Hiki ni kisa cha ukweli kabisa....Zahir Zoro alimuimbia Zinduna ambaye waliishi wote Karikoo sasa wakapiga picha wakiwa pamoja. Zinduna akaja kuolewa Mwanza sasa siku moja mumewe akawa napekua begi la mkewe akakuta hiyo picha ndio ikawa chanzo cha talaka. Zinduna aliporefika Dar hakuta hiyo story Zahir Zoro aifahamu lakini mjini tena.....story zikafika kwa mzee mzima ndio akamtungia kibao hicho. Hapo unamsikia akimuhakikishia mume wa Zinduna kuwa hajawahi kufika Mwanza hiyo mitaa ya Kaluta, mitimirefu pamoja na mtaa wa sukuma.........! acha kabisa
Nyimbo za zamani zilitungwa hasa vyombo, sauti, maneno, story tamu ya kuvutia ambayo hata kama ingesimuliwa na mwalimu darasani, wanafunzi wangekuwa na hamu kusikiliza mwanzo mwisho, tena kimyaaaa kabisa, hapo unapata faida nyingi mno, mafunzo na pengine ukiwa katika kutafuta maoni uamue unasikiliza music kama huu unajiona kabisa, kua hapa unakosea na hapa unapatia, music wa zamani hongera sana. Zahir Ally Zorro alipiga nyimbo nzuri sana, alikua na uwezo mkubwa wa kutunga hadithi au kurejea historia,, hebu nimuite mwalimu wa kiswahili wa Darasani kabisa. Maana Cleopatra, Zinduna, Mashujaa, kitu mapenzi, loooh ni kama zimetungwa na jopo kubwa la wasomi wa juu sana duniani, Mungu alikupa tunu ya pekee, mshukuru mungu sana, swali sana, na umshukuru Mungu sana.
1987 Niko bush,asubuhi natoa betri za radio naanika uani nikirudi shamba nachukua 277 na mkeka naenda chini ya mwembe mama anapika chakula dah,dunia inaenda Kasi sana,old is gold
Muziki ulipangiliwa hasa. Kuna sehemu midundo inasikikika kama mwendo wa pole kwenye gwaride! Inanikumbusha enzi nilipokuwa askari magereza. Huu wimbo pia unanikumbusha mitaa ya Mwanza. Zahir Ali aliimba kwa hisia kali sana.
Huyu Zahir ni msanii msomi sana,anajua,huu mtindo katika fasihi andishi unaitwa "flash back", yaani anaanza kwa kukupa matokeo alafu badae chanzo. Wakati anatunga,alikaa,alitulia,
Hii nyimbo inatufundisha sana usiache mke au mume kwa maneno ya kuambiwa kumbuka ktk watu kumi sio wote wanapenda maendeleo yenu .asante sana mzee ally zoro
When musics was musics ... Muziki ulipokuwa muziki ..siyo sikuhizi uhuni mtupu ...kubana sauti ..kuimba hawajui kupiga vyombo hawajui ..Basi TU Mambo fursa na kutaka kutoka bila kujua wanatokes wapi ...
nyimbo za zamani zinazidi kudumu kwakuwa walikuwa wanaimba matukio ya kweli kabisa.ndio wata wanapoimba wanaimba kwa hisia kali kweli,linakuwa ima limemkuta mwenyewe mwimbaji au mwanamziki mwenzake au amesimuliwa tukio hilo.
Oh! Pole Zinuna! Photo album imekuletea balaa!k Hao ni kimulimuli jazz band, mtu mwenye sauti ya kubembeleza Kama macho yake! Napenda sana nyimbo zako mzee Zahir
Zahiri Zoro katika ubora wake'' ameimba kwa hisia ya hali ya juu' Inanikumbusha mbali hakika' nikiisikia naweza toa machozi nakumbuka tulikuwa tunakwenda tungua maembe Mburahati duh'' wengi tuliokuwa nao wengi hawapo'' duh
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana hasa ile mitaa ya Mwanza hata ujumbe ulioko unanikosha kweli na pale Villa Club Mwanza huwa unapigwa kwa kweli unapata wapenzi Wengi Kisa Cha photo Album.
Wazee hii ngoma imetulia kisawasawa. hizi ndo zile sauti zinazotoa nyoka pangoni. Ally Big up sana hapo ukijumlisha Cleopatra, Mazoea na hii photo album.......Hebu ondoka huko kwenye Bongo Flavor uungane na wazee wenzio mfanye vitu vya UKWELI........Tunazimiss sana hizi original musics not synthesized one of 2days.
