Tulikotoka ni mbali - Juwata Jazz Band

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024
  • ZILIPENDWA_
    #Zilipendwa #zilipendwa_playlists #oldsongszilipendwa #Mzikiwazamani
    • Dawa ya mapenzi - Mbar...
    Rudisha kumbukumbu nzuri kupitia nyimbo hii kali na nyinginezo kibao zaidi kutoka kwa wasanii mahiri
    #Hashtag #Zilipendwa #zilipendwatz #Oldmusic_zilipendwa #RUclips #RUclipstanzania #mzikimtamu #mzikiwakwetu #Mbarakamwishehe #trending #Kingkikii #Mzikiwazamani

Комментарии • 11

  • @saymonipatrick
    @saymonipatrick 3 месяца назад

    safi sana hapa sasa Masikio yata pumzika kusikia matusi na Sio nyimbo

  • @omaryswalehe1225
    @omaryswalehe1225 2 года назад +5

    Mzee Gurumo, Bitchuka, Maina, Moshi na Momba. Hakika ilipendeza sana

  • @omaryswalehe1225
    @omaryswalehe1225 2 года назад +3

    la msingi ni mshikamano wa mapenzi na kutojali ya watu binadamu hawana jema. Nakuahidi wewe ni wangu tu mpaka kufa. Hakika ujumbe murua pamoja na solo ya Marehemu Mabela ni hatari sana

  • @betinangimbudzi4037
    @betinangimbudzi4037 2 года назад +4

    Enzi zile. Oh jamani natamani kurudi ile miaka 1991.

    • @zilipendwatz7494
      @zilipendwatz7494  2 года назад

      You'll need a time machine for that, mashine ya kukusafirisha kurudi miaka ya nyumba. 😆😆 Hizi nyimbo hurejesha kumbukumbu nzuri

    • @zilipendwatz7494
      @zilipendwatz7494  2 года назад

      for that you'll need a Time-Machine

  • @ochumedy3282
    @ochumedy3282 Год назад

    daaah nakumbuka zamani sana nlikuwa nausikia huu wimbo ama kweli

  • @jazilarouben6940
    @jazilarouben6940 2 года назад +1

    Yes