brother hii alikuwa na wana Sambulumaa, walikuwa wanapiga pale Lego Hotel Sheik Kilango road Ubungo. Nakumbuka Rahma Shally (RIP) kwenye Keyboard. Ziko nyingi alzopiga na wana Sambulumaa kama Gubu la wii zako, Zamarani mpenzi etc etc . Mkubwa Zahir Kipaji!!!!!
Mzee Zahir I napenda Sana nyimbo zako!
Mbaka leo nasikiliza haichuji Mariam Cleopatra..big up Zaihiri
Cleopatra alikuwa mtawala wa Misri,kipindi kirefu nyuma kabla hajazaliwa Masiya(KK)bwana Yesu Kristu,imenikumbusha mbali sana hii
kenneth bahebe Nginilla Burudika ndugu
Zahir Ali Zoro's voice is always unique. This song was voted as the Tanzania's Millennium song. Thanks for posting it.
Sauti nzuri kisa cha kweli Cleopatra moja kati ya watawala walikua na utata sana hata historia yake ina mkanganyiko mkubwaa
Eddie, asante sana kwa hii
TULIKUA MWANZA NA SAMBULUMAA BAND PAMOJA NGUZA,KING KIKII,HII NDIO SAMBULUMAA
Sauti na mpangilio mzuri wa muzikihuu unabaki kuwa best
Nakumbuka mbaliii saana ninapozisikiliza nyimbo hizi za zamani..
Niliipenda sana nyimbo sana zi
brother hii alikuwa na wana Sambulumaa, walikuwa wanapiga pale Lego Hotel Sheik Kilango road Ubungo. Nakumbuka Rahma Shally (RIP) kwenye Keyboard. Ziko nyingi alzopiga na wana Sambulumaa kama Gubu la wii zako, Zamarani mpenzi etc etc . Mkubwa Zahir Kipaji!!!!!
Huyu jamaa ni mtaalam sana kwa kweli!
brownee20007 Rahma Shally alikuwa mwimbaji hajawahi kupiga keyboard kaka!
Uyu mzee, anatulia sana kwenye nyimbo zake, adi raha!
Ahsante sana Iddi
Km vigezo na masharti zamani ndo vilikua vinazingatiwa, adabu ilikuwapo
Zahir ni kati ya wamamuziki bora kabisa katika history ya Tanzania
Hii ndo Alama ya Tanzania
Siyo siri Zahir alikuwa hatar, nyimbo zake zilitulia, hakuwa na mbwembwe
haswa
Yes
Sio kimulimuli ni Sambulumaa
Big up Eddie kwa burudani safi
Karibu tena Iddi
Mpongeze Queen Nefititi ww sio kilio patra huyo ni mgiriki tu, nefititi ni Nubian Africa, umechemsha Zahir Zoro Ali
mpongeze ww huyo nefititi...kila m2 na mtazamo wake
Mkuu kuna wimbo wa marquiz unaitwa Dodoma makao makuu ameimba king kiki ebu km unao jaribu kutupia huo wimbo
Ubarikiwe kwa kutuwekea wimbo mzuri usiochuja.
Zamani hiyooo
Sauti ya Zahir Ally akiwa na Sambuluma Band
SHIKAMOOO WEEMZEE
Wimbo huu unanikumbusha mbali
bonge ya ngoma
Eti eh?
binafsi naupenda sana
Burudika ndugu
asante
HUU WIMBO ILASIO WA KIMULIMULI ALIPIGA NA SAMBRUMA BEND
Kweli kabisa mkuu ni Sambulumaa Jazz Band
Ni elimu tosha 👏👏👏
Big sound hilo
Seif Said Hapana shaka!!