Umenikumbusha mbali sana Eddie thax. Sasa hebu tupia na hizi zifuatazo... Baba na mama shangazi na mjomba twendeni Gezaulole.. magenge mengine mabaya, na nyinginezo kama hizo.
Wallah wimbo huu hunitoa machozi hususan nikumbukapo nyakati hizo nikiwa mjini Musoma na marehemu Uncle wangu Adiah Kombo na mwenzie Jenny Kashinde,Dah Johns Corner,Changarawe Mafinga ntafika tena???Moody Jumaa
Muzika safi waimbaji wana feeling za hali ya juu.lakini nimempenda zaidi mpuliza saxophone na mpiga solo.tafadhali anaewajua kwa mjina sololist na mpuliza mdomo wa bata anijuze.
Sauti yako haina mfano zahiri"wewe babu kubwa" Hasante kwa tunzi zinazoeleka na kuelimisha jamii' Mimi kizazi cha zamani nakupa A+'Hamisi Dale Boston USA
Ninamkumbuka rafiki yangu Julieth .... aliolewa Mwanza kutokea DSM alikuwa akikutana na mtu fulani Mwanza mjini anaongea neno Photo Album nikiwa sijui kama ni wimbo nilipokuja kuujua na kuusikiliza kwa makini nilicheka sana. Waimbaji wazamani mlijua kuburudisha.
Mimi niko Nchi ya Congo lakini nilikua najiliwaza na miziki ya
Nyumban TZ hasa kimulimuli jazz nilimkumbuka sana Zahiri Aly Zolo Zinduna
Serikali iwajengee heshima waishi maisha ya thamani wanayostahili ooooh stori ya muziki tanzania
Hi nyimbo hunitiya motisha nizuru Mwanza kila nikisikia sifa za maadhari. Siku moja nitazuru Mungu atupe uzima na afya
Hiki ni kisa cha ukweli kabisa....Zahir Zoro alimuimbia Zinduna ambaye waliishi wote Karikoo sasa wakapiga picha wakiwa pamoja. Zinduna akaja kuolewa Mwanza sasa siku moja mumewe akawa napekua begi la mkewe akakuta hiyo picha ndio ikawa chanzo cha talaka. Zinduna aliporefika Dar hakuta hiyo story Zahir Zoro aifahamu lakini mjini tena.....story zikafika kwa mzee mzima ndio akamtungia kibao hicho. Hapo unamsikia akimuhakikishia mume wa Zinduna kuwa hajawahi kufika Mwanza hiyo mitaa ya Kaluta, mitimirefu pamoja na mtaa wa sukuma.........! acha kabisa
daah I miss Kaluta,Lumumba,Rwagasore
@@mohamedmwagalazi453 mabatini na nera huku miss?
Daah
Umenifurahisha Sana kaka,kumbe kilikuwa kisa cha kweli
Huyo Muddy Mwagalazi Kaluta ndio kwake.
Nilijaribu kuelewa hii story ikanishinda but sasa nimeelewa. Thanks for this good explanation
Habari mkuu ebu tupia kibao cha zahir3 kiitwacho prof Masikita ( Salmin)
Daa jamani kwakweli hii nyimbo kiboko inanikumbusha mbali sana
Nyimbo za zamani zilitungwa hasa vyombo, sauti, maneno, story tamu ya kuvutia ambayo hata kama ingesimuliwa na mwalimu darasani, wanafunzi wangekuwa na hamu kusikiliza mwanzo mwisho, tena kimyaaaa kabisa, hapo unapata faida nyingi mno, mafunzo na pengine ukiwa katika kutafuta maoni uamue unasikiliza music kama huu unajiona kabisa, kua hapa unakosea na hapa unapatia, music wa zamani hongera sana. Zahir Ally Zorro alipiga nyimbo nzuri sana, alikua na uwezo mkubwa wa kutunga hadithi au kurejea historia,, hebu nimuite mwalimu wa kiswahili wa Darasani kabisa.
Maana Cleopatra, Zinduna, Mashujaa, kitu mapenzi, loooh ni kama zimetungwa na jopo kubwa la wasomi wa juu sana duniani, Mungu alikupa tunu ya pekee, mshukuru mungu sana, swali sana, na umshukuru Mungu sana.
