bora hata nisingekuwepo skuile😢😢😭😭
    nilirud nyumbani kwahasira niliwasha radio nikasema sizimi mpaka baterry ziishe
    nikafumwa tena hata dk10 hazijafika,
    hiyo siku sasa ndo inanifanya hata leo ninapouskiliza huu wimbo nitokwe tena na👉😥
    maana kile kichapo hakikua cha kawaida,
    baadae mzee akaniuliza kwa ukarimu unaupendea nini huu wimbo?
    nikamwambia melody na ujumbe,
    akaniuliza ujumbe we umekijulia wapo kimakonde nikaanza kumtafsilia moja baada ya jingine kulingana na nilivyokalili kutoka kwa yule mzee nandolo alivyokua akimtafsilia mzee mwenzake,
    siku iyo dingi alinambia kuanzia leo nisipokuwepo ruksa kufungulia radio hata kutwa nzimaa na jioni akatoa maagizo kwa bimkubwa nisiguswe juu ya hili kwamaana aliamini nina kitu ndani yangu😂😂😂😂😂,
    R.I.P DADY
    leo nimekukumbuka kupitia huu wimbo ulokufanya skuile uzidi kunipenda😢😢😢😢
    na wenzangu wakahisi kua napendelewa bila kujua kua yalianza mateso ya kipigo cha mara kwa mara moaka pale nilipoeleweka.🙏🙏🙏

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

    • @kisaipopo1176
      @kisaipopo1176 20 дней назад

      Dah....HAKIKA huu wimbo una kumbukumbu Fulani kwako. Ila yote kwa yote nyimbo za zamani bwana zinatupa memory flani hivi ya maisha Yale tuliyopitia.
      Kuna picha inakuja kichwani ya maisha yooote namna yalivyokua,mazingira familia. Na ikitokea Kuna wapendwa wetu wengine hawapo basi Kuna hisia flani hivi za huzuni zinazalika.
      RIP daddy.

  • @abdallahlibwela9761
    @abdallahlibwela9761 9 месяцев назад +3

    Daaah nakumbuka enzi zilee niko mwanafunz. Jaman RTD irudi tena maana TBC hamna cha maana

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +8

    Naupenda sana wimbo huu wa huyu Tongolanga, Mungu azidi kukupa makazi mema.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 Месяц назад

    Kukayaaaa jamani mtwara.Daaaaaaaaah

  • @skywhite2993
    @skywhite2993 Год назад +6

    😅kumbe harmonize emekopy huu wimbo

  • @aqramndupa-pv2mj
    @aqramndupa-pv2mj Год назад +4

    Mwenyezi mungu akulaze pema peponi tutaendelea kukumbuka sana hii nyimbo umetuachia kitu ambacho sina mengi ya kuzungumza 😭😭😭😭

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 4 месяца назад +2

    Asante sana kwa wakati inasemekana Sina hakika huu wimbo ulilikodiwa kwenye gari la matangazo

  • @SamsonSimon-z5d
    @SamsonSimon-z5d 9 месяцев назад +1

    Nimeipenda

  • @esmaeelkenadid3027
    @esmaeelkenadid3027 Год назад +3

    Hayati Halila Tongolanga aliimba akiwa na bendi ya Kurugenzi Jazz Band, iliyokuwa na makazi yake kule Arusha.

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs 2 месяца назад +1

    Alumina kichwa sana mwamba huyu

  • @MwajumaMwaju-kz4gp
    @MwajumaMwaju-kz4gp 2 месяца назад

    Makonde oyeeeeeeee nyumbani kwanza

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 11 месяцев назад +4

    Huu wimbo ni kitu alichotulisha Tongolanga mwanzo. Hakuna marembo na tune ni ya kimakonde. Ninaupenda kama ulivyo.

  • @aqramndupa-pv2mj
    @aqramndupa-pv2mj Год назад +2

    Wapi RTD wetu SHAFIRU MAKOSA

  • @rukiamnyachi-z2r
    @rukiamnyachi-z2r 4 месяца назад +1

    Asikuwa na asili yakwao mtumwa

  • @jumabakari4277
    @jumabakari4277 10 месяцев назад +2

    Rest Easy Uncle, Good memory of all the time...