Wacha kabisa hii ni weka mbali na watoto❤❤❤❤
Mwanamuziki wangu Bora wa muda wote,Zahir Ally Zorro,sauti ya ajabu kabisa
1987 Niko bush,asubuhi natoa betri za radio naanika uani nikirudi shamba nachukua 277 na mkeka naenda chini ya mwembe mama anapika chakula dah,dunia inaenda Kasi sana,old is gold
dah kaka eddi nakumbuka nikipita mafinga changalawe km namuona zinduna kweli yakale dhahabu
wameniambia mambo yako mabayaeeee,wamenielezamatatizo ya mumee wakooooeeee,aiseeee huo wimbo unanikumbusha mbali sanaaaa.mzee zahiri ally zoro.
Zinduna siopoa jmn htr
Muziki ulipangiliwa hasa. Kuna sehemu midundo inasikikika kama mwendo wa pole kwenye gwaride! Inanikumbusha enzi nilipokuwa askari magereza. Huu wimbo pia unanikumbusha mitaa ya Mwanza. Zahir Ali aliimba kwa hisia kali sana.
Kaka mkubwa nimependa sana ulivyodadavua kw sababu muziki wenyewe naupenda sana
Hatari sana sheli Zinduna mtoto wa Mwanza. Mambo mazuri ya miaka hiyo maisha bila Ukimwi kweli baba zetu walikula maisha
Eddie ubarikiwe sana!enzi hizo zinapigwa mchana.....kipindi mchana mwema!wakipiga live club rahaleo shooooo!nitazipataje hizi nyimbo! ?
Mkuu nami ninashida Nazo hizi nyimbo plz ukizipata naomba unisaidie niko Ikonda Makete Njombe
Huyu Zahir ni msanii msomi sana,anajua,huu mtindo katika fasihi andishi unaitwa "flash back", yaani anaanza kwa kukupa matokeo alafu badae chanzo.
Wakati anatunga,alikaa,alitulia,
Zoro si mchezo.
Anajua sana kuandika mpaka leo
Huyu mzee Zoro ni fundi,humfananisha na akina Olive mtukudzi wa zambia
Nnaipenda sana hii nyimbo ya zinduna siachi kuisikilizaga kilawakati❤
Hata Mimi napenda sana alafu inanihuzunishaga nakumbuka mbali sana miaka ya 91 nipo Arusha
Jamani zahiri achaaaa kabisa
nipo ughaibuni napata amani kurejesha kumbukumbu Home asante mzee Zoro
Acheni tuu! The song was well composed and arranged in such that deep down it penetrates my whole heart. Big up.
For real. I wasn't there but it's totally breathtaking!
Shughuli pevu hii
Kumbukumbu isiyosahaulika daima, wimbo wa zamani lakini vyombo bado vinasikika vizuri. 21.04.22.
Hii nyimbo inatufundisha sana usiache mke au mume kwa maneno ya kuambiwa kumbuka ktk watu kumi sio wote wanapenda maendeleo yenu .asante sana mzee ally zoro
0
Mkuu nimeiona!You are the best and I owe you something kwa kweli!Mungu amuweke ahali pema peponi Mama yangu, nyimbo hii aliipenda sana
Burudika ndugu
Wolfs Playz ooh R.I.P mama yetu
huu wimbo hauchoshi kuusikiliza. yaani huyo zinduna kama namuona vileeee1
Ndoa....imevunjikaaa...mama...kisa ni picha ya zamani oooooh! The best song of Zahil Ally Zolo that I will never forget
Nani 2020?
When musics was musics ...
Muziki ulipokuwa muziki ..siyo sikuhizi uhuni mtupu ...kubana sauti ..kuimba hawajui kupiga vyombo hawajui ..Basi TU Mambo fursa na kutaka kutoka bila kujua wanatokes wapi ...
nyimbo za zamani zinazidi kudumu kwakuwa walikuwa wanaimba matukio ya kweli kabisa.ndio wata wanapoimba wanaimba kwa hisia kali kweli,linakuwa ima limemkuta mwenyewe mwimbaji au mwanamziki mwenzake au amesimuliwa tukio hilo.
Nimefurahi sana Eddie, naomba nitafutie wimbo Moto ni moto huunguza
Oh! Pole Zinuna! Photo album imekuletea balaa!k Hao ni kimulimuli jazz band, mtu mwenye sauti ya kubembeleza Kama macho yake! Napenda sana nyimbo zako mzee Zahir
Hhahahaa😅😅ana jicho la kimahaba nhee hata Banana hajalifikia..
@@aymankhadija619 umeona eeh!
@@stevejoh3284 Sana tyuuu
Muimbaji Bora wa muda wote
Hatari san enzi hizo,umetoka shule msosi hausomeki!
hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sn
Unga wa njano!
Hahahahahaaa!
OMG.........Old is Gold.....I remember Mwanza too..
Ally Ahmed Burudika ndugu
Kweli ya kale ndhahabu nakumbuka mbali sana
sasaivi atuna MIZIKI zahili ally.zolo achakabisa enzizetu
ndiyo mwito wa simu yangu huu wimbo.
2022 hii nyimbo Kali na vyombo vimepigwa kwa mpangilio Safi na sauti iko vizuri.... Old is gold for real
Zahiri Zoro katika ubora wake'' ameimba kwa hisia ya hali ya juu' Inanikumbusha mbali hakika' nikiisikia naweza toa machozi nakumbuka tulikuwa tunakwenda tungua maembe Mburahati duh'' wengi tuliokuwa nao wengi hawapo'' duh
Miaka hiyo nikiwa Dom "old is gold" wapi wana Dom sec miaka ile nakumbuka mbali Sana.
Inanikumbusha wakati niko mdogo sana uyu mzee anajuwa sana
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana hasa ile mitaa ya Mwanza hata ujumbe ulioko unanikosha kweli na pale Villa Club Mwanza huwa unapigwa kwa kweli unapata wapenzi Wengi Kisa Cha photo Album.
Mzee hongera sana mungu azidi kukupa huai mrefu
Dah hawa watunzi hatari sanaaaa nakumbuka mbali saaanaa
tafadhali nitafutie wimbo huu Wa Dar es salaam jazz usemao ,usimuache bwana wako Amina.
Yan najiskia kulia kwakweli, namkumbuka sana Marehem babaangu, yani wakati huo radio ni 1 tu RTD
Beatrice Shadrack pole sana hiyo ndio faraja ya muziki
Pole sana!
Eddie upo kaka?
Beatrice Shadrack oooh sorry it's so sad
Utafikiria imeimbwa mwaka huu sauti yke iko vzr
Nakumbuka ndani ya mwaka 90 nipo home bush marehemu mama na marehemu baba nawakumbuka hii nyimbo
Utadhani muziki ni wa Jana.
Wazee hii ngoma imetulia kisawasawa. hizi ndo zile sauti zinazotoa nyoka pangoni. Ally Big up sana hapo ukijumlisha Cleopatra, Mazoea na hii photo album.......Hebu ondoka huko kwenye Bongo Flavor uungane na wazee wenzio mfanye vitu vya UKWELI........Tunazimiss sana hizi original musics not synthesized one of 2days.
Kweli kabisa Richard
Malle umesema kweli siku hizi hakuna tena wana muziki
....Muziki wa zamani kweli ulikuwa mzuri kupindukia, sio siku hizi! Kisa cha Photo album sio mchezo! kweli maisha yanapita! Zahir Ally Zollo
Huu wimbo nimeutafuta sana Nilikuwa nausikia kwa Rajabu Nzoboko Radio One
huyu ni balaa kwa sauti
Wimbo unanikumbusha Rosemary Kizango RTD enzi hizo kipindi ni LALA SALAMA
Umenikumbusha mbali sana Eddie thax. Sasa hebu tupia na hizi zifuatazo... Baba na mama shangazi na mjomba twendeni Gezaulole.. magenge mengine mabaya, na nyinginezo kama hizo.
Karibu tena Cathy:Burudika
Rafiki yangu babaangu Mzee Zorro unanikumbusha baba litamwe na mamaangu nisikilizapo huu wimbo
Inaniku mbusha mbari
Huu wimbo sijui kwann huwa sichoki kuusikiliza
Haa zinduna kimulimuli iyo Mzee zoro
Amazing song 🎵 ♥
Huyu mwamba zahir dah, achana naye kabisa......
mtaa wa sukuma ... mtaa wa baba yake
Photo album wimbo mzuri sana...... Nyimbo zinazoishi hizi
hizi nyimbo ukisikiliza hazichoshi binafsi inanikumbusha mbali kwa kweli, Zahil alikua akiimba kwa hisia sana.
Yusuf Sella
Yusuf Sella ni kweli huwezi choka kusikiliza hizi nyimbo za zamani ,zimejaa mafunzo na burudani ya kutosha
Ugumu wa miasha ukosefu wa nidhamu ni music pekee unaotuleta karibu
Omg,amazing song never forgettable
The best song ever
Zahiri Ally unanikumbusha mbali sana wakati nasoma primary school inzi hizooo
Zahiri ally upo juu kaka
Eddie asante sana
Zinduna ina ujumbe mzuri sana
Zorro's master piece.