  • @RamadhaniGoagoa-hu5hs
    @RamadhaniGoagoa-hu5hs Год назад +3

    Ungekuwa ulikokwenda umekosa naili ya kurudia ningeuza figo ili urudi Labuni basi

  • @MayAgostino
    @MayAgostino 3 месяца назад

    Kila minu avee na kwao 😢

  • @franklawrence5452
    @franklawrence5452 7 месяцев назад +1

    ngoma moja hatari sana enzi hizo hadi sasa

  • @PatrickKemunde
    @PatrickKemunde Год назад +3

    Hatari sana huyu mtu

  • @BakariOmary-e5s
    @BakariOmary-e5s 2 месяца назад

    Mikindani magomeni mashujaa rahaleo shangani mtwara town masasi newela mahuta tongolanga anatisha❤

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

  • @Khamis-l4q
    @Khamis-l4q Месяц назад

    Wao

  • @arapmeli6228
    @arapmeli6228 2 месяца назад

    August 2024 Nsndi, Kenya

  • @Natureo-hr9xc
    @Natureo-hr9xc Год назад +4

    Sielewi chochote,lakini huu wimbo ni kama umenilea.

    • @jafaripaje5366
      @jafaripaje5366 10 месяцев назад

      "Kila mtu ana nyumbani kwao kwa wazazi wake"....Kila mtu anafurahia anapokwenda nyumbani kwao hususani akikumbuka ndugu na jamaa aliopotezana nao kitambo anakuwa na furaha isiyo ya kifani. Tongolanga amepokea barua imetoka nyumbani na baada ya kuisoma ameogopa sana kwa makosa aliyofanya "malalamiko ya wazazi na ndugu" wanasikitika kuwa hajaenda nyumbani muda mrefu.....Hapo anatoa salamu kwa wazazi na ndugu wote wasiwe na wasiwasi anarejeaa nyumbani.......Salamu anazitoa kwa watu wotewa nyumbani sio muda anarejea.....Hapo amewataja ndugu zake waliopo Mtwara, Masasi, Newala, Mahuta, Namahonga na nyumbani kwao Mchichira................................................................Thanks for uploads....It takes my mind back down to early 90's

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 Год назад +3

    Noma sana

  • @haloditimotheo8626
    @haloditimotheo8626 3 месяца назад

    Tupo kama woteee

  • @ChipopoChipopo
    @ChipopoChipopo 4 месяца назад +2

    Elo mnalivale kukaya chonde chonde

  • @RamaAthwall
    @RamaAthwall 3 месяца назад

    Nilisikiliza huu wimbo nikiwa tabora gafra nikamuona mmama anakimbia na analia anakuja katk gari akalia Sana akasema we ni mdogo wangu mm Nina miaka 30 tangu nimetoka ruangwa huwezi amini nilijikuta nalia na mm

  • @IssaBakali-gh6gt
    @IssaBakali-gh6gt Год назад +3

    Halila tongolanga

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o Месяц назад

    Daa nakumbuka mbali sana leo nasikiliza 6/9/2024 wimbo ulitufanya tanzania ya zamani umoja na undugu, mshikamano. Leo upendo umeondoka.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻
      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      ruclips.net/video/r3gsfk3zbDQ/видео.html

  • @MariamBakari-e4r
    @MariamBakari-e4r 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SharifaRashid-x7z
    @SharifaRashid-x7z Год назад +3

    ❤❤ home sweet home

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 Месяц назад

    Sorry TOGOLANGA

  • @ShabanMahundu-dz3zo
    @ShabanMahundu-dz3zo Год назад +2

    Dox. Shanamtikwiki

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 2 месяца назад

    Daaaaaah,nakumbuka enzi hizo nyumbani ntwara.Jamani maisha yalikuwa mazuri napia palikuwa na watu wenye utu napia hofu ya MWENYEZI MUNGU.

  • @Natureo-hr9xc
    @Natureo-hr9xc Год назад +5

    Sielewi chochote,lakini huu wimbo ni kama umenilea.

    • @kingzito31
      @kingzito31 Год назад +2

      Acha tu ndugu yangu huu wimbo mimi hua unaitoa machozi maana unanikumbusha utotoni kabisaa

    • @marionntomola1686
      @marionntomola1686 11 месяцев назад +1

      Tupo wengi

    • @fredmutah319
      @fredmutah319 6 месяцев назад

      Hapo juu kwenye comments jamaa kaeeleza maana yake vizur