Naipenda sana sauti ya ZAHIR ALLY ZOLLO hasa kwenye wimbo wa photo album, kweli ya kale ni dhahabu
Melk Mgonga Hapana shaka kaka
wimbo huu unanikumbusha mbali sana
Binafsi nafatijika Sana hongera bro Eddy
Unanikumbusha loksal farm nikiwa na kaka yangu Emanuel,blandina, Kristina, baba na mama yangu du roho yangu basi TU😭
Wallah wimbo huu hunitoa machozi hususan nikumbukapo nyakati hizo nikiwa mjini Musoma na marehemu Uncle wangu Adiah Kombo na mwenzie Jenny Kashinde,Dah Johns Corner,Changarawe Mafinga ntafika tena???Moody Jumaa
All these years nilikuwa najua huu mwimbo unaitwa Zinduna, Lol
Same here
Aha kuachwa uku kuniumiza ila ni fundisho izi picha jamani
Kisa Cha photo album,,,,
Hawa watu sauti zao zilikuwa nzuri hata wakiimba jukwaani live sio sasa hivi msanii akija jukwaani kichefuchefu. Naomba ule wa Christina
Balaaa tupu
Muzika safi waimbaji wana feeling za hali ya juu.lakini nimempenda zaidi mpuliza saxophone na mpiga solo.tafadhali anaewajua kwa mjina sololist na mpuliza mdomo wa bata anijuze.
Daniel Mbalakami second solo ni jumanne Hussein na zuber kassim na sololist ni Musa Ellisha
Listening to this melody oh dear.
Kamani nawaomba mniambie Ramadhani omary kitare yuko wapi mwee jamira na dada lao mwaka 86
Ndugu kwani hii story niyakweli maana daa huyu mzee Zorro hatari sana.
NAKUMBUKA NIKIWA KIJANA MDOGO NIKIIPENDA SANA HII
naomba nisaidieni kuipata Beatrice affairs ya zahir zorro chini ya mass media band
Mr.dee Delas, naupendaga sana maana nimeimbwa mimi kwenye ule wimbo, BÉATRICE, Masmediam band
Nnao hii nyimbo kaka Fanta subira nitaiweka tukijaaliwa
Eddie bado tunaisubiri Beatrice affairs
tungo zilizotulia mpaka mwisho wa dunia
Sikiliza muamtu anatafuna sasawana
Kwakweli yakale ni dhahabu mtu unaweza kulia kw kukumbuka ya zamani
Kaka eddy naomba wimbo wa zahir zoro uwitwao nipe nafasi ya moyo
huwa naenjoy sana zilipendwa. ila wimbo mziki wa 'morogoro' mbona hakuna kwenye orodha hii ya mziki
Bendi za miaka hile nazifulaiya nikisikia zinapingwa zinanikosha
naomba wimbo wa zahir ally zorro akiwa na bendi ya MASS MEDIA unaitwa BEATRICE.........
Wimbo Wa Beatrice Wa mass media mm pia nautafuta, ule wimbo umeimbwa vzr sana
Ninao huo wimbo
Enzi hizo jamani!
Ingekuwa kipindi hiki cha watu wasiojulikana ungeokotwa Mwanza pasipokutarajiwa
Sauti yako haina mfano zahiri"wewe babu kubwa" Hasante kwa tunzi zinazoeleka na kuelimisha jamii' Mimi kizazi cha zamani nakupa A+'Hamisi Dale Boston USA
Sikiliza vyombo vinavyokimbizana vyenyewe.
Very very good old days
sina la kusema juu ya huu wimbo ila ni bonge la nyimbo yani ingelikuwa kwa wenzetu mzee zairi angekua hakamatiki kabisa
zahiri ally amenikumbusha stereo mafinga changarawe
Ninamkumbuka rafiki yangu Julieth .... aliolewa Mwanza kutokea DSM alikuwa akikutana na mtu fulani Mwanza mjini anaongea neno Photo Album nikiwa sijui kama ni wimbo nilipokuja kuujua na kuusikiliza kwa makini nilicheka sana. Waimbaji wazamani mlijua kuburudisha.
Raha ya huu muziki ukiacha burudani ni mafunzo pia
Nimekumbuka mbali Sana
Zahil tunakukumbuka Jo's corner mafinga na ruvu jkt ,we remember ever
Upendo uko na wivu tangu mkoloni? Ndio maana zahir analalamika